Mtoto wa 11, alizaliwa baada ya miaka 3, alizaliwa tarehe 11, mwezi wa 11, 2018 (11, 11, 11) possibly kuna 11 nyingine ambazo hazikuwekwa records. Maajabu!
Bikira Maria hawezi ponya Naamini ni roho mtakatifu, na kuomba kwa jina la yesus Naamini roho wa Mungu ndiyo alimuinhiya, na ule mama mtoto anaesema ni Malaika wa Mungu, alakini apana bikira Maria
Ukitaka kupata 11 ingine utaipata kwenye mwaka wake wa kuzaliwa (2018) yaani 2+0+1+8=11. Nadhani umeshaipata. Kuna kitu hapa juu ya Huyo mtoto ambacho kinaendelea na hakitajulikana kwa kupitia mifumo ya kiimani (dini) ambayo inaonekana kama ndiyo iko juu yake. Ndiyo maana hata kanisa halijui ila linataka kuchunguza.
Ahsante mama wa Yesu mama Maria kwa miujiza katika nchi yetu Tanzania na bara la Africa. Tunahitaji miujuza iki watu waweze kukuamini na kumfuata Mungu. Mungu mlinde mtoto na familia yake.
Mungu awezamtumia mtu yeyote na miujiza yake ni mikubwa..hatuna la kusema tumuachie Mungu, mtoto anasema tuombe na kutubu..TUOMBE NA KUTUBU NDIYO UJUMBE..TUOMBE NA TUTUBU.
God you chose this little girl to do what you want her to do, to heal pls Hod you will cover her with your precious blood and the parents and who help to work with her bless them and give her more wisdom to work has God has plan for her. I pray the blood of Jesus to cover her 24/7 in her ministry in Jesus name. Amen & Amen
Mungu wetu ni mwaminifu na anatumia vyombo vidhaifu kufanya kazi yake. Siku moja Mungu akinipa uwezo nitaenda kumuona huyu mtoto. Mungu akubariki na akulinde akupe Manisha marefu kwa jina la Yesu Kristo.
Mr Issack Mungu akubariki kwa tendo hili ulilolifanya kumsaidia mtoto huyu. Mungu akuzidishie. Pia nawapongeza kituo hiki cha TV kufuatilia habari za kijana huyu na kutufahamisha. Wengi hutoa taarifa za tukio mwanzoni na baada ya hapo watu tunakuwa hatujui tena nini kinaendelea
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda NA unapotea dini yako ya uslaam
Blessed be God, Blessed be His Holy name, Blessed be Jesus Christ true God and true man, Blessed be the Holy Spirit, the Paracalet, Blessed be Our Mother, Virgin Mary.
Hayo ndiomaombi kweli maana uyumtoto hajajua kutafuta umaarufu au kutafuta hela anatumiwa na Mungu kabisa. Mungu aliwatumia watu wazima sasa badae wanajichanganya nakutaka hela.
Mungu akutie nguvu..fanyika balozi uwe sehemu ya utumishi..tafuta namba zao za cm ufanye mawasiliano na familia aweze kuja kufikia watoto wanaopitia watoto.Yesu anaweza
That’s witchcraft sorry!! The devil masquerading as an angel of light!!! There’s nothing called Holy water in the Bible!! We have the precious blood 🩸 of Jesus Christ of Nazareth!!! By Jesus stripes we are healed!! Not by no plain old satanically inspired and cultic water !!! The Bible says that they overcame the devil by the blood of the lamb and by the word of their testimony!!! And you can’t worship Mary either that’s idolatry! There were many virgins in her day but God chose her just as a vessel to carry the holy babe! She had favor with God not because she didn’t have sins cause the word says all have sinned and have fallen short of God’s Glory! She need Jesus Christ to save her just like you and me do!! There is only one holy God, God the father son and Holy Ghost, God three in one holy trinity right? So where does Mary show up there? Where does Holy Pope show up there? Don’t gamble with your souls!!!
