Mama Tulia hongera kwa hekima ,Shigongo mimi chama changu ni YESU lakini huyu BABA YETU Tuachie huwezi shindana na MKONO WA MUNGU 🙌mpakwa mafuta na BWANA
Kama baba yako angepigwa risasi au kukatwa masikio ungetetea huo upuuzi??? Tuliopo eneo husika na ardhi ya wazee wetu imechukuliwa tunaumia acha ujinga kuleta udini kwenye uuaji
Mwanangu ishikilie sana helimu ata watumishi wanatenda dhambi usiogope kusema ukweli kisa ni mtumishi wa mungu kama je amesha kengeuka kiongozi wetu ni yesu tu Hawa wanaojita manabii huwa ni waongo sana
@@SamwelDastan-q6xkanisa bila kuwa na nguzo kuu tano Bado Sy kanisa jidanganye nazo ni mwalimu mwinjilist mchungaji mtume na Nabii. Sasa jidanganye tuu kuwa hakuna manabii utakuwa umechelewa sana
Swala sio msaada wa Kirkhope,hapa kinachoongelewa ni dhuluma hilo ulielewe ndugu. Wale watu wana haki ya kuwa na ardhi tena ni nyumbani kwao. Jaribu kuvaa viatu vyao na Mungu atakubariki.
Hapo serikali inahusika moja kwa moja Mwingira amenunua ardhi, tatizo linalotokea wananchi wanakuja kugundua miaka imesogea hawana ardhi wanahitaji ardhi, sasa hapo serikali inajitoa inaita uvamizi eti I nataka itatue tatizo!
Efatha ni kitu kikubwa Sana na kinaweza kuchafuliwa na wachawi ,shigongo ajitahidi kuingia in deep kwa kumwamini MUNGU,ni sawa na serikali askari akikosea haimaanishi raisi moja kwa moja
Kwa Wamasai Mmekaa kimya. Enyi watu wa Mungu, Pigeni kelele kama tarumbeta, Pazeni sauti zenu mpaka wasio haki waache njia zao mbaya. Tanzania kuna watu wenye roho mbaya kabisa. Tuwakabirini Tuwakemee waache tabia zao mbaya.
Shigongo nilikuwa nakuheshimu sana ila maneno yako Haya hayajanibaliki pale ambapo umemtaja mtumishi wa Mungu Josephat E.Mwingira umefanya loss kubwa sana
Muda umeshafika kaka mwenye sikio na asikie. Mungu sasa anajidhihilisha. Sio huyo peke yake, na wengine pia wachunguzwe. Sheria ya usajili wa maaskofu itungwe ili awe Mtume/Askofu lazima awe na ...... Theologia n.k
Watanzania ni waajabu sana, Yani ayo mashamba utakuta yalikuweko ata kabla ya huuru naayajalimwa Leo katokea mtu ndio mnagundua yalikuweko, bhd apo mwingira nianalima kwaajili ya biashara huwekezaji makubwa kuliko huo wakwenu wa jembe afu mnampiga vita, tusitumie siasa za kimaskini km siasa za kurudi madarakani
Naona Mwisho Wa Shigongo... Naona Mwisho Wa Waliobebwa Na Mbeleko ... I Love CCM I LOVE SAMIA BUT HAVEN'T LOVE UPUMBAVU UNAONDELEA NDANI YA BUNDE TENA KWA BAADHI YA WABUNGE
Mungu anaandaa meza mbele ya watesi wako.....sasa sisi Efatha tumeshaona watesi wetu...ninafurahi maana muda wa chakula umefika....na sasa meza yetu wana Efatha imeshakuwa tayari...sasa tunaenda kumiliki zaidi ya hapo.....NA HUU NI MTEGO MUNGU AMEWAWEKA NINYI WABUNGE ILI MUONGEE KWA UPUMBAVU WENU ALAF ATAJITWALIA UTUKIFU WAKE NA HAPO NDIPO EFATHA ITAONGEZEKA MARA SABA ZAIDI KWA SABABU YA MATENDO MAKUU YA MUNGU ATAKAYOTUFADHILI HUKU AKIWAPIGA WOTE KWA MAPIGO.......NAKILI SANA HUU UJUMBE....WOTE WALIOMSEMA VIBAYA BABA YANGU MWINGIRA NA KANISA LANGU EFATHA HAWATAISHI MUDA MREFU....WATAKUFA WOTE KAMA PANYA📌🔨
