TRAORE ATAIFANYA UFARANSA KUWA MASKINI WANAMUWINDA WAMUUE PUTIN NAYE ANANG'ATIWA VIDOLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 267

  • @saideassanencacha2294
    @saideassanencacha2294 6 หลายเดือนก่อน +44

    Mimi ni mnzalendo wa Mozambique nduguzangu naehilimisha sana. Allaah awabariki. Sisi kama wafrika tumepigwa Vita mano hadi mpaka Léo sisi ni watumwa WA wazungu

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 6 หลายเดือนก่อน +39

    Isaya mungu Akubariki Aupendelei dini kabila wala nchi upo katika Uzarendo wa KiAfrica Ubarikiwe kwa hilo 🇹🇿 🇬🇷

    • @ibradedapro5758
      @ibradedapro5758 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amini kwamba , nataman viongozi wa Africa wafatilie kipindi chake

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mwl wangu Isaya Benson Mwakilembe nakuelewa sana

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 6 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee umetisha sana,Mimi wananicheka eti nimeita mtoto wangu jina la kiluga,wanataka nimwite la kizungu ila nimekataa aisee,Niko na wew mkuuuuuuj🎉🎉🎉🎉🎉

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 6 หลายเดือนก่อน +8

    Binafsi nahofia ushirika wa Marekani na Kenya, kenya wasije wakatuvuruga huu ukanda wetu I see.

    • @cathrinegikundi7147
      @cathrinegikundi7147 3 หลายเดือนก่อน

      Sisi wakenya hatutaki marekani kabisa lakini Rais wetu ndie anawakatalia sisi tutamwondoa.Hatataki marekana na Europe.

  • @shabanichillo6879
    @shabanichillo6879 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tofauti ya mtu na mtu ni AKILI. Asante bro. Naondoka nayo hii...!

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mwalimu, Ubuntu pia kwa Warundi, Waha, Wanyarwanda ina maana ya UTU

    • @KapistoloBwetete
      @KapistoloBwetete 5 หลายเดือนก่อน

      YEAH LUGHA YA KIBANTU NI LUGHA YAWABANTU HASWA HASWA EASTFRICA... KWA HIYO ZINAINGILIANA.. MFANO KIRUNDI. KiNYARWANDA.KIGANDA.KIFULERO.KIHA. ZIKO NYINGI...

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 6 หลายเดือนก่อน +26

    Moja ya mjadala konki sana kila mtanzania inabidi imfikie hii, hakikisha haupiti hapa bila kushare hii video mkono kwa mkono. Tanzania tuna vichwa venye madini mno.
    Vichwa hivi ni hazina ya Taifa letu.

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni mkongo napenda sana lugha yetu ya Kiswahili maana inatuunganisha sisi wa Afrika .

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 2 หลายเดือนก่อน

      Peace Energy People
      Najivunia kukutana na kuwaona waafrika wenzangu mko salama mahali popote duniani

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 6 หลายเดือนก่อน +10

    Natamani sana wa afrika hasa vijana tuamke ndo tutaikomboa afrika yetu iliyojaaa neema ya kila kitu manaelimisha sana

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 2 หลายเดือนก่อน

      Hatutaweza mpaka tukatae na dini zao na turudi kwenye asili yetu ya muafrika ila kama tutaendelea kuumia siku zote

  • @stewarthoseah6084
    @stewarthoseah6084 หลายเดือนก่อน

    Exactly mwana hebu WADADAVULIE viongozi wa Africa hawajui Dunia inaendaje

  • @JamesHonore88
    @JamesHonore88 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwl Isaya nakupata saana ...Mungu akubariki MNOOOO!!!!!!

  • @KanalMwakalinga
    @KanalMwakalinga 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nimefurahi na simulizi hizi Africa bado tuna ujinga naomba tuwe Burkina faso nk

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kambi za Marekani zichomwe moto. Na Maraisi waliokaribisha Wamarekani Wapinduliwe.wakwanza Tinubu.

