MPINA ALIVYOFICHUA UOZO WA VIGOGO WALIOTUMBULIWA NA RAIS SAMIA, FEDHA WALIZOPIGA/ "WASHTAKIWE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 38

  • @josephkidima-nc3di
    @josephkidima-nc3di หลายเดือนก่อน +6

    Pamoja Sana Luhaga Mpina endelea kuwatetea watanzania ili kodi zetu zitumike Kwa maendeleo ya watanzania na mafisadi washitakiwe na kufilisiwa❤

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu หลายเดือนก่อน +6

    Wa kulaumiwa ni mama Samia mlea majizi na mlea mafisadi atupishe

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 หลายเดือนก่อน +3

    Safari hii wakusikilize kama kweli wabunge mnapenda nchi mna ulazima wa kumuunga mkono huyu Gen Z wetu Mungu akutunze

  • @jeftajohn2186
    @jeftajohn2186 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina nimekuelewa sana Mungu akulinde sana

  • @TUMSIFU-em5te
    @TUMSIFU-em5te หลายเดือนก่อน +4

    Mpina kuanzia Leo wewe ni rafika yangu, sikuizi nakuelewa sana

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina kanyagia hapo hapo kwenye mshono

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv หลายเดือนก่อน

      Nakufuatilia toka Durban KwaZulu-Natal umenifurahisha sanaa akanyagie kwenye mshono😂😂😂

  • @elishiliamathayo8796
    @elishiliamathayo8796 หลายเดือนก่อน +6

    Haya mambo Mpina anayoongelea yachukuliwe hatua
    Tanzania imekuwa shamba la bibi

    • @mchagagaspar6649
      @mchagagaspar6649 หลายเดือนก่อน

      LINI CCM MKAWAJIBISHANA ,KULENI NITTAASISI NYERERE ALIWEKA ,NIJINAI KUMUWAJIBISHA MWANA CCM ,BALI KIINIMACHO SAWA !!! ccm oyeeeeeee !

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tupe watu kama hawa

  • @sss3s867
    @sss3s867 หลายเดือนก่อน +3

    HII NCHI VIONGOZI WQKUU PIA NIWAPIGAJI.
    KWA SABABU WQNANYAMAZIA MAMBO MPAKA YAOZE.

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ni kweli inaumiza na hatari kwa watanzania. Lakini ni panya gani atakayejitokeza mhanga kumfungia paka kengele shingoni?

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 หลายเดือนก่อน +3

    Umhimu wa kuwa na upinzani kwenye bunge mseto haya yote hayange kuwepo vyama vya upinzani nao hawaeleweki

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter หลายเดือนก่อน +2

    Mpina kanyagia hapo 😊

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema sana

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน

    Angalia baba wasikupe sumu

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji wabunge like this mp.

  • @AdiaMwinyi
    @AdiaMwinyi หลายเดือนก่อน

    inabidi kuanda maandamano kwa watu wt wanaozichukua pesa za uma na kuisibabishia nchi kua masikin yani haw wanasiasa wanatuon sis wananchi km masanamu

  • @kilambojosephWalyoba
    @kilambojosephWalyoba หลายเดือนก่อน

    Aripe yeye Mwenyewe na Mke wake na Famrya yake nzima Uyo ni Mwizi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน +1

    MWIGULU NI JAMBAZI NA SASA ANAMILIKI TIMU YA SOCA!!

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana habahatishi

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน

    BADO INANIUMA SANA SPEAKER ALIPOKUFUKUZA BUNGENI. HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YA TANZANIA INAYOJIVUNIA NI NCHI YA AMANI. HAKUNA AMANI BILA YA HAKI

  • @LangiMwampamba
    @LangiMwampamba หลายเดือนก่อน

    Hawa wezi wangetuachia nchi mbona wengine tunatamani kusaidia watanzania Kwa moyo wote hawa watu wanakosesha haki ya watanzania kupata afya,elimu,maji na majengo ya uma wakati wanakopa Hela za ukopa hazitakiwi kuliwa kiasi hicho

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน

    Watanzania tumuunge mkono Mpina. Anatuwakilisha sisi wakati wabunge wengine kimya

  • @DarFlyingDoctorsEacop
    @DarFlyingDoctorsEacop หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mmerudia ile mmepost jana😢

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 หลายเดือนก่อน

    Namuona Musa na fimbo yake.

  • @karabhageganyanza
    @karabhageganyanza หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ndio magu aliziba mianya pesa ikapatikana ikafanya mambo makubwa lkn leo tunaambiwa mama anatafuta hela kwa wadhamini kumbe pesa anaiacha ndani wanatuibia tu, naomba watanzania wakuelewe na wtafute namna ya kuchukua hatua stahiki

  • @VeronicaPaul-cj1yu
    @VeronicaPaul-cj1yu หลายเดือนก่อน

    Atupaswi kudharau maneno mazito anayotoa, mheshimiwa Mpina... uenda yanaukweli?... Nchi inapigwa!!... Mhe. Raisi shimo ilo analifukua... lifukie madhara yake sio leo... nakuamini... Kiongozi wetu.

  • @YusufuMagembe
    @YusufuMagembe หลายเดือนก่อน

    Kwa hiki luhaga mpina anaongea umasikini unaletwa na viongozi tunao wachagua

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 หลายเดือนก่อน

    Hao waliotumbuliwa wamesomea wap kwanza

  • @ErnezaKivulenge
    @ErnezaKivulenge หลายเดือนก่อน

    Hiii ni hatarii

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน

    Tanzania imekuwa ni shamba la bibi. Wabunge kimya. Katuloga nani? Mwigulu mama hamugusi, kuna Siri gani kati yawo?

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 หลายเดือนก่อน

    Mpina Wewe ndio Gen Z pekee hapa Tanzania , wapenda nchi yetu tuko nyuma yako tunakuombea kwa Mungu usikilizwe na usiposikilizwa tuko na wewe unanikumbusha mbaaliiiiiiii 😢😢😢😢

  • @FransisLaurenti
    @FransisLaurenti หลายเดือนก่อน

    Wapetu jamangu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina Mungu kakutolea jibu malipo ni hapahapa duniani Ccm oyeeeee kazi inaendelea

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 หลายเดือนก่อน

      Kweli huyu mnafukuza bungeni? Hivi watu kama Hawa Kwanini hamuwapende? Wasaidieni kufanya vizur si tunawalipa mishahara nyie kuweni waadilifu jamani mtapata tabu nyie nafamilia zenu mnakula hamsikii vibaya pesa za walipakodi mpeleka makumbani mwenu nyinyi wake wa waizi wakatazeni waumezenu au wakezenu mtadhurika nyie shauri zenu