Haya ndio Mambo madogo madogo 7 wanaume wengi hujisahu yafanya na kupelekea Ndoa nyingi kuharibika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2024
  • Mambo haya 7 ni funguo ya furaha katika ndoa

ความคิดเห็น • 47

  • @HamadAbdallahHamadi
    @HamadAbdallahHamadi 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ww ni mwanamke
    Na insha'Allah Allah atakupa mlango wa Pepo opposite na Rasulillah
    KAZI yako imetukuka mnoooo ❤❤
    ❤Kwa ajili ya Allah endelea Mungu akupe maisha marefu na afyaa njema amin3 yaarabl Alamein

  • @kateranyahussein5385
    @kateranyahussein5385 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe NI moja Kati ya Wanawake wema Allah akulipe inshaalah

  • @kateranyahussein5385
    @kateranyahussein5385 4 หลายเดือนก่อน

    Allaah akulipe kheri Kwa mawaidha yako yanayojenga

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 6 หลายเดือนก่อน +4

    maneno
    mafunzo murua sana
    jazaakillahu khair

  • @user-ol5rm6uj8t
    @user-ol5rm6uj8t 6 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah dada i

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah tabaraka Allah

  • @user-ej2hj4zr9y
    @user-ej2hj4zr9y 6 หลายเดือนก่อน +2

    Manshaaallah ❤naaaaaaaam habibty

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 6 หลายเดือนก่อน +2

    Content ipo vizuri sana

  • @user-fr6xi8su4m
    @user-fr6xi8su4m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera anty kwa kuwakumbusha wanaume,ingawa sie wengine hatuawahi kufanyiwa hata moja kati ya hayo ,wapewe maua yao wanaofanya hayo

  • @abdullipunjaje9603
    @abdullipunjaje9603 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha ni rahisi sana kuyazungumza ila kuyatekeleza ni kazi sana. Unaweza fanya yote hayo na ya ziada lkn bado mambo yakaenda kombo.
    Behind the scene ya yote hayo ni kuzidisha dua tu ehuch

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 หลายเดือนก่อน

      We fanya kwa kutegemea kupata radhi za allah.ukitaka kuyajua ya binadamu hutoyamaliza.

  • @ipingikalimited1103
    @ipingikalimited1103 6 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah nmekuwa nikikufatilia sana madame ila ninahamu sana ya kuongea nawe unishauri moja kwa moja sijui nitafanyaje naomba msaada wako

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah tabarakallah

  • @mustaphamatelefone-lc9pr
    @mustaphamatelefone-lc9pr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Aliahmdulillah kwa elimu ya ndoa

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 6 หลายเดือนก่อน +2

    mashaAllah mawaidha mazuri sana kipenzi Allah akuhifadhi akupe afya njema uzidi kutuelimisha

  • @a.856
    @a.856 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallah khayran

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @waleedbinali3211
    @waleedbinali3211 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah shukran kwa maneno mazuri yenye kujenga Mungu akubariki

  • @HamadAbdallahHamadi
    @HamadAbdallahHamadi 5 หลายเดือนก่อน

    Karibu Sana Pemba dada yangu

  • @HamadAbdallahHamadi
    @HamadAbdallahHamadi 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki amin3

  • @matatamwaipopo-rp4vz
    @matatamwaipopo-rp4vz 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana sister tunakuelewa vizuri

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 4 หลายเดือนก่อน

    mchaga romantic . kuwa romantic itampa sh. ngapi . inaliwa au?😂😂😂 ebu acha mambo ya kitoto basi. sisi tunatafuta pesa . kazi kweli kweli😂

  • @SingoMedia
    @SingoMedia 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah

  • @muzammilurajab846
    @muzammilurajab846 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asa usipoobwa pesa na mke wako akuombe nani, mwanamume mwenzangu

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 6 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah madam nikweli kabisa wanajisahau sana

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante nduguyangu ,namambo mengine yanawakosesha baraka viumbe ,kwakutokujua kwetu🎉

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nkifatana n mume wangu 😂😂labda nenda spitali au mazishini au polisi wezi wametuibia...Alhamdulilah niko n 29kwenye ndoa wala hatugombani.

  • @ZackeyMohammed
    @ZackeyMohammed 6 หลายเดือนก่อน

    Positively right,thank u
    Very much mama.

  • @hellenmagembe8768
    @hellenmagembe8768 6 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏

  • @ahmedosman7698
    @ahmedosman7698 6 หลายเดือนก่อน

    Vizuri Sana madam leila

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 6 หลายเดือนก่อน

    Hakikaa mungu ukuzidishiye hekims

  • @user-rr1df8il8t
    @user-rr1df8il8t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu tunapenda kuyafanya hayo ila humo humo ndio mnakuwa mwanzo wa kuombana talaka,mengine mtufundishe na dua za wanawake visirani sio kutuona wanaume tunajisahau hapana majumbani tunagombezwa hivi utaweza kumtoa mtu out mtu kama huyu unaogopa asije akakuchamba mbele za watu yakakutoka makofi ndio ukawa mwisho wa ndoa yenyewe kukosekana maudambwi udambwi kwenye ndoa zetu si kwamba hatupendi ila miongoni mwenu vivuruge.

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 หลายเดือนก่อน

      Haswaaaaaaa

  • @makamemm6111
    @makamemm6111 6 หลายเดือนก่อน

    Tumeelewa ugali mama😅😅

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 6 หลายเดือนก่อน +1

    CHAKULA BONGO AHSANTE YA NINI NA ZAWADI

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 6 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @omarimmbaga5632
    @omarimmbaga5632 6 หลายเดือนก่อน

    Aslm ,Alkm,war,wab.kuhusu zawadi, anarudi saa 4:30, saa 5:00, kufuturu magengeni,halafu unampa zawadi

  • @kassimali511
    @kassimali511 6 หลายเดือนก่อน +1

    Twayyib

  • @user-rr1df8il8t
    @user-rr1df8il8t 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani ile michezo ya kwenye tv ni halali kwa wanawake wa kiislam kuangalia?

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 6 หลายเดือนก่อน

    Halaf hi y kununa n kua vichaa inawakuta wwke wkiafrika tu?!

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 6 หลายเดือนก่อน

    Google

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante madam Leila. Kweli na upo sahihi kuhusu haya mambo. Wazungu wao kila wiki hupeana maua au chocolate japo kuwa sio vitu vya bei ghali, ni ishara tu ya kumthamini na kumpa zawadi mkeo au mwenzio. Unayosema yapo tupo wengi tunajisahau kufanya hayo mambo.

  • @suleimanjuma6818
    @suleimanjuma6818 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mawaidha mazuri yenye nasaha za wanadoa nk: