If only all the African heads of state worked like the late Magufuli, you can imagine how far Africa would be! Rest In Power, the true son of Africa!🙏😭😭
Duh! Watanzania mumehujumiwa. Huyu jamaa amewawa ! Very painful. I wish he finished his second Term Tanzania would be at par with South Africa Africa interms of Infrastructure
MAGUFULI Oyeeeeee 👏 Mzee wa kazi uyo 👍 Fukuza safisha wizi wote out from East Africa yote ....Tiya Magufuli 👍 My love and respect to Mzee Magufuli from RWANDA 🇷🇼
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@@DottRoBroc thank you to approximate the will and job of my president JPM. You are far away from Tanzania 🇹🇿 but you know this African son in deep. God bless you all over there....thank you so much
Hapo hapo rais wang mana wanaozungumza sana mana yake hawajafahamu na hawajajuwa kazi unayofanya cku wakiiona watakukimbilia mkuu nakupiga goti.Mana wanajuwa matabaka yalikuwa tayar yamejingeka kama yupo aliyeugua na akaenda HOSPITALIN kipind hicho najuwa hata ongea nenda hospital nw uone jinc unavyo hudumiwa .I LOVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MY RAIS JOSEPH P MAGUFURI wanyooooooooooooooshe mana ndy hao wanaolalamika ucjaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ACHANA nao tupo vijana tayariiiiiiiiiiiiiii kukubeba raisiiiiiiiiiii.
Baraka Mgendi mh. Rais wetu kipenzi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupo pamoja. tupopamoja. tupopamojà Anko magu tunajivunia kuwa nawewe Wewe ndio baba mzazi wa watanzania wooooooooooote asietaka ajinyonge. asiekubali alizaliwa njiti
Na amini hata baba akitaka kubadili mazingira ya nyumbani kuwa bora zaidi, lazima maisha yawe magumu kidogo kwa wote pale nyumbani. Kama kuna raisi Kama ww tena kwa nchi hizi za Africa? Mungu mbariki huyu raisi wetu ahishi maisha marefu, ili amalize mda wake.
magu mungu akulinde na kusimamie......... tanzania mpya hiyoooo....... wanaomtusi hawakumchagua hivyo wakome kbsa...... piga kazi ili watoto wetu waje wainge mfano wako 😘 😘 😘 magufuli.
Naamini kila mtu timamu anaunga mkono juhudi za kuiweka nchi kwny reli, lkn linapokuja suala la malalamiko ya hali ngumu ya uchumi mtaani siyo jambo la kupuuza hata kidogo,increment za mishahara kwa watumishi kila mwaka ziko kisheria kabisa but nothing going on for 2 year now,na kwny mishahara ndo kuna kodi isiyo na longolongo mind you 🤔🤔!
Kifo ulikosea sana kumchukua magufuli nimeathilika sana na kifo cha magufuli maisha yangu yote Mara ngingine huwa namchukia hata mungu naombeni mnisamehe sana
Safi sana mzee mungu akusaidie wewe ndiye mkombozi wa taifa letu piga kazi sisi tupo nyuma yako mungu mbele yako akikuongoza mungu akulinde tena sana sana
Alikuwa anaongea ukweli ila wengi hatukumwelewa kabisa kutokana na ukweli wa moyo wake. Wengi tunapendwa kudanganywa na ndio maana huwa tunafurahia uongo kuliko ukweli.
Pumzika kwa AMANI shujaa Wetu wa Africa 😭😭😭😭
TUTAKUKUMBUKA sana
Mimi ni mu Congo
Raisi JPM najivunia kuona TZ inaendeleya kwa kuwa imenikuza 1996 to 2007 Big 👍 JPM
There's never existed a president who understood his role as president like John Pombe Magafuli,
I am a Kenyan but I will never forget JPM.
@@focusdaily2742 Absolute true I appreciate you.
Mungu muumba mbingu na Nchi akulinde akupe maisha marefu na ya kujitoa kwa moyo .
I love my president John pombe magufuli kwa utendaji wake wa kazi..... I stand with my president for this.
President Magufuli is today one of the best Presidents in Africa. Tanzania is so lucky to have you...
