Hivi Mama Samia anajua historia hii!! ana haki ya kujivunia kuwa na mtu kama Lisu katika Nchi yake!!. Tundu nilikuchagua wewe!! Sikukoseya kabisa am happy and am proud of you still alive!! ❣️❣️❣️❣️❣️
Wasemaji wa mgogoro wa middle east wamekua wengi na wamekua wanakela sana,wanachambua history ya mgogoro bila kua na uelewa zaidi ,Sasa kama Tundu Lisu anatuelimisha mpaka tunaelewa vzr historia nzima,mmefanya jambo zuri sana sana kumpata mueleweshaji mzur asiegemea upande wa kidini,Bravo Tundu Lisu🤝💪
I have read the history of Israel and Palestine for different times lakini Leader of the opposition in Tanzania. Bwana tundu lissu ww umeni fngua zaidi macho you are a teacher in history.
Mambo asiyo yajua Lissu juu ya mzozo wa Palastina Kwanza nampongeza kwa kuhifadhi kichwana historia na matukio Lakini mambo 5 tu Lissu hayajui 1 Otman haikuwa himaya ya waturuku bali dola ya kiislamu ambayo ilidumu miaka 1250 na makao yake makuu yalikuwa yanahama hama kwani uislamu hauna ubaguzi yaliwahi kuwa Madina Iraq Syria Misri na mwisho Uturuk 2 Israel ni kambi ya jeshi ya wakoloni ikiwa dola ya kiislamu ikisimama tena basi ndege na silaha ziwe karibu 3 vita vyote na nchi za kiarabu ni usanii tu na wote wamewekwa na wakoloni bada ya kununuliwa kuvunja dola ya kiislam ya Utmaniya ni juzi tu ndio mayahudi wamepigwa na Hamas 4 yahudi hawaja uziwa ardhi na wapalastina bali ilikuwa ni kupokonya tu mwanzo mwisho na madai hayo ni ya uzushi kutoka kwa wakoloni na mayahudi 5 Iran pia ni msanii tu hana msaada wowote na yeye ni kibaraka mzuri wa Amerka lakini wamekubaliana kufanya usanii kwamba ni wagomvi
Huyu ndugu anasoma sana kiasi cha kumfanya kujua mambo mengi sana duniani. Sikuwa najua kama anaijua historia ya mashariki ya kati na mgogoro wa Israel & kiasi hiki. Very good Tundu Lissu. Wewe ndiye Rais wangu
Mwenyeezi Mungu akubariki wewe na familia yako kwa ukweli. Kwa ukweli Umeijua Historia vizuri sana. Ukweli huu nahitajika duniani kwani wengi bado hawaijui vizuri.. Alhamdulilah. Allahu Akbar
Ukiianzia Historia hapo maelezo yalipoanzia, Wayahudi wanahatia. Inapasa Historia ianzie tangu Ibrahimu au basi ianzie wakati wa Yesu. Hapi ilipoanzia inamalengo na makududi hatujayakua, huenda tutayajua baadae. Siamini kuwa mtoa historia ameyajua hayo yote kwa usahihi kabisa, halafu asiyajue yaliyotangulia kabla ya hapo.
Bravo Lisu 🎉. Elimisha watu makanisani. Watu wengi hawakuuona historia wanaunga mkono Israel bila kuelewa tofauti ya injeel na azimio la umoja wa mataifa. Umefanya kazi nzuri sana Baba. Unarikiwe 🙏🏾
Huyu si anataka kuwavuta waislam mbona aongei chanzo kwanini wayahudi waliikataa Uganda wakataka nchi yao! Muulizeni vizuri ndo maana waarabu wanashindwa kumoiga myahudi sababu hapo ni haki yao
Mungu akitaka kukunyanyua wala hautumii nguvu kila anaekuona hulizia jambo lako lakin ukiona jambo linatumia nguvu ya vita basi ujue shetani yupo kazin@@MchungajiNzelani
Wow, I must commend Tundu Antipas Lisu for conducting such a comprehensive and educative interview on the history of Palestine and Israel. It's so refreshing to see someone delve into the complexities of this conflict and present the facts in such a clear manner. I especially appreciate how he shed light on the true position of the USA in relation to this ongoing conflict. It's crucial to know the truth, and Tundu did a fantastic job in bringing that to light. This interview has definitely broadened my understanding and awareness of the situation. Kudos to Tundu Antipas Lisu for his outstanding work in addressing such an important and sensitive topic. I hope to see more interviews like this in the future, as educating ourselves on the truth can pave the way for a better and more peaceful world.
