Martha Mwaipaja - HATUFANANI (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.9K

  • @marywangui4534
    @marywangui4534 14 วันที่ผ่านมา +45

    Wenye wametoka TikTok Beatrice akianika Martha na bdo tunampenda waweke like jameni

  • @HabeeberSalumu
    @HabeeberSalumu 7 วันที่ผ่านมา +13

    Walio view this song baada ya kupata skendo za dada naomba like hapa
    Ila mungu akutie nguv dada maisha yanasiri kubwa sanaaa
    Nakuombea utashinda

  • @Princesam7469
    @Princesam7469 3 ปีที่แล้ว +1273

    Martha barikiwa sana KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakupenda,,,,,,wapi likes za wakenya

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 ปีที่แล้ว +6

      Tena sana

    • @anneomesa405
      @anneomesa405 3 ปีที่แล้ว +11

      I love Martha. I see the glory of God through her physical appearance and ministry. She's glorious!! Love from kenya

    • @Princesam7469
      @Princesam7469 3 ปีที่แล้ว +4

      @@anneomesa405this is true

    • @ningebrigitte6314
      @ningebrigitte6314 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Princesam7469 merci dada Mungu akubariki

    • @ezekielrobart1645
      @ezekielrobart1645 2 ปีที่แล้ว +1

      @@RoroRoserororo but not apop

  • @joyandhopejahmediagroup9787
    @joyandhopejahmediagroup9787 7 หลายเดือนก่อน +114

    kama uko hapa 2024 na bado unabarikiwa sema Halelujah

    • @annarweyemamu3471
      @annarweyemamu3471 7 หลายเดือนก่อน +2

      Neema ya Mungu huja kwa wakati wake,mwamini Mungu ndugu yangu utafanikiwa

    • @AnisaMwende
      @AnisaMwende 7 หลายเดือนก่อน +1

      Halelujah , Amen

    • @AgnessKomba-qg1es
      @AgnessKomba-qg1es 7 หลายเดือนก่อน +1

      Haleluya

    • @janemuthoka4645
      @janemuthoka4645 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hallelujah

    • @AshleyRose-m7z
      @AshleyRose-m7z 6 หลายเดือนก่อน +1

      Aleluya​@@AnisaMwende

  • @SemeniModo
    @SemeniModo 14 วันที่ผ่านมา +8

    Simama imara mama..embu tafakari bikira maria mama wa Yesu alibeba mimba nje ya mume wake..je majiran walimjadilije walipo sikia kabeba mimba ya rohon mtakatifu wasioamini walimhukumu vip yule mama??hivo jifunze kunyamaza itakusaidia

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 3 ปีที่แล้ว +751

    If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus Mighty name. Amen

  • @Akimankevine
    @Akimankevine 5 หลายเดือนก่อน +60

    Warundi wenzangu nani amependa iy nyimbo Kam mimi naomb at like moja❤

  • @bronzejeru2814
    @bronzejeru2814 3 ปีที่แล้ว +523

    Everything about this lady is perfect....from her spirituality ,lyrics, holiness, neatness, dress code and vocals 💗💗💗💓💓

    • @gordonomondi7161
      @gordonomondi7161 2 ปีที่แล้ว +12

      Very simple lady, No spirit of Jezebel in her. Some gospel singers are too worldly in their dressing ie bright red lipsticks, bleached skin, admiring the white man's skin, fake hair and nails. ( Very unsophisticated gospel singer). Keep it up.

    • @wendymatara5710
      @wendymatara5710 2 ปีที่แล้ว +3

      @@gordonomondi7161 treu

    • @tomkiptenai
      @tomkiptenai 2 ปีที่แล้ว +2

      Absolutely. Great content 👍

    • @sylviamurumba1537
      @sylviamurumba1537 2 ปีที่แล้ว +1

      My best gospel atleast ever God lift u mama as y continue blessings us through ur songs,ur simplicity is admirable....yes mungu hatazami Kama mwanadamu

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @kizito8592
    @kizito8592 ปีที่แล้ว +55

    Hii nayo ilinifunza kwamba kila MTU na siku yake ya kubarikiwa usikasirikie mwenzako anapo barikiwa ngojea kwa Mungu baraka yako

    • @davisdid673
      @davisdid673 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli tulipokuwa tuna tembea kwa miguu kwa nehema tunapo zunguka na Gari leo wale jana walitu dharau leo wame badilisha Maongezi Kila mtu na mda wake kweli

  • @Hillz533
    @Hillz533 8 หลายเดือนก่อน +13

    Good morning i need prayers 😢

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +22

    Kweli hatufanani,kila mtu na neema yake🙏🙏🙏tuendelee kuomba neema ya Mungu itufunike 🙏🙏🙏

  • @doreenotunga8366
    @doreenotunga8366 3 ปีที่แล้ว +22

    Hatufafani😍😍, juu wimbo ni ya kumpa mtu tumaini.. Kuna neema inakusaidia na ni kutoka Mungu. Kila mtu na neema yake.

  • @ManirakizaAimee
    @ManirakizaAimee 2 หลายเดือนก่อน +9

    Martha barikiwa napenda sana nyimbo zako❤🎉🎉 kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SallyAjaa
    @SallyAjaa หลายเดือนก่อน +8

    Kama waamini kwamba Kila mtu ana neema yake weka lit plz, am more blessed with this song🙏🙏

    • @dennismongere230
      @dennismongere230 26 วันที่ผ่านมา

      Hatufanani enyewe mungu ndie anajua.

  • @wycklifeoketch
    @wycklifeoketch 5 หลายเดือนก่อน +14

    Amen 🙏
    Let me leave this comment here so that when I will be gone in 80yrs to come, some people will read it.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +7

    Its your smile for me😇😇😇😇MashaAllah 🙏🙏🙏upako juu ya upako

  • @boaznyachon2835
    @boaznyachon2835 2 ปีที่แล้ว +165

    Am a Muslim but can't stop listening to matha's songs so uplifting,whenever I feel sad just go to her TH-cam channel and just like that I conclude kwamba hatufanani.thank u God for giving us matha

  • @LilianLuvuka
    @LilianLuvuka หลายเดือนก่อน +7

    I love this song,huwa yote napitia huu wimbo unanikuza

  • @DanielChauya
    @DanielChauya ปีที่แล้ว +13

    We love you from Iringa Tanzania 🇹🇿🇹🇿 tunakupenda sana 🙏😍😍🙏🙏

  • @DeboraMaiga
    @DeboraMaiga 10 หลายเดือนก่อน +12

    Matha mungu akutangulie maana nyimbo zako huwa zinanifanya moyo wangu unakuwa huru sana

  • @JuniorGaddafi3978
    @JuniorGaddafi3978 3 ปีที่แล้ว +15

    Dada Martha huwa nyimbozo hunibariki mnoooo
    Tangu nikujue yaani sijawahi jutia....
    Nairobi, Kenya 🇰🇪

  • @Fatuma-s4i
    @Fatuma-s4i ปีที่แล้ว +10

    Martha mungu azidi kukuinua wewe unafariji wengi walio vunjika mioyo tunakupend from kenya💖💖💖

  • @lingongmartha9580
    @lingongmartha9580 11 หลายเดือนก่อน +29

    Hello Martha!
    I write from Cameroon 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 🇨🇲 . I was travelling when in sleep I got this song being played in the bus. I woke n listened again with lots of attention. While listening to this song, I kept wondering how I would get the title from the driver. immediately the spirit told me to connect to the song thro Shazam. I immediately removed my phone and in less than a second, Shazam picked the song. I got more confused when it was my name that popped on the screen, then in amazement and all smiley it got done on me that it was my namesake singing. Oh Marthas are an embodiment of it all.
    Since then, I have not stopped listening to this song. I don't understand the lyrics, I have picked the few I can so far, I have contaminated my entire household and neighbourhood with the song as I hear some neighbors hmmmmming it already.
    This song brings peace to my soul. It's brings alot of joy to my heart. Thank you Martha, God's own. Thank you for availing your pretty self as a vessel to be used for his Glory in this generation.
    I have listened to your other songs, searched you on all social media platforms and following keenly. I am so happy I came across you.❤❤❤❤❤❤❤

    • @ihanomadili
      @ihanomadili 10 หลายเดือนก่อน

      Did u translate this song?