The man who knew the job of presidency, RIP Shujaa wa Afrika
Allah akuzidishie kheri in Shaa Allah akupe maish marefu kwa kil jambo, akulipe mema siku ya mwisho.. 🌹🌹🌹🌹♥️
Pumzika kwa Amani Baba Mzalendo wetu wa kweli Daima hatutakusahau Kipenzi chetu Mwendo umaumaliza Amani Umeilinda
If only all the African heads of state worked like the late Magufuli, you can imagine how far Africa would be! Rest In Power, the true son of Africa!🙏😭😭
Exactly what you saying about. Forever JPM
@@matsarigi2986 absolute true
UWIIIIII UWIIIIIIIIIIII UWIIIIIIIIIIII BABA LEO UMESABABISHA NIANZE KUKUOMBEA MAANA UKWELI UMEZUNGUMZA HASWAAAAA BARIKIWA SANA
mwanaume unapiga ukunga unapiga yowe duh ww sio riziki
Bila kuacha tabia za kuteka, kupiga na kuua watu hatutakuacha. Haiwezekani tukuache wakati unaua wapiga kura wako.
Hongera mzee Mungu akubariki hk uliko
It is hard to believe you no longer with us. May your spirit remain in our midst
Rest In Peace Baba 🇹🇿😭😭😭
I love you my President Mungu akulinde Uishi miaka I'm laizer a from Arusha Engay toripo el arikon lag amen
You are God given to tanzania.our nation will surely benefit greatly in your terms of office 🦾
Damu Yesu ikufunike Mungu akupe roho wake mtakatifu ili uweze kutenda mapenzi yake
Ukiongea machozi yanamwagika, nakumbuka, nilivyo pambana, japo sina chama, ila huwa nachagua mtu anae faa,sijawahi kosea hilo.Mungu akulinde
acha unafiki
Jesse Mwasanguti. mh Rais kama kuna mtanzania mzalendo anaekupinga akiliyake inakipindu pindu
Jesse Mwasanguti umeulizwa?
Mungu ndiye mpanzi na mvunaji, tunamshukuru Mungu kwa maisha ya JPM na sasa pumzika salama maana umetuonesha Mwanga.
Mungu akupunguzie adhabu ya kabur baba
Kudos President Dr Magufuli, you are doing wonders for Tanzania!!!!!!👍🙏
Daah Nuru imesima mbele kisa 😭😭😭😭
Maombi juu yako mh Rais wetu mpendwa!!!
Duh! Watanzania mumehujumiwa. Huyu jamaa amewawa ! Very painful. I wish he finished his second Term Tanzania would be at par with South Africa Africa interms of Infrastructure
Tunakuitaji sana mzee mungu atakulinda hakuna wa kukugusa mzee one love
Unfortunately those with ideas,they don't survive for so long!Farewell Mr president,My President,May your memories last forever in my heart!
Mbele ya Mungu, Rais wetu, una haki. Ni kweli "msema kweli ni mpenzi wa Mungu".
Mimi ni mu zambia watanzania naomba mumupe support President wenu God bless Africa
Mungu akuongoze,zaburi 1:1 basi akatokea kiongozi Mwingine asiye mjua ni Raisi John Pombe Magufuli
MAGUFULI Oyeeeeee 👏 Mzee wa kazi uyo 👍 Fukuza safisha wizi wote out from East Africa yote ....Tiya Magufuli 👍 My love and respect to Mzee Magufuli from RWANDA 🇷🇼
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@@DottRoBroc thank you to approximate the will and job of my president JPM. You are far away from Tanzania 🇹🇿 but you know this African son in deep. God bless you all over there....thank you so much
Kweli mzee Mungu akubariki 💪
Hakuna Raisi bora,mzuri zawadi kutoka kwa Mungu kama wewe baba,
Hapo hakuna raisi kichekesho
Jesse Mwasanguti M
nampongeza magufuli kwakazi anayoifanya nizuli kinoma
Dah!!! Tutakukumbuka Sana hayat magufuri na tunaenderea kukuombea hko uliko ,raisi wa wanyonge na mungu akubaliki kwa kuibadillisha Tanzania
E mungu mapenzi uako yatimizwe asante kwa maisha ya magufuli .tunaomba cku moja tupe kama huyu tena .