    • @jamesmarumbo6820
      @jamesmarumbo6820 6 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni ndoto ya mchana😂😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamesmarumbo6820choko ww

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamesmarumbo6820 kwanini UNASEMA ni Ndoto za mchana!!
      Nyie ndiyo mnaokata tamaa hata ya kujenga vibanda

    • @walterngowi5835
      @walterngowi5835 2 หลายเดือนก่อน

      Vp na Kenya 😎😎

  • @LeocardiaDaniel-sj3wl
    @LeocardiaDaniel-sj3wl 6 หลายเดือนก่อน

    Ninashukuru Sana mwl. Kwa kuturejesha nyuma na kutukumbusha historia ya Africa ukweli tumeaminishwa na sijui kama tutatoka, labda kwa maombi tu. Mungu atusaidie.

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa wukweli vijana mana social media zinajali sana afya ya selikali from Malawi following you guys

  • @richardmhina9537
    @richardmhina9537 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka una madini sana. Ubarikiwe. Unanifurahisha sana kwa kweli unazosema

  • @salimkocha7396
    @salimkocha7396 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwalimu katika mijadala uliyo iongea huu bigup mungu akupe hekima hiyo

  • @leonardmakena3317
    @leonardmakena3317 2 หลายเดือนก่อน

    Nice to hear and listen for you. Leteni unono wa kiutu

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwl mwakilembe sasa nakuelewe unachokifanya, naomba endelea kutuvisha miwani waafrika tufunguke macho zaidi. Mungu akubariki Sana.

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wengi wa viongoz waafrika ndio wanachangia baadhi ya nchinyingi za Afrika kuamaskini kwasababu ya njaazao na hii ni laana kubwa sana

  • @salimkocha7396
    @salimkocha7396 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu katika mijadala uliyo iongea huu bigup mungu akupe hekima hiyo ❤❤❤❤

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 หลายเดือนก่อน +7

    Tutawalaumu hasa watawala wetu wa ccm kwasababu wanajua kuwa ni mifumo ya kikoloni lakini wameihodhi hawataki kuiacha! Leo hii kinachowafanya walete danadana za kupiga chenga upatikanaji wa katiba mpya ni tamaa binafsi tofauti na ubuntu!

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umemwelewa. Anatetea ccm

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 6 หลายเดือนก่อน +8

    Usisahahu na new caledonia 🇳🇨 paaific kuna vurugu hawataki ufaransa kule

  • @hakizimanaelie8916
    @hakizimanaelie8916 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mwalimu.Tungeomba vijana kadhaa wafunzwe Kiswahili Mwalimu itakuwa rahisi kuunganisha Bara letu teule mana Afrika usipokuwa unajuwa kifaranga au kiingereza huonekani kwamba wewe ni mwafrika sahihi . Tunawasihi mutetee Lugha ya Kiswahili hapo kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika Ethiopia Addis Abab iweze kutanganzwa rasmi kuwa Lugha ya Barani Afrika . Mungu tunakuomba Ubariki Afrika tuweze kujitegemea amani na upendo vitawale

  • @sultanmohammed8634
    @sultanmohammed8634 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yes absolutely yes very good well said 100%true

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mwalimu nakupata kutoka Cabo Delgado Moçambique, uwe unamshilikisha huyu jamaa. Lakini sio Mpoki Buya maana Mpoki ni kelele nyingi mpaka unashindwa kumuelewa.

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tusisahau tusisahau 😢Mzungu ni mtu mbaya sanaaaaaa.Africa ni rich kuzidi Europe

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi husemaga kila siku Mpoki sio mchambuzi nimpiga kelele hii Leo mmechambua vizuri sana kama angelikuepo Mpoki ingelikua ni zogo tupu

  • @TwalibFoum
    @TwalibFoum 6 หลายเดือนก่อน +4

    Broo uko sawa sana mimi nipo korea hata leo hapa nimebishana na mkorea kuhusu kuiona Afrika haina lolote

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli sijuwi kwa nini Dunia nzima wanaiyona Africa haina lolote special East Africa.