@@fanuellingson unajua wee ni kajinga inaonekana,,,,,soma Bibilia uelewe ndo uongee,,,,ulisoma kutoka,,,ni nani aliemuumba Farao(mtawala wa misri kipi hiko) ,,,,nani aliwapeleka Wana wa Israel utumwani? Nani akasema Tena baadae kuwa ni,esikia KILIO Cha watu wangu misri?? Nani akamtuma Musa akawatoe Wana wa Israel utumwani? Nani akafanya moyo wa farao uwe mgumu hata asitoe ruhusa? Ni nani akampiga huyohuyo farao aliemfanya moyo wake mgumu Kwa mapigo 10?? Ni nani baadae alawaruhusu Wana wa Israel watoke utumwani? Nani Tena akafanya Moyo wa farao uwe mgumu ili awafuate Wana wa Israel Tena?? MWISHO NIKUULIZE SWALI,,,NI NANI ALIYEWAANGAMIZA FARAO NA JESHI LAKE KWENYE MAJI????.....ukiweza kujibu Maswali yote haya utaelewa......Wacha Hawa leo wawe kama farao....ndio ni sawa kuwa migumu mioyo Yao juu ya Mali za Bwana....lakini hio yote ni Kwa utukufu wa bwana pale atakapowajibu ndipo kila mtu atajua Kuna Mungu wa kweli.....Kwani hujasoma kwenye Bibilia imesema Kisasi ni juu ya Bwana?? SOMA BIBILIA YAKO VIZUR MPENDWA
Mnamsakama mwingira na kusema Sana ,watanzania tuache unafiki mwingira yupo na mkataba wa umiliki wa shamba lile mbona hamuwatetei wamasai wanaondolewa Ngongoro. ? Hata hivyo mbona wapo viongozi walioingia mkataba huo? Kwa nn wasiwadhibu ? Kumlaumu mwingira Sio sawa.
Sisi efhata hatuna askofu anayeitwa mwingira Ila tuna mtumishi wa mungu anayeitwa Mtume na nabii Josephat Eliac Mwingira mbeba maono ya kanisan la efhata duniani
Wala tulia hakupima mao gezi kabisaa.. kwahiyo mwingila hawezi tumia busara ya kua Boss. Mwingila mafia ka Mafia wengine uwajuao. We huoni anavyopagawa kuona gwajima anapunyua Hela hapa mjini
Siwaliuza acha uchochezi km walijua wanataka kulima wasingeuza,na isitoshe sasa hamuwezi kumlpa mwekezaji,Spika yuko vizur sana hata wakipewa wanauza hakuna wakulima pale wanatamaa na fedha tu,
Efatha Efatha kitu gani,watu mnamtishia shigongo hapa.Efatha ni mkubwa kuliko Mungu kwenu watumwa wake Efatha?aibu yenu.watu wanabakwa,wanakatwa masikio,hawana pa kulima unasema ni mtumishi wa Mungu?upendo uko wapi hapo?mtakufa katika ujinga wenu,aaa siyo ujinga ni upumbavu
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Ndio maana tuna wimbo unaitwa "Hatulegei" Nasemajeeee....TUTAMILIKI NA ZAIDI YA KUMILIKI.....TUTAMILIKI MPAKA HILO BUNGE LAO NA TUNAHAKIKISHA HAO WAPUUZI WOTE HAWARUDI BUNGENI
Ndo Mungu wako sio kwamba akiguswa tu unalia lia apa kana kwamba yy ndo Mungu ,yy ni mtu tu kama ww hana mikono 3 japo mimi meokoka ila ntsimama na haki
@@PeterMuhina Mwingira ni mwana wa Mungu ... Waache wapige kelele ndo kwanza wanapalilia . Shigongo tafuta namna nyingine ya kuombea kura. Ukishindana na Efatha yatakutokea puani brother
Kwenye madini huko mmetaifisha kwa wawekezaji wazungu waarabu wanapiga watu na kuwaua na kuwatia vilema lkn mmenyamaza,wabunge wa upinzani walishaongea sana huko bungeni lkn mlinyamaza kimya,shigongo wacha wivu
Mambo kama haya yanapo jitokeza nibora ufanye uchunguzi kwanza kabla ya kusema public, Mungu sikuzote huwa hadhihakiwi, sina imani kama uongozi wa efatha ndo umefanya haya, Viongozi wetu wamekosa hekima ya kiungu na kama ni uongo tunampa mda huyu
Huyu speaker hekima yake iko vizuri sana na anaona mbali! Mungu akulinde speaker Tulia!