    • @maonezinyagalu9393
      @maonezinyagalu9393 9 หลายเดือนก่อน

      Thank you for your love.
      Welcome to Tanzania

    • @tullyndongo6242
      @tullyndongo6242 4 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @LightnessJamess
    @LightnessJamess 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda daima kama mboni ya jicho lake na akufiche chini ya uvuli wa mbawa zake, Nakupenda sana Dada Matha"Nyimbo zako zote zimebeba utukufu"Mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu ya kuvuka na kushinda kila milima na vilima.❤

  • @masetedehalfgb.254
    @masetedehalfgb.254 2 ปีที่แล้ว +87

    Indeed everyone carries their own grace. Everyone reading this, may God's grace, favor, mercy and presence always be with you and your families throughout this year and the years to come. Experience the blessings of the Lord in your lives. We love you Martha, I glorify the Lord for this. Kenyans we rank you, please let's give a thumbs up to show our love ...

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @moffattrump6022
      @moffattrump6022 ปีที่แล้ว +1

      ,,,, so uo

    • @Moses-t9v
      @Moses-t9v 17 วันที่ผ่านมา +1

      Amen 🙏 🙏

  • @yvonneanyango6010
    @yvonneanyango6010 2 ปีที่แล้ว +72

    I hear all the gospel but hearing this made me think of my mom ,who is sick please put me in prayers and may she receive the healing in Jesus name 🥺🥺🙏

    • @lidahmukiri4768
      @lidahmukiri4768 ปีที่แล้ว +1

      Healing is her potion in Jesus name Amen

    • @landuhorseylandu9532
      @landuhorseylandu9532 ปีที่แล้ว +1

      let jesus christ do samething

    • @teacherbenreagan
      @teacherbenreagan ปีที่แล้ว

      I begin by saying our portion as children of our Lord and His son Jesus christ,we are ordaimed to be healthy at any cost. We are above every sickness and health attacks. I command healing upon her life in the precious name of Jesus christ

  • @marysnider4088
    @marysnider4088 3 ปีที่แล้ว +41

    Martha na siku moja nitaimba kama wewe.Napenda sana injili kwa nyimbo zako.

  • @NdayishimiyePacifique-xo7ry
    @NdayishimiyePacifique-xo7ry 5 หลายเดือนก่อน +7

    Amen
    Burundi tuko pamoja na wewe martha na mimi nipewa kibali chakuokoka kupitia nyimbo zako
    Imana iyo buhungira bwacu twese

  • @MbarikiwaIsack
    @MbarikiwaIsack 10 วันที่ผ่านมา +1

    SHALOM mtu wa Mungu
    Natamni nikuambie kitu kutokana na hali unayoipitia kwasasa
    Lakini natamani ufahamu kwamba Mungu anakupenda na Mungu ameruhusu haya ili utubu ubadilike
    Kuogopa watu watakuonaje ukiwa unatengeneza na Mungu ni hatari sana
    Niheri haibu ya mda mfupi kuliko kuishi maisha yasiyo ya Amani
    Mungu anasema anakupenda sana na usipo kubali kubadilika Mungu atakuweka wazi peupe

  • @carolmitheu4212
    @carolmitheu4212 13 วันที่ผ่านมา +2

    Na hao wanaropoka ati hataji Mungu kwani wanaskiza volume ikiwa
    @zero ama? I love the way she adore God the supreme on this song.

    • @preciouschild1246
      @preciouschild1246 8 วันที่ผ่านมา

      Miungu ni mengi hujui ni mgani anataja

  • @KennedyLundoyi
    @KennedyLundoyi ปีที่แล้ว +10

    This woman is anointed and she has an excellent spirit. Continue with the same spirit. The crown awaits those who are not ashamed of Jesus🙏♥️🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @sp7711
    @sp7711 3 ปีที่แล้ว +127

    Mwaipaja Martha is one of the finest gospel musicians of our times. She delivers quality and spiritually uplifting music with unparalleled simplicity, humility and high level maturity.

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @margretb2494
      @margretb2494 2 ปีที่แล้ว

      Amen mungu Akumbariki Sana Martha ninapinda Sana yimbo zako sana

  • @asmamjema8539
    @asmamjema8539 13 วันที่ผ่านมา +2

    Unapata wapi nguvu yakujimwafai, ili hali mama ako alokubeba miez 9 akakuzaa, pengine hata angewaza kutoa mimba usingekuwepo dunia hii, bas mzazi ni mzazi dada rudi kwa mama yako umsaidia kutoa nyimbo zako zakujimwambafai hazitakusaidia kitu zaid ya laana, ukifany hivi inaonyesha kwamba unapingan na mzazi wako, chozi la mzazi haliendi bure😭😭😭😭

    • @MamaKevin-m1t
      @MamaKevin-m1t 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We kalale,,,,,, ulikua uko ukaona ni ukweli 😏😏sisi tunataka nyimbo c mambo Yao ya nyumbani kila familia Ina mambo yake

  • @godloveelikana4241
    @godloveelikana4241 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna aliyekamilika ila Yesu pekee.Mungu hupendezwa na moyo wa toba.Anasema mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.Yesu anawapenda wote.Mungu awatetee familia ipate amani.Amen🙏

  • @allynashon8373
    @allynashon8373 3 ปีที่แล้ว +48

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, wimbo huu umenibariki sana.

    • @nasibukilawa8600
      @nasibukilawa8600 3 ปีที่แล้ว

      Nyimbo zako znanfarj sana mtumish wa Mungu matha.

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @ricks8253
    @ricks8253 3 ปีที่แล้ว +189

    This song has the whole summary of the true life story... "we all should never compare ourselves, our life journey was scheduled differently and it's totally different from person to person"... Kila mtu na nema yake hatutafanana... Amen🙏. Your songs are gorgeous, continue encouraging us with them and we will never be timid. 👋

  • @lilianlee3974
    @lilianlee3974 2 ปีที่แล้ว +68

    Frankly speaking,, you are my favorite gospel star despite being a Kenyan.. You dont sing for fame, competition or money,, it comes from deep within the overflowing well God dug in you girl.. Valued and highly cherished with love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @12alexmcy
      @12alexmcy 2 ปีที่แล้ว +1

      Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @jonathanjuma1106
      @jonathanjuma1106 2 ปีที่แล้ว

      Nyimbo ni za faraja mno.nakupenda sana Martha. Mungu akuiniwe kwa viwango vingine vipya.

    • @annamironga7151
      @annamironga7151 2 ปีที่แล้ว

      Amen when shall not be the same

    • @tommymumba6515
      @tommymumba6515 2 ปีที่แล้ว

      ❤❤

  • @tunaheriMhema
    @tunaheriMhema 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ili uitwe mshindi lazima upambane usiogope 🦁

  • @OrediSony
    @OrediSony 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nyimbo hamna jina la YESU,, NI WEWE BABA tu na MUNGU TU sasa sijui ni mungu gani

  • @princebravoKE
    @princebravoKE 3 ปีที่แล้ว +78

    Others will realize this blessing later but for us tumegundua mapema hatufanani, asante Yesu🙏!

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @mamelitangemela2405
      @mamelitangemela2405 2 ปีที่แล้ว +1

      Sure, Only God knows everything about us.

    • @betreacechebet2664
      @betreacechebet2664 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli hatutafanana

    • @maxachaba4361
      @maxachaba4361 2 ปีที่แล้ว +1

      Kila mtu na neema yake hatulingani asante

    • @franciswathika1202
      @franciswathika1202 2 ปีที่แล้ว +1

      Halleluyah

  • @carolinembuvi6913
    @carolinembuvi6913 3 ปีที่แล้ว +13

    Kweli hatufanani kuna neema inafanya mambo,,,,asante Martha kwa wimbo mzuri,,,barikiwa sana❤

  • @MercieNash-o6t
    @MercieNash-o6t 6 หลายเดือนก่อน +7

    Martha we love you so much uku Kenya.....ni ukweli atufanani

  • @bahatimwaisumo8826
    @bahatimwaisumo8826 14 วันที่ผ่านมา +1

    Martha mdogo wangu wako azidi kukusimamia kwa yote, ila nimekupenda bure mtumishi wa mungu maana unatuponya wengi.