    • @suleimankassim7523
      @suleimankassim7523 5 หลายเดือนก่อน +1

      Which language you speak with Korean

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@suleimankassim7523 kwani wewe unafikiri wanatakiwa kuongea lugha gani ili waelewane

  • @swahiliwithvictor6979
    @swahiliwithvictor6979 5 หลายเดือนก่อน

    Mmechambua vizuri sana. Kwa sasa wazungu wanapambana sana kujifunza lugha za Kiafrika, ili wahamie Afrika

  • @KhadmLaulyaa
    @KhadmLaulyaa 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka mungu akupe afya njema,hakika tunajifunza mengi

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 6 หลายเดือนก่อน +3

    Africa nzima tumtetee Ibrahim traore

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kama wengi kutwa kuzuzura wanaacha rasmali zao afrika wanakwenda kuombaomba watu weupe hawana msaada wa bure

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 4 หลายเดือนก่อน

    Poutin mie nampenda sana basi Allah amulinde

  • @JanjaCultureOnline
    @JanjaCultureOnline 5 หลายเดือนก่อน

    Mwakilembe safi sana kh, obuntu

  • @FatnaMfinanga
    @FatnaMfinanga 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naipendasana nchiyangu Tanzania naipendasana afrika kwaujumla wazzungu ikiwemo nataifa uaulaya wamarekani wafaransa likiwa kama taifa ambalo nidaraja lakupitisha Mali zawaafrika kwenda ktk mataifa yaulaya nchi zaafrika Sasa ziamke viongozi waamke waache udumavu wauchumi waungane kuisimamisha afrika upya wanachi tunatambuwa viongozi wazalendo wanaotaka kuikombowa afrika kifikra tunawajuwa wazalendo hao nawengine wameumwawa kwasababu kwasababu yafrika tunazo shinikizwa au mpandikizo kwawazungu mm namshangaa sana raise wakongo shishekedi nirais ambaye Hana fikra zaukomboz ktk taifalake ameamuwa kuichakaza Kongo kuuza utu wawatuwake gadafi raise walibya alitaka kuwaunganisha waafrika kuwakitu kimoja wenyetamaa nafrikra zaudumavu kwahisani zawazungu wakamtowakafara inaumiza sana Leo tumempata kijana huyu ibrahm twaore raise wabuknafaso anahitaji viongozi waafrika waamke wajijitegemee wasiweomvaomba tukiwa namshirika wetu iris yuponyuma yeti onasa raisi wake ya anachokifanya nihoples tumeona juzi akigonga chazy na baden ulayahuko wamemuashia mishumaa kama ishara yakuliangamiza taifa lake kwaushindi viongozi was afrika amkeni kumekucha

  • @EmmanuelNyakebe
    @EmmanuelNyakebe 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wakati wa Africa kuamka. Tuna kila kitu tunaweza kujitegemea wenyewe. Viongozi wa kiafrica amkeni komboeni bara hili la Africa

  • @JoseVictor-u4s
    @JoseVictor-u4s 2 หลายเดือนก่อน

    Haswaa., maombi zaidi yanahitajika kwa MUNGU ili turejeshewe akili

  • @AbdulrahmanMwambasi-gh7bv
    @AbdulrahmanMwambasi-gh7bv 5 หลายเดือนก่อน

    Ghana, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Sierra Leone si makoloni ya ufaransa.

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuhifadhi uyo mtoto traore

  • @mohameddarus3027
    @mohameddarus3027 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah nikwer kabisa nakumbuka kunakiongozi mmoja arikuja tanzania dar es salaam akasema pananuka

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 6 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaa siachi kumfatilia namkubali sana

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe!!! Ghana. Angola, Giunea Bissau? Hao si Ufaransa! Ni Uingereza, Ureno, Ureno. Mnapuliza!

  • @NaimaNamanjoya
    @NaimaNamanjoya 6 หลายเดือนก่อน +9

    Team Ubuntu🎉🎉

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 5 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza mengi sana kwenu, heshima kubwa kwa kutufungua akili, endelea kutukomboa kutoka kwenye utumwa wa akili kakaa

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ya kiongozi ni kubadilisha mfumo pia. Sio kuogopaogopa

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde isaya wa kilembe

  • @alibinali_
    @alibinali_ 5 หลายเดือนก่อน

    That is a big move wa Africa wengine wafuate

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 6 หลายเดือนก่อน +1

    Africa haiwezi kufunguka Kwa Hawa viongozi wa kiafrika tuliokuwa kuwa nao wapuuzi watupu

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 5 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani sana kila mwafrika akusikie, bado wapo Viongozi vibaraka…. Mikopo, utasikia bila aibu kiongozi Rais mzima eti anasema mkopo tuliopata ni mkopo nafuu ever 🤮🤮🤮🤮

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 6 หลายเดือนก่อน

    I see Magu was visionary, nakumbuka alisema tufundishwe historia yetu vizuri

  • @LearnOutofSchool
    @LearnOutofSchool 3 หลายเดือนก่อน

    Siku moja Benson uwe raisi wa Tanzania na Africa au uwe Mshauri mkuu wa raisi.