Tatizo la watanzania elimu ni sifuli ndio maana hatujui mambo mwenzio kasoma anaelezea mambo kwa kina nyie mnaishia kumuangalia Diamond na familia yake misingi ya elimu ni tatizo kubwa ktk nchi hii 😢ndio maana watawala wetu wanatudanganya tu kilasiku😢😢😢...,
Duh hii nimeipenda sana, unajua kwani wakoloni walituletea dini ili kutupotosha/tukose kujua ya mbele, na wakaona haitoshi wakatuletea hanasa kama vile miziki na ngono huku wao wakipora mali zetu sisi wakitulipa kidogo tu huku tukijituliza na hanasa zetu tulizo barikiwa na wao, Mfano kongo inamali nyingi lkn mzungu ndie ananufaikanayo huku akiwaachia miziki mapombe ya kila aina ngono kwa sana, malekani kule wafrica walitupwa frolida na hanaza zote ili wasijue ya mbele, ndio kuna kila aina ya starehe kule, hivyo sisi tukakubari yaliyoandikwa akupigae shavu la kushoto mgeuzie na kulia, mungu atanilipia mara ukiomba unapewa na sisi watoto tunapowafundisha kuomba wakwao wapo darasani sisi tukiwa kwenye starehe zetu wao wpo wanakuwepo kwenye mali, shuleni sisi tunajifunza kununua wao wanajifunza kutengeneza, tunakomaa na digree ili kutaka siasa wachina hwana hajanazo ila ni ufundi kwenda mbele
Tundu Lissu is a very well educated man and has wealth of knowledge in many aspects. Hii ilikuwa ni ufumbuzi mkubwa wa macho na kuelewa historia ya chanzo cha migogoro. Asante sana Mr Lissu 👍🏾
Since whe n did he became a Dr? Tusianze kuwapa watu degrees bila ya wao kuzifanyia kazi! Akasome ili aipate, anao uwezo huo wa kufanya vizuri. Tusiwafanye wote madaktari wa kupeana kama kicks kwenye vyama, naona hiyo haitatufikisha mbali. Hizi degree za kupeana sidhani kama zinatusaidia nchini kwetu, wengine wanazinunua! It is a shame!
Bravo Tundu,very analytical,very objective,so scholally, You have no one to march you, Nimekuelewa sana! Zamani niĺikuwa nadhani ni mlalam8kaji tu,Nimependa uchambuzi wako wa hoja.mimi ni muumini wa Kristo, anaetetea upendo wa kweli.Anaesema anaemchukia nduguye ni muuwaji,Anaesema mpende adui,Ushinde uadui kwa wema, Asante Tundu lissu
Asanteni sana kwa kutuelimisha. Angalau mnatufunua macho yetu maana hatuna moja tulijualo. Kikubwa tunachokiomba ni: "AMANI KATIKA DUNIA YETU." ANGALAU NDUGU ZETU WA Ghazza waweze kupumua na kupata nafasi ya kuweza kujijenga upya kimaisha, pamoja na kuweka mawe ya kuzungusha kwenye Makaburi au sehemu walopofiwa ndugu zao, watoto wao, waume zao na kadhalika. Mola awapeleke Mahali Pema Peponi ndugu zetu walouwawa bila ya hatia yayote. AMIIINA AMIIINA AMIIINA. NDUGU TUNDU LISU ASANTE SANA. BILA YA KUMSAHAU MTANGAZAJI - NA WEWE PIA POKEA SHUKURANI ZA DHATI KUTOKA MOYONI MWANGU. ASANTENI SANA.
My friend...the ruling party CCM will do everything in their power not to allow these brains to lead. Bcoz CCM is led by fools. A couple of years ago this guy was shot multiple times in the area where a number of member of parliament live...its full of security and cameras. Up to date govt havent done anything to apprehend the shooters. It seems govt was behind the shooting. Welcome to Tanzania.😊
Yes lqn. But Tanzania unfortunately since 2000's has decided to put inept , educationally inferior, mentally challenged....on the power! That's exactly the epitome of a rich country turned poor!
Brother I think more of this history should be translated to kiswahili as majority of educated east Africans do not have a clue and all hiptonised by the west and media
Hii ni zaidi ya shule kwa kweli,uwezo binafsi,na kipaji maalumu toka kwa Maulana umefanya kzi kwa huyu nguli wa sheria Tanzania Tundu Antipas Lisu!!!👏👏👏✍️😎
Very well elaborated. Bravo TAL👏👏👏👏👏. Hii iingizwe kwenye historia ya Kimataifa kwenye Shule zetu uli kuondoa propaganda zinazoidhinisha mauaji ya wasio na hatia.
@@MchungajiNzelanisasa wewe utakuwa na chuki zako ndio maana huelewi kitu. Baba wa wayahudi mmarekani mwenye aliwataka wayahudi warudi kwenye maeneo yao na bado hawajaridi mpaka leo tena bado huoni kudhulumiwa kwa Wapelestina?
