Salama Na TID SE6 EP07 FULL SHOW|NYOTA YAKO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    NYOTA YAKO
    Khalid Mouhamed Tidy aka TID ni familia kwangu, mimi na yeye tunafahamiana zamani sana na ukabila wa Mama zetu pengine ndo ulitufanya tuwe karibu kwa kiasi hicho. Tulikua na marafiki wanaofahamiana. Sote tulikua tunaanza kazi na utafutaji tukiwa pamoja na pengine kiu na ubora wa kazi zetu ulitufanya kipindi flani twende kwenye njia tofauti. Ila kina mmoja alikua anashinda mechi zake kwenye ligi yake na kutawazwa kuwa bingwa wa mashindano kadha wa kadha.
    Nadhani yeye kuwa STAR mkubwa hapa Afrika ya Mashariki kulitokana na kujielewa kwake na kuwa mvumilivu wa mambo kwa kipindi kirefu. Usikuambie yoyote kwamba TID alikua star kwa usiku mmoja au, yaani alilala na kuamka then boom, hapana. Ilibidi afanye kazi nyingi, na watu wengi na kwenye hizo kazi ndo alikutana na Boss ambaye aliona kipaji chake na akamuunganisha na mtu sahihi. Baada ya hapo kazi ikafanyika na mengine yakafuata.
    Alikua mkubwa kiasi gani lakini? Alipitia mitihani gani? Na kipi anajivunia sana kwenye fani yake? Yepi majuto yake? Lowest moment kwenye maisha yake ilikua ipi? Kama huwa anapata mawazo ya kutaka siku zirudi nyuma na pengine angefanya vitu kwa utofauti? Kina nani na nani wanamaanisha nini katika maisha yake? Muziki wa nyumbani umemfanyia nini kwenye maisha yake?
    Wapi alisoma? Elimu yake ni ya kiwango gani? Ukaribu wake na Mama yake? Maisha ya sasa? Misukosuko aliyopitia miaka mitatu iliyopita ambayo ilimfanya aingie matatani na vyombo vya dola na mambo mengine mengi tuliyazungumzia humu. TID ana Kaka zake ambao wako naye karibu sana. Hilo nalo tuliligusia humu. Suala la yeye kuwa trend setter na mwisho wa siku hana faida anayopata kwa miaka mingi na nini hilo humfundisha pia hatukuliacha nyuma.
    Haya yalikua maongezi ya mtu na rafiki yake wa siku nyingi, humu pia nilitaka kujua kuhusu well being yake na mipango ya sasa ikiwa ni pamoja na TV show yake ambayo inamfanya awe busy na kumpa yeye nafasi ya kuwa na mashabiki wake kwa karibu zaidi. Tidy ni mcheshi, na mwenye kujielewa. Hatukuacha pia kuongelea mahusiano yake na Marehemu Albert Mangwea na maswali yaliyokua yamegubika juu ya chanzo cha kifo chake na pia yeye kama Rafiki na star, nini alijifunza.
    Yangu matumaini uta enjoy, utacheka na kuelewa baadhi ya mambo ambayo ulikua unajiuliza au pengine ulikua hujui kutoka kwa mmoja wa wasanii wa Bongo Flavour ambaye amesaidia kwa kiasi kikubwa kuutambulisha mziki wetu KIMATAIFA.
    Tafadhali enjoy.
    Love,
    Salama.Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 121

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 ปีที่แล้ว +16

    I can't wait Chidibeezi kwa hichi kipindi. Good Job Salama Always na enjoy show yakoo. TID 😂😂😂😂😂lazima ucheke saana

    • @fahamnitwahir9249
      @fahamnitwahir9249 2 ปีที่แล้ว

      Dah itkuwa ni noma sana😂

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 2 ปีที่แล้ว

      Sanaa TID anachekesha sana

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว

      Chidi anazingua… ajibu maswali ipasavyo sometimes

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 2 ปีที่แล้ว

      @@Kobe_254 inategemea nani anamuuliza and how unamuuliza ukimchora na yeye ana kuchoka mara 2 yake but Salama yupo seriously

  • @kowech2626
    @kowech2626 2 ปีที่แล้ว +9

    This felt so short. He is truly talented, an awesome person all round. You can feel his energy.