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 12 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Matha. Mungu amekutumia sana kuponya mioyo ya wengi Yesu akuponye na usonge mbele.❤❤❤

  • @mariyashadiashadia714
    @mariyashadiashadia714 2 ปีที่แล้ว +63

    gonga like hapa kama una mkubali martha mwaipaja kila siku liki 3 tu leo na mimi nna omba like...aya twendekazi

    • @JoyceTerer-y1k
      @JoyceTerer-y1k 8 หลายเดือนก่อน +2

      Nyimbo inanitia moyo

    • @plamediekankolongo
      @plamediekankolongo 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@JoyceTerer-y1k❤

    • @AsiaKingazi
      @AsiaKingazi 6 หลายเดือนก่อน

      Ameen ubarikiwe dada

    • @Emily-hq1rw
      @Emily-hq1rw 4 หลายเดือนก่อน

      Martha mwaipaja, aki unaniinua sana barikiwa

  • @AgneskendiAsiko-ng3yh
    @AgneskendiAsiko-ng3yh 6 หลายเดือนก่อน +5

    Be blessed,yenye hatutafanana siku zote Kila mtu na Neema yake alichopewa na Mungu tusichukiane,juu ujui mahali Mungu amenitoa,barikiwa sana Mather nyimbo zako zinamafunfo mengi.

  • @beversentertainment1106
    @beversentertainment1106 3 ปีที่แล้ว +9

    Wooow 👌 kwa kweli hatufanani dada mwaipaja, wimbo wa baraka saaana dada, tuu tofauti na kila mtu anabarikiwa kwa njia zake

    • @FaustaKajoro
      @FaustaKajoro ปีที่แล้ว

      Dada angu nakupenda sana nyimbo zako haziniishi hamu

  • @PendoMwenda-dl9dn
    @PendoMwenda-dl9dn หลายเดือนก่อน +2

    Kuna neema imenibeba mimi. Thanks for the message. From your fan, Malawi

  • @aumaobel9038
    @aumaobel9038 15 วันที่ผ่านมา

    Today napitia nyimbo za Martha yote ❤❤❤❤...keep soaring high dear,,Mungu kwanza

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว +6

    Mi naskia kubarikiwa tu jamani,kila nikiskia hii nyimbo🙏🙏🙏🙏

  • @florencejohnstone2333
    @florencejohnstone2333 ปีที่แล้ว +4

    Nikweli HATUFANANI mungu uko kwa maisha yayoyote.

  • @mirajinabaswa2492
    @mirajinabaswa2492 4 หลายเดือนก่อน +42

    Kama unakubali kil mtu ana neema yake gonga lykes za Martha plz

  • @NusratMundrick
    @NusratMundrick หลายเดือนก่อน +1

    Matha nakupenda sana dada kwajili ya mungu nyimbo zako zinaujumbe kiukweli mda wote napenda kuzisikiliza

  • @abrahamlainialex9683
    @abrahamlainialex9683 27 วันที่ผ่านมา +1

    Kila mtu na neema yake tu huu neema umenibeba mpaka leo hii....ni neema tu asante sana Yesu kwa neema yako.

  • @wordsofhopewestpalzab4875
    @wordsofhopewestpalzab4875 3 ปีที่แล้ว +22

    Mwimbo huu huongea maisha yetu hapo chini ya Jua. Ila Mungu ni mwingi wa neema sana Kwetu ili tutunzwe naye. Asante #Martha kwa Kazi hii ya huduma Songa Mbele Zaidi, kwani wewe ni baraka kwangu. Congo DRC nawapenda Ninyi Huko East Afrika. mwaka huu uwe mpya kwetu. 2022

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @clementsemizigi7150
      @clementsemizigi7150 2 ปีที่แล้ว

      Penda pia karibu tz niwe mwenyeji wako

  • @francisnjau6253
    @francisnjau6253 6 หลายเดือนก่อน +4

    I love❤ this song for free kwa kweli hatufanani kila mtu na neema yake... much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hellennicole4500
    @hellennicole4500 3 ปีที่แล้ว +119

    Everyone has grace according to how is apportioned by Christ Jesus. Ephesians 4:7 so powerful. Tuna neema yenye viwango tofauti, hallelujah!!🙌

  • @GlowGloriah
    @GlowGloriah หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa saana dada Martha 🙏🏻❤️‍🩹,,nyimbo zako huwa zanitia moyo saana..

  • @noluntugumbo1286
    @noluntugumbo1286 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤ i don't understand the language but today i was watching Gospel on Dstv the song appeared and I was touched by the energy from the singer calming and humbleness so i went on looking for song here I'm. I played it more that 10 times since 9am to 23:39 🙏 🙏

  • @kemuntovane5975
    @kemuntovane5975 3 ปีที่แล้ว +24

    Wow what a blessing 🙌 hatufanani kweli kila mtu na neema yake

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @faithwambua6017
      @faithwambua6017 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa🤲🙏

  • @nanadeechannel7276
    @nanadeechannel7276 3 ปีที่แล้ว +10

    Wen i was laid off back in 2020,,i fell into a very deadly depression,,i remember sleeping 24/7 and feeling really hopeless,,then one day i opened youtube and saw your song martha,,"SIPIGANANGI MWENYEWE"....from that day i woke up and began walking,,right now am running my businesses and about registering a company,,,God is faithful,,,Am so proud and grateful for God that ministers in you Martha,,huo ni ushuhuda wangu na nitaishi kuusema....Mungu kweli si binadamu..🙏🙏🙏

  • @beingpurity
    @beingpurity ปีที่แล้ว +51

    If you're here listening to this song after 5years weka like yako.

  • @DevineAkinyi-g8y
    @DevineAkinyi-g8y 14 วันที่ผ่านมา

    Amen🙏🙏♥️yes hatufanani unaeza nitazama jinsi nilivyo ukanichukulia unavopenda lakini kila mtu ana neema yake atakapo nibeba juu kila mtu atashangaa🙏🙏🙏

  • @Nightingal12-pw3cx
    @Nightingal12-pw3cx 21 วันที่ผ่านมา

    Mi nimu Uganda lakini kiswahili yangu sio muzuri , napenda kuwuliza nyimbo zako zinapumuza mwoyo wangu. Asante sana na mungu akubariki

  • @shiladeironlady5858
    @shiladeironlady5858 3 ปีที่แล้ว +40

    Amen! Amen! Amen! Be blessed visit 🇰🇪 sister. You are such a wonderful singer. God bless you

    • @jemeskirimi3448
      @jemeskirimi3448 2 ปีที่แล้ว

      Amen mungu akuvariki san🙏

    • @joycebeyadi3457
      @joycebeyadi3457 2 ปีที่แล้ว +1

      Am blessed more grace mama

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @willamsk9704
    @willamsk9704 ปีที่แล้ว +13

    Don't compare people ,we are not the same each one with a different grace . This song is sweet ❤ . Sister you are a blessing to our generation .

  • @maedajoycemary225
    @maedajoycemary225 3 ปีที่แล้ว +13

    Nice song 🎵. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Unazidi kutubariki kwa ujumbe wa nyimbo zako. Love from Tanzania 🇹🇿 ❤ 💕

  • @fridahaluchio8364
    @fridahaluchio8364 15 วันที่ผ่านมา

    Nimefika baada ya ushuhuda Wa dadako mdogo,,, kweli Kila mtu na neema yake hatufanani❤😊

  • @rufuskwenah7057
    @rufuskwenah7057 หลายเดือนก่อน +2

    I love this music, I don't understand swahili but a friend of mine explained it to me. It is meaningful

  • @tracyyaagatsi5331
    @tracyyaagatsi5331 2 ปีที่แล้ว +60

    Powerful Ministration full of the anointing; Am From Ghana 🇬🇭 and don't understand the lyrics but am blessed as long as its all about JESUS 🔥🙌🙏🙏❤️💐💕

