SUGU: SPIKA NDUGAI ASITUZUIE KUONGEA/ SIKUMTUKANA RAIS/ NIKIDAI FIDIA SIKOSI BILIONI 6

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #MsumariWaMoto #JosephMbilinyi #Sugu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 125

  • @arthurmushani4745
    @arthurmushani4745 2 ปีที่แล้ว +3

    I like your song Haki big up Sugu it has a big msg.

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 ปีที่แล้ว +12

    Nataka niwakumbushe huyu ndo mbunge wa kwanza Tanzania kwa kupita kwa kura nying kutoka kwa wananchi wake, pia ndo mbunge wa kwanza kupendwa zaid na wananchi wake, pia alikuwa Karibu na wananchi.

  • @ramadhanilianje4048
    @ramadhanilianje4048 2 ปีที่แล้ว +13

    Huwez kufanya biashara kama hauna akili,kwa kifupi huwez kumiliki pesa km hauna akili,noted!

  • @salumugidion
    @salumugidion 2 ปีที่แล้ว +8

    Nammiss sana jamaa alikuwa vizuri sana Bungeni. Kwanza alikuwa na akili sana kuliko wetu Bungeni 🙏

  • @abeidmrengaofficial1792
    @abeidmrengaofficial1792 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi kusikia kaka Sugu akisema Alhamdulillah..Allah ukufishe Muislam in sha Allah.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 ปีที่แล้ว +15

    Yani tumekosa watu muhimu wakutuongelea mambo yetu binafs bungeni, maana anaeingia kwa kura halali huyu ndie chaguo la Mungu maana hakuna ushetani uliomfanya kukalia kiti, kwahio hata UTUMISHI wake unakua wa kimungu sio wa kishetani, hata maamuzi yake Yana hekima ya kiMungu sio maamuzi ya kishetani

  • @yojoruta3379
    @yojoruta3379 2 ปีที่แล้ว +13

    Sugu is the Legend

  • @batistermbwana8440
    @batistermbwana8440 2 ปีที่แล้ว +4

    Big up Mr 2 kwa interview nzuri

  • @misanyamisanya7499
    @misanyamisanya7499 2 ปีที่แล้ว +4

    WATANGAZAJI MWACHENI MGENI AMALIZE KUJIBU SWALI NDIO MUULIZENI JAMBO LINGINE. INAKERA SANA SUGU BADO ANAELEZEA KISHA NYIE MNAMCHOMEKEA CHOMEKEA TENA VISWALI KATI KATI YA MAELEZO MNAUZI SANA. LIFANYIENI KAZI HILO

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 2 ปีที่แล้ว +2

    Excellent sugu

  • @georgeabel7830
    @georgeabel7830 2 ปีที่แล้ว +9

    Sugu upo vizuri na nimegundua Chadema inawatu wengi sana hasa vijana wenye uwezo wa hali ya juu kuchambua mambo na kufanya mambo kuliko CCM

  • @effortmsossy4271
    @effortmsossy4271 2 ปีที่แล้ว +1

    Interview nzuri sana...Jongwe yupo sawa

  • @ibrahimgabriel4828
    @ibrahimgabriel4828 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda hii interview aisee

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 2 ปีที่แล้ว +3

    Sugu is really bright!

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi jongwe

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +10

    umeongea point sana mh, mbunge wetu wa kuchaguliwa. sisi tunakutambua wewe kama mbunge wa mbeya na rais wa mbeya siyo huyo aliyeteuliwa na tume ya uchaguzi ya ccm na kutangazwa

  • @ibrahimgabriel4828
    @ibrahimgabriel4828 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa Ana confidence ana talent ya hali ya juu Mungu Akuweke kaka mkubwa

  • @iam_deo
    @iam_deo 2 ปีที่แล้ว +11

    Excellent Interview Brother Sugu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 ปีที่แล้ว +7

    Ni kweli unatisha brother Sugu,hata Ndugai na tulia wanajua

  • @jafarymkapa4905
    @jafarymkapa4905 2 ปีที่แล้ว +3

    Heshima yako sugu

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu ni mwema

  • @mohamedvuaa1579
    @mohamedvuaa1579 2 ปีที่แล้ว +5

    Sugu suguru #rpcmnoko#mzeeanakupenda “jomgwe jongongwe”**tumepunguza usela wa kisheria Bungeni ola sugu bro mia mwanangu ila usisahau kua CCM tunakukubali na tunakupenda

