AGANO LA CHUMVI - PASTOR JOHN SEMBATWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Kuna mji maji na Nchi Mji ni mzuri lakini maji yanayopatikana kwenye huo mji yanaifanya Nchi kuwa na mapooza (Kutoa vitu visivyo kuna na uakamilifu) Baada ya wakazi wa huo mji kuona hivyo na kuichoka iyo hali ilibidi watafute msaada wa kiroho kwa Nabii wa Mungu Elisha, Walipofika kwa Nabi Elisha walimwelezea changamoto Elisha akaenda kwenye chanzo cha maji akaichukua chumvi akaiweka kwenye chombo kipya kisha akaiweka kwenye chemchemi ya maji mahali ambapo ni chanzo cha Maji kwa mji wole (Chanzo cha tatizo la kuzaa mapooza). Kutatua tatizo lolote lazima ujue kwanza chanzo cha Tatizo lako, Ungana nasi kwa kusikiliza somo hili Mwanzo mpaka mwisho na Mungu atakubariki na kukuwezesha kujua chanzo cha tatizo ulilo nalo.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
    #Sunbellakyando #Johnsembatwa #Chumvi

ความคิดเห็น • 10

  • @janelaflin1816
    @janelaflin1816 ปีที่แล้ว

    Ameeen Asante kwa maombi haya.
    Kanisa liko wap

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila baraka atakayo tamka mtumishi na Mimi naipokea kwa jina la yesu Kila mapooza kwenye maisha yangu na familia yangu leo ni mwisho ninaamini kutakasika

  • @mahalawanamahalawana4019
    @mahalawanamahalawana4019 6 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na hibada hii kwa jina la Yesu kristo naiwe ivyo

  • @marywanyika6924
    @marywanyika6924 5 หลายเดือนก่อน

    2 kings 2-19...

  • @officialsamwelmbenjile4141
    @officialsamwelmbenjile4141 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri.....🙌🙌🙌

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 ปีที่แล้ว

    Amen. Mema yanifate pahalipopote natangu sasa

  • @julianajaphet8864
    @julianajaphet8864 3 ปีที่แล้ว

    Ameen kubwa...chumvi huondoa kila aina ya Mapooza...

  • @JoyceMungula
    @JoyceMungula ปีที่แล้ว

    Ameeen nakili mema

  • @Besmile27
    @Besmile27 3 ปีที่แล้ว

    Najiunganisha ba ibada hii kwa jina la Yesu

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙌🙌🙌