    • @peking6509
      @peking6509 2 ปีที่แล้ว +7

      The song is about the grace of God,its encouraging us not to compare ourselves one to another,for our assignment isn't similar,where I'm today it's not a day event.actually it's ungodly to compare ourselves

    • @damaris1737
      @damaris1737 2 ปีที่แล้ว +3

      I like this ,,,we receive by faith💕💕

    • @alberthusseinkassa9929
      @alberthusseinkassa9929 ปีที่แล้ว

      Let me give you interpretation of I.
      We are not resembled, we are not equal, every one has is own grace, so is God has done to me, has vindicated me

    • @Chisambok
      @Chisambok 8 หลายเดือนก่อน

      May the almighty God 🙏 bless you ​@@peking6509

  • @tiongekamija6959
    @tiongekamija6959 2 ปีที่แล้ว +17

    This woman's songs hits my spirit differently,, I love you all the way from 🇲🇼 malawi 🇲🇼

  • @benjaminjuma7251
    @benjaminjuma7251 2 ปีที่แล้ว +56

    Through this song I feel there is yoke of bondage breaking in our lives, I wish God to continue expanding your ministry

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @samuelndemwa2122
      @samuelndemwa2122 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen. Hatufanani tuna neema tofauti.

  • @susanndevena328
    @susanndevena328 13 วันที่ผ่านมา

    Ile siku nilijua kila mtu amebeba nehema yake nilijifunza kungoja mungu na kumsikiza kwa makini😢❤🎉

  • @BettyNdiema
    @BettyNdiema 2 หลายเดือนก่อน +2

    A sante ❤❤❤ thank God good song I pray unto God one day I will have that encouragement of singing to our almighty God❤❤❤❤❤❤❤❤❤continue with that spirit

  • @ChristineJepkoech-y2y
    @ChristineJepkoech-y2y ปีที่แล้ว +15

    Whenever I come across your songs I always feel relieved ❤ sending hugs from Kenya 🇰🇪

  • @McWickie254
    @McWickie254 2 ปีที่แล้ว +16

    To be sincere i really love this lady..... I just enjoy watching her.....hope i will meet her one day... More love ❣️ from Nairobi Kenya 🇰🇪

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameen dada neema zetu ni tofauti sana ,Kila mtu na neema yake🙏🙏

  • @AbrahamMtuai
    @AbrahamMtuai หลายเดือนก่อน +1

    Incredible , blessings,, wimbo wa upako wa mungu , blessings
    all the way from Kenya, pamoja ❤️,

  • @fridahsigara3513
    @fridahsigara3513 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu aendelee kukuongezea malifa ya kubariki watu wake endelea kusimama imara na neno la Mungu ❤

  • @puritymuthamia1417
    @puritymuthamia1417 หลายเดือนก่อน +3

    Niko hapa,8th November 2024,Yesu ni Bwana

  • @MinisterSilas
    @MinisterSilas 3 ปีที่แล้ว +71

    We are graced and unique in our own ways.May this song minister to many.

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @lizmass3437
    @lizmass3437 3 ปีที่แล้ว +4

    A relaxed gospel musicians of all the time, Hatufanani kabisa neema MUNGU imetubeba

  • @maryk2545
    @maryk2545 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika hatufanani, Barikiwa sana dada Martha, nakupenda Sanaa napenda nyimbo zako zotee

  • @AnnaNakamanga-eq9ok
    @AnnaNakamanga-eq9ok ปีที่แล้ว +2

    Ninakupenda sana unaimba vizuri sana dada yangu ❤❤❤.may almighty God bless you

  • @tracyfaith4013
    @tracyfaith4013 3 ปีที่แล้ว +25

    Amen Amen Amen you have never disappointed Be blessed love from Kenya

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @mwimbajilyee3559
    @mwimbajilyee3559 3 ปีที่แล้ว +40

    Everytime I listen to your music I feel like my life has totally changed. Ur such a blessing to my life. God bless you 🙏

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @johndavidmasanja2012
      @johndavidmasanja2012 2 ปีที่แล้ว +1

