Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa Joel Arthur Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2018
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 630

  • @raginauthor1881
    @raginauthor1881 5 ปีที่แล้ว +98

    POWERFULL WORDS. Nguvu ya kusaidia wengine huongeza marambili nguvu ya kujituma kwako kwani itakuingia moyoni na akili kwamba wapo wengi watakao hitaji msaada wako na kukupa nafasi ya kushukuru kwa hapo ulipo. Kitu pekee tunachosahau ni kwamba Kila unayekutana naye analo la kukufunza mbali na vile ambavyo unamtazama. nimejifunza mengi sana, Dima kuna wazungumzaji wengi ambao nimewahi kuwasikia, kama unakumbuka nilishwahi kukueleza mara ya kwanza kabisa kabla hata kitabu cha TIMIZA MALENGO Hakija toka, kulipokuwa kwenye promotion, kwamba wazungumzaji wengi au wajasilia mali wengi, wanafundisha sio yake wanayoishi au kuyafanya ndio maana wengi wakisoma kazi zao hakuna mabadiliko, but tangu nilipoanza kukufuatilia nikakubali kwamba sasa yupo mzungumzaji Tanzania

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 5 ปีที่แล้ว +40

    Kaka this is deep, deep very deep!!!

  • @mercypedha5519
    @mercypedha5519 5 ปีที่แล้ว +15

    The biggest enemy that is killing my dream is Myself !
    There is always a potential but we are afraid to fail and learn !
    I must step out of my Comfort zone! !! Thank you Hon.Joel 🙏🏿🙏🏿🙏🏿💕

  • @revocatusclevery1540
    @revocatusclevery1540 5 ปีที่แล้ว +34

    dah!! hii hakika ni passion yako🙌
    Mungu akutunze ndugu yangu,, unafanya kwa kiwango cha juu sana..! A man of de impact ( a strong effect)

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 5 ปีที่แล้ว +4

    Haijawahi kutokea kuskiza vipindi vyoko Joel nikamwagika machozi kama leo Wallah nimelia imenigusa in my heart

  • @levinamrema8
    @levinamrema8 2 ปีที่แล้ว +4

    Nataka niwe motivation speaker nifanyee mambo gani

    • @user-zn1uv7lr4w
      @user-zn1uv7lr4w 2 หลายเดือนก่อน

      Vizuri Sana
      Kila kitu kinawezekana endapo wewe mwenyewe ukiamua
      Jambo la kwanza la kufanya motivation speaker unae mjua ili akupe muongozo
      Jambo la pili ni kusoma vitabu vinavyo husiana na motivation speaker
      Na jambo la tatu ni kununua course mtandaoni zinazo husiana motivation speaker

  • @officialnuh7217
    @officialnuh7217 5 ปีที่แล้ว +2

    Cube!!!! Kibaha sec school, umenikumbusha maisha ya Mapisi na kila kitu pale kibaha sec school!!!! God bless you, Wakati nipo pale kibaha sec school nliwahi kuugua na Sina hata sent moja, rafiki angu mmoja alinisadia pocket money yake ikaisha na akawatafuta na wengne

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +3

    Nanauka MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO ,KWA JINSI UNAVYOTUPA VITU VIZURI VYA MAISHA, BE BLESSED JOEL

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 5 ปีที่แล้ว +17

    iyo ni kweli kuna wengi tunajidhalau wenyewe ndo maana wengi tunakufa na malengo yetu bila hata kuyanusa na wengi tunavipaji ila hatuvinoi vipaji vyetu ndo maana havitusaidii kufikia malengo
    ila naamini wengi tutafanikiwa kupitia wewe na mafundisho yako

  • @neemaerasto1842
    @neemaerasto1842 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana maneno yako yananipa nguvu ya kufanya mambo kwa kujiamini sana
    sitakata tamaa be blessed more

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaa!!! Teacher hapa ulitema madini mwanzo mwisho unaongea vitu hadi nahisi upo mbele yangu Kaka, "GOD BLESS YOU MY TEACHER OF MY LIFE"

  • @kwizboy7449
    @kwizboy7449 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante xn kwa ujumbe mzuri kaka Joel lakn unaongea sana kizungu kwa mama yangu pale kasulu anashindwa kuelewa kizungu kinachukua nafasi kubwa mbaya zaid unapofika kwenye point unaongea xn kizungu

  • @carolineifee800
    @carolineifee800 4 ปีที่แล้ว +2

    Aky nimekupenda bure kwa maneno mataaaano sana ya kutia mtu moyo wallai thanks so much and god bless u

  • @najmabajun202
    @najmabajun202 5 ปีที่แล้ว +2

    daaaah nime anza kukufatilia na hakika nikifatisha vyema masomo unayo tufunza wallah nitafika palenapo taka fika shukulan my brother 🙏🙏🙏 ume nifungua mengi

  • @abdulkadirmwalim24
    @abdulkadirmwalim24 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaka kwa kweli umebarikiwa na huna hiana kutowa kwa hicho ulicho barikiwa na mungu. Mungu atazidi kua na ww na pia akuzidishie kipato cha halali ili uweze kuendesha familia yako.

