Hapo sijanfahamu Dada aliposema bank haina tax Kisha akasema ukichukuwa nusu glasi utarejesha Ile ile nusu glasi na hii sidhani bcz bank yeyote ukikopa milioni moja kwa mfano wewe ukirejesha utarejesha milioni na zaidi Sasa sijui mimi sijafahamu makusudio yake au Aina ya mkopo wake.. Nani atanisaidia jamaa
Mashallah mashallah lecture yako ina mafundisho mazuri na yaret ningeyasikia miaka 10 ilopita Leo ningekuwa na mafanikio makubwa
Jazakallah khayran
Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri maadam
UKO SAWA SANA DADA. Mola Akulinde
Darsa swahih na adimu kuongelewa na akina mama,,maneno yako madam Leila na yakubali saana.
Shukra madam
Barakallahfik
Mashallah mashallah 🙏
Nimekuwa wakwanza🎉❤
Hapo sijanfahamu Dada aliposema bank haina tax Kisha akasema ukichukuwa nusu glasi utarejesha Ile ile nusu glasi na hii sidhani bcz bank yeyote ukikopa milioni moja kwa mfano wewe ukirejesha utarejesha milioni na zaidi Sasa sijui mimi sijafahamu makusudio yake au Aina ya mkopo wake.. Nani atanisaidia jamaa
Bank Za huku zinariba Mamaa.
Mkopo huu kwa wanawake tu au
Samahani nahitaji number yake madam leyla u student from wal ul asr plz really need u help
Wewe dada acha uhuni.hujui maana ya tax?
Pengi betli mali
Hakuna bank ambayo haina riba tusidanganyane
Nadhani hujamsikiliza vzr meongelea Kodi ya mkopo hajaongelea riba