Mzee Leo nimekuelewa wewe kinomanoma
umetisha sana hutuba iliyojaa marifa,busara na hekma mungu akujarie tenda haki Mzee.
uko vizur baba
Hapo hapo rais wang mana wanaozungumza sana mana yake hawajafahamu na hawajajuwa kazi unayofanya cku wakiiona watakukimbilia mkuu nakupiga goti.Mana wanajuwa matabaka yalikuwa tayar yamejingeka kama yupo aliyeugua na akaenda HOSPITALIN kipind hicho najuwa hata ongea nenda hospital nw uone jinc unavyo hudumiwa .I LOVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MY RAIS JOSEPH P MAGUFURI wanyooooooooooooooshe mana ndy hao wanaolalamika ucjaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ACHANA nao tupo vijana tayariiiiiiiiiiiiiii kukubeba raisiiiiiiiiiii.
Baraka Mgendi mh. Rais wetu kipenzi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupo pamoja. tupopamoja. tupopamojà Anko magu tunajivunia kuwa nawewe Wewe ndio baba mzazi wa watanzania wooooooooooote asietaka ajinyonge. asiekubali alizaliwa njiti
Baraka Mgendi
Na amini hata baba akitaka kubadili mazingira ya nyumbani kuwa bora zaidi, lazima maisha yawe magumu kidogo kwa wote pale nyumbani. Kama kuna raisi Kama ww tena kwa nchi hizi za Africa? Mungu mbariki huyu raisi wetu ahishi maisha marefu, ili amalize mda wake.
R.I.P mzee wetu Magufuli
Amakweri mti mwema ndio Upigao mawe
😭😭😭😭😭😭💔🇹🇿
Anae nuna anune piga kazi Mzee Wang japo baadhi hawakuelewi
Daah huyu mwamba alikua noma sana
No more political party in tz than ccm, ccm is the best political party
One of my best presidents in Africa. Rest in peace John pombe Joseph magufuli.
wambie hao mzee maana walipenda sana vya bure leo hii vyuma vimebana wanalalamika
Huu ukweli ndiyo hawakuupenda,maskini😢😢😢
AHSANTE YESU KWAAJILI YA MAGUFULI WETU, TUNAIMANI NAYE.
una imani naye
Barikiwa sana mtumishi
magu mungu akulinde na kusimamie......... tanzania mpya hiyoooo....... wanaomtusi hawakumchagua hivyo wakome kbsa...... piga kazi ili watoto wetu waje wainge mfano wako 😘 😘 😘 magufuli.
Juliana Masunga
I love u my president 😘😘
gift saleh damond sita
gift saleh gdg
gift saleh fjxbbvj
Asiekupenda mchawi ila ukweli unaongea na unapambana kwa ajl ya nchi na kwa ajl ya watanzania wote
V
Pongezi nyingi Sana kwako MH Rais
😭😭😭😭though I cry from kenya with TZ I feel u lost a God sent leader
Uko vzr rais wetu Allah akuongize kila hatua
Ayo ubarikiwe, usiache wokovu, maana unakufanya kuwa mkweli
......naiona Tanzania mpyaa,yenye maji teelee,maziwaaa meengii... Dawa nyiingii hospital... Baba wee may God be with youu all the time...
Raisi wa kipindi hicho cha upigaji alikuwa nani? Atuambia alikuwa wapi wakati bodi inaenda kukaa dubai wakati Tanzania tuna majengo mazuri sana?
Hivi kweli Mpambanaji na Maovu Yote Haya Bado kina Watu eti Wana muona Hafai Wanambeza na Kumtukana Dah kweli Binaadamu Hakuna Wema
Rest Easy Our President 😥😭😭😭😪
Hapa kazi tu
The one yes youre one of the best my prezda
abdallah hamza ungetuboreshea mshahara tungekuelewa kiongozi!
Kapumzike kwa aman rais wetu tuta kukumbuka
Haaaa kelele za watumbuliwa majipu, kununua cheti kariakooo. Eeee Rais wetu ubarikiwe sana unasimamia ukweli na ndo tabia ya rais yoyote yule.
Naamini kila mtu timamu anaunga mkono juhudi za kuiweka nchi kwny reli, lkn linapokuja suala la malalamiko ya hali ngumu ya uchumi mtaani siyo jambo la kupuuza hata kidogo,increment za mishahara kwa watumishi kila mwaka ziko kisheria kabisa but nothing going on for 2 year now,na kwny mishahara ndo kuna kodi isiyo na longolongo mind you 🤔🤔!
Mungu wa mbinguni akulinde, hakika kweli wewe ni mtanzania no.1. Songa mbele raisi wetu.
Rais magufuli Mungu akupe maisha zaidi na zaidi
Dah mungu amrehem mzee magu
R.I.P JPM
Kiukweli mzee maghufuli mungu katupa zawadi na zawadi yenyew ni wewe mzee mungu akupe maisha marefu kweli kweli
Mungu awarehemu kwa walichowatendea watanzania bali tuzidi kumwombea rais Magufuli kwa kulitambua kuwa tulinyanyasika kwa mda mrefu sana!!!
Mungu,turetee,mwengine,kiongozi,bora,zaid,ya,magufuli
Kifo ulikosea sana kumchukua magufuli nimeathilika sana na kifo cha magufuli maisha yangu yote Mara ngingine huwa namchukia hata mungu naombeni mnisamehe sana
Bado nakupenda Sana magufuli,pumuzika kwa amani baba!!!!
Mheshimiwa Rais, huyojamaa nyumayako mbona hatikiski kaganda kama sanamu?.
Safi sana mzee mungu akusaidie wewe ndiye mkombozi wa taifa letu piga kazi sisi tupo nyuma yako mungu mbele yako akikuongoza mungu akulinde tena sana sana
Mapedesheeee hawapo tena zilipendwa
😭😭😭R.i.p Dady
barikiwa baba mkombozi wa taifa mungu azid kukuongoza
Nini maana ya swera haposijamuerewa wadau
Wewe ndo wew baba
sasa wafanyakazi waliogushi vyeti wakati wanafanya kazi vizuri si warudishwe kama makonda kabaki
Big up rais wangu
Matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na serikali zilizotokana na ccm
asante raisi kwa haki unayo tenda mungu akuongoze
Rais wetu pitia lushoto maana kaya hewa nyngi hatari.nawazee hawapewi wapewa vijana wanao jiweza..tumechoka kata ya mlalo
asante mzee
Kweli kabisa mzee ukovizuri sana
Big up our president
Alikuwa anaongea ukweli ila wengi hatukumwelewa kabisa kutokana na ukweli wa moyo wake.
Wengi tunapendwa kudanganywa na ndio maana huwa tunafurahia uongo kuliko ukweli.
nakupenda baba
apple 7 tv. nakupenda sana Rais wangu. mungu azidi kukulinda
Nakupenda Sana Rais ndapata aye nationality ya kwako?
Nimekukumbuka baba yangu😂😂😂😂😇😇
unafanya nizidi kupenda nchi yangu mwaaaa rais wang kila la heli
mashaalh
tumbua mzee
Hongera
Hpo wa Tanzania na mekupa big hap ssn bb rais
Chapa kazi baba
Barikiwa baba
hahahahaha,rais umenichekesha tumeacha kujinyonga.mwenyezi mungu akulinde na husda za walimwengu
Wewe ndiye raisi wanyonge
Taifa hili mungu alisimamie
Shujaa kaondoka mungu ampe malazi mema
Sijakuelewa kabisa vijijini hakuna Pesa mweshimiwa
Santy Hassan kachimbe mjinga wewe
Said Asimba wewe ndo mpumbavu vijijini wanamshahara unaongea au unatapika
+Santy Hassan santy msenge achana na uyu MZEE kabisa fala ww
Santy Hassan bn..
Rest easy my fathr i lik u 2dy,2mor & evry day
Hahahaaaa penda Sana Uncle Magu nikweli Wote Wanao kuchafua Ni kati Ya Hao 12 000 Na Wala Rushwa na Mafisadi
Huyu mwamba alikuwa mkweli lakini walio mtangulia hakuna kitu blaablaa nyingi