  • @gregorysigalla
    @gregorysigalla หลายเดือนก่อน

    Gambia na Ghana zilitawaliwa na Mwingereza

  • @papaamularfins599
    @papaamularfins599 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana Mwalimu!🌹🌹🌹

  • @FarajaKihembwe
    @FarajaKihembwe 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwandishi wa Habari anayehoji ni kituko kingine maana hakumbuki,haelewi,hajui lolote kila kitu ni mwalimu😂😂

  • @Caroline-s5y
    @Caroline-s5y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ndugu zangu MUNGU atuwezeshe kuyashinda hawa mabeberu....

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo yamefanywa mapinduzi na wazungu, historia inaniingia wazungu ndiyo walio anza kukimbilia afrika kutafuta maisha. Kwahiyo turejee kwenye asili yetu.

    • @davismuzahula907
      @davismuzahula907 6 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo kazi rais tumeamua kukengeuka sisi wenyewe

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu atamkinda Kiongozi wetu. Amen.

  • @badulebanda1305
    @badulebanda1305 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nakupata vizur tupe elimu

  • @piusmusigula3512
    @piusmusigula3512 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jpm alianza kutuonesha njia. Bahatj mbaya alituacha bila kutimiza ndoto zake.

  • @vicentmashare6003
    @vicentmashare6003 6 หลายเดือนก่อน +2

    Je wawekezaji sio walewale wanyonyaji mbona wasitumie hapahapa.

  • @dickbaragasi2084
    @dickbaragasi2084 6 หลายเดือนก่อน

    msisahau pia Morroco na Algeria nazo zilitzwaliwa na Ufaransa

  • @AnacletNshimirimana-e5o
    @AnacletNshimirimana-e5o 6 หลายเดือนก่อน

    Tunakushukuru kwa taalifa yenye somo na akiri.Fundisheni mwarimu.

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ibrahim traole ni komando na siyo kijana wa kumbeza wafaransa wajiandae

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo letu waafrika tutanunuliwa na hawa washenzi kumto roho ndugu yetu tumwombe sana Kwa MUNGU

  • @kelvinvitalis2965
    @kelvinvitalis2965 5 หลายเดือนก่อน

    Afrca as africa should develop them selves 😢

  • @bechubechuissa8965
    @bechubechuissa8965 5 หลายเดือนก่อน

    Ukiwasema wazngu unahulu wa kuishi ila ukiwasema viongozi wa kiafrika unakufa leo.tatizo la afrika ni sisi wenyewe.sisi Tanzania tulianza kuwa na uchumi wa ujamaa.zilikuwa ni Sela za kilusi China Korea kwa kim.tumekaa kwa huwa uchumi miaka 25.tumeteseka sana uchumi wa mtanzania ulikuwa chini sana.afrika tatizo ni ufisadi elimu ya ulaiya na viongozi awataki kuwa wakweli.

  • @swahiliwithvictor6979
    @swahiliwithvictor6979 5 หลายเดือนก่อน

    Hii ni kweli, sasa hivi ufaransa hali ni mbaya, wafaransa wenyewe wanalalamika, wanasema hali ya uchumi waoninazidi kuzorota

  • @MussaHamissi-l8f
    @MussaHamissi-l8f 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa mc Runyengwa. Traore anadai uhuru upya waafrika tumuombe maana manyang'au hawatamuacha salama.

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rest in peace Khaddafi.ulipenda tutajirike ila mabeberu walikuuwa

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu samahani cjaelewa hapo uliposema tunaenda ulaya na marekani kutafuta maisha mi nasema tunaenda kutafuta hela,ila upo vzr sana mpaka natamani kujua unasoma vitabu gani maana upo vzr sana.

  • @KanutiJoseph
    @KanutiJoseph 6 หลายเดือนก่อน +3

    Africa inajifunza nini kama Ufaransa wanataka kumuuaTRAURE?