  • @fidestamhina4063
    @fidestamhina4063 5 ปีที่แล้ว +2

    OMG..asante kaka, nimechelewa kusikiliza hii lakin umenisaidia kwa kiwango ambacho hakielezeki, asante

  • @isakamuyagala8717
    @isakamuyagala8717 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubaliki kwa kazi njema ya kuelimisha jamiiii iliyopotea

  • @josephkessy5486
    @josephkessy5486 5 ปีที่แล้ว +10

    You are making me Joel. One day I will invite you in my graduation of the classes you are teaching me.

  • @issackmbotera5261
    @issackmbotera5261 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimejikuta asilimia 90 ya ulichokizungumza kinanigusa! Hongera sana kwa kipaji ulichonacho

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice fact kaka God bless more brother Dodoma Tanzania

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 5 ปีที่แล้ว +2

    JNanauka,huko vzr usikate TAMAA songa mbele,UMETUHAMASISHA SAANA😍

  • @gmaemba22
    @gmaemba22 4 ปีที่แล้ว +2

    Joel umesoma kibaha mwaka gani.? Nadhani nitakua nakufahamu maana mimi sio tuu nimesoma kibaha bali natokea kibaha.
    Nimesikiliza hii speach imenifundiasha mambo mengi sana.
    Thank you brother. I would like to meet you when I come back home. Cheers

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 5 ปีที่แล้ว +21

    Kaka nakuelewa saana ipo siku nitatoa ushuhuda kwaajiri yako
    MUNGU akutunze

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hayaa madinii hatarii sanaaa,big up my brother joel nanauka kwa kuzidi kuniongezea maarifaa kila cku mungu azidi kukipa power.

  • @davidbrahi1485
    @davidbrahi1485 4 ปีที่แล้ว +3

    Kaka upo vzur sana unanipa nguvu ya kutafta zaidi na zaidi

  • @sebastianmassawe9527
    @sebastianmassawe9527 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante kaka Joel kwa somo zuri umenigusa sana kwenye mwaliko wako ulionyesha vitu ambavyo watu hawakutarajia,

  • @mohammedyassin8786
    @mohammedyassin8786 5 ปีที่แล้ว +18

    Mr joeli uko vizuri sana sema punguza vingereza maana wengine hatujui kwaiyo tunaitaji tuerewe mwanzo wakipindi hadi mwisho wakipind

  • @user-zn1uv7lr4w
    @user-zn1uv7lr4w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru sana kwenye video nimejifunza hizo hatua
    But it's very powerful
    Na miongoni mwa kitu cha thamani zaidi nilicho jifunza ni kwamba ili ufanikiwe katika kila nyanja
    Lazima uhitaji mtu wa kuku'coach kwa mfano
    Life coach mfano Nanauka
    Online business coach mfano Dr.said said
    Relationship coach mfano Chris mauki
    Spiritual coach mfano......
    Health coach mfano ......... n.k
    Ahsante

  • @favourspapatv
    @favourspapatv 4 ปีที่แล้ว +2

    Maneno yako yanapiga Kama mawimbi ufukweni kwa samaki anayekaribia kukata tamaa.Kongole Sana Mkuu.

  • @adrianaciku1812
    @adrianaciku1812 5 ปีที่แล้ว +13

    Ooooooooooh yes this is so good to start my day.first i want to thankyou for motivatin us ..u have no idea how u have helped me to become the person iam today m fearless and doin my purpose..this is best channel ever it has enabled me to change my mind...have been employed for years but through listenin to i have realised i was doin the wrong work i have learnt alot from this tv and m a changed gal...ooh team joel let us meet at the top..may God bless u

  • @aaaavvvv4261
    @aaaavvvv4261 5 ปีที่แล้ว +1

    Wao sikujuwa hii mambo bt sifi moyo mwalimu mzuri mungu akubariki na kuepushe na shari nmejifunza mno mengi

  • @judithmtaliki2860
    @judithmtaliki2860 5 ปีที่แล้ว +3

    safi sana nimejifunza vitu vingi leo kupitia somo lako

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiii speech Ina nguvu ya kumbadilisha mtu endapo atatekelza what spoken ♥️🙏🧠

  • @ndarojuma5128
    @ndarojuma5128 5 ปีที่แล้ว +4

    Kaka nimeanza kufanya ujasiriamali kwa bahati mbaya nikapata hasara kweny biashara yangu real be honestly nilvunjika moyo lakini kupitia video yako naamini ninaweza na kuna engi nimejifunza. Stay blessed brother.

