Paul Magola
Paul Magola
  • 95
  • 114 313

วีดีโอ

Mfundishe haya kijana yoyote hakika hatakusahau, Nyamuge secondary - Paul Magola
มุมมอง 476หลายเดือนก่อน
Kutokana na uchunguzi nilioufanya kwa kipindi kirefu juu ya wanafunzi kufeli na wengi kufaulu kwa maksi za chini, moja ya sababu kubwa sana ni wanafunzi kukosa miongozo mizuri yaani mentorship program za kuwapa hamasa miongozo mizuri na hata kuwakumbusha njia nzuri za kufata na kuzingatia ili waweze kufanya maamuzi sahihi na kufata njia sahihi zenye uelekeo wa kuwafikisha kwenye ndoto zao, vide...
Paul Magola - Leo nataka ni upangilie upya ubongo wako (mind programming)
มุมมอง 4902 หลายเดือนก่อน
Paul Magola - Leo nataka ni upangilie upya ubongo wako (mind programming)
Elimu ya lazima kwa mtu mwenye umri chini ya 45 lazima kuijua - Paul Magola
มุมมอง 2972 หลายเดือนก่อน
Elimu ya lazima kwa mtu mwenye umri chini ya 45 lazima kuijua - Paul Magola
Dalili za kuishiwa au kufirisika - Paul Magola
มุมมอง 4612 หลายเดือนก่อน
Dalili za kuishiwa au kufirisika - Paul Magola
Jinsi ya kujifanyia tathimini uwezo wako - Paul Magola
มุมมอง 3592 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kujifanyia tathimini uwezo wako - Paul Magola
Umaskini ni roho jitathimini sasa hivi baada ya mafundisho haya - Paul Magola
มุมมอง 5343 หลายเดือนก่อน
Umaskini ni roho jitathimini sasa hivi baada ya mafundisho haya - Paul Magola
Mwana Kwetu Masai wa USA na anafanyakazi USA na TZ maisha yake yalipoanzia - Paul Magola
มุมมอง 3643 หลายเดือนก่อน
Huyu ni kijana wa kitanzania alizaliwa Tanzania kusoma Tz na kakulia Tanzania lakini ni mzee wa kujilipua na hapa ameelezea jinsi safari yake ya maisha ilivoanza mpaka kufika Marekani na leo hii ni Boss wa makampuni makubwa mawili yanayotoa huduma karibia nchi 9 duniani. @paulmagola1842 Instagram Paul Magola fb Paul Magola TikTok Paul Magola na kote email me: magolapaul@gmail.com
Hii hapa njia ya kugundua fursa kwenye mazingira yako - Paul Magola
มุมมอง 2753 หลายเดือนก่อน
Hii hapa njia ya kugundua fursa kwenye mazingira yako - Paul Magola
Mbinu 15 za kufanikiwa biashara ya Duka, Vinywaji, Kibanda na bidhaa mchanganyiko - Paul Magola
มุมมอง 3513 หลายเดือนก่อน
Mbinu 15 za kufanikiwa biashara ya Duka, Vinywaji, Kibanda na bidhaa mchanganyiko - Paul Magola
Kampuni nzuri kufanya biashara ya mtandaoni MLM - Paul Magola
มุมมอง 2564 หลายเดือนก่อน
Moja ya changamoto kubwa sana vijana wanakutana nazo ni kupenda kufanya biashara za mitandaoni maalufu kama Multi level Marketing Business MLM ambapo wengi wanaishindwa kuchagua kampuni nzuri na wengine kufanya biashara hizo kwa miaka mingi bila mafanikio yoyote. hapa tumekuwekea sifa za kampuni nzuri ya biashara ya mtandao. kwa maoni tuandikie : magolapaul@gmail.com Instagram Paul Magola TikTo...