Baba mzazi pole sana kuna mambo matatu mhim uyafahamu mzazi na watazamaji pia.1.tendo la kukaa tumboni miaka3 siyo bwana. 2.Hugo MTU anaye mtokea siyo malaika Bali ni mzim wa uganga unao jionyesha kupitia mtoto, Huyo mtoto hana tatizo ila kuna mapepo humo,. 3.kuhusu uponyaji siyo kigezo Bali kigezo ni kuupima huo muujiza kama umetokana na Bwana au la,. 4.Mungu hana mipaka ya amtumie nani.,anatumia MTU yeyote,hivyo wazazi kwa wakati huu mnaweza kuwa mmenogewa na aina ya maisha mapya na ufumbuzi au utatuzi wa changamoto mlizokuwa nazo.,,msidanganyike Huyo nguvu siyo ya MUNGU.samahani lakini kwa kuvuruga ugali .
Our mighty God is doing great wonders. Can be seen from the unknown tobecome known global wide.His name be glorified. Let the little girl live long to save lives of hopeless servants Amen.Amen.Amen.
Glory be to God , he's using this kid for the world have changed and the elders have denying the world of God , using it as the house of business may the lord forgive them
May Almighty lord continue protect this little girl she is a gift from our mother Mary , keep it up to help our people who is sick be bless little girl 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
May God continue to shine in the young child,let mother Mary continue to appear to that young child.naomba aniombee Niko na uvimbe nda in yangu,ndugu yangu Ako na shida ya kufa kifafa,mamangu Ako na shida ya mguu , sister angu Ako na shida ya mguu wa kuria na ndugu yangu Ako na shida mingi ya magonjwa na mguu wangu wa kushoto Kwa magoti umeajana naomba kupitia mama maria ni pone
Sadaka ya babu yake imejidhirisha.Mungu azidi kumuimarisha ili mtoto atumike kuyagusa maisha ya binadamu wanaotaabika na magonjwa.Mama Bikira Maria aendelee kumtunza vyema mtumishi wa Mungu Eunice.amina
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele NA unapotea dini yako ya uslaam
Ee Mwenyezi Mungu kupitia maombezi ya mtoto yunisi kwa uweza wa mama bikira Maria naomba Mungu atende miujiza yake juu ya familia yangu apate kujiziilisha kwa shida na changamoto ninazoendelea kuzipitia
Aksante sana Mungu atukuzwe kabisa,tena azidi kubarikiya Mtoto hu pamoja nawa zazi wake. Nawomba Mtoto hu aniombeye japo nipo mbali lakini akiniombeya baraka za Mungu nitaziona magumu yangu itamalizika.
Kama mama hujaenda kwa wagaga wa kishenzi kutafuta huyo mtoto, basi Mungu wa mbinguni ajidhihilishe katka hiyo huduma yake na kama sio kusudi la Mungu mwenyewe, hiyo huduma na ife katika jina la Yesu kristo aliye hai
Amen, kupitia maombi ya huyu mtoto magojwa ya familia yangu yameisha.mambaya ya familia yameisha, utuiangi ya dawa saa kurefia hasa George grdson amepona. Amina
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam
Mtoto wa 11, alizaliwa baada ya miaka 3, alizaliwa tarehe 11, mwezi wa 11, 2018 (11, 11, 11) possibly kuna 11 nyingine ambazo hazikuwekwa records. Maajabu!
Bikira Maria hawezi ponya
Naamini ni roho mtakatifu, na kuomba kwa jina la yesus
Naamini roho wa Mungu ndiyo alimuinhiya, na ule mama mtoto anaesema ni Malaika wa Mungu, alakini apana bikira Maria
Apana imani ya catholiqeu
Wow
Mungu aendeleye kumuongezeya upako mupya
Ukitaka kupata 11 ingine utaipata kwenye mwaka wake wa kuzaliwa (2018) yaani 2+0+1+8=11. Nadhani umeshaipata. Kuna kitu hapa juu ya Huyo mtoto ambacho kinaendelea na hakitajulikana kwa kupitia mifumo ya kiimani (dini) ambayo inaonekana kama ndiyo iko juu yake. Ndiyo maana hata kanisa halijui ila linataka kuchunguza.