Nice
Kapime Akili,
Mama Tulia hongera kwa hekima ,Shigongo mimi chama changu ni YESU lakini huyu BABA YETU Tuachie huwezi shindana na MKONO WA MUNGU 🙌mpakwa mafuta na BWANA
Muheshimiwa speaker upo smart saana...
Na Mh. Shigongo you are well brother ...
All the best
Usmart gani hataki kujua watu wanaopotea kwa kutekwa badala yake anatoa majibu mepesi mepesi.acheni kusifia sifia hovyo
@@richardmagasa4900 bro unafahamu kazi ya Bunge?
Hongera sana Shigongo kusimama na watanzania.
Shigongo mtumishi wa Bwana,Bwana akulinde hakika
Mh.: Speaker Tulia Akson amejaa Hekima anafaa sana katika uongozi
Asante sana mbunge wa jimbo langu kusema ukweli huwa unahuruma sana kwa wananchi hongera sana kwa moyo huo
9:33 ❤WAARABU WA OMAN MMEWWPA ARIDHI NGORONGORO WAMASAI WANALIA MMEKAAA KIMYAA KABISA KIMYAAA ILA MMETUMWA KUPIGANA NA KANISA
Kama baba yako angepigwa risasi au kukatwa masikio ungetetea huo upuuzi??? Tuliopo eneo husika na ardhi ya wazee wetu imechukuliwa tunaumia acha ujinga kuleta udini kwenye uuaji
Ni Askofu Kabisa, tena ni Mtumwa, Mtume na Nabii wa BWANA Yesu Kristo..!
Shigongo jiangalie Mwenyewe..!
Sio tu askofu akae akijua ni mtume wetu na nabii wa bwana, tuko nyuma yake mbele kwa mbele mpaka mbinguni
Mwanangu ishikilie sana helimu ata watumishi wanatenda dhambi usiogope kusema ukweli kisa ni mtumishi wa mungu kama je amesha kengeuka kiongozi wetu ni yesu tu Hawa wanaojita manabii huwa ni waongo sana
😢na sy askofu tuu bali ni Mtume na Nabii Mwingira
@@SamwelDastan-q6xkanisa bila kuwa na nguzo kuu tano Bado Sy kanisa jidanganye nazo ni mwalimu mwinjilist mchungaji mtume na Nabii. Sasa jidanganye tuu kuwa hakuna manabii utakuwa umechelewa sana
Mwingra namkubali kwel
Good fact from my beloved speaker 🎉🎉
Spiritual battle,God is always winner
Shigogo huwezi kushindana na efatha,kama umetumwa huwezi kushindana na nguvu ya Mungu
Asiseme ukweli?
Waafrika tumekuwa wapumbavu wafikra sana katika hizi imani zetu hata kama zinatukandamiza zinatufanya kuwa mabubu. Tunasafari ndefu sana.
Msichana na maaskofu sasa 😢
Kweli nimeamini ukiona umeokoka na hauna vita yoyote jitathimini vizuri 😢
Umechemka sana mzee Shigongo. Acha tuone. Nakuhakikishia tujipe muda
Una busara sana mh spika ❤
Ahsante mh spika, kwa ufafanuzi ulioutoa.
Sitampenda tena shigongo mwache baba yetu
Mwingira ni kiongozi bora wa dini na shujaa wa imani ya mungu kasaidia watanzania wengi kiroho hadi nchi za njee kwa kanisa la efatha.
Swala sio msaada wa Kirkhope,hapa kinachoongelewa ni dhuluma hilo ulielewe ndugu. Wale watu wana haki ya kuwa na ardhi tena ni nyumbani kwao. Jaribu kuvaa viatu vyao na Mungu atakubariki.
Hapo serikali inahusika moja kwa moja Mwingira amenunua ardhi, tatizo linalotokea wananchi wanakuja kugundua miaka imesogea hawana ardhi wanahitaji ardhi, sasa hapo serikali inajitoa inaita uvamizi eti I nataka itatue tatizo!
