😂😂😂yaan kiukweli Eliud ndo comedian bora nchini japo watu wana mahaba na Leonardo hatukatai ni mambo ya nyota kuzidiana but huyu jamaa ni zaidi ,yaan kipindi kimeisha kwa yeye na mama tu bila kuja na alichokitunga huko na watu wamecheka kuanzia mwanzo mpaka mwisho😂😂😂
Mze wa story za mama hahahahaa yani wwe tutakusikiya sanaaaa Kama kilasa angaliki hayi Mungu ampe Maisha marefu Mama yako ni big Bland Anajuwa linda Bland @Yere mmi nishabiki yenu wwe na mama😂😂😂😂😂
hiyo sadaka haina kikomo hata mia inafaa pia komed chochote ulicho nacho sasa hivi manbii mmekua fek we mpaka airin woya ety ni pasta hizo sadaka atatoa nani na watu wanajua ni mpigaji au anaigiza ili apate pesa
Mchekeshaji ambae unachekesha kila lika ya watu kwasababu uchekeshaji wako siyo wa kutukana appreciate bro
Kweli kabisa kuna yule mrefu mwembamba, jamani mh!! Cjui kalelewa wapi!!!
😂😂😂yaan kiukweli Eliud ndo comedian bora nchini japo watu wana mahaba na Leonardo hatukatai ni mambo ya nyota kuzidiana but huyu jamaa ni zaidi ,yaan kipindi kimeisha kwa yeye na mama tu bila kuja na alichokitunga huko na watu wamecheka kuanzia mwanzo mpaka mwisho😂😂😂
Wenye mama zao jamaniiii,
Mungu azidi kuwatunzia, cku izi nimeona sana vijana wakijivunia mama zao.❤
A very talented stand up comedian, hata hatumiii nguvu lakini watu wanavunja mbavu
bro unajua commedy hakika tena ya kistaalab salute kubwa
Eliudi best comedy 😂😂
Mungu Akita kukupa akuandiiki baruwaaaa
Nani kama Mama. Umenikumbusha mama yangu, I owe her something
Eliudi anapenda sana manguo ya rangi ya kiini cha yai la kuku wa kienyeji😂😂
Umetisha sana kwanza kuikataa.nyimbo.ya.babalao yani nobody is perfect saruti sana bro hii.from.cap town Ina.mawakubalisana
Kiongozi
SAM ELIUDI,
Nakutafuta
Sauti inakua chini haisikiki vizur Kaka Eliud
Amen. Eliud wew the best and humble
Mungu akubarik sana kaka kwa Kaz nzur jaman❤❤❤❤
Like huwa mnafanyiaga nn haya nipeni na mimi
Uroho tu kuoga aaaaah 😁😁
th-cam.com/video/an8tMWrZjvc/w-d-xo.htmlsi=DsiBMortoyex1fi_
😂😂😂😂et mnacheka mama wa mwenzenu
😂😂😂😂😂Eliud jamaniii 😂😂😂walifu wakubwa 😂😂😂😂
😂😂😂 💥💥💥💥 Unajua Saanaaaaaa! A blessed child 🎉
Nani kama mama jamani l ❤ Mama anguu❤❤❤❤❤
Sauti iko chini sana
Uyu eliud Mungu anamuana mpumbavu kweli yani 😂😂😂😂😂
🎉🎉hii nzur sana 🎉❤
😂Anajiheshimu, anawaheshimu wasikilizaji wake wakubwa kwa wadogo, hatumii maneno machafu..kama yule,
Mungu azidi kumuinua.
Daah mpaka nmelia sana kaka uko vzr jmn
Umeonyesha Upendo mkubwa Kwa mama HONGERA KIJANA
Bwana mkubwa Eliud tuko pamoja huku DrCongo
Mze wa story za mama hahahahaa yani wwe tutakusikiya sanaaaa Kama kilasa angaliki hayi Mungu ampe Maisha marefu Mama yako ni big Bland Anajuwa linda Bland @Yere mmi nishabiki yenu wwe na mama😂😂😂😂😂
wow!🥰
Hadi raha
Watanzani ka! Yaani hii ya kijanja hovi comments ni chache hivi haaa. GONGA LIKE NA GOTI LA MAMA hapa
Kuangalia show za eliud😂🎉it’s worth it
mnafanana sana
Mungu usimusche kakaangu ndio nguzo yako.kumbuka nilikuandikia toka mko kugombaniana no
Mnacheka mama wawenzenu😂😂
Kama hutaki kutoa Hela Siri ni Moja tu uchukue video ama ucheke Sana
Mnafanana hadi kucheka jmn😂😂😂 raha sana
K.K.K -Kyimo Kijiji Kitulivu
Mimi ilo busuu lakoo tuuuu😂😂
Eliud kilasiku tunamwona mama je baba yukowap
Daaah Rest In Peace mama
Nipateee likeee namm
👍👍👍
Eti analia😢
kaka eliudi una tuuwa mwaka huu dah
Like zangu jamani leo nimekuwa wa kwanza
Yaan eliud hahahhaha tunakupenda
🔥🔥🔥
If you have mother do samething for her
Eliud😂
Eliudi we bro unajua natak ck Moja niwe kama ww
eliuid mbavu zangu😂😂😂
Naona kaona dawa ya mkopo
😅😅😅😅 ❤❤❤❤
mi sijasikia nisiwe mnafiki
😂😂😂
Nunueni camera yenye HD mnaboaa
Hata wakodishe tu
Nunua simu nzuri bby😂😂
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Aa,
WEWE MUUNI HAPO NDIO UNACHEKESHA HIVYOOO 😁😁😁😁😁😁
Sauti mbovu video quality mbovu shida nn cjui
Kwani nyie mnatumia simu gani?
Labda simu zenu
Kher uko ulimwengu gan ndg
Simu Yako bby😂😂😂
Sadaka buku unatunza comedian 100,000
Uwezi kutuchagulia moyo wa mtu
Wako wanaopeleka 100000 kanisani home watoto awana chakula
Hahahhahahahah ukwel mtupu
Ww unatoa tsh ngap
hiyo sadaka haina kikomo hata mia inafaa pia komed chochote ulicho nacho sasa hivi manbii mmekua fek we mpaka airin woya ety ni pasta hizo sadaka atatoa nani na watu wanajua ni mpigaji au anaigiza ili apate pesa
Sauti ipo chini sana
😂😂😂
😂😂😂