MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2019
  • MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
    Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, ameanza ziara rasmi katika mkoa wa Shinyanga, ambapo kabla ya kuwasili amesimama katika maeneo tofauti tofauti barabarani na kuzungumza na wananchi..
    #MAGUFULI
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    th-cam.com/users/playlist?li

ความคิดเห็น • 672

  • @mustaphakijazi9807
    @mustaphakijazi9807 ปีที่แล้ว +94

    Wanao itazama hii mpaka sasa mwaka 2023 naombeni like zenu

  • @mckiboevents
    @mckiboevents ปีที่แล้ว +30

    Niko 2023 bado nafuatilia hizi clips Hadi zitakapofutwa. Kama bado unafuatilia gonga like hapa.

  • @user-be8lz2xf2t
    @user-be8lz2xf2t หลายเดือนก่อน +16

    2024 tunaoitazama gonga like.

  • @imanuelpoteza6846
    @imanuelpoteza6846 2 ปีที่แล้ว +141

    Jamani waliommisi huyu mzee tujuane kwa like hapa

    • @JaredFabian-zy4ez
      @JaredFabian-zy4ez 9 หลายเดือนก่อน +1

      nimemkumbka sana jamaa

    • @BarakaLulay
      @BarakaLulay 7 วันที่ผ่านมา

      Mic you dady

  • @user-gi3wt5ml3k
    @user-gi3wt5ml3k 5 หลายเดือนก่อน +14

    Nitakukumbuka sana rais wangu magufuri mpaka mwisho wa maisha yangu

  • @boombasticjoseph1105
    @boombasticjoseph1105 3 ปีที่แล้ว +43

    Now i understand why some Tanzanians were fainting during body viewing! The Best President i ever seen on earth, have never seen a leader who is very close to his people than this guy. RIP Mr. President!

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 2 ปีที่แล้ว +45

    Mungu anayaona machozi yetu. Pumzika kwa amani jemedali wetu mfalme wetu

  • @kombosalehe3156
    @kombosalehe3156 3 ปีที่แล้ว +46

    Kuna funzo kubwa sana kwenye crip hii! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! 😢

  • @user-db8gh6yz5w
    @user-db8gh6yz5w 10 หลายเดือนก่อน +15

    Am a kenyan pastor,bt the presie has touched mie,he act like genuine pastor,may the lord protect his soul in heaven!❤❤❤❤❤

  • @jenifercynthiakazimoto5392
    @jenifercynthiakazimoto5392 3 ปีที่แล้ว +14

    Asante Mungu kwakutupatia Raisi mwenye upendo Kama Raisi wetu Magufuri love you Baba.

  • @JONATHANMUMOMUSIC
    @JONATHANMUMOMUSIC 5 หลายเดือนก่อน +11

    ❤❤❤ I'm from Kenya and I really value this president my his soul rest in peace

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 3 ปีที่แล้ว +35

    Namuomba mungu akuingize kwenye rehma zake amiin

  • @feldeterchilanga2092
    @feldeterchilanga2092 3 ปีที่แล้ว +44

    Tanzanians people am really sorry for the big loss magufuli you have broken my heart 😭😭😭😭😭😭💔💔😭

    • @mulongonzazi9241
      @mulongonzazi9241 3 ปีที่แล้ว +1

      Realy it is a big lost from Drcy heart is broken 🙈🙈🙈🙈🙈na muliya kabisa makufuli Mungu umushunge mutumishi wako

    • @MH-nq7wy
      @MH-nq7wy ปีที่แล้ว

      ​@@mulongonzazi9241 This big man as a socialist was killed by capitalist.
      TZ as a country of oportunities, Magufuli couldn't live longer!!

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 4 ปีที่แล้ว +20

    Am a Kenyan but I admire alot how this president comes to the ground ...what a humble person he is...God bless him always

    • @happymasaweyangababalao4486
      @happymasaweyangababalao4486 3 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kumtunza rais maguful ni rais wa wanyonge

    • @maro4525
      @maro4525 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@happymasaweyangababalao4486😅

  • @aminashabani5399
    @aminashabani5399 4 ปีที่แล้ว +32

    Mwenyezi Mungu akulinde Rais wetu uweze ishi maisha marefu

  • @mercyokari8233
    @mercyokari8233 3 ปีที่แล้ว +17

    Can't stop watching this😢😢😢continue resting in peace Mzee magufuli until we meet again in heaven😭😭😭

  • @chuwaloonlinetv6672
    @chuwaloonlinetv6672 4 ปีที่แล้ว +39

    Anaesema magufur mbabe mwache kwan hajui uchungu wa mwana much respect magufuri

  • @mzeemzee2467
    @mzeemzee2467 4 ปีที่แล้ว +24

    Hapa ndo ninapomfahamu Mh. rais kuwa kazi ya urais ni kazi ngumu sana. Mungu akusaidie na akupe moyo huo huo wa kutatua matatizo ya wananchi wako.