Uwe kwenye Siasa, Uchumi, Dini au Mahusiano wote ni wauzaji - Paul Magola
มุมมอง 4634 หลายเดือนก่อน
Uwe kwenye Siasa, Uchumi, Dini au Mahusiano wote ni wauzaji - Paul Magola
Sifa 4 za kiongozi kupendwa na wengi - Paul Magola
มุมมอง 4314 หลายเดือนก่อน
Sifa 4 za kiongozi kupendwa na wengi - Paul Magola
Kanuni 7 za kuzalisha mara 3 kwenye biashara na Ujasiriamali wako - Paul Magola
มุมมอง 3735 หลายเดือนก่อน
Kanuni 7 za kuzalisha mara 3 kwenye biashara na Ujasiriamali wako - Paul Magola
Seminar ya vijana wa Katoliki Nyakahoja jinsi ya kuingia kwenye uchumba mpaka ndoa. Paul Magola
มุมมอง 180ปีที่แล้ว
Seminar ya vijana wa Katoliki Nyakahoja jinsi ya kuingia kwenye uchumba mpaka ndoa. Paul Magola
Ujasiriamali kwa vitendo - Paul Magola
มุมมอง 215ปีที่แล้ว
Ujasiriamali kwa vitendo - Paul Magola
Equity bank biashara club Shinyanga Kahama Keynote speaker Paul Magola
มุมมอง 398ปีที่แล้ว
Equity bank biashara club Shinyanga Kahama Keynote speaker Paul Magola
Hii ndio njia ya kuchagua biashara bora ya kufanya Paul Magola
มุมมอง 191ปีที่แล้ว
Hii ndio njia ya kuchagua biashara bora ya kufanya Paul Magola
Hii hatua ya 3 ndio hatari zaidi, kufanikiwa au kuishiwa- Paul Magola.
มุมมอง 158ปีที่แล้ว
Hii hatua ya 3 ndio hatari zaidi, kufanikiwa au kuishiwa- Paul Magola.
Hizi ndio Sababu za Rais kukataliwa
มุมมอง 388ปีที่แล้ว
Hizi ndio Sababu za Rais kukataliwa
Mbinu za kuuza kitaalamu (sales professional techniques) Paul Magola
มุมมอง 219ปีที่แล้ว
Mbinu za kuuza kitaalamu (sales professional techniques) Paul Magola
Hii ndiyo Sababu watu wengi hawatafikia malengo yao mwaka huu Paul Magola
มุมมอง 200ปีที่แล้ว
Hii ndiyo Sababu watu wengi hawatafikia malengo yao mwaka huu Paul Magola
KANUNI 4 ZA BIASHARA ZA KARNE YA 21C - Paul Magola
มุมมอง 252ปีที่แล้ว
KANUNI 4 ZA BIASHARA ZA KARNE YA 21C - Paul Magola
Jinsi Umaskini unavyoanza kwenye fikra/ Ubongo wako - Paul Magola
มุมมอง 246ปีที่แล้ว
Jinsi Umaskini unavyoanza kwenye fikra/ Ubongo wako - Paul Magola
Hizi ndio njia 5 ambazo 90% ya watu wanapitia kutimiza ndoto
มุมมอง 223ปีที่แล้ว
Hizi ndio njia 5 ambazo 90% ya watu wanapitia kutimiza ndoto
Paul Magola- US Embassy democracy dialogue
มุมมอง 150ปีที่แล้ว
Paul Magola- US Embassy democracy dialogue
Dalili 8 za kufirisika - Paul Magola
มุมมอง 198ปีที่แล้ว
Dalili 8 za kufirisika - Paul Magola
Hizi ndio Mbinu China, Marekani,wajasiriamali wakubwa wanatumia kupata utajiri- Paul Magola
มุมมอง 236ปีที่แล้ว
Hizi ndio Mbinu China, Marekani,wajasiriamali wakubwa wanatumia kupata utajiri- Paul Magola
Mambo 10 Muhimu mwaka 2023 - Paul Magola
มุมมอง 305ปีที่แล้ว
Mambo 10 Muhimu mwaka 2023 - Paul Magola
Aina 7 za biashara za kisasa za kuanza bila mtaji - Paul Magola
มุมมอง 460ปีที่แล้ว
Aina 7 za biashara za kisasa za kuanza bila mtaji - Paul Magola