  • @empraapple-tonvevo3325
    @empraapple-tonvevo3325 หลายเดือนก่อน

    I came here to confirm that TID is a Legend to Us in Uganda 🇺🇬 ( Nyota Yako)🎉🎉 ( TID, CHAMELEON AND MR NICE)

  • @alwiyad1977
    @alwiyad1977 2 ปีที่แล้ว +5

    Amazing interview and his sense of humor is on flick

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 ปีที่แล้ว +9

    He's A Comedian he 🤣😅😂👋🤣👋🙌🏾❤️🇰🇪❤️🙌🏾nice vibing 💥👋🤣😂🤣

  • @dianamoshi167
    @dianamoshi167 6 หลายเดือนก่อน +2

    TID uko vizuri kujieleza halafu English imelala hapo boss

  • @vevo3130
    @vevo3130 2 ปีที่แล้ว +3

    yaani i have enjoyed this interview sanaaaaaaaa......

  • @salimselemani4861
    @salimselemani4861 2 ปีที่แล้ว +6

    Lady I love your hair cut, second the way you talk.
    Now I have a question can we have a calendar not a date 🥰 calender have many days

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 2 ปีที่แล้ว +1

    I tried to talk tid one day but he's m7nd wasn't there, he's one if the best people in Tz and talented , wishing one day to see where he achieved

  • @mosimakamba2085
    @mosimakamba2085 2 ปีที่แล้ว +5

    He is powerful,I like the way's talking!!!

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 2 ปีที่แล้ว +4

    Salama tuletee mwana wa ilalaaa, chi chi chi chi chid beeeeeenzzzzzz

  • @salummussa9880
    @salummussa9880 2 ปีที่แล้ว +3

    I still enjoy the show....... sehemu nimeipenda Tid alipo mtag brother wake Abuudu Master......

  • @musamwambopo1269
    @musamwambopo1269 2 ปีที่แล้ว +3

    Great video, your such a cool person Salama. And TID is funny .

  • @gathjanedominic2662
    @gathjanedominic2662 2 ปีที่แล้ว +7

    😅😅😅😅 TId u will always be my no one artists

  • @flyingpharmacyapp2191
    @flyingpharmacyapp2191 2 ปีที่แล้ว +1

    a classic interview ever...i love th energy ...ths is🔥🔥🔥🔥🔥

    • @felixmtui8854
      @felixmtui8854 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄😄woow watoto wadogo

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mbwaaa nampendaaa ukisoma hiii SMS njoo Sweden uinjoy one week TID

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwa Chidi Benze nimecheka sana… guy is a serious actor; but very talented.. I like his songs ni vile kizazi kipya hakimwelewi sababu sahii mziki biashara na sio talanta tena 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸😂😂

    • @bahakyejo3800
      @bahakyejo3800 5 หลายเดือนก่อน

      Big up tid real your top in dar Sasa kwa nn usipate kipindi say back then or olds gold

  • @HLee-qv7tl
    @HLee-qv7tl 2 ปีที่แล้ว +15

    Curiously, I have been waited for that shit over miles

  • @johnmaina6081
    @johnmaina6081 2 ปีที่แล้ว +3

    Nmempenda jesca na gauni lake la maua...nmempenda sana.

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo wamekutana wavunja Yai, nomaaaa sana.

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว +3

    I like you guys very much.

  • @Iamcameronboyce
    @Iamcameronboyce 2 ปีที่แล้ว +1

    Salama is beautiful MashaAllah.

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed buddy.

  • @GivenTobago
    @GivenTobago ปีที่แล้ว

    i apriciated TID long way ago he is the best in singing

  • @romansixbert4529
    @romansixbert4529 2 ปีที่แล้ว +2

    I love the energy🤩

  • @allydamas3832
    @allydamas3832 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing interview I really like it

  • @nourvuitton2325
    @nourvuitton2325 2 ปีที่แล้ว +4

    I like u guys ❤️

  • @neypetpet9395
    @neypetpet9395 2 ปีที่แล้ว +9

    TUNAMTAKA CHID BENZ MY CC 😂😂😂😂

  • @eyshermohammed2236
    @eyshermohammed2236 2 ปีที่แล้ว +4

    Nampendaaa anaongea point sana 😂😂😂😂😂

  • @flyingpharmacyapp2191
    @flyingpharmacyapp2191 2 ปีที่แล้ว +1

    watoto wadogoooo🤣🤣....tuwazamie nyambavuuuu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gracelee61
    @gracelee61 2 ปีที่แล้ว +4

    this man is talented and so underrated sad sad sad

    • @Ebendentalclinic
      @Ebendentalclinic ปีที่แล้ว +2

      he is not underrated,around 2002-2007 he was at the pick,sema kuna kushuka kwenye mziki.kama ilivo kwenye biashara nyingine.