Mpumbavu mwezako
Hujui tu wew jamaa ni mporaji wa Ardh aisee yaani hujui tu.
Hahahaha upuuzi
Brother Shigongo
Moto wa Mwingira huuwezi
Kwahiyo kabla hujasema ujipange na utashushwa kabra hujaamka kitandani.
Kwan yeye ninan bana c ni binadamu tu
Acha usenge mwingira akikosea asisemwe
Wewe ni muabudu watu na unadhan kila mtu ana busu mikundu kama ww, yaan kama amekosea unadhan kwakua yy ni mtumishi ana haki ya kila kitu...??
Wew ni mpumbavu kama huyo mwingila shenz kabisa
Wewe ndiyo MSHEZI.MPUMBAVU NA MJINGA WA KUTOKUJIELEWA.KABISA KAA UJIULIZE@@SylvesterMakenzie
Nabii J.E .Mwingira ni Mtumishi wa Mungu alie hai
Efatha ni kitu kikubwa Sana na kinaweza kuchafuliwa na wachawi ,shigongo ajitahidi kuingia in deep kwa kumwamini MUNGU,ni sawa na serikali askari akikosea haimaanishi raisi moja kwa moja
Efata inaongozwa na uchawi😢
@@agnessima5032ogopa Mungu wewe usihukumu utahukumiwa na usimnyoshee mpakwa mafuta wa bwana kidole hata kama amekosewa
Shigongo nakukubari sana kaka.
Tulia Mungu akubariki kwa hekima yako mam uzidi kuinuka ila hao wenzio sijui
Spika nakupongeza sana una hekima sana kwa hilo. Umeliweka vizuri zaidi. Hongera.
Hakika pastor, naomba namba yako nahitaji vitabu
Kwa Wamasai Mmekaa kimya. Enyi watu wa Mungu, Pigeni kelele kama tarumbeta, Pazeni sauti zenu mpaka wasio haki waache njia zao mbaya. Tanzania kuna watu wenye roho mbaya kabisa.
Tuwakabirini Tuwakemee waache tabia zao mbaya.
Aisee spiker uko vizur Sana mama naamini unafanya kazi kwa mkono wa mungu na umewekwa hapo na mungu una hekima ya kimungu
Shigongo nilikuwa nakuheshimu sana ila maneno yako Haya hayajanibaliki pale ambapo umemtaja mtumishi wa Mungu Josephat E.Mwingira umefanya loss kubwa sana
Hizi Comedy bwana😂😂😂
Hamumjui 😂mnamuita askofu Mungu awasamehe kwa kutokujua kwenu
Mwingira ni Mtumishi wa Mungu ninakubali kabisa
Lakini Maovu ya taasisi za kidini hua yanafumbiwa macho kabisa. Ninaezungumza hapa ni Mkristo kabisa
Muda umeshafika kaka mwenye sikio na asikie.
Mungu sasa anajidhihilisha.
Sio huyo peke yake, na wengine pia wachunguzwe.
Sheria ya usajili wa maaskofu itungwe ili awe Mtume/Askofu lazima awe na ......
Theologia n.k
Hamtuoi efatha, aridhi ni ya Mungu na Mungu anamiliki kilicho Cha kwake
WAARABU WA OMAN MMEWWPA ARIDHI NGORONGORO WAMASAI WANALIA MMEKAAA KIMYAA KABISA KIMYAAA ILA MMETUMWA KUPIGANA NA KANISA
Nikisikia mtu anasema ana hofu ya Mungu na anapenda haki ila ni mwanaccm huwa nazima tv yangu, radio au simu yangu😢😢😢
😅😅
Kaka me Kama n nyumban lazmaa watu walale njaaa skuiyoo
Yesu Kristo ana mawakala wake kila mahali...
Jama uyu katia watu umasikin Sana Akiwepo n mamangu mzazi😢....inaniumaga sana
risasi kichwani alfu uishi 😂😂😂 ebu nishushe kdgo
Mwambie Hana huruma ya Mungu awaonee wanyonge asitumi nafasi alionayo kuwaonea maskini Mungu hayupo hapo
Tatizo ni viongozi wa serkali kwani viongozi wa dini kama efatha wakitaka vitu fulani si wanapitia serkalini au
Kutoka nje ya nchi wanakuja hsemi mnamßéma mwingira acheni hizo
Watanzania ni waajabu sana, Yani ayo mashamba utakuta yalikuweko ata kabla ya huuru naayajalimwa Leo katokea mtu ndio mnagundua yalikuweko, bhd apo mwingira nianalima kwaajili ya biashara huwekezaji makubwa kuliko huo wakwenu wa jembe afu mnampiga vita, tusitumie siasa za kimaskini km siasa za kurudi madarakani
Speaker nakupongeza sana umeongea kwa hekima
Naona Mwisho Wa Shigongo...