Just brilliant.I wonder how many 🇹🇿n politicians or 🇹🇿ns understand the Israeli Palestinian conflict as well as this gentleman.Probably some scholars-like Prof.Shivji-do.This so well summarised in simple Swahili.This man's knowledge is so impressive- such ought to guide 🌍n foreign policies,which often looks confused on this issue.
This guy is so brilliant in such a way that I gain a lot when he elaborates a certain topic. Although He did not touch religious route of the conflict. He masterly be able to expose the political landscape of the Middle East conflict
Haji ita baki kuwa haki.. Mheshimiwa lissau asante kwa mawazo yako...kwa sasa China.russia.africa union ichukue hatua ya kutafuta amani..ulaya na marekani ime shindwa. Wana pendelea upende moja... two state solution ama one state itakuwa sawa.
Hapa umeongea jambo la maana kabisa. Binafsi wangekuwa na one state solution with two authorities. Waheshimiane na kujua mipaka yao na wote waishi pamoja.
Tundu Lisu hajajielimisha vya kutosha kuhusu huu mgogoro. Muulize Tundu, mfalme Sauli, Daud, Solomoni walikuwa watawala wa taifa gani? Wakati Yesu anazaliwa Bethlem, wakati wa mfalme Herode wa Yudea chini ya utawala wa warumi, waarabu waarabu wa kiislam walikuwa wapi?
I have penned down, two important statements from tundu lissu ,first "popote penye ukandamizaji lazima pawe na uasi, second "gaidi kwako,lkn kwa mwenzyo ni mpigania uhuru"
Historia hii huwezi kuipata darasani hata siku moja. darasani huwa tunafundishwa utopolo ambao wazungu wanataka tuufaham na sio historia ya kweli. Kwa hili Mh Tundu Lisu nakupongeza sana.
Yes mpigania uhuru kwa wazungu na marekani ni gaidi kwa sababu hawataki watu wawe huru na ndiyo maana wazalendo wetu wameuwawa kma samora masheli wa msimbiji na patrice Lumumba. The same to hamasi, hamasi ni wapgania haki za wapalestina siyo magaidi ila watu wanaangalia udini. Kitu kinachofanyika parestina hakitofautian na Afrika kusini chama cha mandela na chama chake cha ANC walivyoitwa magaidi wakati wa kupambania uhuru wa Afrika kusini
I had discussions with some one the other day about African leaders being associated not really by its people because the main perpetrators are outsiders.
Hili ni somo zuri sana la historia na mizizi ya mgogoro wa Israel na Palestine. Hii inapaswq kusikilizwa na kila mpenda historia na mpenda haki. Big up sana kaka Lissu.
Shukrani sana lisu kwa kuisoma vizuri historia ya palestina na kuwafahamisha wasiotaka kufahamu kuhusu vita hivi wanao waonea wa palestein wambie ukweli ili wajuwe kwamba mayahudi palestina pale sio pao shukriani Mkuu 🙏🇸🇩🤛💞💞🙏
Hivi Mama Samia anajua historia hii!! ana haki ya kujivunia kuwa na mtu kama Lisu katika Nchi yake!!. Tundu nilikuchagua wewe!! Sikukoseya kabisa am happy and am proud of you still alive!! ❣️❣️❣️❣️❣️
Wasemaji wa mgogoro wa middle east wamekua wengi na wamekua wanakela sana,wanachambua history ya mgogoro bila kua na uelewa zaidi ,Sasa kama Tundu Lisu anatuelimisha mpaka tunaelewa vzr historia nzima,mmefanya jambo zuri sana sana kumpata mueleweshaji mzur asiegemea upande wa kidini,Bravo Tundu Lisu🤝💪
Lakini hajatuambia chimbuko la wayahudi ni nchi gani
@@btcministries7260umeuliza ninachokiwaza
Ukisema Israel imeanzishwa 1946-47 biblia imeandkwa miaka elfu mbili iliopita na Hilo taifa lipo kwny maandko nitashndwa kukuelewa Babu yangu....!
Arudi darasani
❤❤ Hatuwezi kutenganisha history ya Dunia na Mwanzo wa umbo la wazo la Mungu kwa Israel na si tu mambo ya kidini au tawala za Dunia za hivi karibuni
Mungu akubariki sana Kwa kuongea ukweli. Mungu awatangulie sana ndugu zetu wapalestine na wengine wote wanaonewa
Hongera Dada Interviewer kwa kazi nzuri. Hongera Dr Lissu kwa historia na uelewa mzuri wa masuauala ya Kimataifa
This was a lecture not interview...he did it well
Documentary nzuri sana
Q
Hi is not Dr. But for his brain you can call him professor but not by professional
Kwa kweli Lissu anastahili PhD bila kuhudhuria darasani.
