ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
ZANZIBAR DAIMA
Allah amrehemu aunty kipenzi chetu mlezi wetu Ampe Pepo ya ngazi ya juu we will always love you aunty khadija baramia
Q
Siku hiyo naingoja niwapashe hadharaniWalosema ni kiroja mimi kuwa na FulaniWakatoa nyingi hoja kutangaza hadharaniSiku kuja itakuja hata wakifanya nin
Siku hiyo ya masiku nnayoisubiriaNitakuwa na shauku kukutana na wambeaR.i.p bibi yangu Khadija BaramiaYaasalaam! Yaasalaam Zanzibar taarab
Siku hiyo ikifika nitakuwa furahaniPembeni watajiweka hawatoki hadharaniNajua watakereka mambo yatapo bainiMwenyewe nimemtaka tena nnamthamini
Old is gold taarab ZanzibarSilka,mila na utamaduni asili yetuViva Zanzibar taarab,Yaasalaam
Pumzika kwa Amani mama yetu B khadija Baramia 🥰🥰
Siku naisubiria niwapashe wapinzanWale walotukamia wakala na mayaminUzushi walozoea mastadi wa kubuniMambo yatapo wadia watasema kitu gani
So nice
Love zanzibar
Anice song ilike
Gwiji wa Taarab asilia mashallah
Mashallah
Ya Habib mwenye nao huu wimbo alorudi Omar kopa nauomba
namba hizo 0715302331
@sheshi beshi yap naju ila aliiimba uzurii mnoo
ZANZIBAR DAIMA
Allah amrehemu aunty kipenzi chetu mlezi wetu Ampe Pepo ya ngazi ya juu we will always love you aunty khadija baramia
Q
Siku hiyo naingoja niwapashe hadharani
Walosema ni kiroja mimi kuwa na Fulani
Wakatoa nyingi hoja kutangaza hadharani
Siku kuja itakuja hata wakifanya nin
Siku hiyo ya masiku nnayoisubiria
Nitakuwa na shauku kukutana na wambea
R.i.p bibi yangu Khadija Baramia
Yaasalaam! Yaasalaam Zanzibar taarab
Siku hiyo ikifika nitakuwa furahani
Pembeni watajiweka hawatoki hadharani
Najua watakereka mambo yatapo baini
Mwenyewe nimemtaka tena nnamthamini
Old is gold taarab Zanzibar
Silka,mila na utamaduni asili yetu
Viva Zanzibar taarab,Yaasalaam
Pumzika kwa Amani mama yetu B khadija Baramia 🥰🥰
Siku naisubiria niwapashe wapinzan
Wale walotukamia wakala na mayamin
Uzushi walozoea mastadi wa kubuni
Mambo yatapo wadia watasema kitu gani
So nice
Love zanzibar
Anice song ilike
Gwiji wa Taarab asilia mashallah
Mashallah
Ya Habib mwenye nao huu wimbo alorudi Omar kopa nauomba
namba hizo 0715302331
@sheshi beshi yap naju ila aliiimba uzurii mnoo