hamuezi kunivua joho alonipa Mungu, he he hey sigombei mwanamme nikajitia mashaka shii unamrusha roho unanini we msaka,bibi ikiwanimekuachia, ujuwe nimemchoka, na kama mstaarabu juwa kuwa nisingebanduka, wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhika heko mama mtazania
Khadija Kopa, silali mpaka nisikize nyimbo zako...hii ndiyo kwanzo inanitia mori zaidiiiiii! kwanza whenever i drive home....mombasa...kutoka nairobi......napandisha vioo vya gari na kupokea utamu kwa loudspeakers...barabara nyweeee. Ntafurahi kukuona siku moja!
Sijui mipaka zilitoka wapi?Mbona Wana East Africa wasiungane?Nchi iwe moja tu.Otherwise Zanzibar siondoki ng'o,nikiondoka naenda zangu Tanga ama Mombasa 🎶🎵🎶🇰🇪🇹🇿🇺🇬 one love 2021,June
Kila nikijaribu kusikiliza taarab za Tanzania huwa mashikio yangu nasikia makelele tu ,llakini mashallah nyimbo za huyu mama Khadija Kopa huwa zinanijaza sana. Si kwa ubaya lakini waimbaji wengine wajifunze mbwe mbwe kwa huyu mama. Huyu ndiye anaye tumbuiz roho yangu kwa TZ taraab. Nakupenda sana.
heheya maman wa kitanzania bado niko uwanjani nimezaliwa kikwajuni but nimesimama imara wala simdharau mtu hiyo ni khulka yangu mimi napenda utu sweet wa kizanzibar na bado ninaitwa queen mimi ni top in town tena ninagawawisha tena nimewacha gumzo comoros na merekani heko mama mtanzania
Dada Khadija kopa makauli na nyimbo poa Mungu akuweke hai uzidi kutufurahisha japo tuko mbali na nyumbani lakini roho zetu ziko pamoja na nyie raha tele
2222 still my favourite song🔥
Napenda huu wimbo + u hadija 😍😍😍😍😍😍😍😍💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Alhamthlulahi
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu, he he hey sigombei mwanamme nikajitia mashaka shii unamrusha roho unanini we msaka,bibi ikiwanimekuachia, ujuwe nimemchoka, na kama mstaarabu juwa kuwa nisingebanduka, wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhika heko mama mtazania
mwanamke kujiamini
sitakii..... taxi bubu.... polisi atanishika....... , napenda nyimbo zako kwa sana dadangu
Miriam Akoth
2024 njooni kwa like
Evergreen 💯💯🔥🔥
hapo hapo Kama makini ALWAYS top in town😘😘👏💖💗
Saida Omar wow that is a goooood coment
hapo nakubali kabisa.....Top in town.
Jembe langu penda sana wajna wa mama sichoki kuiangalia naludia tu kwa kweli
ah kweli umezaliwa makadara dada kopa
Safi sana mama wa kitanzania
Sakina ABD y Lion is
Is
Salma 9
Salma Abdallah b
Nani hasiye mjua Kopa? From Nyanza Kenya to Uholanzi ni Kopa.
mama wa madoido bado hawezi toka uwanjani
upo juuu
uko juu mama
naukubali San
Hi dia
Zuchu kweli Msanii. Wengine ukiuliza kama wazazi wao waliwahi kuimba hata copy hakuna. Huyu Mama anaimba hivyo Zuchu ni copy yake.
Hatuogopi kit Macho kwa macho
2023 and more 20250 ect 🪐We. Love you mama Africans 💓💞🪐🌍⭐️🌟🪐💫🌙
nice sana
nakubali utunzi wako daima,
Can't stop listening to this song, so amazing
Yes
Tarabu uongeza test ya mapenzi
Inaitwa top in town
yes naipenda sana
nitumie my audio
Aisha Hassan pamoja sana
Mery Nyankena ucjali
nakukubali mama
Musaga sum
2019 dope song
Nice
Maneno kuntu!
Nice song🎉🎉
hiyo ndo kiboko yao khadija kopa top in town hakuna wakutia mguu hapo big up kalombola 0784581514
Hadi 2024 June bado unanikosha sana Kopa... imenogea humu kenya kwa mpigoooooo. The only Malkia Wa Mipasho is still on top!! ❤❤❤❤
wapi likes za 2021
Khadija Kopa, silali mpaka nisikize nyimbo zako...hii ndiyo kwanzo inanitia mori zaidiiiiii! kwanza whenever i drive home....mombasa...kutoka nairobi......napandisha vioo vya gari na kupokea utamu kwa loudspeakers...barabara nyweeee. Ntafurahi kukuona siku moja!
Nani ako hapa baada ya kujua Khadija ni mamake Zuchu
Malkia wa mipasho dunian mama weraweraaaa hakuna kama khadija kopa ndo queen wa taarabu wengne wanasubiri kama unamkubali kopa 👍👍👍
Kweli yako
Top in 2024. ❤❤❤❤
Likes za 2024 August from kenya ❤
Mama hii taarabu hakika ulijipanga ni nzur kwa Mimi naweza nikaipa namba moja
Mtoto wa kidonge Niko gado 2021
Kama unaangalia hii nyimbo 2020 like tujuwane
Washabiki bado nipo
@@rashidroja9722 We are together 2/11/2020
2022
Mnachelewa jamanj 2023 nko hapa
@@zeyshaomar3501mama
Mama
M
You are always beauty kopa Mungu atuengezee umri ndugu yangu pasi duplicate ma . P. D . G hupiga saluti kopa ununikosha bado ninaitwa queene
Lov u smch Mama Khadija Kopa....mpaka now 10/1/2019😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Atuogopi kitu macho kwa macho macho kwa macho macho mama yake na zuchu penda San uyu mama kopa 2020 nani anaangalia like please
Pumzika kwa amani mama isha mashauzi 😢😢MUNGU aendelee kukupunguzia adhabu ya kabuli
Khaaa jmn kafa lin
Uliimba vizuri dada mwanake unatakiwa ujiamini sio kugombania bwana
Heheeeeiya sigombei mwanamme nikajitia machungu
"Mimi nikikuwachia ujue nimemchoka" nani ako hapa 2020 kama Mimi dondosha dole lako hapa 👍👍👍
BABA YUSUFU
Baba Yusufu
😂
nakupenda sana mamy mwaaah mwanamke kujiamini eee hapana chezeya ww tenaaa😍😍😍😍😍
Jamani huyu Dada nampenda kwamajimbo yake
Sijui mipaka zilitoka wapi?Mbona Wana East Africa wasiungane?Nchi iwe moja tu.Otherwise Zanzibar siondoki ng'o,nikiondoka naenda zangu Tanga ama Mombasa 🎶🎵🎶🇰🇪🇹🇿🇺🇬 one love 2021,June
2020,2021,2023 Wakenya tupo hapa.
2024,2025,2026
Hata mm nawaona Umewatoa Nishaii Mashaallah _ _!!! Kama sii Ww Nani Mwengine !!???
My everyday mood starter🥰🥰🥂,2022 n I so much love the queen of mpasho
Sigombei mwanaume nikajitia mashaka kopa mami penda wewe sana😍😍😍😍🤩
Kopa si dupliketi,mapedeshe hupiga salute!
Woooow kichuna kisio kwisha utamu....kiko na masongoni.
lovely song nimependa mdondo wake na mashahiri yake big up khadija
Kila nikijaribu kusikiliza taarab za Tanzania huwa mashikio yangu nasikia makelele tu ,llakini mashallah nyimbo za huyu mama Khadija Kopa huwa zinanijaza sana. Si kwa ubaya lakini waimbaji wengine wajifunze mbwe mbwe kwa huyu mama. Huyu ndiye anaye tumbuiz roho yangu kwa TZ taraab. Nakupenda sana.
Mohammad Wallad +254705040885 nicht maa khadija kopa nazimia kwa hii nyimbo walaih
Kweli
Xikuwez mama mipasho
My kiosk listened to this song now its a supermarket!!!
MashaaAllah
MashaAllah!!
Weweee 2021 from kisauni mambo ngaingai mjini akili........
Can't stop listening to this song😍😍😍😍😍😍😍😍😍
one of the biggest queen of mipasho big respect mamake zuchu
Mama wa zuchu...love this song.2020.