Ahsante mama wa Yesu mama Maria kwa miujiza katika nchi yetu Tanzania na bara la Africa. Tunahitaji miujuza iki watu waweze kukuamini na kumfuata Mungu.
Mungu mlinde mtoto na familia yake.
atukuzwe mungu mbinguni,maana ufalme wa mbinguni ni wao watoto
Glory to God,ahsante Mama wa Yesu Mama Maria kupitia mtoto huyu,umlinde na familia yake,kupitia kwake tupone.
Amen
Amen
Aaaaanaye Linda mutu ni mungu sio maman Maria imama Maria ni kiumbe kya mungu
Mungu awezamtumia mtu yeyote na miujiza yake ni mikubwa..hatuna la kusema tumuachie Mungu, mtoto anasema tuombe na kutubu..TUOMBE NA KUTUBU NDIYO UJUMBE..TUOMBE NA TUTUBU.
Afadhari ww umeongea vyamaana kuliko wanaowatukana eti njaa mbaya 🤲🤲
Umesahau Tufunge
Praise be to God for this gift,she is indeed a blessing from God,she is protected by the blood of our lord Jesus Christ, thank you mama Mary.
God you chose this little girl to do what you want her to do, to heal pls Hod you will cover her with your precious blood and the parents and who help to work with her bless them and give her more wisdom to work has God has plan for her. I pray the blood of Jesus to cover her 24/7 in her ministry in Jesus name. Amen & Amen
🎉🎉🎉🎉
😅
❤prayform
This Angel is Awesome,God:s servant,anointed,blessed.GLORY TO GOD.
What God can do no man can do what a wonderful miracle may God continue to protect you baby Angel ❤️❤️❤️❤️
Mungu wetu ni mwaminifu na anatumia vyombo vidhaifu kufanya kazi yake. Siku moja Mungu akinipa uwezo nitaenda kumuona huyu mtoto. Mungu akubariki na akulinde akupe Manisha marefu kwa jina la Yesu Kristo.
Tuungane cku ya kwenda mpendwa
She's a blessing. God bless her and use her mightly for conversion of souls
LET US THANK OUR MOTHER MARY FOR A GREAT GIFT
Asante Mungu kwa muujiza wako kupitia kwa mtoto huyu mdogo,kweli Mungu unamwinue yeyote umpendae
how wonderful power is yourk
I would like to know your area ,even paster can't do that
Mr Issack Mungu akubariki kwa tendo hili ulilolifanya kumsaidia mtoto huyu. Mungu akuzidishie. Pia nawapongeza kituo hiki cha TV kufuatilia habari za kijana huyu na kutufahamisha. Wengi hutoa taarifa za tukio mwanzoni na baada ya hapo watu tunakuwa hatujui tena nini kinaendelea
This beautiful Angelic girl has to be protected. She's highly gifted.
She's protected by the blood of Jesus already
Yaani kadili kunavyokucha mabadiliko yanakuwa mengi na muda ni mchache kwa kweli kila mtu na imani yake nikuomba mwisho mwema 🤲🏾
Amina
Atupe mwisho mwema
Uongo mtupu huu dalili za kiama izo
@@zalhathasaid2060 chunguza vyema
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda NA unapotea dini yako ya uslaam
Amina,
Nakuja,Nishuhudie Maajabu ya Mungu Mkuu.Nimemuona ndiye...