  • @ezekielmwasamboma9953
    @ezekielmwasamboma9953 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo penye tofauti kati ya WISHES na GOALS nimepata kitu muhimu mno! Stay blessed brother Joel.

  • @racheltanzania3198
    @racheltanzania3198 5 ปีที่แล้ว +2

    Joel nakufatilia sana na ujawah kuniangusha asante sana

  • @sebastianmsuya25
    @sebastianmsuya25 5 ปีที่แล้ว +10

    Joel ndugu yangu ujumbe umeshiba mno, nitausikiliza tena na tena na tena, naomba nijue kitabu cha malengo nakipata wapi kesho asubuhi mapema

  • @simonfredy2324
    @simonfredy2324 5 ปีที่แล้ว +29

    Duuuuh #kakaJoel!!... Sio tu kupata mafunzo mazuri....Lakin pia unauzungumzaji ambao hata kama nilikua busy lazima nitulie kusikiliza.... Nafikiri ni uwezo wa kipekee aliokupa Mungu na Kuna Mbegu umeipanda kwangu...Thank you so much!!

  • @bck8163
    @bck8163 5 ปีที่แล้ว +2

    My friend nimepata mtu ambaye ameniambia ukweli na ni wewe keep it up man of God

  • @philbertm.kajuna7549
    @philbertm.kajuna7549 5 ปีที่แล้ว +6

    This is the Best speech,
    A transforming speech,
    The one to immerse and bathe myself in.
    Thank you sir!

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana, yaani nimechukua muda mfupi na kweli umeshusha madini!

  • @leticiampeka1488
    @leticiampeka1488 5 ปีที่แล้ว +16

    Thank you so much, may God bless your work brother!

  • @meryanmwailakale670
    @meryanmwailakale670 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akupe maisha marefu uishi miaka mingi kaka joel, BARIKIWA SANAA

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 ปีที่แล้ว +1

    Napata hamasa sana nikiangalia mafundisho yako.
    Mwenyez Mungu akujalie daima

  • @anthonykimaro807
    @anthonykimaro807 5 ปีที่แล้ว +13

    Thanks much dear brother nimebadilika zaidi ubarikiwe Sana.

  • @luciewajesus731
    @luciewajesus731 5 ปีที่แล้ว +11

    I can't wait to subscribe I need more of this wisdom ❤❤😍😍

  • @hannahmichael2008
    @hannahmichael2008 4 ปีที่แล้ว +3

    baba unanibariki sana one day I will reveal this to the world ... thank you ...

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 5 ปีที่แล้ว +16

    Asante sana kaka joel nimejifunza mengi leo hii ubarikiwe sana kaka joel Amiin

  • @b5342s2
    @b5342s2 5 ปีที่แล้ว +2

    unafundisha vizuri Sana Ila kingereza kingi wakati unafundisha wenye Elim nawasio naelim mungu akubariki

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 5 ปีที่แล้ว +5

    good good naacha kuwaangalia wadangaji ngoja nipate maarifa Mungu akubariki

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah wallah ALLAH gives jannat Firdausi... Be thanks a lot for learns big profit and target.. For ho to start in my life.

  • @shantaaswad9523
    @shantaaswad9523 5 ปีที่แล้ว +4

    Am glad l come across this channel, very educative, watching from Oman, jamaani unazungumza Kama marehemu Kanumba

  • @mekujose8532
    @mekujose8532 4 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahia masomo yako sana brother,keep it.

