Nyimbo nzuri sana ina manemo mazuri na sauti nzuri ya Bi Mwanahawa. Nimetoka kuangalia interview ya Bi Mwanahawa na Zamaradi TV nikakumbuka nyimbo zake
Mashallah, wimbo mzuri, mashairi mazuri ya kutia moyo, wallah ukiuckiza unapata nguvu ya kusonga mbele, unagusa hisia haswa. Mama asante kwa huu wimbo. Sauti tamu.
Mama mwenye heshima yake na nyimbo zake.Hy alikuwa anaelimisha kupitia nyimbo zake.Kwa kweli hy ndio alitakiwa kupewa cheo cha Malkia wa Taarab Tanzania
@2024, Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma Sababu naziamin Rehema zake Karina Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema Tungo kama hizi hazikupatikana rahisi pasipo na waalimu kama mma. Shairi limeenda shule na limekoma.
Nyimbo nzuri sana ina manemo mazuri na sauti nzuri ya Bi Mwanahawa. Nimetoka kuangalia interview ya Bi Mwanahawa na Zamaradi TV nikakumbuka nyimbo zake
2024 ❤ Bado nausikiliza nashukulu mungu nausikiliza Tena na nauona mpya huu wimboo❤❤❤❤🎉
2024 hata Mimi mama sitachoka kusubiri mpaka riziki zangu zishuke na wala sitaenda ugangani ALLAHUAKBAR
❤❤❤❤2024 tupo pamoja
Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamin Rehema zake Karina
Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema
Wangap tupo August 2023
2024 na bado inavutia masikioni
Its 2024 am still listening to this master piece😘❤🌹
Hizi ni nyimbo ambazo hazizeeki kila wakat iko ktk chati
nyimbo nzuri ya kutia moyo
2023 where are you guys
Tuko apa 2023
2023 Tupo 🔥
Tupo tena kwa Sanaa 👍🏿👍🏿👍🏿❤️❤️❤️🇰🇪
🇹🇿
Mwanahawa maamaa wa busara nampenda sanaa na nyimbo zake zanikosha
Yake mola mitihani nitapasi naamini 2024
Hizi ndio nyimbo sasa ♥️♥️
Mashallah, wimbo mzuri, mashairi mazuri ya kutia moyo, wallah ukiuckiza unapata nguvu ya kusonga mbele, unagusa hisia haswa. Mama asante kwa huu wimbo. Sauti tamu.
2023 na bado nauskiza wimbo huuu.naupenda sanaa kweli hakuna mtimilifu sote viumbe wa Mungu na mimi ipo siku nitaganyiwa na mimi fungu langu
Tusikate tamaa ipo siku
@@hashunjauriah2776puifiu.
Http moo
@@hashunjauriah2776
P0
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm zaidi
Alhmdulillah m.mungu muwezaaa habaguiiii😢😢
Nimekinahi umasikini wangu........ipo sikuuuù nitapata langu funguuu🎶🎶🎶🥰🥰🔥🔥🔥
Mama mwenye heshima yake na nyimbo zake.Hy alikuwa anaelimisha kupitia nyimbo zake.Kwa kweli hy ndio alitakiwa kupewa cheo cha Malkia wa Taarab Tanzania
Naungana na wewe %100
Umeonge kwel kuuza utu sio mafnikio bali mungu ndiye😂 mtoa riziki 🎉❤
Nyimbo Zuri Sana Wakutia Moyo Kimaisha. Shukrani Mamaa Mwenyewe Mungu Akujalie Kheri. ❤❤❤
My mum yuaitwa Wakesho🤲🏾😇
Wow Somo Yangu Sio 😊. MashaAllah...🥳🥳🥳💃💃💃
@@gladdyswakesho954 yesss ✨😚
@@bakaromarofficial 😢 it be ok 🎉tyytic goo uu uuiç in
Naupenda sana huu wimbo❤❤❤❤san
Mwana Ali napenda nyimbo zake kwaza huu wa nimekinai umaskini wangu❤ from 🇰🇪
Izi ndo nyimbo sasa sio tx mpenzi doctar wangu zamani ni matusi matupu ndani ya ujumbe
Huu wimbo unanipa hop kwenye ndowa yagu.kwellyy mtihani ❤❤❤❤ song
Mashallah❤yani Sina lakusema hapo myimbo inamafunzo❤❤❤ Sana
Whenever I listen to this song lazima nipate huzuni kwa nafsi. Such a unique. Ahsante Mwanahawa Ally.