ความคิดเห็น

  • @OthmanSuleiman-h1y
    @OthmanSuleiman-h1y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Me nina ndoto ya kuja kuwa mfanya biashara na mkulima mkubwa Afrika yote.

  • @OthmanSuleiman-h1y
    @OthmanSuleiman-h1y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunamkubali

  • @Sindato-xy3xu
    @Sindato-xy3xu 6 วันที่ผ่านมา

    Safi sana kaka

  • @ESTHERJOHNSELELE
    @ESTHERJOHNSELELE 12 วันที่ผ่านมา

    Powerful enough Mr. Magola

  • @JanethBoniface-t1x
    @JanethBoniface-t1x 17 วันที่ผ่านมา

    Big up bro nimewah kukufuatilia star tv

  • @EltonPeter-p7h
    @EltonPeter-p7h 19 วันที่ผ่านมา

    Kiingereza kingi hadi kero, unaonekana msukuma maana wasukuma wengi wana shobo sana na lugha ya kigeni wanapobahatika kusoma.

  • @paulissayapaul4819
    @paulissayapaul4819 28 วันที่ผ่านมา

    Hakika 👍 uko sup Paul magola❤

  • @paulissayapaul4819
    @paulissayapaul4819 28 วันที่ผ่านมา

    Hakika 👍 uko sup Paul magola❤

  • @AbdalFelisian
    @AbdalFelisian หลายเดือนก่อน

    Hello

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 หลายเดือนก่อน

      @@AbdalFelisian yes

  • @LandoSaid-cf7hg
    @LandoSaid-cf7hg หลายเดือนก่อน

    tru

  • @danielsimwanza1046
    @danielsimwanza1046 หลายเดือนก่อน

    Broo izo unafanya vizuri upo vizuri ila toa nyimbo izo kwenye vidio kazi yako inaongea

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 2 หลายเดือนก่อน

    Wow amazing lesson, mafundisho mazuri kwa wanafunzi

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 2 หลายเดือนก่อน

      Shea basi video na wapendwa ili mafundisho haya yawafikie wengi zaidi

  • @zabronrugano3087
    @zabronrugano3087 2 หลายเดือนก่อน

    Kipind hik kishaondolea? Motivation speaker namkubal magola

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 2 หลายเดือนก่อน

      Kitarudi kaka Mungu ni mwema

  • @IRANGABIYEbienvenu
    @IRANGABIYEbienvenu 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka sisi wengine tunaanza biashala zetu badae zikakwama tufanyej

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 2 หลายเดือนก่อน

      Lazima ujifunze angalia video za mafundisho yangu kwenye hii channel yangu utaipata inayokufaa yenye mbinu mpya za kisasa za kukuza biashara

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa roho ya umaskini ni mbaya Sanaa kuliko roho zingine .mtu mwenye pesa hata kama ana matatizo mengine mengi hayaonekani lakini maskini kila kitu shida hata kuwaza hauwezi waza vizuri unakuwa na msongo waawazo hivyo nimchanganyo

  • @edsonmwanyika4416
    @edsonmwanyika4416 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona inapita hapo kwenye video bro

  • @edsonmwanyika4416
    @edsonmwanyika4416 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka

  • @user-jw2er4tt1r
    @user-jw2er4tt1r 3 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru kaka Paul kumleta mwanakwetu

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 3 หลายเดือนก่อน

      Hapa tutakuletea wengi zaidi wanaoweza kukusaidia kwenye mambo mengi sana

  • @CredoSanga
    @CredoSanga 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya mwanakwetu

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 3 หลายเดือนก่อน

      Mtafte wasap +1 425-364-2418

  • @paulmagola1842
    @paulmagola1842 4 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana na usisahau kushea video link kwa wapendwa wako

  • @annastaziachille2204
    @annastaziachille2204 4 หลายเดือนก่อน

    Ngoja nikusikilize vizuri nijue hapo kwa mahusiano tunauza Nini 😂😂😂

  • @edsonmwanyika4416
    @edsonmwanyika4416 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka

  • @sirhmaburudani3377
    @sirhmaburudani3377 5 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @user-wo4he2hm9z
    @user-wo4he2hm9z 6 หลายเดือนก่อน

