Kulingana na Mimi hiyo roho ambayo imeaidiwa ya Musa na eliya Ni prophet Awuor kwa sababu wanahubiri yesu anakuja pia hayo mapepo yanatumia waumini wake walioanguka Ili kupotosha wale ambao wako na kiu ya kumsikiliza pia pepo sinatoa ndoto na maoni ya uongo kwa watu wasio na roho wa MUNGU pia wanapigwa Vita hii ujumbe wenu umenifanya nijue yeye Ni nabii wa MUNGU
@@hellenngecho4893 madam Hellen for your information Iam a believer l don't fight salvation or rather christians BUT. I don't just buy any testimony sawa mama?
Ujumbe wa ajabu kweli huu. Nafurahia hii channel kutoka hapa Kenya🇰🇪.
Ahsante sana kwa ku upload
Powerful soul touching and life transforming testimony to the glory of the AlMIGHTY GOD and our LORD JESUS CHRIST.
HALLELUJAH.
GOD IS GREAT
AMEEN
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wenye kubadilisha nafsi za watu
Ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
Mh injiri na maono ya siku za mwisho,mungu lisaidie kanisa la kizazi hiki,tupe mwisho mwema,barikiwa mtumishi
Naomba kujulishwa Kanisa ambalo liko Kenya liwapi. Ahsante
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa BWANA
Natamani kuwa km we lkn sijui nianzie wap. Eeh mungu tusaidie sisi waovu. Amen
Amen Amen Mungu mwema sana
Asante sana kwa ujumbe mzuri, Mungu atupe mwisho mzuri. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen Amen God bless you all AMEN AMEN
WOW BARIKIWA SANA NILIKUWA NAUSIBIRI KWA HAMU SANA
Mungu wetu tusaidie sana
Bwana Yesu asifiwe sana, Mimi nauliza huyu mtumishi wa Mungu anakuja lini Dsm?
Waoooo ,ushindwe mwenyewe tu kufika mbinguni lkn Mambo yote BWANA YESU KRISTO ataweka wazi
I want this testimony in English. Asante sana 🙏
Tupe nguvu Bwana za kushinda
Barikiwa sana
Ameeeeeeen man of God
Helo mbona ule ushuhuda wa amosi uliishia part 15? Muendelezo please
Tupo pamoja Bwana n mwema
Naomba no ya baba mchungaji
MUNGU tunaomba utupatie mwisho mwema
Amen
Ameen
Kwa imani tutafika mbinguni tujitahidi wapendwa
Amen 🙏 🙏
AMEN
Wapi hii kanisa katika kenya
Mimi niko kenya 🇰🇪 Church yenu iko wap kenya 🇰🇪?? Plz
Kulingana na Mimi hiyo roho ambayo imeaidiwa ya Musa na eliya Ni prophet Awuor kwa sababu wanahubiri yesu anakuja pia hayo mapepo yanatumia waumini wake walioanguka Ili kupotosha wale ambao wako na kiu ya kumsikiliza pia pepo sinatoa ndoto na maoni ya uongo kwa watu wasio na roho wa MUNGU pia wanapigwa Vita hii ujumbe wenu umenifanya nijue yeye Ni nabii wa MUNGU
MUNGU APOKEE SIFA ZOTE NA UTUKUFU, KATIKA JINA LA YESU KRISTO
I don't even listen to such testimonies my spirit just won't agree
you know where u belong came back to Christ before still late 🙏
@@hellenngecho4893 madam Hellen for your information Iam a believer l don't fight salvation or rather christians BUT. I don't just buy any testimony sawa mama?
Amen
Amen
Amen
Amen