Nataman kuja huko nitumie hayo maji jamani ahimidiwe mungu
Mungu akulinde mtoto uwasaidie watanzania wapate uponyaji na ulimwengu mzima ❤️❤️
Amina
The all three names she has are exactly like mine... Eunice Atieno Otieno 😍 😍 such a blessed baby
Hapa ni Kenya? Coz naskia io ascent ni kijaluo
Blessed be God, Blessed be His Holy name, Blessed be Jesus Christ true God and true man, Blessed be the Holy Spirit, the Paracalet, Blessed be Our Mother, Virgin Mary.
Hayo ndiomaombi kweli maana uyumtoto hajajua kutafuta umaarufu au kutafuta hela anatumiwa na Mungu kabisa. Mungu aliwatumia watu wazima sasa badae wanajichanganya nakutaka hela.
Amakweli wengi tutaangamia kwa mauzauza haya
Pp
Kwa hiyo shida yako ni hela tu au nn
@@waytvtz2549 amna sio shida yangu milimanisha wengi wanatudanganya kuwa walitumwa na Mungu nakuomba hela eti ndio waombee watu
Hakika
Amina Amina jina la bwana lihimidiwe mungu akutunze daima mtoto wetu
Acheni watoto waje kwangu ufalme Wa mbingu ni wao
Please naomba mwenyeji anipe muelekeo nataka kuja na ni ngapi tikiki kutoka Nairobi
Mungu akulinde mtoto daima tunakupenda sanaaa baby girl
I really need prayers from this little angel please
Ni jambo la kumshukuru Mungu Kwa neema yake ya kujidhihilisha Kwa kutenda kazi kwa njia ya mtoto kama huyu.
Maajabu ya Mungu haya,,, Asante kwa Mungu kwa kutumia kizazi chetu.
Hapo kwenye kukaa miaka mitatu tumboni inabidi utueze vizur cos hospital kuna monitoring ya wamama wajawazito nadhani wangeshakufanyia c/s
Sure
Mwenyezi mungu endelea kumlinda mtoto huyu...mwongezee nguvu zaidi
Mungu ampe maisha marefu na ya utakatifu huyu mtoto
How can I get in touch with her I really need her prayer
Glory be to GOD,he has the reason why he sent little angel to bless people ningependa kukuja huko nami nibarikiwe tafadhali nikaunty gani
Asante Mama wa Yesu, Asante Mungu wetu kwa kutupenda hivi hata ukayaruhusu haya! Amina!
Asante mama mariya kwa tuonesha miujiza mama
Mlete Muhimbili asaidie watoto wa Salatani. Mwanangu arifariki past 3 weeks but I feel the pain watoto wana pitia.
Wapelekee pale
Mungu akutie nguvu..fanyika balozi uwe sehemu ya utumishi..tafuta namba zao za cm ufanye mawasiliano na familia aweze kuja kufikia watoto wanaopitia watoto.Yesu anaweza
Umeongea point
Pole sana dear Mungu akutie nguvu
@@ukiasili352 asante dear
Mungu Ashukuriwe. Huu ni WEMA wa Mungu. Wazazi Mungu Awabariki. Amen.
This is divine healing. Keep up the good work.
That’s witchcraft sorry!! The devil masquerading as an angel of light!!! There’s nothing called Holy water in the Bible!! We have the precious blood 🩸 of Jesus Christ of Nazareth!!! By Jesus stripes we are healed!! Not by no plain old satanically inspired and cultic water !!! The Bible says that they overcame the devil by the blood of the lamb and by the word of their testimony!!! And you can’t worship Mary either that’s idolatry! There were many virgins in her day but God chose her just as a vessel to carry the holy babe! She had favor with God not because she didn’t have sins cause the word says all have sinned and have fallen short of God’s Glory! She need Jesus Christ to save her just like you and me do!! There is only one holy God, God the father son and Holy Ghost, God three in one holy trinity right? So where does Mary show up there? Where does Holy Pope show up there? Don’t gamble with your souls!!!
