WAZIRI BASHE AWA MBOGO BUNGENI, NI UNFAIR..KELELE NI NYINGI/ WATULETEE RIPOTI HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @CathelineMagawa
    @CathelineMagawa หลายเดือนก่อน +1

    Sio sawa kwa mkulima. Serikali idili na changamoto za wananchi madarasa.zahanati.maji na barabaran.hakuna mkulima aliye lalamika kutafutiwa soko

  • @MaduhuMasanja
    @MaduhuMasanja หลายเดือนก่อน

    Mazao haya ni kazi yaachien mnatesa wakuloma

  • @ramadhankatto9517
    @ramadhankatto9517 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaopinga stakadhi ghalani ni madalali na wanaonufaika na ndoo na madumu

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 หลายเดือนก่อน +1

    Mazao ya Dengu na Mbaazi ya Wakulima ni lazima yanunuliwe kwa fedha kesh Ghalani siyo kutukopa na kutujazia makato mengi yasiyo na Masilahi kwa Mkulima hayo hayakubaliki. WAZIRI MBASHE. Serekali inashirikisha vipi Vyama vya Ushirika visivyo na MITAJI.

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA หลายเดือนก่อน +2

    Bashe sio Jembe ni Tapeli Viwanda vingi vya chai vimefungwa yupo tu anatoka macho anaibia wakurima Kwa kununua nafaaka nchini Kwa Bei yakunyonya nakwenda kuuza juu nje kaleta janga la sukari mpaka Leo Bei imeshinswa kubalance

  • @ibba8082
    @ibba8082 หลายเดือนก่อน +2

    Bashe Ni Jembe Toka wakati wa JPM,licha ya kuwa Hamna Mkamilifu ila Huyu Jamaa Anachapa kazi Vizuri.Kutoka FIZI D R Congo!!

    • @jofreyfungo1112
      @jofreyfungo1112 หลายเดือนก่อน +1

      Kipi amefanya Kwa wakulima watu wanalia kila kona.Ila wewe!

    • @ibba8082
      @ibba8082 หลายเดือนก่อน

      @@jofreyfungo1112 Linganisha Utendaji kazi wake Na Mawaziri Wengine Wa Kilimo Waliopita,Kilimo Tanzania Kimepanda,Wakulima licha Yakua Sio Wote Ila Hasilimia Kubwa Sana Wanahanza Nufahika na Miongozo na Usimamizi Wa Muheshimiwa Waziri BASHE.sisi Watazamaji Tunayaona!.Yeye na Mweshimiwa Waziri AWESO na Wengineo Wanachapa Kazi

  • @josephjuba5269
    @josephjuba5269 หลายเดือนก่อน

    Futeni hiyo Sheria haraka sana

  • @FransiscaMbotta
    @FransiscaMbotta หลายเดือนก่อน

    Ushirika manyara

  • @SelemanSindano
    @SelemanSindano หลายเดือนก่อน

    Sisi wakulima hatuhitaji huo mfumo wa stakabadh ghalani mbona mnalazimisha au kuna maslahi mnayapata.

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi หลายเดือนก่อน +2

    Bashe kaamua kuwa dalali yeye

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi หลายเดือนก่อน

    Jambo la busara mungewashirikisha wakulima kwanza lkn nyiemnaamua tu wenyewe

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 หลายเดือนก่อน

    Unless otherwise

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 หลายเดือนก่อน

    Hapana mahindi ni ishu ukitaka kuwa maskini ng,ang,ania mahindi kilimo namaananisha

  • @SelfathumanMisere-te6kg
    @SelfathumanMisere-te6kg หลายเดือนก่อน

    Nikweli ushirika ufutwe unanyonya wakulima ccm huo mtaji wao

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni หลายเดือนก่อน

    Bashe anajitahd nahis chama cha mapinduz ndicho kina muharibu lakn pia hakuna mkamilifu nasikilizia kes mahakaman kama alihusika kwenye ishu ya sukar daaa cjui nitamuamn wazr gan tena

  • @SelfathumanMisere-te6kg
    @SelfathumanMisere-te6kg หลายเดือนก่อน

    Sio huko tu mfumo huu haufai tz mzima jamani nyinyi ccm waoneeni huruma wakulima kwani nyie vp

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wa watanzania ndio mtaji wa ccm, mm sina chama,lakini ninachokiona hata wapinzani wanacheza na subconscious zetu, muhimu tuondoe Ujinga, huwezi Lima peke yako, ccm wakupangie bei,hata kama hujui kusoma,hata picha?

  • @SelfathumanMisere-te6kg
    @SelfathumanMisere-te6kg หลายเดือนก่อน

    Mpango huo haufai kwa mkulima kwani wanunuzi wanalipa bei wanavyo taka na kulipa siku wanayo taka kwa mfano mamku ni wabaya sana wanachelewesha kulipa pesa ya mkulima hawa jamaa wachunguzwe

  • @jofreymngoke6313
    @jofreymngoke6313 หลายเดือนก่อน

    Wakulima wanaumia toenibei elekezi

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja หลายเดือนก่อน

    Ccm na serkali yake mbona shida kila.kona? Huyu kijana wa kisomali amewapa nini? Kwenu amekuwa mtamu Kama muwa !kwa wakulima ni mchungu kama mlovera.Huyu kijana ni taperi. Ukikuta mtu anaonge kiswahikingereza muogope,mpelekeni huko akachezeshe kamali.Anachezea wakulima.