Nimeipenda Hii Sana, ' Gaidi Kwako Kwa Mwezako ni mpigania Uhuru!!!'
Mungu akubariki raic wetu mtarajiwa
I have read the history of Israel and Palestine for different times lakini Leader of the opposition in Tanzania. Bwana tundu lissu ww umeni fngua zaidi macho you are a teacher in history.
Mambo asiyo yajua Lissu juu ya mzozo wa Palastina
Kwanza nampongeza kwa kuhifadhi kichwana historia na matukio
Lakini mambo 5 tu Lissu hayajui
1 Otman haikuwa himaya ya waturuku bali dola ya kiislamu ambayo ilidumu miaka 1250 na makao yake makuu yalikuwa yanahama hama kwani uislamu hauna ubaguzi yaliwahi kuwa Madina Iraq Syria Misri na mwisho Uturuk
2 Israel ni kambi ya jeshi ya wakoloni ikiwa dola ya kiislamu ikisimama tena basi ndege na silaha ziwe karibu
3 vita vyote na nchi za kiarabu ni usanii tu na wote wamewekwa na wakoloni bada ya kununuliwa kuvunja dola ya kiislam ya Utmaniya ni juzi tu ndio mayahudi wamepigwa na Hamas
4 yahudi hawaja uziwa ardhi na wapalastina bali ilikuwa ni kupokonya tu mwanzo mwisho na madai hayo ni ya uzushi kutoka kwa wakoloni na mayahudi
5 Iran pia ni msanii tu hana msaada wowote na yeye ni kibaraka mzuri wa Amerka lakini wamekubaliana kufanya usanii kwamba ni wagomvi
Huyu ndugu anasoma sana kiasi cha kumfanya kujua mambo mengi sana duniani. Sikuwa najua kama anaijua historia ya mashariki ya kati na mgogoro wa Israel & kiasi hiki. Very good Tundu Lissu. Wewe ndiye Rais wangu
Yaani tukimpata mtu kama Tundu Lissu kama rais wetu tutapiga hatua kubwa kimaendeleo, he's a genius.
@@godfreydavid6996 Hama uko uliko tukuchague uwe rais wetu...Mungu akufanyie wepesi
@@mamboshepea8888 nihamie wapi ndugu yangu?
@@godfreydavid6996 kwani wewe ndo lisu??!! Namwambia lisu!!! Mwenyewe akiisoma hii comment ataelewa...!!!
@@godfreydavid6996 akihamia kwenye choo cha umma lazima atanuka kinyesi
Mwenyeezi Mungu akubariki wewe na familia yako kwa ukweli. Kwa ukweli Umeijua Historia vizuri sana. Ukweli huu nahitajika duniani kwani wengi bado hawaijui vizuri.. Alhamdulilah. Allahu Akbar
Ukiianzia Historia hapo maelezo yalipoanzia, Wayahudi wanahatia. Inapasa Historia ianzie tangu Ibrahimu au basi ianzie wakati wa Yesu.
Hapi ilipoanzia inamalengo na makududi hatujayakua, huenda tutayajua baadae.
Siamini kuwa mtoa historia ameyajua hayo yote kwa usahihi kabisa, halafu asiyajue yaliyotangulia kabla ya hapo.
Haya bwana mungu aemdelee kukulimda siku zote,uko vizuri mno, asante
Natamani uje kuwa rais wa nchi hii coz unaakili Sana lisu mungu akutunze Sana hazina ya Tanzania❤❤❤
Atakua raisi hata icherewe
Never happen 😅😅
Atakuwa Rais wa familia yako
@@machoguhameri7757kama wewe ni Mungu basi utakuwa sahihi LAKINI kama unajua Hitler alianguka utajua MUNGU pekee ndiye mwenye uwezo
Hii lecture kubwa sana kwa Siasa za ulimwengu 🙌🏾🙌🏾
Nashukuru Mwalimu umetoa ukweli na uhalisia. Mwenyezi Mungu akubariki .
Lovely
For the first time i have enjoy swahili lecture...well done,you did ur home work.
#Freepalastine
Asante sana kwa lecture yako. That was excellent!
Dr Tundu,ni tundu la historia sahihi,mkenya karidhika❤
Alright, though Lissu sio muislam lakini anapenda haki. Namuombea kwa Allah ampe uongofu.
Unadhani huko parestina hakuna WAKRISTO? Kabila sio Imani
Anajua angeongea tofauti tu mngeandamana ninyi na kuanza kusakama Chama chake na kuingiza udini. Lissu anajua kuwasoma vizuri mawazo yenu.
Tundu Antipas Lissu, the living legend.Asante sana,i stand with Palestine not because i am Muslim or Christian but because i am a sane human being.
