Masha Allah yani mume wang ameoa juz nilivunjik Moy kwa mambo niliyomfanyia, ila baada ya kukusikilz ukhti nitaendelea kufany kwa ajili ya Allah, Alhamdulillah
Amani iwe juu yako irene.ni vzuri kujifunza mema bila kuzingatia dhehebu au imani yako.mi mwenyewe ni muislam huwa kuna mafundisho ya baadhi ya wachungaji nawasikiliza wanakuwaga na ujumbe mzuri sana. Ningependa kukufahamisha uislam ni mfumo wa maisha haujaacha chochote katika maisha ya mwanadamu tangu upo tumboni mpaka unazeeka na kufariki. Kwa bahati mbaya watu wengi hawaufundishi uislam na kutekeleza vile uislamu ulivyo.matokeo yake jamii zinapotoka kwa kufuata mifumo ambayo si sahihi. Ukifuatilia hata manabii ndoa zao zilikuwa ni zenye misingi hii inayofundishwa.kinyume na hivyo ni maasia na uharibifu katika jamii.
Maa'shallah.... Dada yetu unawasaidia sana Wake zetu... ILA NILIKUWA NINAPENDA KAMA UTAWEKA KIPINDI KUHUSU NINI MAANA YA KUMPENDA ALLAH NA PIA MTUME WAKE KULIKO MUMEWE AU MKEWE. NI NINI TOFAUTI YA NENO MAPENZI KWA ALLAH NA PIA MTUME WAKE, NA YAKE YA KUPENDA MKEO , MMEO , WATOTO NA, WAZAZI. NINI MAANA YA HILI NENO PENZI NA VIRU GANI KIISLAM VINAVYOONYESHA MAPENZI KIISLAM. HII KITU INACHANGANYA SANA WATU NA WENGINE WANAVUKA MIPAKA HATA YA TO NEGLECT THEIR SPOUSES KWA SABABU TU THEY ARE RIGHTEOUS...
He Also wrote Janah and hell fire, but we are adviced to struggle so that we enter jannah even in Zawaj we are suppose to choose and hold it tightly and to intertain divorce
BUT GOD! KAANDIKA ZAWAJ NA TALAKA PIA! SO ZAWAJI ONLY NA HAKUNA TALAQA! SOME TIMES PROBLEMS COMES FROM MEN N SOME TIMES COMES TO FEMALES! ALSO. BUT MOST FEMALES WILL THINK TOO MUCH KUHUSU HER CHILDREN'S BUT MALES MOST THEY DONT CARE TOO MUCH KUHUSU HIS OWN KIDS! WHEN HE BECAME BRAIN WASH BY THE FEMALE WHO WASH HIS BRAIN! BEC. CANT MAKE THE LOVES TO BE EQUALS BETWEEN THE 2 TO 4 WIVES IT CAN BE FROM 1 SIDE ONLY! NO LOVES CAN SAME FROM 1 TO 4 NO! WAY!!
WHAT ABOUT HIM!? U TALK NOT TRUE! NOT TRUE! DONT TRY TO TALK SOME THING NOT TRUE! IF!? MAN IS CROOK HE WONT STAY PEACEFUL WITH HIS WIFE! ANY THEY ARE SOO MANY REASONS FOR MALES! N FEMALES! NOT TO BE HAPPY FOR THEIR MARRIED! FUTURES LIFE TIME ITS COME FOR SOO MANY REASONS N BAD ISSUES! IN BETWEEN MALES N FEMALES AT HOME!
Masha Allah yani mume wang ameoa juz nilivunjik Moy kwa mambo niliyomfanyia, ila baada ya kukusikilz ukhti nitaendelea kufany kwa ajili ya Allah, Alhamdulillah
Allah Akbar Alla akujaalie Pepo njemah na ndoa njemah ni maneno MAZURI mashallah najifunza mengi alhamdulillah
Baaraka llahu fiik yaa Ukhuti. Sichoki kukuskiliza wallahi.