Nani yupo apa 2020 twende sawa jamani
2022 am here listening to the amazing song🔥🔥💯👌
The best of Khadija kopa 😘😘😘😘 just love the song
Mie sie gumegume ila dume, tangia miaka ya tisini hadija kopa na muziki wake moto sana 👍👍👍
2021 like
Zuchu ni mtoto wako but bado akona kazi kuweza kukufikia top in town dada khadija is only you
Still the best taarab song iliosimama imara mpaka sasa 2025 🔥🔥🔥 Khadija Kopa 👑 The Swahili Golden Voice
bado tunapendeza tukisimama uwanjani heko wngine si wanaume wengine ni vidume vidume hivyo
I will live loving this song my mam could not spend a day without........ ❤❤❤❤
Jaman mama angu bi Khadija mashallah nyimbo zako hazichuj wallah kila siku nazirudia
I always love this song.kweli ni queen of taarabu.naomba siku moja aje apige show mombasa
Hatutaki Kenya ni adui wa Tanzania tunakaa mbali na maadui zetu
@@sherifaali7268 🤔🤔🤔🥴🥴
Sitakimashaka
Vile Khadijah anajisifu hapa... Wah!!
Did she introduce baby Zuhura Othman Sud aka Zuchu at the end?? ❤❤
Yes
Sanaaaa kopa
On 30/11/2021 still listening to this song. Release the next hot one.
Kenya’s 🇰🇪💗 mean ??? I love this Mimi napenda utu It smean I love humanity 👏🏽🙏🏽💗👌🏽👍🏾
Khadija wanimaliza Sana na huu wimbo wa top in town hakika nasikia utamu kweli .
heheya maman wa kitanzania bado niko uwanjani nimezaliwa kikwajuni but nimesimama imara wala simdharau mtu hiyo ni khulka yangu mimi napenda utu sweet wa kizanzibar na bado ninaitwa queen mimi ni top in town tena ninagawawisha tena nimewacha gumzo comoros na merekani heko mama mtanzania
Ending 2022 in style with this song....... much love Khadija ♥️♥️♥️
Esther uko wapi tule Ice cream....
@@anthonyonuti8473 njoo Nairobi lakini uje Na popcorns maanake huku baridi hairuhusu ice cream 👌
Who is here in 2018 still , Nice song.
Nice song
v509a0J0570ohnson Abuto 15715555 xrg4e10ew3j83a6 +6witty5 4u1fr d6f7ad16f7a5418000f053a68i5418000f7p06d6f7ad16f7a5418000f053a68i5418000f7p06714082653a6854312d6f17ad16f7a5418000f053a68i5418000f7p714053a16st535714610082653a6854312d627fg17a35d57a8316f7ga5418005k00f09253a68i5418000f7p71436145472670053a16st35 a 6st 482a685768i21603v96555fl4 s2601et 2 wry lf11125 3d575403610th 84443 12th 1146 84jr7 +21195666+211956989164 a6l 453k1298912164 6h4
Thanks
Pishanjiaa garikubwailooo 16/12/2018 wakati wasaa 19:37 ucku..
Nawasikiliza ni kiwa GARFIELD NJ USA MWATOSHA
❤❤❤❤
Uzuri wa ndege manyoa. Uzuri wa Mwanamke kujiamini. Mwanamke screensaver na nyumba, makalio yanafuata baadae 🎶
2021 still listening 🔊🔊🔊📢📢📢📢🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My favorite stl rocking 2018
safii
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu maneno kibao dadaangu KOPA wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhikaa, hiyo ni kali sanaaaa
mama asanteeeee xana kutupa mautamu
Mamaa wa B unit nipo gado nipo fit 👊👊👊❤❤❤
Wimbo mkali Sana. Ndio ringtone yangu for a loooong time. Kutoka Kisauni Mombasa, nasema tamuuuuuuu
Niambie jina la hii taraab song ,ni Kali Sana
@@liliankerubo1489 uzuli was mwanamke in kujamni,, uzuli was ndege no manyowa take!!!! @ banuli kirunda at JINJA Uganda
Uzuli was mwanamke ni kujaamini,,, uzuli wa ndege ni manyowa yake see style of dancing
Kweli umewacha gumzo . Comori n'a. London..hakika mama wa kitanzania ni ukweli
Nakupenda Bure mama 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dada Khadija kopa makauli na nyimbo poa Mungu akuweke hai uzidi kutufurahisha japo tuko mbali na nyumbani lakini roho zetu ziko pamoja na nyie raha tele
Sakina ABD iko juu sana
maneno matamu ya kweli,keep it up uko 🔝
Drop like za Mama zuchu apa...2020
You are one of the best Khadija Kopa in intertaiment , still energetic and attractive. Keep us entertained!!
Nimeipenda
Nani yuko na Mimi bado nasikia kutoka Cairo mzaliwa Wa Kenya
How long has it been, its now 2022 and this song is🔥🔥