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 2 ปีที่แล้ว +7

    Kuna tofauti ya kuwa na wanasiasa na wana harakati. Sugu ni aina ya watu wanaofanya harakati. Nchi ikiwa na watu wa namna hii husogea. Lakini ikijaa wanasiasa hakuna kinachofanyika, au hata kikifanyika huchelewa sana.. mwanasiasa ni mwepesi kubadirika na kujiangalia yeye na maslahi yake. Mfano ni Haji Manara, huyu ni kada mkubwa sana wa CCM.. kalelewa ki uana siasa. Ni shabiki na mwanachama wa Simba lakini kwa kua ana element za uana siasa leo yupo Yanga na anaihujumu hata Simba.. hizi ndio tabia za wana siasa hasa waliopikwa na CCM

  • @davidjackson700
    @davidjackson700 2 ปีที่แล้ว +4

    ✊ Sugu

  • @kayalaonlinetv
    @kayalaonlinetv 2 ปีที่แล้ว +7

    Bless up JONGWE

    • @bengang3265
      @bengang3265 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/oqrc2QqGHzg/w-d-xo.html

  • @apollojohn5698
    @apollojohn5698 2 ปีที่แล้ว +1

    "siregret, nilichokozwa"😂😂

  • @denisharris2889
    @denisharris2889 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa namkubali. Sijawahi kumsaliti. Mwanahiphop bora kuwahi kutokea nchini

  • @danielmwakitalima2118
    @danielmwakitalima2118 2 ปีที่แล้ว +6

    Wa kwanza like

  • @patelmpene3650
    @patelmpene3650 2 ปีที่แล้ว +2

    Your on fire 🥂

  • @danielsanga8459
    @danielsanga8459 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamaaa anakatiswa majibu pale anapo jipu swali la siasa mfano kushawishiwa kujiuunga na ccm kwann mnamkatisha

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 2 ปีที่แล้ว +4

    hawa wamemuhoji SUGU alikua too much kwao mi naona wameshindwa SUGU mkubwa sana kumhoji wakina zungu maswali soft

    • @demankidu_0093
      @demankidu_0093 2 ปีที่แล้ว +1

      big fact,uwezo wako wa kufikir nafikir unaendana namm,mahost ni wadogo sana,sugu ni legend flan iv

  • @nilisu1148
    @nilisu1148 2 ปีที่แล้ว +5

    Saf sana

  • @zubermkumba3035
    @zubermkumba3035 2 ปีที่แล้ว +4

    Uko vizur sana mbunge wa 2025

  • @anordelias
    @anordelias 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka wile naomba unisaidie niwasiliane na sugu

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kipind kizur

  • @NeneMedia
    @NeneMedia 2 ปีที่แล้ว +2

    kipindi kizuri lakini camera works inabidi muiweke kwenye kiwango cha kipindi chenyewe...

  • @zarinatv2024
    @zarinatv2024 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman me kiukwel huwa sijui chanzo hasa cha ugomvi kati Ruge na Sugu, anaejua naomba anieleze tatizo ilikuwa nini japo hata kwa kifupi tu🤔🙏

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 2 ปีที่แล้ว

      Sugu alipata dili la mradi wa malaria USA wa bilioni za hela Ruge akaidaka idea akawahi kwa kikwete wakazipata clouds hizo fedha

  • @divothdomician4061
    @divothdomician4061 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥

  • @mwana4599
    @mwana4599 2 ปีที่แล้ว

    Sugu safi sana. Ia kuh. Wamachinga ni suala la utofauti wa Uongozi period.

  • @peterkileo3861
    @peterkileo3861 2 ปีที่แล้ว +2

    Elegant presentation,respect to u Sugu

  • @hojabinafsi1471
    @hojabinafsi1471 2 ปีที่แล้ว +1

    Muwe makini kwenye kupozi, kuswich na intervention isionekane kama mnapushiana na hii itawaletea mtiririko mzuri zaidi

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 2 ปีที่แล้ว +2

    🤸💯👌♥️✌️

  • @jovinkabyemera1703
    @jovinkabyemera1703 2 ปีที่แล้ว

    Mwishowe wwtasemana walivyopindua meza kibabe uchaguzi Mungu namoenda anajua kuumbua wwnafiki hii 2022 inakuja na mengi

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 2 ปีที่แล้ว +4

    Watangazaji ni wa wili ila umoja ana onekana ana umimi, Zungu ame kua kama mtazamaji tu huo sio utangazaji , Zungu katumia muda mdogo sana ina maana hakuwa na ma swali ?