Baba mzazi pole sana kuna mambo matatu mhim uyafahamu mzazi na watazamaji pia.1.tendo la kukaa tumboni miaka3 siyo bwana. 2.Hugo MTU anaye mtokea siyo malaika Bali ni mzim wa uganga unao jionyesha kupitia mtoto, Huyo mtoto hana tatizo ila kuna mapepo humo,. 3.kuhusu uponyaji siyo kigezo Bali kigezo ni kuupima huo muujiza kama umetokana na Bwana au la,. 4.Mungu hana mipaka ya amtumie nani.,anatumia MTU yeyote,hivyo wazazi kwa wakati huu mnaweza kuwa mmenogewa na aina ya maisha mapya na ufumbuzi au utatuzi wa changamoto mlizokuwa nazo.,,msidanganyike Huyo nguvu siyo ya MUNGU.samahani lakini kwa kuvuruga ugali .
😢😢😢
Kwa nini unahukumu? Tangu lini mwanga na giza vikashirikiana? Mungu tu ndiye anajua umuhimu wa mtoto.
Nataka nikwambie tu achamungu atukuzwe
Maajabu hayo lideni mtoto huyo vizuri na mungu awabariki sana🙏🙏🙏
May this child be blessed to do the good work. Amen.
,.mambo
Blessings upon the young child may she live to help many people who are sick. We thank God for empowering her. One day hopes to visit.
Our mighty God is doing great wonders. Can be seen from the unknown tobecome known global wide.His name be glorified. Let the little girl live long to save lives of hopeless servants Amen.Amen.Amen.
MUNGU MWEMA KWAKO AKULINDE MTOTO ILI AKAMILISHE ALILOANZISHA NDANI MWAKE...🙏🙏🙏🙏🙏
She is a blessing from God period,How can I find to heal my mother tafadhali
Mungu ni mkuu. May the little girl pray for the whole world, for an end of corona virus
Glory be to God , he's using this kid for the world have changed and the elders have denying the world of God , using it as the house of business may the lord forgive them
We thanks our Almighty for the miracle baby girl, may the grace of God be upon her always
Tunaomba namba zahuko
Tunaomba namba basi
@@henryvascos6689 namba ipi
@@henryvascos6689 fggx
Naomba nisaidie number tafadhali nami nina mgonjwa
Ameeen mtoto wangu Mungu mwingi wa mazuri na yakupendeza sana
May Almighty lord continue protect this little girl she is a gift from our mother Mary , keep it up to help our people who is sick be bless little girl 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
She's a gift from God to us May Almighty father continue using her
but how does she do the sign of the cross, it looks different
Dunia ina maajabu
Mungu ameona watu wakubwa wamefanya dhambi sana,ameamua kumia watoto
Mm sijaamini maana watu wanambinu nyingi za kutafuta ela ,ngoja tuone
Mungu anaweza,🇴🇲
Ni shirki thambi isio samehewa milele
Mungu ameikumbuka familia hii aleluya 🙏🙏🙏🙏
Amina
Please pray for me my daughter Quincy send him home protect us set him free me Ashley
God works in different ways!
Watu watamiminika huko kama maji hakikisheni barabara zinapitika magari yatakuja mengi sana
May Almighty God who chooses this child continues to keep her and the family from all evil in Jesus name
Jesus is lord 🙏
Amen and Amen 🤲✝️🤲✝️💖🕊🌟❤️❤️❤️🌟🌟🌟🌟🌟😘😘😘🕊🕊
Mary, Mother of perpetual Help pray for us, now and always. Amen.
