THE CLASSIC MASTER J: UGOMVI NA BABA/NLIMTIMUA MIKE T /SUGU ALIZINGUA/MAPRODUCER SASA NI MACHAWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2023
- Hii ni sehemu ya kwanza ya The classic na Master J ,kwa hakika yeye ni moja ya mababa wa Bongofleva,kutoka maktaba intverview hii
Ilifanyika mwaka 2021 ,nimekuwekee sehemu hii ndogo,Enjoy
Master J is a whole vibe maahn 👊🏾💥
Big unazingua sana interview itume kwa ukubwa wake
Kumbe sugu ni balaa sana big up SUGU
That's true hip-hop inachukiwa na mifumo ya duniani kote
Cku iz mnaboesha na time ndogo bwana ama tuachane nazo tu
😂😂😂master j noma saana
Aisee mbona hivitena kulikoni. Au wanaharaka maana tunataman kusikia mengi. Time time time😭😭😭
❤
👊✌️👍.
Ukizingatia huyu ni mtu mkubwa sana kwenye game mpe heshima yake
Ulikuwa hujui Kiswahili kivp etii na umezaliwa bongo kwa sababu umetoka ulaya
Kasoma Zimbabwe elimu ya awali na msingi kisha Ulaya.
Mbona hizi interview nzury mnaweka time ndogo
Ipo full icheki kwenye page utaiona
Ivi master jay na salama ni ndugu au?
Sugu
Ama hampigi hela uku Sisi wa Kenya tunapenda izo story Sanaa maana hatuwajui kiundan na walianzaje sasa ww kuvi na kipara mumeanza uzembe uku TH-cam
Full interview ipo kwenye page