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 2 ปีที่แล้ว

      Laizma kuna mtangazaji kiongozi kiongozi ni ethics tu za kazi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +2

    Zijuwe athari za kuwa na bunge moja ktk nchi

  • @hojabinafsi1471
    @hojabinafsi1471 2 ปีที่แล้ว +1

    bado mnashindwa kuweka mtiririko nzuri wa mahojiano mnaenda kama mmepotea njia, jipangeni kidogo sababu hivyo vipindi ni vikubwa sana na huwa vinapendwa na watu wengi.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +3

    Kitabu hicho kinapatikana wapi wajameni

  • @stevenkayitare8955
    @stevenkayitare8955 2 ปีที่แล้ว +4

    Sugu kaongea ukweli

  • @chalesallen8582
    @chalesallen8582 2 ปีที่แล้ว +2

    Hamjui kuhoji muigeni miladi ayoo

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +1

    Yule mama tulia akson alituahidi wana mbeya atatengeneza barabara njia nne hapa mjini kwenye kampeni za 2020 hizo barabara wala hatuzioni tunajua ccm hawawezi kutengeneza zilikuwa ni sera za kupatia kura japo kuwa hakushinda alitangazwa tu na tume ya taifa ya ccm. mshindi alikuwa ni Joseph mbilinyi rais wetu wa mbeya

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 2 ปีที่แล้ว +2

    Sugu hajawahi you hai

  • @peterbuju5216
    @peterbuju5216 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliii chaziiii

  • @festoasanga5572
    @festoasanga5572 2 ปีที่แล้ว +2

    Baado ki roho huyo ni mbunge wa mbeya

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 ปีที่แล้ว +2

    Wananch tunataka katiba mpya ndio itakuwa mwisho wa uonevu...miaka 60 ya uhuru maji shida umeme tabu jama..we are all tired 😫 for this shit

  • @khalidimsuya4165
    @khalidimsuya4165 2 ปีที่แล้ว +2

    Sugu Kama sugu weee ni mwamba

  • @kareisindilo2776
    @kareisindilo2776 2 ปีที่แล้ว +3

    police mnoko 🚔🚔😂😂😂

  • @kingtiger4829
    @kingtiger4829 2 ปีที่แล้ว +1

    Vingereza vingi, utawaza wasikilizaji ni wazungu.

  • @happymackjacob3480
    @happymackjacob3480 2 ปีที่แล้ว +2

    Rais

  • @majeyvision4526
    @majeyvision4526 2 ปีที่แล้ว +3

    show nzuri lakini audio mbovu af media kubwa mnazingua....set mic vizuri zuia upepo

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 2 ปีที่แล้ว +3

    Labda mwambie tunatexeka maana wabunge ni watatifu kama mdee na wenzake

  • @collyalinani2407
    @collyalinani2407 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli HUYU NI SUGU.

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanoko dah!!😂😂😂😂😂

    • @bengang3265
      @bengang3265 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/oqrc2QqGHzg/w-d-xo.html

  • @renathaapollo3124
    @renathaapollo3124 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtu na nusu

  • @ukweli255
    @ukweli255 ปีที่แล้ว

    24 January 2023

  • @shukurumwagisa6931
    @shukurumwagisa6931 2 ปีที่แล้ว

    Master plan

  • @nilisu1148
    @nilisu1148 2 ปีที่แล้ว +5

    Jembe

  • @kennedyessau5169
    @kennedyessau5169 2 ปีที่แล้ว +1

    Zungu

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 ปีที่แล้ว +1

    NDUGAI NINANI HUYO KWANI? KATIBA NDIYO MSINGI WAMAENDELEO

  • @gilbertbaisi5225
    @gilbertbaisi5225 2 ปีที่แล้ว

    August anajitahidi....

  • @MilioneaTv
    @MilioneaTv 2 ปีที่แล้ว

    Halafu nyie wasafi hayo mabikari na pembe tatu kwenye background yanamaanisha nini? Au ndo feel free church ?

  • @ezekielmabwai4614
    @ezekielmabwai4614 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee mafuta ya magari hashikiki.
    Nimenyoosha mikono. Hivi wanene mbona mnawatupa wa Tz? Mama mmoja alinunua umeme wa tsh 7000, akakatwa 6000( matozo) akabaki na buku. Alisusa na Hadi leo analala Giza!! Hii ni ya KWELI.

    • @saidhussein5212
      @saidhussein5212 2 ปีที่แล้ว

      Mwamba 2025 tunakuitaji urudi tena nafasi bd unayo

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 ปีที่แล้ว

    Suuuquw

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 ปีที่แล้ว +4

    Sugu bado uko juu wanaMbeya hawatakuacha we subiri ifike 2025 tuone huyo modo wa Magu nani atamhonga tena ubunge

  • @jumannenasoro939
    @jumannenasoro939 2 ปีที่แล้ว +2

    Jongwe lembrus

  • @danielsanga8459
    @danielsanga8459 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu zunguu jitaihidi kuongea kwa utalatibu

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafisi wamejitahidi kuua upinzani .

  • @shau78
    @shau78 2 ปีที่แล้ว +6

    Sugu relax man. tunaponyanyasa wengine tujue kwamba we are mortal and powerless. ndio maana tumefukia watu watu waliodhani ni wababe kwa kulazimisha mahakama ziwaadhibu wapinzani wao

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 2 ปีที่แล้ว

    Hivi hawezi akaludia tena kugombea ubunge

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 2 ปีที่แล้ว

    Sugu mhuni saana..eti shavu dodo🤣🤣🤣🤣

  • @directoremod8075
    @directoremod8075 2 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa hawajui kuhoji wanarukaruka tu.

  • @ndogoroedson9438
    @ndogoroedson9438 2 ปีที่แล้ว +1

    Alisaidia nn ndani ya miaka kumi? Hakuna mnachojua hapo!

    • @saidramadhan5396
      @saidramadhan5396 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani hao wengine wanasaidi Nini zaidi yakutajwatuu wabunge ni wawakilishi na serikali niwatendaji bwege wewe

    • @walterngowi5835
      @walterngowi5835 2 ปีที่แล้ว +1

      Choko wewe hujui uonalongea

  • @simonngilisho887
    @simonngilisho887 2 ปีที่แล้ว

    Gombea 25 utashinda mimi democrasia makini arusha

  • @e-mzambuli6647
    @e-mzambuli6647 2 ปีที่แล้ว

    Mfugwa mbal sanaaa

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya mambo ya kununua Wapinzani....kuwahonga Wapinzani....kuwatisha na hata kuwafunga jela Wapinzani....ni mambo ambayo yameweka 'doa kubwa jeusi' katika utawala wa hayati JPM!

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 ปีที่แล้ว +3

    Washachukua ten pacent wanalazimisha ujenzi bagamoyo

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 ปีที่แล้ว

    HUYO NDO MBUNGE WETU, TULIYE MCHAGUA WANANCHI. HATUUTAMBUI KAHABA WENU

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 2 ปีที่แล้ว

  • @usanifumaandishi7519
    @usanifumaandishi7519 2 ปีที่แล้ว

    Mpango Haramu Ep20
    th-cam.com/video/RrxjFtxCIME/w-d-xo.html

  • @learnandenjoy2373
    @learnandenjoy2373 2 ปีที่แล้ว

    english ya kubandika na gundi ya maji

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @hojabinafsi1471
    @hojabinafsi1471 2 ปีที่แล้ว

    Msumari wa moto kwa style ya mahojiano, I am not sure kama lina fit, unless otherwise

  • @khalidimsuya4165
    @khalidimsuya4165 2 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli alituondolea watu makini sana bungeni hivi Sasa bunge limekua la hovyo tu kila kitu ndi ata clipendi

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 ปีที่แล้ว +1

    Sugu inakubalika usiwachie kamba

  • @samesmille7701
    @samesmille7701 2 ปีที่แล้ว

    taita jongwe

  • @nezablendah7206
    @nezablendah7206 2 ปีที่แล้ว

    NIBA URI UMUGABO CG UMUSORE UKABA UGIRA IKIBAZO CYO GUCIKA INTEGE , KURANGIZA VUBA NO KUBURA UBUSHAKE MUGIHE CYO GUTERA AKABARIRO TANDUKANa NABYO BURUNDU UKORESHEJE REVIVE CAPSULES BIGUHE UMUNEZERO*Kubindi bisobanuro nyandikira kuriyi email

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 2 ปีที่แล้ว

    Mweje wake ni hela

  • @usanifumaandishi7519
    @usanifumaandishi7519 2 ปีที่แล้ว

    Mpango Haramu Ep20
    th-cam.com/video/RrxjFtxCIME/w-d-xo.html

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .