Mambo 3 matatu muhimu kuzingatia ukitaka kufanikiwa Paul Magola

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Watu wengi tumekuwa tukitapatapa juu ya nianzeje na ninihasa kitanifanya niianze safari ya mafanikio, hapa Paul Magola ameelezea jinsi ya kuianza safari ya mafanikio bila kutegemea pesa kama mtaji. Watu wengi wameshindwa kuanzisha biashara miradi, makampuni au chochote kinachoweza kuwaingizia kipato na kufanya ndotozao zitimie , hapaa Bwana Paul Magola kaelezea namna ya kuanza na kutambua uwezo wako. Tafadhali tunaomba kama mafundisho haya yanakufaa usikose ku subscribe kwenye channel yetu kujifunza zaidi na pia usisahau ku share video hii na watu unaowapenda.
    au kutuandikia katika e-mail magolapaul@gmail.com
    Instagram #paulmagola
    Tweeter @paulmagola
    Facebook page Paul Magola

ความคิดเห็น • 30

  • @instituteofsuccessios5416
    @instituteofsuccessios5416 4 ปีที่แล้ว +3

    uwezo wako na ujumbe kwa sisi vijana ni kama chachu ya kujua nn tunataka katika maisha yetu na namna gani tunaweza pambana kufika pale tunapotaka fikia. jitihada, kujituma, nidhamu na kutoangalia nyuma kwa kukata tamaa twaweza songa mbele ...powerful #paulmagola

  • @djcoco_designer5739
    @djcoco_designer5739 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi paul Magola

  • @jacotreez2314
    @jacotreez2314 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana brow paul

  • @vemchannel2018
    @vemchannel2018 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

  • @nangamedia656
    @nangamedia656 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kaka nimejifunza mengi sana kupitia mafunzo yako , Mungu akubariki sana , natamani kila kijana aweze walau kuyapata mafunzo yako kwani naamini yataisaidia sana jamii yetu

  • @allyzahoro655
    @allyzahoro655 4 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @johnmakame8449
    @johnmakame8449 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @madatamhondo6905
    @madatamhondo6905 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka najifunza mengi sana kutoka kwako bro Magola

  • @alimali9552
    @alimali9552 2 ปีที่แล้ว +1

    Paulo mimi naitwa Ali mali nipo babati tz mimi huwa kila kipindi cha TV huwa nakusikiliza mimi napenda sana ufugaji wa kuku nataka uwe kocha wangu

  • @Iamjoecost
    @Iamjoecost ปีที่แล้ว +1

    Live kaka

  • @keleziakija2002
    @keleziakija2002 4 ปีที่แล้ว +2

    Yes bro I understand your inspiration, I guess you are the best to be in Tanzania

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842  4 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for your appreciation brother

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana, God blessing u much

  • @nangamedia656
    @nangamedia656 5 ปีที่แล้ว +1

    Stay blessed brother Paul Magola

  • @mtashambazibwa
    @mtashambazibwa 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @casianmlwilo355
    @casianmlwilo355 2 ปีที่แล้ว

    Naitwa casian Mlwilo huwa nafanya kazi ya u mc kwenye sherehe ndogo ndogo naomba msaada wa mwongozo ili nifike mbali zaidi

  • @hamismatimbalendy2091
    @hamismatimbalendy2091 2 ปีที่แล้ว

    Mm naitaji kitambu Cha ujasiliamsli

  • @HassanKilliwe-ml9ol
    @HassanKilliwe-ml9ol 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa hassan mussa killiwe nimefurahia muongozo wa mafanimio ulio utoa hapo ulipo kuwa mipango nakupa pongezi kaka

  • @lonnie546
    @lonnie546 5 ปีที่แล้ว +1

    wonderfull product in my life is you i love you bro

  • @Divinetvgodsvoice
    @Divinetvgodsvoice 5 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations my brother you have said it all

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842  5 ปีที่แล้ว

      Much appreciate Sir, man of God prophet Divine Angel

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanadanganyika etii kuna mwalimu wa mafanikio mafanikio ni bahati na nisiri kubwa sana katka maisha usjaribu kufata structure za kufundishwa lakin uwe na kitu unacho kifanya

    • @johnmakame8449
      @johnmakame8449 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli kaka wajina wangu magola me naitwa john magola simba mbili kalibu kwetu

  • @danielsimwanza1046
    @danielsimwanza1046 หลายเดือนก่อน +1

    Broo izo unafanya vizuri upo vizuri ila toa nyimbo izo kwenye vidio kazi yako inaongea

  • @KephaSoap-ld6tp
    @KephaSoap-ld6tp ปีที่แล้ว

    Nahitaji niwe mwanafunzi wako mtumishi

  • @maduhumasuke8770
    @maduhumasuke8770 2 ปีที่แล้ว

    Mh poul magola kipindi chako kinaelimisha sana naomba namba yako kwa mawasiliano zaid📱📲