Aise..Nimejifunza kitu kikubwa sana. 1. Kabla sijapokea jibu la ombi langu kwa Bwana, huja mtihani kwanza Tena nisioujua, ili kunithibitisha katika kupokea Nilichoomba 2. Tena nionapo majibu yanachelewa Kuja au sipokei kabisa majibu ya maombi yangu, sitakiwi kulalamika...yamkini nilianguka ktk mtihani. Natakiwa kunyeyenyea kwa Toba...Eee Mungu nisaidie.
Asante Mungu nimesikiliza hapa jamani maana sasahiv tu mtu kaomba elf mbili akawasagie watoto unga wa uga wale yaani ni mtihani kabisa kwangu kwani nilisema hii hela ngja niweke kwenye kibubu kabla sijaweka naona sms Asante Mungu nimepata kitu acha nimpe msikini huyu jamani ,Mungu wew ni mkubwaa
Amina Amina MUNGU atukuzwe milele
Bwana Yesu asifiwe wapendwa ushuhuda ni mzri sana tunaomba muwe mnaweka hata vipande viwili ndg zetu tunawapenda
Mungu wa mbinguni akubariki sana natamani nione muendelezo wake.
AMEN AMEN 🙏 🙌 USHUHUDA MZURI SANAA LETENI ZINGINE MINGI NI ZA KUJENGA WATU SANA KIMAARIFA AMEN 🙏
Amen 🙏🙌 nimejifunza kitu hapa🙏🙏
Amen Amen nazidi Kubarikiwa Sana,
Eeeeee Yesu nipemoyo wa ukalimu
Barikiwa sanaaaaa watumishi wa MUNGU alie hai
Sio ufame ni ufalme. Mungu akubariki
Kwa kweli MUNGU anatupenda hapendi tupotee Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU
AMINA AMINA
Bwana Yesu na kuomba unipe roho ya ukarimu
Sifa kwa BWANA YESU
Amina.
Barikiwa sna kw ushuhda huu❤
Bwana Yesu nisaidie niwe na Roho ya ukarimu ili niishinde mitihani yote unayoileta kwangu
Thanks for uploading,Mungu atusaidie tuyaishi mapenzi yake.
Amina Amina Mungu akubariki sanaa
Ee Mungu naomba nisaidie
Amen
Amina Amina wekeni shuhuda next tunabarikiwa Kenya tena sana
Amen
@@shuhudazakweli3406 Tafadhali mje Mfunguwe kanisa Huku Kenya
Tutakuja kwa neema ya Mungu
Watu kama hawa
Adhiambo my sister waambie
Amen, Mungu awabariki sana.
Amen Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
MUNGU tusaidie ktk mitihani na majaribu ya kidunia.Tushinde na kupata utajiri na heshima.
Barikiwa
AMINA NA AMINA MUNGU NAOMBA UNISHINDIE NIFIKE NA KUSTAREHE NYUMBANI MWAKO
Aise..Nimejifunza kitu kikubwa sana.
1. Kabla sijapokea jibu la ombi langu kwa Bwana, huja mtihani kwanza Tena nisioujua, ili kunithibitisha katika kupokea Nilichoomba
2. Tena nionapo majibu yanachelewa Kuja au sipokei kabisa majibu ya maombi yangu, sitakiwi kulalamika...yamkini nilianguka ktk mtihani.
Natakiwa kunyeyenyea kwa Toba...Eee Mungu nisaidie.
Yes Doreen ni fundisho kubwa sana
Safi sana. Asante. Kuna part 2 ??
Naam
Amen.
Amen Amen
Asante Mungu nimesikiliza hapa jamani maana sasahiv tu mtu kaomba elf mbili akawasagie watoto unga wa uga wale yaani ni mtihani kabisa kwangu kwani nilisema hii hela ngja niweke kwenye kibubu kabla sijaweka naona sms Asante Mungu nimepata kitu acha nimpe msikini huyu jamani ,Mungu wew ni mkubwaa
MUNGU wambinguni atusaidiye tuwe naroho yaukarimu
Mbona hamtoi mwingine
MUNGU atureemu
Tutajuaje kama huu ushuhuda ni WA kweli
Angalia ujumbe unaotolewa je umebeba haki au upotofu
Pima kwenye neno la Mungu na umuombe Mungu akufunulie.@@PatrickMathias-cs9qc
Amen
Amen