Aiseeee ila nampedaga lissu jamani yaan ana ubongo mkali sana tuna jivunia lissu kuzaliwa Tanzania
Na ndomana Magofuli alitaka kuzipoteza akili zake jamaaa mind kubwa sn Mashaa Allah
Asante sana rais wangu kwa historia nzuri
Ni raisi wangu pia.mtu mwenye elimu na uelewa wa kutosha.mtu mzuri sana na chama chake cha CDM.
Bravo Lisu 🎉. Elimisha watu makanisani. Watu wengi hawakuuona historia wanaunga mkono Israel bila kuelewa tofauti ya injeel na azimio la umoja wa mataifa. Umefanya kazi nzuri sana Baba. Unarikiwe 🙏🏾
Wakristo wengi ni wajinga ni watu wa kuwaamini viongozi wao bila kushughulisha ubongo wao. Ni kondoo
Sure
Sure
Huyu si anataka kuwavuta waislam mbona aongei chanzo kwanini wayahudi waliikataa Uganda wakataka nchi yao! Muulizeni vizuri ndo maana waarabu wanashindwa kumoiga myahudi sababu hapo ni haki yao
Mungu akitaka kukunyanyua wala hautumii nguvu kila anaekuona hulizia jambo lako lakin ukiona jambo linatumia nguvu ya vita basi ujue shetani yupo kazin@@MchungajiNzelani
Something added in my mind,Thank you very much Honorable Lissu
Good analysis, no bias .Thanx Mr Lissu.
Leo mnamuona mtu wakati mwingine mnamuita shoga
@@silvesterrichardhelenya1319wanaomuita shoga ni ccm na wanamwita hivyo kwasababu ya kisiasa tu.
Wow, I must commend Tundu Antipas Lisu for conducting such a comprehensive and educative interview on the history of Palestine and Israel. It's so refreshing to see someone delve into the complexities of this conflict and present the facts in such a clear manner.
I especially appreciate how he shed light on the true position of the USA in relation to this ongoing conflict. It's crucial to know the truth, and Tundu did a fantastic job in bringing that to light. This interview has definitely broadened my understanding and awareness of the situation.
Kudos to Tundu Antipas Lisu for his outstanding work in addressing such an important and sensitive topic. I hope to see more interviews like this in the future, as educating ourselves on the truth can pave the way for a better and more peaceful world.
42:22Jpj
Asante kwa kunisaidia kujua historia ya mambo mengi
}
Good lissu tunajivunia kuwa na lissu mwamba imala Mungu azidi kukamilsha ndani yako.
Congratulations 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 T. Lissu Masha Allah you talking about true history from Israel and Palestine conflict..
Tatizo la watanzania elimu ni sifuli ndio maana hatujui mambo mwenzio kasoma anaelezea mambo kwa kina nyie mnaishia kumuangalia Diamond na familia yake misingi ya elimu ni tatizo kubwa ktk nchi hii 😢ndio maana watawala wetu wanatudanganya tu kilasiku😢😢😢...,
NI kweli kabisa halafu watanzania kutwa kazi yao ni yanga na simba, ndio maana viongozi wa ccm wanaendelea kutuibia na wala hawaguswi na sheria
Bora umeona .Sisi tukimkemea wanasema tunamchukia .Hivi watanzania wamesahau mwanaume hawezi kujiita msafi ? Tumeacha kupiga kura UN kupinga ukayili ktk mataifa 153 sisi hatujapiga kura ?
Duh hii nimeipenda sana, unajua kwani wakoloni walituletea dini ili kutupotosha/tukose kujua ya mbele, na wakaona haitoshi wakatuletea hanasa kama vile miziki na ngono huku wao wakipora mali zetu sisi wakitulipa kidogo tu huku tukijituliza na hanasa zetu tulizo barikiwa na wao, Mfano kongo inamali nyingi lkn mzungu ndie ananufaikanayo huku akiwaachia miziki mapombe ya kila aina ngono kwa sana, malekani kule wafrica walitupwa frolida na hanaza zote ili wasijue ya mbele, ndio kuna kila aina ya starehe kule, hivyo sisi tukakubari yaliyoandikwa akupigae shavu la kushoto mgeuzie na kulia, mungu atanilipia mara ukiomba unapewa na sisi watoto tunapowafundisha kuomba wakwao wapo darasani sisi tukiwa kwenye starehe zetu wao wpo wanakuwepo kwenye mali, shuleni sisi tunajifunza kununua wao wanajifunza kutengeneza, tunakomaa na digree ili kutaka siasa wachina hwana hajanazo ila ni ufundi kwenda mbele
@@habibuluyangi2702 Serikali ipo bize kuomba 🤣🤣🤣
Wengi wenu mmejaza picha za kwenye simu sasa historia kama hii mtaijua wapi
Thanks Mr Tundu Lissu For Your Estry We No That you have More Estry
This guy is very bright. Have listened keenly from Kenya
Tundu Lissu is a very well educated man and has wealth of knowledge in many aspects. Hii ilikuwa ni ufumbuzi mkubwa wa macho na kuelewa historia ya chanzo cha migogoro. Asante sana Mr Lissu 👍🏾
Congratulations Mr Tundulisu you doing well,God bless you
Well done Dr. Tundulisu well explained A to Z nakupongeza kwa kutufahamisha na kutoa solutions
Since whe n did he became a Dr? Tusianze kuwapa watu degrees bila ya wao kuzifanyia kazi! Akasome ili aipate, anao uwezo huo wa kufanya vizuri. Tusiwafanye wote madaktari wa kupeana kama kicks kwenye vyama, naona hiyo haitatufikisha mbali. Hizi degree za kupeana sidhani kama zinatusaidia nchini kwetu, wengine wanazinunua! It is a shame!
Barikiwa mh Lisu
Enjoyable story, Thanks Mr Lisu for Lecturing us.
Bravo Tundu,very analytical,very objective,so scholally, You have no one to march you, Nimekuelewa sana! Zamani niĺikuwa nadhani ni mlalam8kaji tu,Nimependa uchambuzi wako wa hoja.mimi ni muumini wa Kristo, anaetetea upendo wa kweli.Anaesema anaemchukia nduguye ni muuwaji,Anaesema mpende adui,Ushinde uadui kwa wema, Asante Tundu lissu
Hongera kwa kushusha nondo nzito, tujue hii historia
Thank you Tundulisu for educating most of us!!
Very trueee
Asanteni sana kwa kutuelimisha. Angalau mnatufunua macho yetu maana hatuna moja tulijualo.
Kikubwa tunachokiomba ni:
"AMANI KATIKA DUNIA YETU."
ANGALAU NDUGU ZETU WA Ghazza waweze kupumua na kupata nafasi ya kuweza kujijenga upya kimaisha, pamoja na kuweka mawe ya kuzungusha kwenye Makaburi au sehemu walopofiwa ndugu zao, watoto wao, waume zao na kadhalika.
Mola awapeleke Mahali Pema Peponi ndugu zetu walouwawa bila ya hatia yayote.
AMIIINA AMIIINA AMIIINA.
NDUGU TUNDU LISU
ASANTE SANA.
BILA YA KUMSAHAU MTANGAZAJI - NA WEWE PIA POKEA SHUKURANI ZA DHATI KUTOKA MOYONI MWANGU.
ASANTENI SANA.
I never knew this man was a such brain. Tanzania need to elect these kinds of brains.
My friend...the ruling party CCM will do everything in their power not to allow these brains to lead.
Bcoz CCM is led by fools.
A couple of years ago this guy was shot multiple times in the area where a number of member of parliament live...its full of security and cameras.
Up to date govt havent done anything to apprehend the shooters.
It seems govt was behind the shooting.
Welcome to Tanzania.😊
Obviously you are not well versed with Tanzania political and social affairs
He is pro western ,at least on this I can see he came to his senses and choose the truth
Yes lqn. But Tanzania unfortunately since 2000's has decided to put inept , educationally inferior, mentally challenged....on the power!
That's exactly the epitome of a rich country turned poor!
Huyu ndiye wasiojuiikana walitaka kumpoteza. Tungeyapataje haya? Mungu asiyeshindwa akagoma kumchukua. Asante Mungu wetu. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Huyu alipaswa kulindwa sana..
Mungu Baba Anajua ndiyo maana Alimuomoa ktk mauti.
Tundu Lissu your brilliant person because you speaks the thruth of Israel History, that is, Big up.
Jamaa anajua. Hili SoMo limeeleweka
Lissu nakupenda sana kwani wewe umebeba dhana halisi ya ukombozi❤❤❤❤❤
Uko vizuri lissu wewe ni mkweli hongera Kwa elimu yako hakika wazazi wako hawakupoteza ada.
I would love to see this magnificent knowledge is transferred into English so that mass population can gain the knowledge. Well done Muheshimiwa.
Google translation itawasaidia
They can add English subtitle
@@aminielkombe66Yes. Please add English Subtitles to reach international audince
Brother I think more of this history should be translated to kiswahili as majority of educated east Africans do not have a clue and all hiptonised by the west and media
Hii ni zaidi ya shule kwa kweli,uwezo binafsi,na kipaji maalumu toka kwa Maulana umefanya kzi kwa huyu nguli wa sheria Tanzania Tundu Antipas Lisu!!!👏👏👏✍️😎
Well spoken my leader Tundu lieu 🙏
Lisu ww msomi mzr wa history ❤na hiyo unayoyaongea tupopa1! 💯 Kwa 💯💪 kz iendelee
Very well elaborated. Bravo TAL👏👏👏👏👏. Hii iingizwe kwenye historia ya Kimataifa kwenye Shule zetu uli kuondoa propaganda zinazoidhinisha mauaji ya wasio na hatia.
😂😂😂😂😂😂😂❤
Historia ya kielimu😊Mola akubariki Tundu Lissu
Good
Hongera sana mchambuzi wa siasa za kimataifa Antipasi Tundu Lisu kwa kweli umechambua sana ambapo mengi sikuyajia.hongera sana
Hata rais wa zamani wa kenya, kenyatta alifungwa jela wakisena ni gaidi...ila huku alikua mpigania uhuru. Mugabe vile vile...
Mm nimkrsto kabisa ila najua kabisa parestina wamedhulumiwa ila mungu yupo
Wamedhurumiwa nini fafanua
@@MchungajiNzelaniWewe husikilizi madini hayo
@@MchungajiNzelani mchungaji choko
Kwa sababu Israel ilianzishwa mwaka 1948 sasa hujiulizi miaka ya nyuma yote walikuwa wapi? @@MchungajiNzelani
@@MchungajiNzelanisasa wewe utakuwa na chuki zako ndio maana huelewi kitu. Baba wa wayahudi mmarekani mwenye aliwataka wayahudi warudi kwenye maeneo yao na bado hawajaridi mpaka leo tena bado huoni kudhulumiwa kwa Wapelestina?
Wakristo wasiojua dini yao wakisikia haya wananuna lisu kamaliza
Kwani lisu ndiyo mungu! Pole sana
Wewe na Lisu ndiyo hamja jielimisha vya kutosha kuhusu huu mgogoro. Soma kuhusu, Islamic expansion/conquest and Israel-Palestine conflict!
Siku zote nampenda Mhe lisu kwa Sababu ni muumini wa haki hajawahi kuegemea upande pale unapotaka kujua kweli basi msikilize Mhe lissu
Shule nzuri ya Fikra!
Hongera msomi unaeleza vizuli Kweli unafaa kuishi miaka mingi❤❤❤❤
My History teacher... Mr. Lissu
😢
Ccm hapendi msema kweli Dr Lissu huyu mwamba ni msema kweli ❤❤❤❤❤❤❤
Just brilliant.I wonder how many 🇹🇿n politicians or 🇹🇿ns understand the Israeli Palestinian conflict as well as this gentleman.Probably some scholars-like Prof.Shivji-do.This so well summarised in simple Swahili.This man's knowledge is so impressive- such ought to guide 🌍n foreign policies,which often looks confused on this issue.
listern to profesor Hamza NJozi
This guy is so brilliant in such a way that I gain a lot when he elaborates a certain topic. Although He did not touch religious route of the conflict. He masterly be able to expose the political landscape of the Middle East conflict
A very good and critical discussion.Well done Tundu Lissu
@@syridionrutta5053Kamanda hongela sana
Very well informed talk thanks mweshimiwa
Hii storia umeisema kwa haki kabisa bila ya ubaguzi wa kidini, hongera sana
Kwanini umetaja dini au kwa sababu dini yako ipo upande wa hii story?
😂duuuh huyu ndio mtu anayefaa kuwa raisi wa nchi
Very nice Interview, one of a kind, and different from what we're used to.
Hongera maana nimetulia nakusikiliza kwa umakini Sana ili nikuelewe zaidi naamini hayo yote wengi hawajui
Brilliant, Ndio maana Mungu alikuokoa na risasi zile, Wewe ni Tunu
Lissu umesimama kwenye haki Ahsante sana
Mungu akupe maisha marefu kiongozi wetu
respect tindu lissu, game is over kwa wasiojifaham
Ijue historia ya Israel na Palestina
Well said lisu tell them the truth will have no fence
🙏🙏🙏
Lisu asantesana
Mashallah sana anajuwa story ya Palestine vipi ilo anza jamani ninani huyo ? Very smart and intelligent ,From Oman Muscat 👍👍👍
Haji ita baki kuwa haki.. Mheshimiwa lissau asante kwa mawazo yako...kwa sasa China.russia.africa union ichukue hatua ya kutafuta amani..ulaya na marekani ime shindwa.
Wana pendelea upende moja... two state solution ama one state itakuwa sawa.
Hapa umeongea jambo la maana kabisa. Binafsi wangekuwa na one state solution with two authorities. Waheshimiane na kujua mipaka yao na wote waishi pamoja.
😂😂 hivi vitabu anayosomaga tundu lisu sijui anatoaga wapi,, ila very nice mm kwa kichwa changu si malizi kusoma😂😂
Tundu Lisu hajajielimisha vya kutosha kuhusu huu mgogoro. Muulize Tundu, mfalme Sauli, Daud, Solomoni walikuwa watawala wa taifa gani? Wakati Yesu anazaliwa Bethlem, wakati wa mfalme Herode wa Yudea chini ya utawala wa warumi, waarabu waarabu wa kiislam walikuwa wapi?
It good tundu lissu we ni shujaa.
Ahsante sana kiongozi kweli unastahili kuwa kiongozi wa watu kwani kwenye hili Ndipo wengi hukwama.
Msemakweli kipenzi cha mungu.
Nilitamani sana siku moja kupata mazungumzo ya kisomi kuliko dini..Asante Tundu Lisu nimejifunza kitu
I have penned down, two important statements from tundu lissu ,first "popote penye ukandamizaji lazima pawe na uasi, second "gaidi kwako,lkn kwa mwenzyo ni mpigania uhuru"
Tunakupenda lissu
Jamaa anaongea fact haongei fact ,hayupo kimhimko km wat wengne wasojua historia.
Hongera kwa chanel yenu, kwa kumtafuta Tundu lissu kuelezea hili. Mmeubonda mwingi sana. Wacha nisubscribe kabisa. Muendelee kuleta madini zaidi.❤❤
This is an excellent survey of the real situation in Middle East. Very educative and well elaborated. Well done Lissu uko vizuri sana
swari waripatawapi uchumi kamawariku. wawakimbizi. wari patawapi pesa najiurinzasana 😅😅😅
Historia hii huwezi kuipata darasani hata siku moja. darasani huwa tunafundishwa utopolo ambao wazungu wanataka tuufaham na sio historia ya kweli. Kwa hili Mh Tundu Lisu nakupongeza sana.
Trueth
Kiongozi mwema usimama katika haki. Unafaa sana.
Mungu akubariki sana kwa uoni na msimamo wako kuhusu suala la Palestine na Israel.
Yes mpigania uhuru kwa wazungu na marekani ni gaidi kwa sababu hawataki watu wawe huru na ndiyo maana wazalendo wetu wameuwawa kma samora masheli wa msimbiji na patrice Lumumba. The same to hamasi, hamasi ni wapgania haki za wapalestina siyo magaidi ila watu wanaangalia udini. Kitu kinachofanyika parestina hakitofautian na Afrika kusini chama cha mandela na chama chake cha ANC walivyoitwa magaidi wakati wa kupambania uhuru wa Afrika kusini
Andika lugha ya kinyooka Nani mpigania uhuru wa wazungu kwa kifupi hueleweki si lazima kucomment
@@MelkizedeckKiraucha-qx9zywee utakuwa umevimbiwa maarage ya kwenu,usichoelewa ni nin apo na bichwa lako kama nazi mbovu
I had discussions with some one the other day about African leaders being associated not really by its people because the main perpetrators are outsiders.
@@allyiasachogogwe3753😂😂😂
Tundu Lisu. We jamaa uko vizuri
Kichwa hicho Rais wetu huyo ❤❤❤❤ gombea kura nakupa kama utaendelea hivyo hivyo
Nimekuelewa vizuri Comrade
Very good lissu kwa historia na uchambuz w kisomi
Hili ni somo zuri sana la historia na mizizi ya mgogoro wa Israel na Palestine. Hii inapaswq kusikilizwa na kila mpenda historia na mpenda haki. Big up sana kaka Lissu.
You're so brilliant.please,make a repeat of the same in English
mungu akubariki bwan Tundu Lissu
Asante kwa elimu Mhe Lissu.
Ongereni sana sana Kwa hiki kitaishi na kuwaelemisha watu wengi juu ya hii migogoro lissu ni kichwa aisee
Shukrani sana lisu kwa kuisoma vizuri historia ya palestina na kuwafahamisha wasiotaka kufahamu kuhusu vita hivi wanao waonea wa palestein wambie ukweli ili wajuwe kwamba mayahudi palestina pale sio pao shukriani Mkuu 🙏🇸🇩🤛💞💞🙏
Siyo mayahudi ni wayahudi , mbona mnakuwa na chuki mnachekesha sana?
Wayahudi asili yao ni wapi ?
Hongera kwa uchambuzi mzuri sana
Tundulisu uko vizuri kuuchambua ugaidi wengi wengi husema ugaid ni uisilam
Hii makala ni nzuri sana. Tundu Lissu sio tu mwanasiasa na mwanasheria, bali ni mwalimu mzuri wa kupigiwa mfano.
Lisu wewe nimpango wa MUNGU safi nimeelewa
Tundu lisu tunajivunia next president of Tanzania