"Wala hajamkosea yule mja akosae....."namimi nikisikia hii verse nazidi kuamini Mungu
Best song ever in the taarabu MusiC
Mashaallh nime penda ni ukweli mtupu
Kiukweli mama taarabu zako hazichuji nazipenda mimi nazisikiliza na mke wangu mama mwana ndani ya kisalawe daaa
Huu wimbo naupenda sana t sana, tena unamashahiri mengi
Napenda mpka kwenye dam ❤❤❤❤🎉
the song that taught me kiswahili
Shairi nzuri Pia ni funzo kwa waja
R.I.P mama anga ,alikua anaupenda sana huu wimbo 😢
MaashaAllah nyimbo zako nzuri Wala sio za mafumbo
Hata mimi sitachoka unanilumbusha mbali sana maisha yangu na mama yangu maisha yetu
Jaman kuna nyimbo ya zamani ilikua inaitwa shoga nilikuamin imeimbwa sijui na bend gan sijui yemen stars
Mshallha naipenda hii nyimbo
moja kati ya nyimbo bora za mwanahawa ali
Mashallah yani sina lakusema hap nyimbo inamafunzo sana
Wimbo bando naupenda sana
Naipenda hii nyimbo mpaka Leo❤️♥️❤️
Yake mola mitihan nitapasi naamin siinyongi roho yng Inshaallah mola muenza atanipa lng fungu😊
2024 bado nasikiliza 🔥🔥🔥old is Gold
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana tujuane 2023
Nyimbo nzuri saana🎉
It's rey nice this song ,it has truetness no matter how old it is.
❤
Hata mimi unanikuna sana naipenda sana hii nyimbo
Hauishi utamu huu wimbo 😍
Kabisaaa ❤
Hizi ndio nyimbo❤❤❤❤ kwanza zinamafunzo
2030 bado tuko hapa jamani nyimbo tamu hii
Naupenda wimbo wa umaskini sausikiliza mbaka leo umepangwa ukapangika maneno na sauti ilopowa
Nasikiliza 2024 april live from mtongwe barracks
Kwa masaibu ninayo pitia nikisikiza hizo nyimbo hunifariji
Nakupenda sana mama
Mashaallah dada yetu
Kiukweli nyimbo hii naipenda sana na huwa inaniliza sana sijui ame waza nini mungu ambariki
Inankumbusha mbali sana
Kwel kabisa
Naipenda sanaa hii nyimbo jamani
#hii nyimbo naikubali mpk naumwa na sitoifuta kamwe
Wow ni nzur kwa kweli ❤️😘
Nyimbo yangu pendwaaa
Dahh zamani nakumbuka enzi hizo wengine tuliokuwa pamoja sasaivi hawapo 😂😂😂😂
Imetulia ww wanazipiga tukumbukie nakumbuka ikweta mtoni kwazizi ari
Good,good.
Nyimbo ndio kama hizi hata,ukiwa nastres,inaisha
Nyimbo ziliimbwa jamani
Mwimbaji wangu bora wa muda wote wa taarabu
Kweli
Jamani Mimi mama yangu anaupenda. Mpaka bas
Ina mafundisho
Umesema mama nikweli
Hii imeweza🙏🙏🙏🙏
Nyimbo tam sana jaman
Mashallaah
Wimbo furaha ya moyo wangu
Nakumbuka mzenga kisarawe
2023 bado nasikiliza ahsante mama
Tupoooo
Mashaallah napenda sana huu wimbo❤❤
@2024, Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamin Rehema zake Karina
Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema
Tungo kama hizi hazikupatikana rahisi pasipo na waalimu kama mma. Shairi limeenda shule na limekoma.
2023🥰🥰
Aisee ❣️
Nakupenda yaaan
❤❤❤
Nyieee wimbo haushi utamu aiseeeey❤❤❤
Santaaa kwa kuujua utamu wee Mombasa ndio mwanzo nyimbo hii haitwishi hamu
Bure mkinikebehi ni ya mola takadiri
Naipenda sanaa nyimbo inanipa furaha
Nitazidikuipenda
❤❤❤walah mpk chozi lanitoka nimemkumbuka marehemu dada yangu alikuwa anaupenda
Pole wangu
Pole dear
pole SANA
Usinikumbushe na mm hivohivo😢
Nyimbo imetulia haina mambo mengi naa ina ilimu pia
2024 ❤❤
Namoton py
This one waaah
Umasikini hauniduru wala haunipi joto daah hatar
Dah hatari Sana hii bakora
24naminikupata
Nakukosa nihiyal yake MUNGU waoooooo natangazahazaln nimekinah umackn wang
❤❤
Tupo sana
2024
Kila siku nasikiliza nasisinywi
dah mashallah best vocal beat melody
Bado inaishi