Ma sha Allah Mola akuhifadhi duniani na akhera ❤
Ameen
MASHALLAH MASHALLAH MUNGU AKUDHIDISHIE KILA JEMA HAPA DUNIANI NA AKHERA NASI ATUJAALIE MWISHO MWEMA INSHALLAH
Mashallah Allah akuhifadh. Akupe Umri mrefu akuondoshee nahusuda akupe hitaji la roho kila lenye kheir nawe
As-salam Alaykum warahmatullah wabarakat vipenz vya Allah Tabarak Rahman 🤲❤️ nawapenda sanaaaaaaaaa kwa ajili ya Allah
ManshaAllah Allah akulipe kheri dads yetu unasema ukweri 💕💕🙏
Maa'Shaallaha napenda mafunzo yko lakini pia sauti yko dada angu
Courage ukht wangu
Mashaallah,naomba namba zako umenena maneno mazito Sawa dada,allah akulipe
Mashallah mama ango wani allah akuzidishie ilmu yaku na allah akujalie muicho mwema
Amin
Allah akufanyie wepesi inshallah katika kutoa daawa
Mashallah dada yetu mungu akuifadhi ila kuwa makini unaposoma aya za quran maana una makosa madogo madogo
Na kukubali Sana Dada yangu mashalah mola akulipe kheri....
Nàkupenda. Sana Fatma mdidi Kwa fundisho yako niyasikiliza
Mimi ni Mkenya na si-Mwislamu lakini mafundisho yake Dada huyu huninufaisha sana na kila wakati huwa ninayangojea kwa hamu.
Tunayangoja pamoja kwa kweli
Amani iwe juu yako irene.ni vzuri kujifunza mema bila kuzingatia dhehebu au imani yako.mi mwenyewe ni muislam huwa kuna mafundisho ya baadhi ya wachungaji nawasikiliza wanakuwaga na ujumbe mzuri sana.
Ningependa kukufahamisha uislam ni mfumo wa maisha haujaacha chochote katika maisha ya mwanadamu tangu upo tumboni mpaka unazeeka na kufariki.
Kwa bahati mbaya watu wengi hawaufundishi uislam na kutekeleza vile uislamu ulivyo.matokeo yake jamii zinapotoka kwa kufuata mifumo ambayo si sahihi.
Ukifuatilia hata manabii ndoa zao zilikuwa ni zenye misingi hii inayofundishwa.kinyume na hivyo ni maasia na uharibifu katika jamii.
Allah amdumishe na ampe umri mrefi katika kutoa daawa.
Masha Allah 😘🙏
.@@r.i.p7183 Masha A llah
MashaAllah. Lau tungekua tunafata mawaiza haya ndoa zitakua na kheri
Maa'shallah.... Dada yetu unawasaidia sana Wake zetu... ILA NILIKUWA NINAPENDA KAMA UTAWEKA KIPINDI KUHUSU NINI MAANA YA KUMPENDA ALLAH NA PIA MTUME WAKE KULIKO MUMEWE AU MKEWE. NI NINI TOFAUTI YA NENO MAPENZI KWA ALLAH NA PIA MTUME WAKE, NA YAKE YA KUPENDA MKEO , MMEO , WATOTO NA, WAZAZI. NINI MAANA YA HILI NENO PENZI NA VIRU GANI KIISLAM VINAVYOONYESHA MAPENZI KIISLAM.
HII KITU INACHANGANYA SANA WATU NA WENGINE WANAVUKA MIPAKA HATA YA TO NEGLECT THEIR SPOUSES KWA SABABU TU THEY ARE RIGHTEOUS...
Ukifatili Darsa zetu za nyuma utakutana na maelezo ya kutosha juu ya hili Akhii
Allah akuhifadhi na kila baya kwa kweli tuna pata mafundisho makubwa sana
Jazakillah kheyr
Mashallah dar fatm
Ma Sha Allah mawaidha mazuri sana
Mashahlaah mashahlaah shukrn sana
Mashaallah,hajati hapa kisesa mwanza tunaandaa hijabu day mwezi Wa sita inshaah,tunaomba mawasiliano ili uje kuwanasihi akina mama hapa
MashaAllah tabarakallah
MashaAllah ukhuti umesema ukweli
GOD! WROTE ZAWAJ N TALAKA!👌!
Mashaalla mungu atufanyie wepesi ammyn yarabbal alaamin
He Also wrote Janah and hell fire, but we are adviced to struggle so that we enter jannah even in Zawaj we are suppose to choose and hold it tightly and to intertain divorce
Maashala
Masha Allah jazzakallah kheir
Maashaa Allaahu
Mashallah 🥰
Mashaallah
Kweli raha jipe mwenyewe
Allah akujalie jannatul firdauss dadayangu
👍👍👍
Allah akulipee
Allah akulipe heri
Allah akulipe kila LA kheri dadangu Unatufunza mengi tusiyo yajua walah❤❤❤
Kweli linatupa raha
😍😍😍😍😍😍
Mwenye namba ya huyu dada naomba anipe🙏
Swadakta minkaulika

Mashallah
Mashaallah