      Nabarikiwa sana mungu azidi kukuinua

    • @rosaliakimeru9246
      @rosaliakimeru9246 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo nyimbo imenibariki ....God bless u sanaaa

    • @josephkivuva3302
      @josephkivuva3302 ปีที่แล้ว

      amen

  • @tharcissekabwe4087
    @tharcissekabwe4087 3 ปีที่แล้ว +53

    Desde México, te mando un abrazo, muchas gracias por esta canción. Cada persona tiene su gracia desde su nacimiento, no somos mismo sin embargo somos diferente y cada persona tiene su tiempo de bendición. Gracias a Dios que te dio esta voz y vocación para alabarle. entiendo bien swahili: HATUFANANI NA HATUTAFANANA Merci beaucoups Maman Martha

    • @annawangasa4344
      @annawangasa4344 3 ปีที่แล้ว

      True you understand it well really! Blessings

    • @soha-mamaafrika6123
      @soha-mamaafrika6123 3 ปีที่แล้ว

      Aminaaa 🙏🙏

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song 👉th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

    • @zephyrvivianne5763
      @zephyrvivianne5763 2 ปีที่แล้ว

      Oui elle chante une mélodie qui fait jailli dans mon coeur la paix du seigneur. Je t'aime chère soeur. Soeur Vivianne Zéphyr

    • @agapebby9967
      @agapebby9967 2 ปีที่แล้ว

      Kweli binadamu hatufanani tukeshe tukiomba

  • @JavanecxJeii-j7q
    @JavanecxJeii-j7q 12 วันที่ผ่านมา +1

    It's a blessing to have this lady comforting us with gospel

  • @GirlOfTheAfricanSoil_001
    @GirlOfTheAfricanSoil_001 หลายเดือนก่อน +1

    The grace that this woman has is on another level. Dear Lord, help me in my walk with you. Help me understand and stay humble with your Grace in my life🙌🏾

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 3 ปีที่แล้ว +6

    Hatufanani, this is my year of moving to another level 🇰🇪🙏

  • @derabaptistchurch6036
    @derabaptistchurch6036 3 ปีที่แล้ว +13

    Hatufanani. Kila Mtu na Neema na huduma yake. What a sermon. Blessings to you Mum

    • @lilianjames7537
      @lilianjames7537 2 ปีที่แล้ว

      Amen be blessed with this song th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html

  • @philismulabe2630
    @philismulabe2630 ปีที่แล้ว +11

    What I have been through since my husband was killed under unclear circumstance only God knows.........He is taking me through this tough journey,a widow at 31 years.......God protect our kids,hubby was killed because he worked hard for his family's future....rest in peace my 💕

  • @josephinepaul6169
    @josephinepaul6169 12 วันที่ผ่านมา

    Waliketi vikao wakuangushe BT Mungu ako upande wako dada....I remain to be your no 1 fan

  • @marykihika
    @marykihika ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe wako dada wanijenga Kila uchao kweli neema ya mungu ipo juu yako nakupenda sana

  • @violetkarani5104
    @violetkarani5104 3 ปีที่แล้ว +6

    Much love from Kenya, hatufanani kwa Neema ya Mungu 🔥🎉💕

  • @MuriakReshMa
    @MuriakReshMa 2 ปีที่แล้ว +14

    Anointed music 🎶 God expand your ministry beyond boundaries. Listening to the music and am extremely grateful and blessed.. Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 loves you.. ❣️❣️🙏🙏

  • @phoebeekunoit9985
    @phoebeekunoit9985 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo zako unibariki sana...Mungu akujazie neema huzidi kutubariki!

  • @godelivemuntumpe9436
    @godelivemuntumpe9436 ปีที่แล้ว +1

    Aksanti dada mungu azidi ku kubariki juu ya wimbo mzuri saana kila mutu na nehema yake

  • @ThereciaMattaso
    @ThereciaMattaso 7 วันที่ผ่านมา +1

    Unaimba vzr umeokoka samehe waliokukwaza patana na mama yako mtunze akiwa hai patana na ndugu yako kumbuka Mungu anatusamehe mangapi?

  • @aderinacharles9415
    @aderinacharles9415 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa sana dada yangu martha, Mungu azidi kukuinua