May God continue to shine in the young child,let mother Mary continue to appear to that young child.naomba aniombee Niko na uvimbe nda in yangu,ndugu yangu Ako na shida ya kufa kifafa,mamangu Ako na shida ya mguu , sister angu Ako na shida ya mguu wa kuria na ndugu yangu Ako na shida mingi ya magonjwa na mguu wangu wa kushoto Kwa magoti umeajana naomba kupitia mama maria ni pone
Katoliki watu wengi tunaamini kuwa bikira maria anaonekana Kwa watu ,na mama anapenda watu ambao wanapenda kusali sana rosari na kutupu dhambi zetu,
Kwa kweli malaika wa mungu kaka kutukomboa wadhaifu wa mioyo Thanks Jesus continue to protect this child wherever she go
Mnakumbuka enzi za Babu wa loliondo... Pia huko kibosho kulikuwa na mtt wa B Maria
Kibosho ten jaman
Wanadamu tujiweke tayari unyakuo umekaribia mwenye sikio naasikie kristo yu karibu kurudi 🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Hakika
Definitely
Sadaka ya babu yake imejidhirisha.Mungu azidi kumuimarisha ili mtoto atumike kuyagusa maisha ya binadamu wanaotaabika na magonjwa.Mama Bikira Maria aendelee kumtunza vyema mtumishi wa Mungu Eunice.amina
Hapo ndo tunaona umuhimu wa kimtolea Mungu
On piont sadaka za babu yake bila kudai hata mia !!!! Ndiyo mafuno hayo ,sadaka ni jibu tosha kwa Mungu
I am proud to be a Cathoric Christian ,oh my God thank you
Glory to God
Mimi julius naomba mungu amupe maisa Marefu aendelee kutuombea sisi wenye dambi
Mashallah Mola amzidishie huyu mtoto na wazazi wake waendelee kumlea kwa maadili mema na naomba Mola nasi atuletee miujiza Kama hiyo huku kenya Ameen
Amen
Jesus continue filling her with the Holy Spirit 🙏🙏🙏
Amen
Ave Maria
Acheni biashara yesu mwenyewe hakuingia kanisani
Our mother Mary is real,is our interceder . Tunakupenda mama Maria
She is
Uvivu wa kusoma neno na kutaka kumjua Mungu ndo utafanya watu wamsujudie shetani. Amkeni...!
Exactly akii watu kupotea kukoza Marifa
Ulijuaje ha ha haaa
Alkaa tumbuni miaka mitatu .
Mmmmmm
Ahsant dada yangu ni shirki NA kukufuru NA kutoka katika dini yako ya uslaam
Huyu mtoto aniombee niko na mtoto mlevi sana asumbua imani yangu.Abarikiwe sana huyo mtoto Amen
Nimekumiss Sana yuniss na family yenu kiujumla mwenyezi mungu azidi kuwalinda
Wow thanks to God, that's a good gift may God continue blessings that girl.Please may we get the number of the parents from Kenya
Tunaomba number ya wazazi wake tafadhali
Asante Yesu Kristo
Iyo sehemu ni mkoa gani na pia tunaomba mtutumie namba za simu ili tuweze kufika mahala alipo,Asante.
Mkoa Mara Wilaya ya Rorya
ni mkoa wa mara wilaya ya rorya kijiji cha bukama au soko laboro
Eunice pray for me because of the challenges on my life.thank God bless you my daughter.
Mungu ana sili lake kwenye watu yake 🙏. Stay blessed baby girl and your family 🙏❤️
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele NA unapotea dini yako ya uslaam
Tusiwe wepesi kukufuru Mambo tusiyoyajua.Tumwache Mungu atatoa majibu mwenyewe
Kweli Ata saitani kusali
Ukweli kabisaa
Mungu zidi kumpa maono huyu mtoto
Kwenda kujitibu happy ndipo mpate ufahamu
Mungu ni mweza wa yote kwa kila amwaminie na kumuomba.