    • @dominicsomola402
      @dominicsomola402 4 ปีที่แล้ว

      ...pamoja n hayo watu wanaikimbilia sana...kwa kweli inaliza kwa kweli...

    • @nicehonesty912
      @nicehonesty912 2 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭 jaman nalia apumzike tu

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +28

    huyu baba magufuli mungu amuzidishiye maisha marefu anajuwa teteya haki za binadamu.

  • @rosekamwesa964
    @rosekamwesa964 11 หลายเดือนก่อน +15

    This was a true shepherd who took interest in the experiences of those he led.
    Wish we had more of him in Africa!

  • @shaabansoma7661
    @shaabansoma7661 4 ปีที่แล้ว +21

    I'm in love with magufuli a man of people, also a gift from Allah so as to save people who have been crying for long time without help.Magufuli a president of the century from Bongo.

  • @pili1234
    @pili1234 3 ปีที่แล้ว +12

    Allah akupe maisha marefu uzima na afya rais wetu wa wanyo wanyonge

  • @zeinabhassan6071
    @zeinabhassan6071 3 ปีที่แล้ว +34

    African lost a great leader....Tanzania people are very lucky to have a wonderful leader like magufuli...may his soul rest in peace

  • @christophermzumara4267
    @christophermzumara4267 2 ปีที่แล้ว +8

    This man was a true definition of a generous leader, backed with a sense of humor and integrity

  • @kamaukamau6233
    @kamaukamau6233 3 ปีที่แล้ว +15

    Let negative people say what they want to say about the late President John Pombe Magufuli,but I don't know if Tanzanians will get another president with a heart of Gold like Magufuli,indeed he was like a real father to his countrymen

    • @hijaiddi6950
      @hijaiddi6950 3 ปีที่แล้ว

      Mung amuwoke mahalo pema

    • @mariaalfred8463
      @mariaalfred8463 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupumzishe laisi wetu laisi wawnyonge tunakukumbuka

  • @thulanicele7843
    @thulanicele7843 4 ปีที่แล้ว +27

    this is the only president who has made me shade tears cause of what he does.the love for his people.much love my hero and role model.

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 3 ปีที่แล้ว +20

    Daudi atafutwe, JPM ahsante Muheshimiwa, Toeni hela ndio mtajifunza.

  • @samuelmtasha9272
    @samuelmtasha9272 4 ปีที่แล้ว +27

    Maskini Rais hadi analia, so painful! Mungu mbariki Rais wetu

    • @husseinbararukaza428
      @husseinbararukaza428 3 ปีที่แล้ว +4

      Eee MUNGU sidhani kama itakujatokea Rais wa wanyonge km huyu daaah MUNGU ninamuweka Rais wetu mikononi mwako umlinde na kila aina ya uadui na magonjwa mpe kibali cha kuongoza mpaka utakapo sema bac

    • @athumankigoma4585
      @athumankigoma4585 3 ปีที่แล้ว

      @@husseinbararukaza428 j

  • @officialnaa8470
    @officialnaa8470 4 ปีที่แล้ว +25

    Hongera sana Rais wetu na pole kwa kwa kazi ngumu

  • @ahmadisaidi8195
    @ahmadisaidi8195 9 หลายเดือนก่อน +4

    Wen ever I watche magufuli😢😢😢😢so sad my god bless him rip

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +8

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 3 ปีที่แล้ว +14

    Tutakukumbuka sn Rais wetu!! Viatu vyako ni vikubwa sn

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 4 ปีที่แล้ว +13

    Masikini mpaka mwafanya Rais yuwalia mungu amjalie apite tena muhula ujao🙏🙏

  • @estherkamate8061
    @estherkamate8061 3 ปีที่แล้ว +13

    He was a really father, tume poteza jameni

  • @emanuelsiara3937
    @emanuelsiara3937 4 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyenzi Mungu, umlinde rais wetu.

