Samahani kwa usumbufu th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html 👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya UbArikiwe Thanks
Yeah!sugu anaongea ukweli 90s nishakutana na raia wazambia pale sinde mbeya walikuwa wakimtafuta msanii Mr 2 nikawajibu yuko dar wakati huo.big up Kaka yangu sugu .
SUGU amenikumbusha mbali enzi hizo mitaa ya kinondoni kona ya mwananyamala huwa tulikuwa tunakutana sana pale kwa EDDY BABA CHIPS usiku saa tatu hiyo tumetoka mbali

Hayo ni majigambo sugu, tuambie mchango chanya ulioimpact jamii Na siyo alivyovichuma kiujanja kama siyo kifisadi. Wewe ni msomi toa mchango kisomi. Joseph Msukuma siyo msomi ni darasa la Saba tu. MCHONGO WAKE KITAIFA FAIDA ZAKE NI KUBWA MNO TE ULIOOKOA TAIFA. TUTAENDELEA KUFAIDI MCHANGO WAKE KWA MIAKA MNGI
Angefanyaje sasa kwa namna ya uongoz ule. Ukiongea2 poin. Ndugai. KAA CHINI muda wako umekutupa mkono. Mara dk . nje. Yaaani. Mung amlaze yule jamaa na moto wa milele . pumbavu yule ameua demokrasia
Salute kwako muheshimiwa Sugu
Nampenda mbunge wangu mpk naumwa
Naona wengi mnamwaga sifa kwa sugu mwaka Jana tu wengi mlikuwa mnamdis wabongo wanakera sana!!!! Mr ii nakuelewaaaa since nakuckia kwenye hip hop
Sugu Hongera,I have witnessed u from scratch. --sinza palestina
Huyu jamaa ni hustler sana!
Legendary the big man
Respect kaka mkubwa sugu
Daaaah This guy anan inspire sana
mmh kweli nimeamini mlikuwa mko kifungoni...SNS walikuwa wanaogopa kabisa swala la siasa hasa wapinzani😀😀😀...mwenda zake mungu akurehemu🙌🙌
😀😀😀😀😀
Kweli mwenda zake akwende huko
Samahani kwa usumbufu
th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
UbArikiwe
Thanks
Nifuraha isiyo kifani 🤣🤣
upo simpo sana, my niga sugu.
big up saluteeee me nimekubali na siii kuwa tajili salute bro
Dah sugu mbuge Bomba sana
I really Appreciate you my MP JONGWE your always my Icon ,Be Gloryfied by God's Grace🙏🤝❤️
Mnyamwez mmoja namic kukuona mjengon mzeh wang
Legendery Tuff gong
The man himself
Moto chini
IQ kubwa kabisa
Hiii ni interview bora sana kwa Tanzania kuliko zote toka tuingie 2021
Kuna vichwa vingi Sana bongo. Ila sijui tunafeli wapi
Day waka nakukubali sana nakumbuka uzinduzi nilikuwepo ilikuwa poa sana
Too proud
Big up jongwe
Mzee wa untivirus. Kubali sana dingi la madingi
Sugu ndo definition ya G.O.A.T always siwezi kukosa interviews zake
Yeah!sugu anaongea ukweli 90s nishakutana na raia wazambia pale sinde mbeya walikuwa wakimtafuta msanii Mr 2 nikawajibu yuko dar wakati huo.big up Kaka yangu sugu .
Sugu the Legend
Kuna laana hapa bongo,,najiuliza kwanini watu makini kama hawa hatuwatumii?
Kwasababu wanaporwa kwa mtutu wa bunduki
Hata mimi sielewi kabisa. Huyu mtu, Msigwa, Heche na Lema nawamiss sana
Congrats sugu,well done job💯💝💪🌞🙏🇰🇪.
Criss you are amaizing bro
Hawa ndio watu wa kuwaoji maisha yao ni elimu tosha kwa vijana wengi. Sio kwenda kuhoji wadangaji na wasanii watafuta Kiki
Kwel kabisa ingekua wabana pua hapo ingekua kiki tu hawana lolote
Eti unaenda kuhoji mijinga kama mwijaku, baba levo, masha love, harmorapa shenzi kabisa😢
bonge la interiew,,,,stories life entertaiments yan waoh interview
I fucking like u ma nigga Mr.2Proud!! Gonga like kama ushawahi kuskiliza Nje ya Bongo ukiwa dogo
Good presentation man
wow upo mbeya creez favours jamani ningekuwepo ungekuja home ule lunch :) jirani na desderia. Enjoyyy!
SUGU amenikumbusha mbali enzi hizo mitaa ya kinondoni kona ya mwananyamala huwa tulikuwa tunakutana sana pale kwa EDDY BABA CHIPS usiku saa tatu hiyo tumetoka mbali
Wana sns mpo vzr sana
Safii
Nalikubali ili li jamaaa balaaaaaaa ni jongwe jiwe suguuu noma sana
Jongwe 💪🏽
Mbeya Moja👆
Big up mbilinyi
Nakukubali sana sugu
Wa kwanza kucoment
Contents ndio zinamata sio jina❤
Baba freeman
Uyu sugu ninkichwa nimesikiliza interview yake ana akili Sana
Nakukubali sn brother sugu
Wewe ni icon tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Safi seraa raaa kweri
Jina la mheshimiwa haliishagi mkuu!
nom
Nakubali sana mzee. Ile ngoma yako ya miss tz. Wabongo kibao hawajawah kuielewa
Miss tanzania ni ya solo thang
mkinga kama mkinga
Godfather of hip hop in Tanzania
😍😍
😂😂😂 was a G hahaha sugu mwamba
>>>Dah Sugu anasema Kupewa Heshima Mapema Ni Mzuka Sana 😅😅
Suguuu daaa ckupingii mkuu wang , ile ngoma mikonon mwa polic aipingwi
Sure, 1992 biashara ya magunia ilihit Sana Mbeya, nakumbuka mzazi wangu ni Business iliyomtoa...alikuwa anatoa magunia Zambia analeta Mbeya
Nimefurahi sana sugu
WANAMWITA SUGU.
✌✌👍
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌..
Wananiita sugu, sugu, sugu, sugu
Naani?
Wananiita sugu, sugu sugu, sugu🎵🎶
Hata mtt wa demu ananiita uncle Sugu💃💃
🐐
Daa!! Mafanikio
Baba sasha on the Simulizi Na sauti, 2 Years ago
Sanaaaaaa t7uuu
SUGU
Sugu ni sugu kweli
Done
Hii interviw angeifanya sky walker mwenyewe ingekua tamu saana kiukweli, sijaenjoi kabisa huyu jamaa anavomhoji sugu
Tuliza mshono wewe
Huna akili
Naunga mkono hoja
Samahani kwa usumbufu
th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
UbArikiwe
Thanks
Nice interview! Big up my MP
Wana kwita sugu nani
Sugu sugu . sugu . naniiiiii
Samahani kwa usumbufu
th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
UbArikiwe
Thanks
jamaa kichwa sana
Wanamuita SUGUU
Hii ndio enteview yangu bola 2021
ASANTE NSN KUTULETEA REGENT
Mmgempa sky uyu bingwa
Hahah sema Chriss pia amefanya vizuri
Sure ila not bad
Samahani kwa usumbufu
th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
UbArikiwe
Thanks
Sugu umengea maneno kama mtu mzima
Mpambanaji
Wapinzani jipangeni kwa sera nzri mjaribu tena 2025,acheni Mambo ya kususa uchaguzi ndiyo kipimo chenu,kuwa tunakubarika au tumefeli wapi mrekebishe
Wewe umekaa kama hukai bongo ivo unavoongea au siasa za bongo huzijuii
Uwezi kushindana na mtu anaetumia silaha kupata ushindi alafu kesho unakuja tena kupambana kwa mbinu ileile utegemee kushinda
Jongwe
Nakumbka gari la kwanza lilikuwa model ya Honda
Kali sana
Ssa huogopi corona ww sugu mwehu kweli
We huogopi mbwa wewe
We umekosa oja wivu unakutesa nenda kalime
Kwa bi husna ulikaa nkumbka
TAITA kama TAITA
M
Done Done
Hayo ni majigambo sugu, tuambie mchango chanya ulioimpact jamii Na siyo alivyovichuma kiujanja kama siyo kifisadi. Wewe ni msomi toa mchango kisomi. Joseph Msukuma siyo msomi ni darasa la Saba tu. MCHONGO WAKE KITAIFA FAIDA ZAKE NI KUBWA MNO TE ULIOOKOA TAIFA. TUTAENDELEA KUFAIDI MCHANGO WAKE KWA MIAKA MNGI
Nimoja yawabunge wanao jielewa xana
Ila brother men Sugu kwetu ILEMI hujafanya lolote ILEMI kwetu kwenye uongozi wako hujafanya lolote
Angefanyaje sasa kwa namna ya uongoz ule. Ukiongea2 poin. Ndugai. KAA CHINI muda wako umekutupa mkono. Mara dk . nje. Yaaani. Mung amlaze yule jamaa na moto wa milele . pumbavu yule ameua demokrasia
Mbona aliomba sana Barabara ya mapelele Magu ndo alizingua,
Achaaaaaa uwooongo hmna aliyekufunga tafuta mambo menngie huoo Ni ujimga!!!!!
Ata Kuandk ujui unakuja comments idiot
Mwandiko umepinda
Unambonji na madog wa mitaa
Big up sana sugu, nakukubali sana unamawazo yenyekuleta mafanikio tokazamaizo nandomaana umeweza💪
We Osman jinga two unawivu binafsi naujapitia magum acha mtu aongee mapitio yake
Tuna kuelewa Sana jongwe
🐐