Ee Mwenyezi Mungu kupitia maombezi ya mtoto yunisi kwa uweza wa mama bikira Maria naomba Mungu atende miujiza yake juu ya familia yangu apate kujiziilisha kwa shida na changamoto ninazoendelea kuzipitia
From Kenya,,,Huyu Mtoto afanyanyia Mungu kazi God bless
Mother Mary pray for us
Nime furai sana kwa Ajili ya huyu Malaika wa baba Mungu 🙏 ♥️
Namimi nataka nikuche nimuone
Mungu wetu niwahajabu mungu amulinde saiidi
Libarikiwe tumbo lililombeba mtoto huyo
🙏
@@clememallya4257 mungu Na azidi kumutumia aponye wengi.zaidi ya yote amuekee ulinzi ..
She is a blessing 🙌 I'm from South Africa 🇿🇦, will love to get prayers for my mother and my son 🙏
She is vessel,God can use whatever pleases him,I pray the parents protect this child
Mungu amufungulie zaidi ili atufungue macho sisi zote kwa imani
Asante Yesu sifa kwako Yesu
Ama kweli kiama kimefika.mwenyezi mungu tunusuru viumbe wako.
Amyn yarabiaalamyn🤲
Acha hizo nakale kanakofundisha sayansi miaka 6
To Glory be to God.Naomba munisaidie no ya wazazi wa huyo mtoto iwapo itawezekana pliz
Aksante sana Mungu atukuzwe kabisa,tena azidi kubarikiya Mtoto hu pamoja nawa zazi wake. Nawomba Mtoto hu aniombeye japo nipo mbali lakini akiniombeya baraka za Mungu nitaziona magumu yangu itamalizika.
Huyu Mtumishi wa Mungu Mwenye umri mdogo....aachwe aponye watu corona jameni... Mungu Apewe Sifa
😁😁😁😁🤣🤣🤣 mungu amutunze💪💕💕💕🙏🙏🙏🙏
Mungu azidi kumbariki mtoto
Kama mama hujaenda kwa wagaga wa kishenzi kutafuta huyo mtoto, basi Mungu wa mbinguni ajidhihilishe katka hiyo huduma yake na kama sio kusudi la Mungu mwenyewe, hiyo huduma na ife katika jina la Yesu kristo aliye hai
Hakuna guvu za Giza utajaa jina la Jesu na kusema watu watumbu wacha kusagilia setani uwoni munguni setani Hana guvu
Mungu wetu ni Wa ajabu,Mungu ambariki mtoto huyo pamoja na wazazi wake,Amina
Amen, kupitia maombi ya huyu mtoto magojwa ya familia yangu yameisha.mambaya ya familia yameisha, utuiangi ya dawa saa kurefia hasa George grdson amepona. Amina
Thanks God kwa mtumishi mtoto.May God bless her more
Mungu ni mkuu sn
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam
TUNAOMBA NUMBER ZA SIMU YAKO .
Baba pray for that child for Gods protection the world is full of evil. I thank God for the powers he has upon this little girl.
She's protected by blood of Jesus, whoever touch her touches 🔥🔥
That's a pure chosen legio Maria child.our song in Latin are only for the chosen one, Deo gracias 🙏🙏🙏na maji ya Baraka ndiyo dawa yetu
I like the way she answered "magonjwa yote" maana hata ukimwi anaponya. Amlinda mora
This is a miracle from heaven. May she be protected properly.
Mungu anainua walio wake kwa roho na kweli aleluya 🙏
lvi mpaka sasa uyo moto yupo kweri
Glory to God amen
God has revealed his greatest power in his little angel be blessed daughter
Wow wow amazing,naitaji kufika na mimi nijionee maajabu ya mungu,naomba number ya simu jameni
Maajabu ya mungu😍😍😍may The Name of the lord be glorified forever
Amazing miracle little angel
May the almighty God continue blessing and guiding you little angel...
Watoto wanaokaaga Sana tumbon wanakuaga na nguvu za giza ijumaa ni siku ya kafara kuzimu ndio maana Hali ijumaa anatumikishwa huyo
Unahakika kweli au ndio unazingua tuu mr kibu ww
Bwana Yesu mfunike mtoto uyu na damu yako.umulinde baba . Kwa jina la Yesu Christo Amina.