  • @cansuremwiga7282
    @cansuremwiga7282 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri, mm naamini uwislamu sio dini nimila ya waarabu.
    Ucristu sio dini Bali Ni mila ya wazungu
    Apo ndipo kunautawala wa sunia

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kwa nini Tanzania Maskini ???? Na neema zote alokupeni Mungu hamna starehe nazo??? 😂😂😂 kwa ajili mnaabudu siasa kuliko kutafuta maendeleo ya Nchi na Wananchi Maskini.

  • @KhaimuMkumbaru-zs7zr
    @KhaimuMkumbaru-zs7zr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wakoloni watudhiti waafrika kuna mamba matatu 1.hubinafsi, 2..hukabila 3..udini haha ndiyo yanayo tafuna afrika hotel..

  • @RaphaelJickson
    @RaphaelJickson 6 หลายเดือนก่อน +1

    I love Africa

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kipindi hiki ni kizuri hakika ungeanza muda kuelimisha yaani inapendeza tunahutaji japo kwa wiki iwe mara mbili pls

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 5 หลายเดือนก่อน

    nimepata tfasri ya neno Ubuntu wanusuru wana ndugu ubarikiwe sana

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 6 หลายเดือนก่อน

    Mwlm Isaya uko vizuri sana. Natamani kuonana na wewe siku moja

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Mungu azidi kukutumia

  • @andrewmoi2186
    @andrewmoi2186 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kabisha bro unaona mbali na mwenyezi mungu amekuyalia kufika apo viongozi wa African wangepeda kukuelewa tunafika mbali walaih tumetekwa akili na wasungu

    • @KhaimuMkumbaru-zs7zr
      @KhaimuMkumbaru-zs7zr 6 หลายเดือนก่อน

      Umoja wa kiafrika inatakiwa urudishwe kwa nguvu zote haraka

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli afrika tushikamane tuombeane tu duwa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 หลายเดือนก่อน

    Ghana hawamo English colony ila nchi zimewazunguuka wanaongea kifaransa

  • @JumaRamadhani-uv1il
    @JumaRamadhani-uv1il 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu

  • @masatufaustine936
    @masatufaustine936 5 หลายเดือนก่อน

    Ghana haiko kwenye Francophone countries bana.

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyuu mwalimu na mkunmbali sana hadi nimejipata nime subscrube

  • @sheikhmwameja
    @sheikhmwameja 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mnazingua sehem ya kupata maarifa mazur mnakata. Sasa ndyo nn?

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 2 หลายเดือนก่อน

    Nadhani Afrika uongozi ni changamotto

  • @RobasastaMumbere
    @RobasastaMumbere 6 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri natamani ungejua ukweli

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 5 หลายเดือนก่อน

    So interesting,

  • @malobamongelwa
    @malobamongelwa 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana majina ya ukoo ni muhimu

  • @kilalikanestory3635
    @kilalikanestory3635 5 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mwalimu

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 6 หลายเดือนก่อน

    Nice nice kk nakupenda sana unalolisema nikweli

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi uwa najiuliza ata kama ni utumwa bado afrika bongo zetu ni shida ata kugundua hizo rasilimali uwezo hatuna kwanininiiiiii!!!!!

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff 5 หลายเดือนก่อน

    Akili kubwa sanaaa ❤

  • @AshaYusuf-hp5zt
    @AshaYusuf-hp5zt 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi powa umenifunza mengi sana

  • @SubiraBaraza
    @SubiraBaraza 5 หลายเดือนก่อน

    Mdogo.wake.magufuli.huyo.big.up

  • @ElesiaMsambwa
    @ElesiaMsambwa 6 หลายเดือนก่อน

    Isaya, hakika ubarikiwe Kwa kuiinua Afrikan , Tujitanbue ,tuko Sawa. Tunagawanywa , tujihadhari.

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa namkubali Sana. Katika middle east tumepandikiziwa taifa jipya la Israel kuvuruga na kuifanya middle east isiwe na utulivu

  • @IkraamMohamed-gf9xj
    @IkraamMohamed-gf9xj 4 หลายเดือนก่อน

    Kwn hawa viongozi wetu walijui hili