  • @emmysam1510
    @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว +13

    John wangu jamani..we miss you babaaaa😭😭

  • @merryloya4893
    @merryloya4893 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akutunze Rais wetu

  • @edwardsostenes8048
    @edwardsostenes8048 2 ปีที่แล้ว +29

    he will never die in my heart until I die

    • @jamesmasila6873
      @jamesmasila6873 2 ปีที่แล้ว

      Oh my God

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Kaka magufuli maishani mwangu siwezi kukusau kamwe

    • @ChrispinusJuma
      @ChrispinusJuma 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni shujaaa🎉🎉🎉❤❤❤

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyez Mungu akujalie mh Rais

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว +11

    Nimempenda sana huyu rpc Yuko vizuri sana aise

  • @AugenBatista-qg3rc
    @AugenBatista-qg3rc 5 หลายเดือนก่อน +3

    He was logical and reasonable 🙌

  • @moddysalim5839
    @moddysalim5839 4 ปีที่แล้ว +7

    Moddy from kenya hongera rais makufuli marais wote wa Africa hasa east africa wangize mwenendo wake mungu akulinde rais mtenda kazi

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 4 ปีที่แล้ว +18

    Kuna siku tutayajibu haya mbele ya mungu na nalipo ni hapa hapa duniani. Yaani kumbe bila Rais utu haupo viongozi wa ngazi za mikoa, wilaya ,tarafa , kata viongozi wa kijiji na viongozi wa dini kweli hatuyaoni haya hayatuumi mioyo yetu mpaka Raisi aje basi tumuogope hata mungu jamani.

    • @johnmathenge3406
      @johnmathenge3406 2 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli kaka yangu hadi mimi nashangaa kuwa huyu mama hakusaidiwa mpaka Rais JPM alikuja kumsaidia. Hata hapa nchini mwetu Kenya wabunge, mawaziri, polisi, viongozi hawajali maisha ya wananchi wao heri jeshi ndio watu wanategemea pamoja na Mungu.

  • @ngisianbn
    @ngisianbn 3 ปีที่แล้ว +4

    Ooh GOD..What a leader we've lost. Mungu alikupenda zaidi

  • @geraldmakaranga9385
    @geraldmakaranga9385 3 ปีที่แล้ว +3

    Rais mungu akulipe kwa mema unayowafanyia wa2 wako unaowaongoza mungu akupiganie kwan unasafar ndef shetan yupo mawindon akikuwinda lakin kwa jna la yesu ashindwe milele

  • @ianolango8207
    @ianolango8207 3 ปีที่แล้ว +45

    I can't just stop watching this man and for sure, the world will never find a man like this and Africa has lost Her Son. Poleni sana wana Tanzania na Mungu awarehemu

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 3 ปีที่แล้ว +7

    Hapa ndipo nampompenda rais kwa kweli Gold bless you Magu 🙏

    • @hijaiddi6950
      @hijaiddi6950 3 ปีที่แล้ว

      Tutakukumbuk Sana baba♥️♥️♥️

  • @saidiuchebe5203
    @saidiuchebe5203 3 ปีที่แล้ว +26

    We will miss you so much our dad Magufuli😭😭

  • @nancymohamedy7672
    @nancymohamedy7672 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu ampe maisha marefu muheshimiwa rais wetu Magufuri

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimeambulia Julia tu machozi mie.Nasema mungu mtunze magufuli nakuombea Sana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +13

    Hapo ndio utajua rais pia NI binadamu , anachukizwa na uzembe na ucheleweshwaji wa maamuzi , sio kwamba anatumia pesa au nguvu...... Huo ndio ukweli watanzania tunamazoea yàkipumbavu sana

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe maisha marefu Rais wetu Insha Allah

  • @willywaire50
    @willywaire50 2 ปีที่แล้ว +3

    Sometime s I watch this & cry 😭😭 may God 🙏 keep magufulis soul on internal peace..

  • @user-wp2uj7wt1i
    @user-wp2uj7wt1i 5 หลายเดือนก่อน +2

    ..this man was an Angel sent from heaven.
    I can't stop crying for him😭
    My one wish kama Kuna uwezekano Mungu amuinue jman😭
    Rest in peace Dr.JPM❤

  • @user-hh1sy2qz1j
    @user-hh1sy2qz1j หลายเดือนก่อน

    Feels heavenly when a prominent person got humanity and believes in God. SO HEAVENLY

  • @saumuhassan3796
    @saumuhassan3796 3 ปีที่แล้ว +8

    Mheshimiwa mm ni Mzbar binafsi kura yng ilikuja kwako na 2020 in sha Allah sirudi nyuma. Ila na sisi huku shida tunazo.

    • @ruqayaruqaya4283
      @ruqayaruqaya4283 3 ปีที่แล้ว

      Polen sn sie tz bara tuna peta tu na rais wetu mtetez wa wanyonge lkn huko zanzibar mwinyi c yupo?

    • @emmysam1510
      @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว

      Mwinyi si yupo..siye kashatangulia mbele za haki

  • @evab5386
    @evab5386 4 ปีที่แล้ว +10

    Makufuli mungu akubariki you're a good president in African 🌹😭😭😭😭

  • @jacquesntabagara3682
    @jacquesntabagara3682 3 ปีที่แล้ว +4

    God bless our Africa United president Pompe Magufuli for real.Jah know

  • @elizabethdeus1343
    @elizabethdeus1343 4 ปีที่แล้ว +10

    Oyoooooo miaka Mia baba kweliweweni laisi wa wanyonge

  • @mariekyosse2684
    @mariekyosse2684 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupokeye baba

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda sana Mh Raisi Magufuli nakupenda sana nakuombea sana mema makubwa sana toka kwa Mwenyenzi Mungu Mkuu Mtakatifu

  • @mugishachance8844
    @mugishachance8844 3 ปีที่แล้ว +6

    Iam really crying like now! Nimeguswa na ubinadamu Dr president Magufuri alikuwa nao kweli ameondoka Imeniuma na kuona Video zake jinsi alikuwa Anasaidia watu yani machozi tuuu nalia tu. Yani alikuwa na ubinadamu mwingi moyoni mwake ,, kweli tungekuwa na watu Kama yeye dunia ingebadirika Paradise. Rest in Peace Sasa hivi umekaa na mungu mbinguni ulisha fika. Tutakukumbuka forever.

    • @Elimollel
      @Elimollel 10 หลายเดือนก่อน

      Hatutamsahau milele

  • @wanguibundi4017
    @wanguibundi4017 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki kwa kazi nzuri mheshimiwa raisi

  • @fidelisvenance6431
    @fidelisvenance6431 3 ปีที่แล้ว +9

    R.I.P HERO JPM 🙏

  • @pastorrusagarajosephsolo8692
    @pastorrusagarajosephsolo8692 2 ปีที่แล้ว +23

    Tupate wapi tena mtu kama huyu ambaye Mungu alikaa ndani yake 😭😭😭😭😭😭

    • @Elimollel
      @Elimollel 10 หลายเดือนก่อน

      Yaani acha tu"!!

    • @JosephSila-rd1wz
      @JosephSila-rd1wz 9 หลายเดือนก่อน

      Labda azaliwe mwaka huu

    • @IreneCtz
      @IreneCtz 5 หลายเดือนก่อน

      😢

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว +8

    Magu cna neno na ww ila nakuombea kwa mwenyeenzi mungu akusimamie

  • @petrofidelis5751
    @petrofidelis5751 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulaze mahala pema peponi Jemedari wa Africa

  • @zipporamosinya4193
    @zipporamosinya4193 3 ปีที่แล้ว +2

    Makuvuri Ali fanya kazi nzuri mungu humuweke pazuri hapumusike sarama amina

  • @manmwananzungu8945
    @manmwananzungu8945 4 ปีที่แล้ว +3

    Ww nirais wa wanyonge nakupenda cn makufuli kimbilio la wanyonge mungu akupe umri mrefu

  • @iddikibaitz514
    @iddikibaitz514 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuwekee sehem salama ishaallah peponi

  • @evelynlehnard3928
    @evelynlehnard3928 4 ปีที่แล้ว +6

    Rais akiwa mcha Mungu inchi inabarikiwa.

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 3 ปีที่แล้ว +8

    Kagonga kaua halafu anazurura tuu mtaani? Apate life in prison wajifunze Naaaah wanaonewa sana ahsante JPM.

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 3 ปีที่แล้ว +6

    Tawala milele Raisi wetu🙏

  • @isaacmasibo3183
    @isaacmasibo3183 ปีที่แล้ว +2

    Not only Tanzania lost a very power committed president but African, worl we lost very powerful Man who could one day Transform Africa 😢😢😢😢😢 may your soul rest easy President John Pombe Magufuli still hear in +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 its like we have lost you today ur words solving issues was more of a leadership God grand Tanzania, Uganda Kenya such people 😢😢😢

  • @mbereser0saidi318
    @mbereser0saidi318 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akurehemu rais wetu mpendwa umeondoka bado tulikuwa tunakuhitaji mungu tunaomba utende maajabu katika karine hii wewe ndy kimbilio letu

  • @naomymoraa1154
    @naomymoraa1154 3 ปีที่แล้ว +8

    Why did you die😭😭😭?may you rest in peace mkombozi wa wanyonge,,,I wish Kenya we had such a leader,

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 4 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe sana mkuu, Mungu akuzidishie ukawe taa kwa wenye giza la kunyanyaswa

  • @emmanuelmagembe8256
    @emmanuelmagembe8256 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mama angu mungu yupo atakusaidi mama

  • @PetersonNyaga-dk5oi
    @PetersonNyaga-dk5oi 4 หลายเดือนก่อน +3

    The best president Africa has ever had,.. maghufuli was a real deal for this continent

  • @masambamichel6453
    @masambamichel6453 3 ปีที่แล้ว +8

    I can't stop crying for mister magufuli

  • @michaelmbata8582
    @michaelmbata8582 9 หลายเดือนก่อน +1

    Truely you were a servant of people. May you continue resting in peace. John Pombe Magufuli

  • @Jean-bj5md
    @Jean-bj5md 3 ปีที่แล้ว +4

    God fearing man Gobleess his soul rest in peace Papa

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 3 ปีที่แล้ว +7

    Tumempoteza Mtu mmoja kama watu Billion 1 😭😭😭😭😭💔🕊🕊🕊

  • @issamohd2674
    @issamohd2674 4 ปีที่แล้ว +20

    nchi hii yaan mnyonge apati haki mpaka Rais aje mwnyw

    • @mkusibaleluye4317
      @mkusibaleluye4317 3 ปีที่แล้ว

      Big up sana uncle magu nakukubali sana

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว

      C afandali kwenu je kwetu kenya ata aje nani shida 2😭😭mungu 2

  • @ashasalehe7726
    @ashasalehe7726 3 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika SHUJAA WETU😭😭😭😭

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 ปีที่แล้ว +4

    Siamin chochote bado namuona Tu Rais wangu wacha tukulilie Kwa kweli tunahaki ya kukulilia

  • @magemushi5594
    @magemushi5594 3 ปีที่แล้ว +2

    Nitakumisi Sana raisi wangu magufuli nitalia milele

  • @aishsharuni3151
    @aishsharuni3151 4 ปีที่แล้ว +7

    Aky natamani nkuwe mtazania

    • @djangounchained6867
      @djangounchained6867 4 ปีที่แล้ว +1

      nichek kwa namba yangu.....naweza kukufanya uwe mtanzania

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mungu tusaide

  • @veronicaoman8764
    @veronicaoman8764 4 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda Rais wangu mambo yake ni makuu yakinabii

  • @mariammohamed4772
    @mariammohamed4772 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu umlinde raisi wetu magufuri

  • @ahmedamar1329
    @ahmedamar1329 3 ปีที่แล้ว +2

    MH..Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Una Kazi Kweli Baba Angu Maana Haya Mambo Yapo Kweli Baba Akuu Amini Ilo Sema Wewe Ni Raisi Wa Wa Wa Nyonge Mungu Akupe Umri Mrefu Na Nguvu Kwa Ilo

  • @jamesfadhili5905
    @jamesfadhili5905 3 ปีที่แล้ว +4

    Can't stop mourning this man magufuli

  • @sophiaomar3442
    @sophiaomar3442 4 ปีที่แล้ว +7

    Raisi mwadilfu magufuli

  • @selemanijeanpierre7931
    @selemanijeanpierre7931 4 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda RAIS sana magufuli

  • @user-of2cr7mq2k
    @user-of2cr7mq2k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amrehemu

  • @brotherisaiahtv
    @brotherisaiahtv 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah Magufuli🙏🙏

  • @pendoathuman1662
    @pendoathuman1662 3 ปีที่แล้ว +3

    Mm naona kama ndoto kweli baba umelala pumzika salama

  • @GraceKwayu-yo4zf
    @GraceKwayu-yo4zf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimelia tena upya jmn!!! Tumpate wapi tena mtu km huyu... Ambaye Mungu anakaa ndani yake... Pumzika kwa Amani baba yetu...

  • @asherymethod4624
    @asherymethod4624 3 ปีที่แล้ว +3

    4.
    .