Nikweli hata Kwa akili fupi jua linapozama siku imeisha na kuingia nyengine kutokana na jua kuzama lkn hii sasita usiku hata kiakili utaona hakuna logic ni jambo la watu kulibuni lkn akili ya kutamvua ni Aisha jua lizame au jua lichomoze siku ishabadilika hapo inaingia akilini
Somo zuri asante, alafu kingine ukiangalia kalenda ya kawaida (gregorian)na mwezi unavyoenda haviendani , yaani mwezi unaweza ukawa ni full moon lakini kalenda ya kawaida unakuta ni tarehe za katikati ya mwezi.
Soma Daniel I 7:1-25 UTAKUA anachisema USTAZI hamza naye analazimu kunadili majira na nyakati SASA wewe unasema haijalishi SWALI uongo SIO dhambi??? SASA Mungu kasema ikawa jioni ikawa asubui SIKU yakwanza HALAFU wewe uukasema ikawa USIKU ikawa asubui SIKU yakwanza hutokua muongo nauongo nidhambi?? HALAFU unasema haijalishi.USTADHI hamza fundiaha kunawatu wanavichwa vigumu kwasababu TU baba ZAO na mama ZAO wanasherekea hataki kukubali UKWELI huu.
Kwa upande wako upo sawa. Lkn sis wengine tunatumia hiyo nafasi kuhubiri habari za Yesu kwa wenye dhambi. Hatuna muda na mabadiliko ya saa, tuna muda wa kumhubiri Yesu, iwe usk au mchana.
elewa hoja mzeee.... hapa swala ni kwanini usherekee mwaka mpyaa usikuu? siku haibadiliki usiku.... hiyo ndio hojaa.... siyo maswala yausahihi wa kuhubiri mchana au usiku
Utachelewa sana kwenye mambo hayo yasiyokua na maana. Chunga nafsi yako na moyo wako hata Yesu aliikuta hiyo hakuongelea hilo maana mtu anahumiwa na sio siku
Usiabudu saa Wala siku, tafuta kumwabudu MUNGU katika Roho na kweri MUNGU ndio anatafuta watu wabuduo ktk Roho na kweri sio kukalili siku na masaa hizo niporojo unapoteza mda
Wote mnaomckiliza huyu anayejiita nabii ni wajinga na hao wanaosema wao ni wasabato na wengne waislam akili haziwatoshi. Muulizen nabii wenu tangu azaliwe leo ana umri wa miaka mingap? Kisha na nyie mnaomshabikia mna umri gn tang mzaliwe? Na mmepata umri wenu kwa kalenda ip?dunia yote inaongozwa na kalenda ya tangu kuzaliwa kwa yesu hata kabla ya kuzaliwa kwa yesu walihesabu hivi hiv!!
Kwani kwann Mungu anatuambia tuoe kwani ukizini upati mtoto tendo kwani linabadilika c lilelile kama huna elimu ya dini yako usipende kuyachukulia mambo rahisi ishi vile Mungu anatuelekeza au Kama umeamua kuishi kwa ushetani bac ishi ivyo lkn ukweli utaambiwa Ili ucje sema cjui

Sheeh mungu akubaliki !! Kwa jisi unavyo jitowa mhanga !! Ili watu waujue ukweli !!
UKWELI UNAOENDANA NA AKILI, NI KWAMBA SIO KWELI SIKU KUWA INABADILIKA SAA 6 USIKU, SIO KWELI KABISA.
Somo zuri asante, alafu kingine ukiangalia kalenda ya kawaida (gregorian)na mwezi unavyoenda haviendani , yaani mwezi unaweza ukawa ni full moon lakini kalenda ya kawaida unakuta ni tarehe za katikati ya mwezi.
Wasabato wao siku mpya uwanza pale tu inapofika saa 12 jioni jua linapo zama na wala sio saa sita usiku.
Wasabato wapo sawa , Wasabato ni waislam B wanafuata maandiko lkn wanaovuruga ni hao wengine
@@abdulrahmankafuku3449 👍
Wasabato wanasimama na maandiko
@@richardnganya2311 Upo sahihi kabisa.
Wasabato nina waheshimu sana na Nguruwe pia hawali
Mtumishi yesu alizaliwa mwezi wangpi
Masaa, Siku Mwezi vyafaa nini kama haumuabudu Mungu katika ROHO na KWELI......
Imani ndo chanzo cha kukufanya upambanue ukweli na uongo sasa itakuwa imani gani ya kuukubali uongo na uongo ni dhambi
Kalenda, tarehe, masaa ... hizo zote hazijalishi...... cha muhimu ni kumuabudu Mungu kwa roho na ukweli wakati wowote na mahali popote.
Soma Daniel I 7:1-25 UTAKUA anachisema USTAZI hamza naye analazimu kunadili majira na nyakati SASA wewe unasema haijalishi SWALI uongo SIO dhambi??? SASA Mungu kasema ikawa jioni ikawa asubui SIKU yakwanza HALAFU wewe uukasema ikawa USIKU ikawa asubui SIKU yakwanza hutokua muongo nauongo nidhambi?? HALAFU unasema haijalishi.USTADHI hamza fundiaha kunawatu wanavichwa vigumu kwasababu TU baba ZAO na mama ZAO wanasherekea hataki kukubali UKWELI huu.
Asante baba Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Assalaam alaykum,wamesikia,
Endelea kutufundisha mm naelimika sana na mafundisho yako ubarikiwe sana
wao kwao ni 12 ama
Kwa upande wako upo sawa. Lkn sis wengine tunatumia hiyo nafasi kuhubiri habari za Yesu kwa wenye dhambi. Hatuna muda na mabadiliko ya saa, tuna muda wa kumhubiri Yesu, iwe usk au mchana.
elewa hoja mzeee.... hapa swala ni kwanini usherekee mwaka mpyaa usikuu? siku haibadiliki usiku.... hiyo ndio hojaa.... siyo maswala yausahihi wa kuhubiri mchana au usiku
Ni ufahamu TU lakini yesu ni yeye yule Jana na Leo hata milele upon mwanadamu duniani kwa kusudi lake
Sheikh yupi . uislamu hawana desturi hiyo za kusherekea upagani huo ,wakristo ndyo wanakesha na vinanda vyao
Utachelewa sana kwenye mambo hayo yasiyokua na maana. Chunga nafsi yako na moyo wako hata Yesu aliikuta hiyo hakuongelea hilo maana mtu anahumiwa na sio siku
Hayaana maana kwako.pamoja na mambo mengi yenye maana tunayoyafanya duniani Lazima na akili zetu zifunguliwe.
Amina mtumishi
Kwahiyo mnakubali kudanganywa?
Ni kweli siku ya mungu hubadilika SAA 12 jioni HATA sabato huaanza SAA 12 jioni ndiyoo sabato mpya
👏👏👏👏 kweli
Waislam kalenda yetu siku inabadilika jioni baada ya kuzama na huu sio mwaka mpyaaaaa
Usiwasemee waislam, sisi Waislam siku Ina badilika jua likizama na kalenda ya waislam inafuata mwezi
Unataka kusema watakao lipua baruti baadae ni wakristo?
Ndio
Ni kweli usiku unaanzia saaa 12 jioni
❤
Im proud to be the seventh day Adventist
❤❤❤
😮
Wambie kk hao
Usiabudu saa Wala siku, tafuta kumwabudu MUNGU katika Roho na kweri MUNGU ndio anatafuta watu wabuduo ktk Roho na kweri sio kukalili siku na masaa hizo niporojo unapoteza mda
Hakika mtumishi umenena
Tatizo lenu wakristo mmezoea kudanganywa na kulishwa matango pori
Ni mbaya sana kupotea halafu haujui kama umepotea
Kweli uko sawa leo umenifungua
Nawewe unafunguliwa na nabii wa maigizo tangulini sheirh akawa nabii Nye ni wale wale waiosemwa kwenye kitabu Cha Mithali 14 mstari wa 15
@@robertphilip385 nimekubali kwa hoja kwa vigezo soma mwanzo 1:3-5 kila jambo litafakari
Wote mnaomckiliza huyu anayejiita nabii ni wajinga na hao wanaosema wao ni wasabato na wengne waislam akili haziwatoshi. Muulizen nabii wenu tangu azaliwe leo ana umri wa miaka mingap? Kisha na nyie mnaomshabikia mna umri gn tang mzaliwe? Na mmepata umri wenu kwa kalenda ip?dunia yote inaongozwa na kalenda ya tangu kuzaliwa kwa yesu hata kabla ya kuzaliwa kwa yesu walihesabu hivi hiv!!
Hosea 4:6
Ss waislam cku inabadilika saa12 kuingia saa1
Mwanzo wa siku ni kuzama kwa jua.
nikweli siku ya mungu imesha wazungu doo wanangojea bado
Wasabato tukisema tunaitwa watu wasiku
Huu ni upagani ,!
Sikuelewagi Dunia ikienda kulia wewe unaenda kuchoto kwa akili yako wewe unaweza kubadili kalenda
Kwelikabisa ubarkiwe
kuna wakati unakuwa kimya sana ndugu
Muombe uje darasani kwake
Nakfatlia sn ww ulie na maarifa kama hy
Katika Uislamu hakuna skukuu ya mwaka mpya
Sio kweli Sikukuu ya mwaka mpya wa kiisilamu ipo
Kuma la mama yako
Wewe ni muislam?
QURAN NI KITABU CHA SHETANI,WEWE NAE NI KAONGO
Kwani tokea siku kubadilika saa 6 usiku ulibadilikaa nini ?
Kwani kwann Mungu anatuambia tuoe kwani ukizini upati mtoto tendo kwani linabadilika c lilelile kama huna elimu ya dini yako usipende kuyachukulia mambo rahisi ishi vile Mungu anatuelekeza au Kama umeamua kuishi kwa ushetani bac ishi ivyo lkn ukweli utaambiwa Ili ucje sema cjui
Kwa upande wako upo sawa. Lkn sis wengine tunatumia hiyo nafasi kuhubiri habari za Yesu kwa wenye dhambi. Hatuna muda na mabadiliko ya saa, tuna muda wa kumhubiri Yesu, iwe usk au mchana.
@togolanimndeme anawapinga wazungu ila vitu vya wazungu anatumia, tena kwa manufaa yake.