'Watu hawaamini kwamba mimi ninaimba' Babu wa TikTok Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Seif Salim Kassim Kisauji, 57 almaarufu 'Babu wa TikTok' @babloom_kisauji amekuwa akijipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii hususani TikTok huku video zake zikiangaliwa na mamilioni ya watu.
    Regina Mziwanda @rmziwanda_official alifanya mazungumzo na 'Babu wa TikTok' na kuelezea masuala mbalimbali ya muziki wake na umaarufu mitandaoni.
    Pia unaweza kutazama mahojiano haya yote kwa urefu katika ukurasa wa TH-cam wa BBCSwahili
    #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #tanzania
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 28

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 หลายเดือนก่อน +1

    Baba nakupenda bure. Una kipaji cha kuchekesha na kuimba hta comedy unaiweza.

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee yupo vizuri sana Jpili pale Sawa Sawa Mikocheni ni 🔥🔥🔥

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t หลายเดือนก่อน +3

    Mzee uko vizuri

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน +2

    👊👍✌️.

  • @SophiaSimba-uq8ct
    @SophiaSimba-uq8ct หลายเดือนก่อน

    Masterpiece

  • @abdulki9k8kamil17
    @abdulki9k8kamil17 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa.bro

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 หลายเดือนก่อน

    Babu MashaAllah ❤️🙏🏾

  • @saidal-rawahi4564
    @saidal-rawahi4564 หลายเดือนก่อน +1

    12:56 11:42 Kwa kweli mimi naamini huyu mzee anajaribu kujiamini lakini wakati umempita Allah Amuongoze ktk Mema inshaAllah ,Siku mimi Alinigusa sana na kumuona si mtu wa busara,siku alipo zungumzia Palestine na watu wote hawana akili kuunga mkono wapalastina Allah ampe hidaya kabla ya Siku ya mwisho wa Ujana wake wa ndotoni.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi หลายเดือนก่อน

      Wakati haujapita, si unamuona alivyo na furaha! Kama kina Tina Turner na kina Mick Jagger🎉 👏!

  • @viatorykashabizi2538
    @viatorykashabizi2538 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa,Maisha ni malezi

  • @Marjeby
    @Marjeby หลายเดือนก่อน +1

    Huwa na wawaza sana watoto wa huyu mzee sijui huwa wanajisikiaje aisee

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +1

      Watakuwa wana furaha sana

    • @spendjulius-qz9mt
      @spendjulius-qz9mt หลายเดือนก่อน

      Baridi barafu

    • @besttrendingcovers1838
      @besttrendingcovers1838 หลายเดือนก่อน

      wanafurahi sana kuona mzee wao anafurahia maisha. umaskini mwingi maadili mengi

    • @vinny.morales
      @vinny.morales หลายเดือนก่อน

      Wana furaha sana na baba yao. Vp wewe una furaha na baba yako? Au ndio umelishwa sumu na mama yako umchukie mzee wako?

  • @user-xz9zg2yk6m
    @user-xz9zg2yk6m หลายเดือนก่อน

    Yani hapo ndo ule usemi unaosema mbele huchezi nyuma hutingishiki 😂😂 Maneno kuntu usimchokoze usiye mjua😂😂😂

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji miye hiyo lafudhi yako ya Kiswahili, mashallah

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 หลายเดือนก่อน

    Jamani mtangazaji haa!♥️

  • @rumesibarka5312
    @rumesibarka5312 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee rudi kwa mola wako wakati haukuruhusu sasa

    • @shamilaalhabsi909
      @shamilaalhabsi909 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe tupo majiran

    • @1961nungwi
      @1961nungwi หลายเดือนก่อน

      Mola hana neno huwa ana upendo sana. Mzee wa maana sana huyu! Choteni maarifa na busara kutoka kwake

    • @vinny.morales
      @vinny.morales หลายเดือนก่อน

      Unamjua mola wake au shobo tu?

  • @mjemamjema9695
    @mjemamjema9695 หลายเดือนก่อน

    KWA KWELI SIKUJUA HUYU NDIYE ALIYEKUWA NA BENDI ILIYOPIGA ASUU. NILIKUWA NI BENDI YA MISAMBANO. HONGERA MZEE MWENZANGU. ANA MAMBO YA BUSARA.

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 หลายเดือนก่อน

    Hana huzee si yupo siku nyingi sasa kazeekea hapo kwa ni kusema au ucheshi inautuzima na utoto na pia akiwa tik tok inanoga akiwepo mkitaka yupo si mutaka yupo

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 หลายเดือนก่อน

    SASA WE MZEE BAADA YA KUTUBU WAJI C FIYA EBU KAA UFIKIRI AIPENDEZI

    • @vinny.morales
      @vinny.morales หลายเดือนก่อน

      Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika.