shalom, mtumishi wa bwana wetu yesu kristo, naitwa ndungu pierre napenda Sana ushuunda abanzo unanzo funuliwa na roho mutakatifi na mimi ni mu kristo, bwana wetu yesu kristo akupenguvu, yakuubiri neno kwa husaii amen🤝🤝🙏🙏
hakika ushuhuda huu unanifanya nione vitu vya thamani kama pesa na magari ya kifahari kuwa ni kama takataka tuu wala havinishtui hata kidogo..... nakupenda sana BWANA WANGU YESU KRISTO, WEWE NDO FAHARI YANGU. MSALABA MBELE MAISHA YANGU NYUMA
Mtumishi mtu anaweza omba vipi dhidi ya mask za uzee? Mimi na mume wangu na watoto wangu tuna sura ambazo SI zetu hata watu pia hutuambia mbona umebadilika.

AMEEN mtumish mungu akubariki sana kwa huu ushuda endelea sana kutufungua ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 2:54
AMEN🙏🙏🙏nimebarikiwa na nazidi kufwatilia🙏🙏🙏💞
Ameen following from Kenya 🇰🇪🙏
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwahili nimeanza kuchukua hatua ili nifunguliwe pia Mungu awabariki kwa utumishi ili tupone kanisa la Mungu
Hongera sana mama mchungaji Kwa kutafsiri vizuri ushuhuda huu, BWANA YESU KRISTO aendelee kukutumia Kwa viwango wa juu
Ahsante kwa ushuuda huu,namuomba Mungu anirehemu ,kwa kweli mbinguni ni mbali
Asante Bwana kwa rehema zako
Bwana Yesu atusaidie
hakika ushuhuda huu unanifanya nione vitu vya thamani kama pesa na magari ya kifahari kuwa ni kama takataka tuu wala havinishtui hata kidogo..... nakupenda sana BWANA WANGU YESU KRISTO, WEWE NDO FAHARI YANGU. MSALABA MBELE MAISHA YANGU NYUMA
Turehemu Bwana Yesu. Tujaze neema na rehema. Ameeen
Ee Mungu Nirehemu...
Glory to God Almighty and our LORD Jesus Christ
Mungu wa rehema aturehemu
Kweli tunatakiwa kuomba Vila kukoma
Mwenye sikio na Asikie lile ambalo Roho Ayahambia makanisa.
Haya ndio mambo makubwa na magumu ambayo Bwana alisema kwenye Yeremia 33:3
Oo God 😳
Nawapenda 🌹
Hallelujah!Amen
Mtumishi mtu anaweza omba vipi dhidi ya mask za uzee? Mimi na mume wangu na watoto wangu tuna sura ambazo SI zetu hata watu pia hutuambia mbona umebadilika.
Siri zifichuliwe tu