    My I wish uko poa naomba nisaidie njia za kuwa msanii yani mwanamuzk maan ndo ndoto yngu

  • @jovitusiinnocent7534
    @jovitusiinnocent7534 6 หลายเดือนก่อน

    Saf san kaka

  • @duniajeremia376
    @duniajeremia376 6 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @HassanKilliwe-ml9ol
    @HassanKilliwe-ml9ol 6 หลายเดือนก่อน

    Naitwa hassan mussa killiwe nimefurahia muongozo wa mafanimio ulio utoa hapo ulipo kuwa mipango nakupa pongezi kaka

  • @nyasaniofficial
    @nyasaniofficial 8 หลายเดือนก่อน

    Noma

  • @LAM5336
    @LAM5336 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @josephmlela9757
    @josephmlela9757 ปีที่แล้ว

    Good

  • @kelvinwambura8083
    @kelvinwambura8083 ปีที่แล้ว

    Hongera msaidie apate vibali wadau tumchangie apate uzamini

    • @KephaSoap-ld6tp
      @KephaSoap-ld6tp ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri!! ❤❤❤ Mungu amtie nguvu

  • @kelvinwambura8083
    @kelvinwambura8083 ปีที่แล้ว

    Congratulations 🎉Kaka your near Goat 🐐 level

  • @KephaSoap-ld6tp
    @KephaSoap-ld6tp ปีที่แล้ว

    Nahitaji niwe mwanafunzi wako mtumishi

  • @edsonmwanyika4416
    @edsonmwanyika4416 ปีที่แล้ว

    Nakubar sanaaaa brother

  • @laurianalphonce5022
    @laurianalphonce5022 ปีที่แล้ว

    Naaamin Mwakani tutakaaa kama hvyo wakati huo utakuwa unanihojbna mm🙏Soon u will see me at the top Bro

  • @hamishamis5787
    @hamishamis5787 ปีที่แล้ว

    Hakika najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako Magola

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja Kaka tangu nilipo hudhuria mara ya kwanza semina yako pale Midland Hotel. Nakmbuka mgeni mwalikwa alkuwa Father Aliphonce. Maoni yangu jitahd usitumie 'Kiswanglish' japo ukiamua kuwasilisha somo kwa kiingereza pekee wasikilizaji bado tupo kukusikilza Kila Jambo lifanyke mahala pake na kwa wakati wake. Tuko pamoja Kaka.

  • @caritasedward7440
    @caritasedward7440 ปีที่แล้ว

    Ujumbe kuntu naamini Iko siku nitaweza kuonana na wewe ana Kwa ana ili nipate hint zakutosha shukrani kaka

  • @caritasedward7440
    @caritasedward7440 ปีที่แล้ว

    Nikisikiliza speech zako Huwa sitoki bila kitu be blessed brother

  • @hamishamis5787
    @hamishamis5787 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mafundisho yako Magola najifunza kitu kilasiku

  • @jacotreez1921
    @jacotreez1921 ปีที่แล้ว

    Pamoj brooo

  • @hamishamis5787
    @hamishamis5787 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu kikubwa sana katika haya mafundisho yako Magola Mungu akubariki sana

  • @isangaradjab3834
    @isangaradjab3834 ปีที่แล้ว

    Powerful enough. Nayapenda sana mafundisho yako kaka welcome to Rwanda

  • @jacotreez1921
    @jacotreez1921 ปีที่แล้ว

    Daaaah ni kweliii😂😂

  • @mhinageorge5959
    @mhinageorge5959 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana! It was fantastic

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 ปีที่แล้ว

    Naam ndugu, Ni hakika kanuni hazina mbadala ktk safr ya kufanikisha Jambo lolote. Tuko pamoja nimeipenda sana hiyo Innovation campaign & Leadership development.

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana nduyangu usisahau kuisambaza hii video kwa wote uwapendao katika mafanikio

  • @nataliedayana9824
    @nataliedayana9824 ปีที่แล้ว

    fumbuka

  • @josephmlela9757
    @josephmlela9757 ปีที่แล้ว

    Nmekuelewa bro

  • @Iamjoecost
    @Iamjoecost ปีที่แล้ว

    Live kaka