Kwaheri Mama Khadija Baramia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2019
  • Msanii mkongwe wa Taarab Asilia, Bi Khadija Omar Baramia, amezikwa leo Ijumaa (23 Agosti 2019) katika Makaburi ya Mwanakwerekwe, Unguja, baada ya kufariki dunia akiwa matibabuni nchini Oman. Innalillah wainna ilayhir raajiun.

ความคิดเห็น • 56

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlaze pema peponi sis . Baramia khadija

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 5 ปีที่แล้ว +6

    Katutoka ndugu yetu mpenzi
    INALILAH WAINA ILAHI RAJIUN
    Mpendwa na watu wote akihishimu watu wote makubwa na mdogo mcheshi
    Hakuna mfano kama wake
    Mungu amlaze malazi mema na
    Amuweke Jannat Alfardous
    Amin yaraab Amin

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 6 หลายเดือนก่อน

    Molla amsamehe na amghufurie Ameen

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +2

    Ewe mola wetu tupe husnulkhatima waja wako yarab husnulkhatima👐

  • @abouybaramia534
    @abouybaramia534 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for this.... Allah amsmhe dhambibzake bibi yangu

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaman anasinsikizwa kqa nyimbo😓😓😓😓Yarab mola wetu tupe husnulkhatima

    • @salyali7807
      @salyali7807 ปีที่แล้ว

      Sana... 😥😥😥 may Allah asituonyeshe

  • @mamayoyolast3139
    @mamayoyolast3139 5 ปีที่แล้ว +7

    Allah amsameh makosa yake atusameh na sisi na atujaalie khusni khaatima

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 4 ปีที่แล้ว +1

    Inalillahi wainailahi rajiun ,may her gentle soul rest in perfect peace.. Ameen Ya Allah..😢😢

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +5

    Sifa zake kwa Allah hazipendezi kikubwa sisi julio Baki tumuombe Allah atufishe hatima njemaa

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli maneno yako lakini Ina Allah Ghafuru Rahim

    • @salyali7807
      @salyali7807 ปีที่แล้ว

      Nashangaa... May Allah asitupe sifa hizi tukiaga dunia Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @willykhatambi9226
    @willykhatambi9226 4 ปีที่แล้ว +1

    Alla amrehem mama

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg6679 4 ปีที่แล้ว

    نسأل الله ان يرحمها و يسكنها في فسيح جناته و يصبر أهلها على فراقها .

  • @sheikhasalim9124
    @sheikhasalim9124 5 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillah waina ileyhi rajiun mwenyezi mungu amlaze pema penye wema Ameen

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว +1

    Heee Allah atupe hussnatul khatima🤲🏼

  • @bintmhammad9557
    @bintmhammad9557 5 ปีที่แล้ว +3

    Innaalillah wainnaaileyhi raajiun

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 5 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah wainalilah rajiun pole sana site kwake tutalejea inshallah

  • @mwanaidramadhani9960
    @mwanaidramadhani9960 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainna ilayhi raajiun M.Mungu amjaalie minalfaaiziin Amin

    • @fatmahamdoun74
      @fatmahamdoun74 5 ปีที่แล้ว

      Amin Allah mridhiye mamaetu Amin

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 ปีที่แล้ว +2

    "mohd ghassan" il jina nalkumbuka kwenye changin'kuchangizana... iyo nyimbo yke pls tuuploadie humu... shukran

  • @hassanmkwama9900
    @hassanmkwama9900 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah ampe kauli thabit, ni mwezi Mmoja tumekaa na kuzungumza

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว +2

    Poleni wafiwa

  • @muuchaynaznz6081
    @muuchaynaznz6081 4 ปีที่แล้ว +1

    inalilllah

  • @khadijaali1463
    @khadijaali1463 5 ปีที่แล้ว +3

    Rest In peace, queen❤️❤️

  • @tauhidasheha1118
    @tauhidasheha1118 5 ปีที่แล้ว +1

    Innallillahi waiinna ilayhi rajiuu

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 5 ปีที่แล้ว +1

    Innalilahi waina ilaihi rajighuun

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiun

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo mwisho wetu

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah amsamehe makosa yake

  • @user-fm5cq4bl6b
    @user-fm5cq4bl6b 5 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace

  • @mohdmussa5587
    @mohdmussa5587 5 ปีที่แล้ว +6

    Mngetia kasida za bwana mtume si kueka nyimbo jmn

    • @rahimaally6471
      @rahimaally6471 5 ปีที่แล้ว

      Siku zote tunaambiwa mtu husemwa na alichokifanya kwa vile alikua muimbaji inabidi ishallah Mwenyenzi Mungu atupe mwisho mwema

    • @mohdmussa5587
      @mohdmussa5587 5 ปีที่แล้ว

      Amin, yarabi husnul khatima

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว

      @@mohdmussa5587 Ammin yarab

  • @zenaal-baalawy3262
    @zenaal-baalawy3262 5 ปีที่แล้ว +3

    Ya Allah mjaalie mja wako huyu msamehe madhambi yake ya siri na dhahir, kabri lake liwe kati ya bustani za peponi na pepo ndio iwe mashukizi yake.

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio maelezo gani hiyo jaman kuimba ndio sifa gani unampa hatar kubwa Mola atujaliye kheri na mwisho mwema,halafu unajisifu msaani tuliye na wezetu wapi mwezetu atafikia hatar daaah ujana uhai mitihan

  • @willykhatambi9226
    @willykhatambi9226 13 วันที่ผ่านมา

    Kifo huna huruma

  • @chukwani
    @chukwani 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah ampe kauli thabit pepo yawe makazi yake ameen

    • @shammusfredy4158
      @shammusfredy4158 5 ปีที่แล้ว

      Kwani wasagaji huenda peponi?

    • @alikutenga3303
      @alikutenga3303 3 ปีที่แล้ว

      @@shammusfredy4158..Sio maneno ya kusema ndg yng hayo Ina Mana tyr ushamuhukumu au?! Huwezi jua mtu mwisho wake na Siri yake ajuaye ni ALLAH tuuu la mcngi ni kuombeyana dua kwa wote au ilikuwa na chuki nae?? !!.

  • @khadijamahmoud8349
    @khadijamahmoud8349 4 ปีที่แล้ว

    Allah amlaze mahala pema bibi angu💔🤲🏻😭

  • @selaboy
    @selaboy 4 ปีที่แล้ว +2

    Bas inatosha tafadhalini musifanye Monayo yataka.ata were kuna siku u takufa.jua hilo tobaaaweee

  • @ashurakigoma2628
    @ashurakigoma2628 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @zainabz9789
    @zainabz9789 4 ปีที่แล้ว

    Innallilah wainnallah lajiun 😭

  • @willykhatambi9226
    @willykhatambi9226 4 ปีที่แล้ว

    May he rest

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 5 ปีที่แล้ว +1

    Innallilah waina illah rajiun

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 ปีที่แล้ว

    Baada kutaja madua na visomo ashindikizwa na majimbo mitihan

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 ปีที่แล้ว

    Allah amsamehe makosa yake