    • @RiricaMswati
      @RiricaMswati 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ebendentalclinic2007 na mbele kidogo
      🔥

  • @Zarmahshimia
    @Zarmahshimia 2 ปีที่แล้ว

    Uyu kaka namzimia🇰🇪🔥,ni yeyeee,kama inakuja inakataa💯🔥🔥🔥🔥

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee kigogo mnyama Top iN Dar

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 2 ปีที่แล้ว +10

    TID is a comedian...😂🙌😂

    • @rashah69
      @rashah69 2 ปีที่แล้ว

      For sure, he needs to do something to it

  • @MbonyiUpdates
    @MbonyiUpdates 3 หลายเดือนก่อน

    Rwanda loves you Tid

  • @LetdiscussBusiness
    @LetdiscussBusiness 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubali very talented huyu ndo kamtoa mpaka majizo

  • @StoryZaKibra
    @StoryZaKibra 2 ปีที่แล้ว +8

    TID speaking good English

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 ปีที่แล้ว +2

    Jina la Mr misifa halimfai Dully Skyse huyo ndo mwenyewe

  • @josephjoh8260
    @josephjoh8260 2 ปีที่แล้ว +2

    TID appreciate legend 🔥🔥🔥

  • @salimselemani4861
    @salimselemani4861 2 ปีที่แล้ว +2

    I laughed a Lot tuma na ya kutolea shukuru umetumiwa pesa

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว +1

    PEKEE,wimbo Bora forever.

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa poa Sana! Ila haijaisha hii imekatikia njiani!!

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 ปีที่แล้ว +2

    I love this guy 😂😂♥️♥️

  • @bonifacembogo5675
    @bonifacembogo5675 2 ปีที่แล้ว +3

    Tid is genius

  • @innocentshayo7599
    @innocentshayo7599 2 ปีที่แล้ว +3

    Like a James Bond 007 😄😎

  • @mrmelody255
    @mrmelody255 2 ปีที่แล้ว +2

    My brother is taking...watoto wa dogo🤣🤣🤣🤣

  • @aloycesimon2028
    @aloycesimon2028 2 ปีที่แล้ว +3

    Jessica shikamo😂😂😂😂😂😂🙌

  • @allyadamtz
    @allyadamtz 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa so talented sana

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 ปีที่แล้ว +2

    An intelligent woman with an intelligent man. Mnasikia nyinyi wanaume mnao kimbilia wanawake ambao sio wa standard zenu

    • @freddychris1407
      @freddychris1407 2 ปีที่แล้ว

      Tunatizama character bro

    • @salimkibwana4699
      @salimkibwana4699 2 ปีที่แล้ว

      Tumesikia

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salimkibwana4699 . Nice. Sio ukachague mke mkrugenzi au DC na mwanaume ni form 4 failure 😂. Kwanza lazima mta shindwana tu hata Kama utakua tajiri.

  • @sayuniseth8501
    @sayuniseth8501 ปีที่แล้ว

    Hii English ya tid is another level hahaha nimecheka Sana

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 2 ปีที่แล้ว +1

    TID ni motoooo sana

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Top in dar🙌

  • @mwasitiiddy1089
    @mwasitiiddy1089 2 ปีที่แล้ว

    Nampend tid mashaalwah he si talented napend personality yak

  • @bhaleeali8459
    @bhaleeali8459 2 ปีที่แล้ว

    daaah TID bana ameifanya siku yangu kuwa nzuri nimefurahi sssaaanaa 😁😁

  • @elizabethsakina2306
    @elizabethsakina2306 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana Jessica we mtoto mdogo ntakupiga 🤣😂😂🤣🤣🤣

  • @brunodemarx9198
    @brunodemarx9198 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliii legend T. I. D 🔥🔥🔥

  • @nassrasaid1925
    @nassrasaid1925 2 ปีที่แล้ว +2

    1🧚🏽‍♀️

  • @kelvinmhanga3052
    @kelvinmhanga3052 2 ปีที่แล้ว

    nzuri sana kwa kweli

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 2 ปีที่แล้ว +1

    Naona salama leo umeamua kutuletea tatizo studio

  • @dianamoshi167
    @dianamoshi167 6 หลายเดือนก่อน

    TID nimekupenda bureee

  • @maryshirima1234
    @maryshirima1234 2 ปีที่แล้ว +4

    Dah... I have never laughed out loud like today...😂😂😂

  • @e.mmbasha218
    @e.mmbasha218 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtu nimekosa muda wa kumsikiliza kabsa nimeskip hii interview more and more and now nimeshindwa kusikiliza

    • @manyaraboy
      @manyaraboy 2 ปีที่แล้ว

      Unamjua tid top in dar WA zeze nyota yako ⭐💥💥💥

  • @LetdiscussBusiness
    @LetdiscussBusiness 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ana kipaji kikubwa sana sio mziki tu alifanya move inaitwa Girl friend kibongo haijawah tokea pia alikuwa mtangazaji magic fm bado alifanya vizur pia ndo mtu alie mtoa Majizo na wengine wengi

  • @tildahongkong6086
    @tildahongkong6086 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah nimecheka 😂😂

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 2 ปีที่แล้ว

    TID upo Vzr broo

  • @richardmassawe7147
    @richardmassawe7147 2 ปีที่แล้ว

    TopInDar😁🙌🔥

  • @bandanahmiqassa
    @bandanahmiqassa 2 ปีที่แล้ว

    Watoto wadogo 😀😀😀😀😀

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 ปีที่แล้ว

    I like this guy ki ukweli.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @obenitejailos7007
    @obenitejailos7007 2 ปีที่แล้ว +2

    NYIE HUYU JESSICA WOOOSHII

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Kichaa Wetu *TID* nyota yako

  • @sebastianalbert2857
    @sebastianalbert2857 ปีที่แล้ว

    Mnyama ana flooww

  • @wilbardkweka4572
    @wilbardkweka4572 2 ปีที่แล้ว

    Mnyamaa

  • @Mpili307
    @Mpili307 2 ปีที่แล้ว

    2nd to comment 🔥🔥

  • @ashuranuhu8586
    @ashuranuhu8586 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣aka yani huyu jmni

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejikuta nacheka maneno ya TID suit style yake pasua nijambe jamaniiiii🤣🤣🤣

  • @richardfedrick8754
    @richardfedrick8754 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥

  • @nawaladan5730
    @nawaladan5730 2 ปีที่แล้ว

    Big fun tidy

  • @cobrachristian3685
    @cobrachristian3685 2 ปีที่แล้ว +1

    Chid benz aje pia

  • @justinomari1746
    @justinomari1746 2 ปีที่แล้ว

    watoto wadogo😂😂😂

  • @matridahmwandali4258
    @matridahmwandali4258 2 ปีที่แล้ว

    Panki kama la lucas mkenda. Salama utakuwa umemjua ni nani..hahahahahah..

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah TID wee ni noooma

  • @NiraSaire
    @NiraSaire 2 ปีที่แล้ว

    Pasua nijambe 😂😂

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko na chaf apoo ahahahah ni yeye

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว

    TID.

  • @kiumbekiumbe4711
    @kiumbekiumbe4711 2 ปีที่แล้ว

    A bet u wil never gon pick harmonize coz of what u have said about him type shi u know wht I mean

  • @chpo7329
    @chpo7329 2 ปีที่แล้ว +1

    M

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 2 ปีที่แล้ว +1

    Tid amezeeka maskini

  • @boniventurekiwanuka.8098
    @boniventurekiwanuka.8098 2 ปีที่แล้ว

    Wig?😂😂😂😂😂😂

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs 2 ปีที่แล้ว

    Viti ndio vinaboa Salama Jabir na kingine kwanini huwa unavaa nguo nyeusi kwenye hiki kipindi chako?

  • @salaita2829
    @salaita2829 ปีที่แล้ว

    Salama embu siku mtafute nay wa mitego katika hiki kipindi

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว

    MVUTO WA KUOLEWA AU KUOWA
    m.th-cam.com/video/HdR6_C_pnto/w-d-xo.html

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

    HD msasa official KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @editorfrank7471
    @editorfrank7471 5 หลายเดือนก่อน

    2024 I HATE U NIMECHEKA LEO

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 2 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa chizi sana

  • @johnmalembeka3546
    @johnmalembeka3546 2 ปีที่แล้ว +1

    Jesca hanadili nguo sorry lakn

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 2 ปีที่แล้ว +1

    He is no longer top in dar. No longer tid days. Don't lie

  • @KesheMedia
    @KesheMedia 2 ปีที่แล้ว +2

    nampenda sana Mnyama..
    th-cam.com/video/oiFLHQq375g/w-d-xo.html

  • @salomembasha7100
    @salomembasha7100 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kelvinkinabo8001
    @kelvinkinabo8001 2 ปีที่แล้ว

    Eti pasua nijambe 😂😂😂