Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah nyumbani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Mwalimu na mtafiti wa SOAS - Chuo Kikuu cha London, Dk. Ida Hadjiyavanis, amedhamiria kuzifanya kazi za mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Fasihi, Abdulrazak Gurnah, zijuilikane kwenye ulimwengu wa Waswahili kwa kuwa anaamini kazi hizo ni za Mswahili na zinamzungumzia Mswahili. Tayari ameshatafsiri riwaya ya Paradise na sasa anaendelea na Afterlives.

ความคิดเห็น •