Naona Mwisho Wa Waliobebwa Na Mbeleko ...
I Love CCM I LOVE SAMIA BUT HAVEN'T LOVE UPUMBAVU UNAONDELEA NDANI YA BUNDE TENA KWA BAADHI YA WABUNGE
Mungu anaandaa meza mbele ya watesi wako.....sasa sisi Efatha tumeshaona watesi wetu...ninafurahi maana muda wa chakula umefika....na sasa meza yetu wana Efatha imeshakuwa tayari...sasa tunaenda kumiliki zaidi ya hapo.....NA HUU NI MTEGO MUNGU AMEWAWEKA NINYI WABUNGE ILI MUONGEE KWA UPUMBAVU WENU ALAF ATAJITWALIA UTUKIFU WAKE NA HAPO NDIPO EFATHA ITAONGEZEKA MARA SABA ZAIDI KWA SABABU YA MATENDO MAKUU YA MUNGU ATAKAYOTUFADHILI HUKU AKIWAPIGA WOTE KWA MAPIGO.......NAKILI SANA HUU UJUMBE....WOTE WALIOMSEMA VIBAYA BABA YANGU MWINGIRA NA KANISA LANGU EFATHA HAWATAISHI MUDA MREFU....WATAKUFA WOTE KAMA PANYA📌🔨
Hatuogopi kurogwa na uchawi wenu ila chamoto mtakiona shamba linafutwa mmezidi ushenzi
Hahahaha ko mungu anaua watu siku hizo.na kesho utatuambia mungu ni mwenye upendo.tujifunze tabia ya mungu kupitia yesu kristo.hakuna mungu wa kisasi
@@fanuellingson unajua wee ni kajinga inaonekana,,,,,soma Bibilia uelewe ndo uongee,,,,ulisoma kutoka,,,ni nani aliemuumba Farao(mtawala wa misri kipi hiko) ,,,,nani aliwapeleka Wana wa Israel utumwani? Nani akasema Tena baadae kuwa ni,esikia KILIO Cha watu wangu misri?? Nani akamtuma Musa akawatoe Wana wa Israel utumwani? Nani akafanya moyo wa farao uwe mgumu hata asitoe ruhusa? Ni nani akampiga huyohuyo farao aliemfanya moyo wake mgumu Kwa mapigo 10?? Ni nani baadae alawaruhusu Wana wa Israel watoke utumwani? Nani Tena akafanya Moyo wa farao uwe mgumu ili awafuate Wana wa Israel Tena?? MWISHO NIKUULIZE SWALI,,,NI NANI ALIYEWAANGAMIZA FARAO NA JESHI LAKE KWENYE MAJI????.....ukiweza kujibu Maswali yote haya utaelewa......Wacha Hawa leo wawe kama farao....ndio ni sawa kuwa migumu mioyo Yao juu ya Mali za Bwana....lakini hio yote ni Kwa utukufu wa bwana pale atakapowajibu ndipo kila mtu atajua Kuna Mungu wa kweli.....Kwani hujasoma kwenye Bibilia imesema Kisasi ni juu ya Bwana??
SOMA BIBILIA YAKO VIZUR MPENDWA
acha mikwala hafi mtu kwajina la Yesu
Wajinga wa fikra ni wengi sana ambao wamejificha kwenye kivuli cha dini
Mumeuza bandali mbona hatujaandamana Efatha nimungu achakelele nakushinikiza migogolo ambayohaipo na ukaekimwa kwajina la Yesu
Taasisi na Askofu😊
Efatha, akashitakiwe tena😂😂😂😂 hakyamungu nimecheka mwanzo mwisho.
Shigongo Leo umechemka 🤣🤣🤣
Huyu Speaker amejaa hekima kwa Wabunge wanapochangia,
Utadhani ni mwalimu na Wanafunzi wake.❤❤
WOTE so NI WAPIGAJI MAKOFI!!!!??
Speaker wa Hovyo
Mwingira ana shida na uwakilishi wake kwa MUNGU sijui kama ni mungu gani!!
🤫🤫🤫🤫🤫
Mnamsakama mwingira na kusema Sana ,watanzania tuache unafiki mwingira yupo na mkataba wa umiliki wa shamba lile mbona hamuwatetei wamasai wanaondolewa Ngongoro. ? Hata hivyo mbona wapo viongozi walioingia mkataba huo? Kwa nn wasiwadhibu ? Kumlaumu mwingira Sio sawa.
Siyo wa Muñgu huo k2wa taàrifà yako
EFATHA❤❤❤🔥🔥🗡🗡 is 🏠..
Eri mba huruma na watu sumbawanga. Mbona mmekosa kuwa na huruma kwa wanaotekwa na kupigwa risasi. Wabunge mnaojishibisha wanafiki msimchezee Mungu.
Sisi efhata hatuna askofu anayeitwa mwingira Ila tuna mtumishi wa mungu anayeitwa Mtume na nabii Josephat Eliac Mwingira mbeba maono ya kanisan la efhata duniani
Kwenda zako
❤
Acha kutetea huyo mhuni wewe
Nabii wa uongo huyo
Pole sana
Hamjui ni nani ndio maana mnajiuliza
Wamasai jee
Wawekezaji wa ndani ndio mnahoji wa Omani ndio mnawatimu wamasai, KIA je
Ndio hapo Sasa, ni mihemko tu.
Ila sishangai maana kuna wakati niliwai sikia huko kitambo kwamba shigongo ni mchawi gwiji…sasa leo nime elewa!
Sijaelewa unachosema ivi amewapga au ameiba au amefanya nini?kinacholalamikiwa sijaelewa kuwekeza au kubaka maelezo sijaelewa
Ww ederea unacho kitaka efatha nimaobi yatoba mungu akulehem kwamake haujui ulitedaro
yaani masikini ndio nembo ya taifa acheni ujinga hakuna nchi maskini tanzania ni nchi tajiri
Shigongo ukisema haya juu ya raia hao kama ni kweli basi wasemee na wamasai wa loliondo kama si unafika
Kuna watumishi wengine hawadhiakiwi you will suffer the consequences
Acha imani za kijinqa wewe Mungu mwenyewe natukanwa na haumizi watu anajua maana ya msamaha mwingira ni mwanadamu kama wewe na Ana mapungufu yake
Wala tulia hakupima mao gezi kabisaa.. kwahiyo mwingila hawezi tumia busara ya kua Boss.
Mwingila mafia ka Mafia wengine uwajuao. We huoni anavyopagawa kuona gwajima anapunyua Hela hapa mjini
Siwaliuza acha uchochezi km walijua wanataka kulima wasingeuza,na isitoshe sasa hamuwezi kumlpa mwekezaji,Spika yuko vizur sana hata wakipewa wanauza hakuna wakulima pale wanatamaa na fedha tu,
Unalijua unalolisema?? Nani aliuza?? Ardhi ilichukuliwa kwa nguvu na watu wanauwawa wewe unashadadia kamati imeshuhudia
Asante Shigongo. Huyo ni mfanya biashara katili na sidhani kama ana hofu ya MUNGU
Hakuna mbunge anayejali Hali yaraia bali hanatetea mambo yake binasi kawani
Kwani si wao ndio Wana miliki mahekali na majumba uselikali mjini
Acheni neno la mungu kwenye kupigwa risasi au kupoteza haki hapa siyo mbinguni
Haya sasa askofu gwajima kwa askofu mwingira🤣🤣🤣🤣
Nasema kila siku dini ni upumbavu sana. Tubaki na mizimu yetu na taratibu zetu.
Efatha Efatha kitu gani,watu mnamtishia shigongo hapa.Efatha ni mkubwa kuliko Mungu kwenu watumwa wake Efatha?aibu yenu.watu wanabakwa,wanakatwa masikio,hawana pa kulima unasema ni mtumishi wa Mungu?upendo uko wapi hapo?mtakufa katika ujinga wenu,aaa siyo ujinga ni upumbavu
Mwingira ni mwizii
Hamkumbuki ya mwenge jamaniii😢😢😢
Alikuibia Nini my njoo hapa na ushahidi then twende mahakani
wengine wanakuwaga bendela fata upepo😊
Alikuibia nini dear? Au alimuibia nani? Una ushahidi au unaropoka tuuu. Pole sana
Japo amekiuka lkn asikilizwe nafikiri analo jambo
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Na vipi kuhusu waarabu mliowapa KIA na Ngorongoro.
Kwanin hao wapigwe risasi kwanin jamani huyu mtumishi kwanin asiwaelekeze walinzi wa maeneo hayo
Sasa tukianza vita na wawekezaji wa ndani! Si ndo tunakaribisha mafisadi.!!!!!
Efatha haidhihakiwi wait and see
Mbona hamzungumzii hasarawaliopata Efatha kwa kuchomewa malizao na mazao yaooo
Na mikataba mliyotoa
Mwacheni Baba yangu
Wanafiki nyiee.
Tulia tu kipenzi Wasichokijua ni kama usiku wa giza,mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe,, Hatulegei Efatha.
Ndio maana tuna wimbo unaitwa "Hatulegei"
Nasemajeeee....TUTAMILIKI NA ZAIDI YA KUMILIKI.....TUTAMILIKI MPAKA HILO BUNGE LAO NA TUNAHAKIKISHA HAO WAPUUZI WOTE HAWARUDI BUNGENI
Hakuna anae mpiga mawe acheni ujinga angepigwa risasi ndugu Yako ungesema ivo
Pumbavu
Mungu atawashangaza🙏
Shigongo turia mueshimiwa uyo siyo kiboko ya wachawi
SHIGONGO LEO AMECHEMKA...
Ww shigongo ni mchawi kabisa tuache na mwingira wetu kama amelima acheke na vibaka
Ndo Mungu wako sio kwamba akiguswa tu unalia lia apa kana kwamba yy ndo Mungu ,yy ni mtu tu kama ww hana mikono 3 japo mimi meokoka ila ntsimama na haki
Kwahiyo hiyo haki Mwingira au Efatha hawapswi kupata ni hao watu tu ndo wanapaswa kupata?@@FreeGod368
Mh kweli mwingira sio kila mtu anamapungufu yake ni asikof YESU atulehemu
Huyu mbunge Mungu akusamehe
Hati zibadilishwe ikiwemo ya bandari
Mwingira yupo vzr sana
@@PeterMuhina Mwingira ni mwana wa Mungu ...
Waache wapige kelele ndo kwanza wanapalilia .
Shigongo tafuta namna nyingine ya kuombea kura.
Ukishindana na Efatha yatakutokea puani brother
Tapeli huyo
Eti huyu efatha 😂
Msihangaike na manabii wa uongo watajifuta wenyewe,Mathayo 24:3-12,23-24
Walivyo katwa masikio nakubakwa walifatann kwenye shamba lakanisa wivuunawasumbu wakati iloshamba efatha walinunua
Hapa spiker nimekukubali
Mbunge shigongo kuna jambo unalitafuta..kumtaja mtumishi wa Mungu utalipata la kukupata. Wewe una mangap maovu umefanya na hata sasa un afanya?
Asantee sana spika wa bunge 😘😘
@@DeodathaLaurent kwenye bei ya sukari 8000 /= kg ulimuona speaker wako alichosema
Matangazoo mengiii😂
Wawekezaj wa ndani mnaeakomalia sana
Wa Dubai ,,oman hamtaki kujadili ..watu kupootea mnapotezea...mtaleta shida kwa taifa
Kwenye madini huko mmetaifisha kwa wawekezaji wazungu waarabu wanapiga watu na kuwaua na kuwatia vilema lkn mmenyamaza,wabunge wa upinzani walishaongea sana huko bungeni lkn mlinyamaza kimya,shigongo wacha wivu
Mh shingongo asante ,askofu wakumbuke na wamasai ngorongoro ?
Mambo kama haya yanapo jitokeza nibora ufanye uchunguzi kwanza kabla ya kusema public, Mungu sikuzote huwa hadhihakiwi, sina imani kama uongozi wa efatha ndo umefanya haya, Viongozi wetu wamekosa hekima ya kiungu na kama ni uongo tunampa mda huyu
Weka wewe ushahidi tukusikie Mzee hupingwi
Efatha Oyeeeeee
Mh.Shigongo mbona haongei kosa alilofanya Mwingira ili watu wajue ni kosa lipi .
Spika mtu wa maana sana sana