  • @amarismedia146
    @amarismedia146 5 ปีที่แล้ว +3

    Brother Joel
    For sure you have finished this presentation is marvellous, umetisha kaka hatari
    Five things so strong
    Be blessed so much brother

  • @lissadanford3931
    @lissadanford3931 5 หลายเดือนก่อน +1

    5 years ago when I was 17 yrs nilisikiliza hii video mara kadhaa nikiwa nauza juice kwa kutembeza ....
    Leo Nina ofisi yangu dodoma nikiwa na 23 yrs ubarikiwe sana

  • @carolineifee800
    @carolineifee800 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana ju nilikuwa mnyonge lkn niliposkia mafunzo yako nikapata nguvu mpya

  • @rizikifumao3685
    @rizikifumao3685 5 ปีที่แล้ว +18

    asante kwa ujumbe mzuri

  • @hafsacletty1519
    @hafsacletty1519 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah M/mungu Akuongezee Ufahamu.Shukrani.

  • @rahemaseleiman635
    @rahemaseleiman635 4 ปีที่แล้ว +2

    😥😥😥nilikua na huzun Sana ila umenisaidia kusimama tena mungu akutie nguvu

  • @lucymgata9721
    @lucymgata9721 3 ปีที่แล้ว +2

    Yàani wewe kaka.Mungu akubariki sana

  • @mercyadam9803
    @mercyadam9803 5 ปีที่แล้ว +8

    Nimegundua Mungu hawezi kufunua siri kwa mtu mchoyo utoaji wako pia umekufikisha hapo

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mungu akubariki Sana kaka Mungu akubariki Sana wow God bless you

  • @evanswere3719
    @evanswere3719 5 ปีที่แล้ว +5

    Wonderful message! Watching from Stuttgart Germany

  • @msambachacha8523
    @msambachacha8523 5 ปีที่แล้ว +9

    Thanks Mr Joel, I wish your going to be the best mentor in east Africa , but what ican Say's that keep up, sharpen your mind for you follows and teach the wishers who's out of dar , see me at the top, good evening all of you

  • @peterdani6244
    @peterdani6244 5 ปีที่แล้ว +7

    2019 nimependa sana mafundisho yako we we ni mwalimu ubarikiwe "god" bless you.
    "descover your life purpose"
    Amen,Amen, Amen.

  • @salimkhamisi6490
    @salimkhamisi6490 ปีที่แล้ว +1

    Thank you so much from now ntayafanyia kazi maneno yko inshaallah ntafanikiwa kutimiza malengo yangu

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 ปีที่แล้ว +22

    Mm sina haja ya kutafuta elimu ya maisha kwengine hapa ndio kituo changu cha kujifunza

    • @jacksonkumbi3283
      @jacksonkumbi3283 5 ปีที่แล้ว

      Kaka Kama una vitabu ulivyo andika kwa kiswaili niambie call 0756170000

  • @wisdomofbooks6905
    @wisdomofbooks6905 4 ปีที่แล้ว +1

    Gundua unaweza kufanya Nini, hakuna mtu aliyezaliwa bila uwezo wowote,Kila mtu ana kusudi lake,haupo duniani kizembe.kila mtu ana uwezo mkubwa Sana,tumia muda wako kuwekeza kwa ajili ya kipaji chako.ongeza na kuuboresha uwezo wako ulinao.heshima kwako Joel Nanauka.Naitwa Hosea.

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 5 ปีที่แล้ว +3

    Umekuja wakati muafaka sana katika maisha haya magumu. Ahsante Kwa Elimu hii kaka

  • @ruthkileo4751
    @ruthkileo4751 5 ปีที่แล้ว

    Antony has motivated me since nikiwa Tusiime high school....... I am a motivational speaker i will meet you guys one day...... I do it in schools i inspire students 😋😋😋😋this speech has changed me i have to work for my goals.......I'm good at story telling woooow

  • @shaibumahanda6501
    @shaibumahanda6501 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaaa umenigusa sana aiseeee najikuta naenda kazii narudii coz natural ya kaziii ndo ilivyonishape

  • @jojoembwaga2931
    @jojoembwaga2931 5 ปีที่แล้ว +5

    May God bless you may my God continue to shower u with blessings,u your lessons r so inspiring 🙏

  • @jano254jayc4
    @jano254jayc4 5 ปีที่แล้ว +5

    Av learned more from you brother Joel thanku.

  • @florenciaearnest5241
    @florenciaearnest5241 5 ปีที่แล้ว +5

    I say I love your motivation. You inspired me.

