JINSI YA KUONGOZA BIASHARA KUTOKA SIFURI HADI MABILIONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Utakayoyaona na kujifunza humu ndani yatabadili maisha yako milele, yawezekana si Profesa au Mwalimu wako aliwahi kukufundisha ukweli huu, alitumia muda mwingi kukufundisha mambo ambayo katika ulimwengu wa leo hayafanyi kazi...

ความคิดเห็น • 25

  • @meddyakimana4104
    @meddyakimana4104 7 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana MR.ERIC mafundisho yake yenye kujaa unyenyekevu.Maana si rahisi mtu akitoka kuelezea alikotoka kiurahisi.Mungu ambalikisana pamoja na wengine kama yeye.Alafu nauona wito wa uchungaji kwake!

  • @gracefrancos2705
    @gracefrancos2705 6 ปีที่แล้ว +1

    Touching story 😥 Mwenyezi Mungu atusimamie tufikie kusudi alilotuwekea

  • @godsonchacha9445
    @godsonchacha9445 7 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo motivator tunaowahitaji sio waliopiga hela wakawa matajiri.......Ubarikiwe sana

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana we kaka , naomba no Yako kwa maelezo zaidi binafsi

  • @frankgeorge3632
    @frankgeorge3632 7 ปีที่แล้ว

    Karibu kwenye fulsa itakayo badilisha maisha yako kwa muda mfupi BONYEZA link goo.gl/7Z4mju

  • @yusuphmohamedy1316
    @yusuphmohamedy1316 6 ปีที่แล้ว

    Thank you so much brother nime enjoy sana

  • @jacklinmacha2964
    @jacklinmacha2964 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu hapo kumbe tusiwalaum wazazi sana sana tupambane ili tuwe baraka kwa wazazi

  • @paschalpastory8924
    @paschalpastory8924 8 ปีที่แล้ว

    God bless uuu!!

  • @matayolepwaan3251
    @matayolepwaan3251 7 ปีที่แล้ว

    kweli bb unaogea ni sahihi tunashukuru kwa fundisho lako

  • @hoseamuyungu9133
    @hoseamuyungu9133 5 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi unaweza

  • @josephmaskaraa
    @josephmaskaraa 10 ปีที่แล้ว +1

    Really this is street university

  • @happychipanyanga2021
    @happychipanyanga2021 7 ปีที่แล้ว +1

    namshukuru mungu kwa kutupatia watu wenye vipaji km hawa hakika Ni mfano wakuigwa has a kwangu become I want to be a milionea asante xana kaka umenibadilisha xana kwa sasa kwa vitabu vyako vingi nilivyosoma

  • @johnkachwele2270
    @johnkachwele2270 3 ปีที่แล้ว

    Punguzeni urefu wa utambulisho na misifa, tunaitaji vitu vya msingi

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Ooooooh

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 11 หลายเดือนก่อน

    Nipe number za mr.Eric tafadhali

  • @salscommunication1910
    @salscommunication1910 5 ปีที่แล้ว

    Eric nkukubli sana naomba kukuona walau tu nijue ratiba yako nijue upo wapi nitakuja

  • @lukambalai3282
    @lukambalai3282 8 ปีที่แล้ว +1

    tunajifunza mengi sana kupitia nyinyi

  • @tabithaerastoshukrani.90
    @tabithaerastoshukrani.90 4 ปีที่แล้ว

    😁

  • @paschalzanzibar3127
    @paschalzanzibar3127 8 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu nmejifunza mengi sana katka maisha yangu naahidi kuyafanyia kazi huenda ndo msaada wangu