Inna Lillahi Waina Illayhi Rajiun Mama yetu uliye tukonga nyoyo zetu kwa nyimbo zenye wingi wa ilimu na wingi wa nasaha. Mola akulaze pema palipo na waja wake wema.
Wallahy wimbo mtaaam. mapenz yako matam ya salaam ya salaam mapenz yako mataam yasalam yasalaam. nimeroa rovyovyo kwa huba zako fulan special fr my husband. nakupenda Sana habby
Mungu akulaze mahala pema peponi
Bi Khadija hakika nyimbo zko zilikuwa nzuri na zenye kutuelimisha Sana
Ina li'Llah wa ina ilayh rajiun
Mwenyezi Mungu akuhifadhi mahala pema
Amin
Hubba zako nazienzi,zapumbaza moyo wanguuu
Unavyo nipa mapenzi wapumua moyo wangu
Naona raha laaziz mlez wa pendo langu
Mmungu akulaze peponi akusamehe makosa yako. Kaburi lako liwe mabustani ya peponi. Amina yarrabi.
Allahumma amin!
Inna Lillahi Waina Illayhi Rajiun Mama yetu uliye tukonga nyoyo zetu kwa nyimbo zenye wingi wa ilimu na wingi wa nasaha. Mola akulaze pema palipo na waja wake wema.
Dah! Nimeshiwa na la kusema. Nyimbo tamu kuliko hayo mapenz
M.Mungu akurehemu bibi yetu simanzi sio Kikwajuni tu bali Zanzibar naupwa wote wa Afrika Mashariki
Yaa Rabbi atudumisheee,mapenzi yatu yadumu
Yaa Rabbi atudumishe mpenzi yetu yadumu
Allah ghfir laha warhamha waskanha filjannat.
You are still alive in so many peoples Hearts ❤️❤️❤️ Our Preyers are with you always 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Yaarab msameh mama yetu Wewe ni mwingi wa Rehma Na msamaha, Tunakuomba msamehe mama yetu makosa yake Na umuingize jannarirdaus
Amiin Amiin Amiin.
Amiin Amiin Yaa Rabbi
Yaniisha umuri kulia naona tamuuu
Mapenzi yako mazur yachemsha yangu damu
Wewe mlez wa kweli pendo hujanidhurumu
Wewe mlez wa kweli pendo hujanidhurumu
RIP Baramiya. Mungu akulaze peponi..
Aaa!!zanzibar hatukua na majumba mazuri wala magorofa ila wakati ule tulikua na furaha ya maisha.
I like it!
mungu akulaze mahala pema peponi wewe mbele ss nyuma.
Mashallah Allah akurehemu..
Allah akurehemu ewe mlezi bibi wa mtaani kwetu inshaallah (Kisimamajongoo)
Allah ailaze Roho yake pepon ameena
Rest in peace,queen❤️❤️ Zanzibar lost one
Yeah.. For real!
Nakusifu ipasavyo ewe wangu wa moyoni
Nimerowa rovyo rovyo kwa huba zako fulan
Masikini unguja ya kale imekwenda na maji.
Sasa imebaki UNGUZA.
Wallahy wimbo mtaaam. mapenz yako matam ya salaam ya salaam mapenz yako mataam yasalam yasalaam. nimeroa rovyovyo kwa huba zako fulan special fr my husband. nakupenda Sana habby
Mashallah
Ahsante sana dadaangu bi hadija baramia huba za fulani zanipendeza moyoni
Mama wa nguvu licha aliondoka dunia napenda sana
hizi sauti zinanikumbusha wakati ule wa neema zanzibar
Wimbo unanikumbusha nilipokua mtoto nikiamshwa asubuhi niende chuoni miaka ya 1997-20000
Duh!!! Umekutumbusha mbali sana yaani
Yanihuish umuri dunia naona tamu
Kukicha yazidi utamu kukicha yazidi hamuu
aloiimba hii nampa hongera amenimaliza kabisa, mashaaAllah mashaaAllah..
let me guess..umezaliwa in 2000's ? lol
Ameshafariki muombee duwa tena mungu amsamehe makosa yake
@@aliomar464 hahaha kisa hamjui marehemu Baramia
@@aliomar464 1998
@@aisshamohamed3452 basi ndio mana muimbaji humjui mdogo angu nyimbo hii kaimba marehemu Khadija Baramia
Mbele yko nyuma yetu
kukicha yazid utam na kukicha yazid hamm. huba zako nazienz zapumbaza moyo wangu unavyonipa mapenz wapumbaza moyo wangu hahahahha teeenaaa mapenz raha ukipendwa na ukapewa
Mashallah mashallah
une belle voix, belle parole j'aime
kukicha yazid hamu kukicha yazid utamu
napenda sana nyimbo hii
j'aime bien cette chanson cela
me rappelle de mon défunt papa
lulu a.a
kama ujana unarudi basi enzi zile zingerudi.
old is gold..what a song...
maskini Zanzibar yetu ndio imekufa mambo haya sasa hv hayapo.
Kila nikiuskia huu wimbo nafurahika sana
Ni zanzbar pekee unawez kupat lulu Kma hizi
Ewaa!
Inna lillah waina illaih rajiun
MMungu akusamehe makosa yako.
mashallah hii ni ktk nyimbo inayonikumbusha ile unguja kabla ya mapinduzi.
ILove it wow my Zanzibar
Love this song.. my aunt khadidja ❤❤❤
huba zako nazienzii napumbaza moyoo wangu
Rest in peace mama Khadija Omar Baramia
Sauti hizi zilikua wakati ule WA neema Zanzibar sio Leo
yaarab atudumishe
Sana wakati huo sio sasa tena
Zanzibar ilikua ina neeem
Eeeeeh kilio ila inalilah waina ilaih rajiun
teynaaa kukicha yazid kukicha yazid tamu
Mapenzi yako matam yachemsh yangu dam
😰😰😰 Rest in peace
Ameen!
wow.....love dis
mungu akupe kauli thabithi
mungu akurehem .
nice one..
Yaa salam
unavonipa.mapenz wapumua moyo wangu
Iko pow sana
Nice song
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
kukicha yazid ham laazz
Hiiii kwangu nii furaahayangu ilaa piaa Ni huzuni yangu
Rest in peace
waaah
❤️❤️❤️❤️❤️
Waaah
❤️❤️❤️
2017 nn upo
Kweli mapenzi ni matamu
Wakati wa neema ulikuwa WA Rais Salmin Amour
Abdi Rajabu kweli kabisa
Wakati wa Slmin ni kipindi kigumu sana, aliwagawa wananchi wake kwa chuki za kibaguzi .
mapenz yk matamu
Khadija baramia mapenz yako matamu
mashaAllh mwanamke kaitendea haki nyimbo wallah 💞💞💕💕💕💕💕
Ameen yaraab
napenda sana nyimbo hii
Hi Zuhra nakusalimia
Hongera