  • @beatricemakundi5312
    @beatricemakundi5312 5 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe sana..maneno yako yana nguvu ya kufundisha na kumpa mtu uthubutu

  • @hajijumanne387
    @hajijumanne387 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana kaka safi sana najifunza sana mambo toka kwako kaka asante

  • @josemahena2305
    @josemahena2305 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana Mr Joel be blessed

  • @magrethfulgence7888
    @magrethfulgence7888 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa somo, kitabu hicho naweza kukipata wapi cha timiza malengo yako

  • @mawazoamily2678
    @mawazoamily2678 5 ปีที่แล้ว +1

    Very talented person wonderful........ Deep Ideas I think there is a some thing to do in our universités..... Hiki ni kitu ambacho tunatakiwa kufundusha vijana wetu....... Am sure we Will change

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 5 ปีที่แล้ว +3

    I am beguiled with the adorable speech I used to listen it frequently it has an impact in my life,it make me feel lively

  • @charlesngofilo4581
    @charlesngofilo4581 5 ปีที่แล้ว +18

    Kaka hakika kipaji ulipewa na una kitendea haki BARIKIWA SANA

  • @joynesashery7173
    @joynesashery7173 5 ปีที่แล้ว +4

    Honestly speaking mwaka 2019 I started listening many many of you works and their very unique and helpful,one thing I would like to tell you if there is people to who should watch this is Sisi vijana ,most of youth wamerelax sana ,fear to do what we mostly love we ends up coping others idea mwishon tunafeli kwasababu we are doing what is not for us but were leaving into others dream
    Congrats to you, am learning a lot from your words

  • @khalfanomar7665
    @khalfanomar7665 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hata mimi ni naweza naahidi Mwenyezimungu amenipa kipaji snipe nguvu nitaonesha uwezo wangu

  • @AlexNjeje
    @AlexNjeje 3 หลายเดือนก่อน

    As longer as your, you did right things everyday, always i admire you, GOD Bless you , my Coach

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 5 ปีที่แล้ว +7

    GOD bless you my dear brother

  • @levispaultitus8623
    @levispaultitus8623 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu Joel Mungu akubariki Kwa elimu Nzuri.. Mungu atuwezeshe kutendea Kazi

  • @user-ol3ib7gm6s
    @user-ol3ib7gm6s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Absolutely mungu akubariki sanaa

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 ปีที่แล้ว +3

    So powerful words,it change my thinking upside down,inside out and starting thinking afresh. This is all I wanted before the end of my season on planing and goal setting
    Thank you Joel Arther,there was a catch in your words👍👌

    • @edgarchristopher4393
      @edgarchristopher4393 5 ปีที่แล้ว +1

      Good mami Mungu akupiganie zaidi

    • @msleny6767
      @msleny6767 5 ปีที่แล้ว

      @@edgarchristopher4393 Asante, nawe pia

  • @estherolomi1736
    @estherolomi1736 5 ปีที่แล้ว +2

    This is all I wanted to hear. Thank you brother Joel.N

  • @juhudiacademy2170
    @juhudiacademy2170 5 ปีที่แล้ว +20

    Great brother. Continue to focus on telling people your real stories rather than telling people someone's story. People will change their life through your story. Congratulations.

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 5 ปีที่แล้ว +12

    daaah! broo katika siku nimetetemeka kwa point zako leo nime bebemeka maana sio kutetemeka khaaa na darasa langu la saba nimejikuta kama mimi ni chuo kikuu! asante..

  • @hamiysharo2902
    @hamiysharo2902 5 ปีที่แล้ว +5

    May god bless u that is gud i like it🙏

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni bro una maneno yahekima mungu akubaliki

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 5 ปีที่แล้ว +3

    Well done young man. You're very very true. I wasted my time for a long time just because sikuwa na malengo

  • @rehemaathumani712
    @rehemaathumani712 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you and god bless you for your help with me for work brother j.a.nanaruka

  • @user-uj5zs8nc5k
    @user-uj5zs8nc5k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kwer Nime pata kitu Mungu aenderee kuku kuza zaidi

  • @nanjingasaidi1257
    @nanjingasaidi1257 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you broh god bless u for your work of telling and inspiring pple abt success

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 5 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante brother nimeona faida ya kuwa na marengo

  • @zawadimghero6721
    @zawadimghero6721 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimefrahi kuusikia haya Namba kushiriki na wadau wangu maana yapo yaliyotugusa kiundani. Niombe next time jaribu kumove na tumia mic ambayo unatembea nayo ukiwa umeivaa napende the way unatoa body language ila umezuiwa na izo mic na vimeza. Ni mawazo yangu lakini

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana kwa ushauri

  • @gracevalentine4234
    @gracevalentine4234 5 ปีที่แล้ว

    Daaah, ubarikiwe sana kaka yngu Joel, Mbegu ambayo Mungu ameweka ndan yako iendelee kuzaa, kizazi hata kizazi