Je Yesu alileta Uislamu au Ukristo? , je sinagogi ni msikiti? Je Ukristo ni dini?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2018
  • Fuatilia uchambuzi huu makini na Pr Dominic Mapima akijibu maswali yote haya kwa Biblia na Quran

ความคิดเห็น • 744

  • @castrochelela6660
    @castrochelela6660 21 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 13 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe mungu. akusaidie

  • @georgealoyce4452
    @georgealoyce4452 29 วันที่ผ่านมา

    MUNGU azidi KUKUPELEKA VIWANGO vinginee pastor

  • @abrahambash6687
    @abrahambash6687 22 วันที่ผ่านมา

    Poleni Wakristo hawo walowaleteya ukristo wajerumani, wa anglican na wazungu wengineo sasa wanaukimbiya Ikristo

  • @linetligono1371
    @linetligono1371 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchugaji asante sana kunielimisha mungu akubariki Sanaa

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mtumishi wa Mungu kwa kuweka bayana Kati ya msikiti na sinagogi kuwa ni mkutano.

    • @user-wy4yn2xi3n
      @user-wy4yn2xi3n หลายเดือนก่อน

      Upo Vizuri katika ufafanuzi Safi sana Mtumishi.

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana aman

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi mzuri. Mungu akubariki.

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @johnmnonjela9809
    @johnmnonjela9809 5 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe mtumishi

  • @user-wy4yn2xi3n
    @user-wy4yn2xi3n หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri sana Mtumishi Mungu akubariki sana napenda uendelee kutuelisha

  • @bendit4476
    @bendit4476 3 ปีที่แล้ว +1

    Umechambua vizuri sana.
    Nimekuelewa vizuri

  • @allyissalipawe7072
    @allyissalipawe7072 3 ปีที่แล้ว +5

    Akili zako kama Paulo endelea kuwapoteza

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Paulo tena

    • @barnabasanga7552
      @barnabasanga7552 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo la hawa wenzetu wamerisishwa tu h

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

      Endelea na akili za malehem mhammadi mkafiri wamaka

    • @aminashaaban5846
      @aminashaaban5846 ปีที่แล้ว

      @@petromachanga5538 kafiri baba ako na mama ako alokutoa ktk uislamu akakubatiza ukawa ukafiri,

  • @grdcgv7ufdwdfghh633
    @grdcgv7ufdwdfghh633 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mafundisho ya kina

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u 2 หลายเดือนก่อน

    asante sana mtumishi ubarikiwe sana

  • @advesproduction9622
    @advesproduction9622 5 ปีที่แล้ว +3

    HAPO SAWA KABISA. Yaani asiyeelewa atakuwa na sikio la kufa. Kumbuka tu kuna wana wa upotevu. Endelea kutupa masomo mengine mtu wa Mungu

  • @simonmwambene4441
    @simonmwambene4441 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu ushauri wangu tafuta vijana wafundishe habari hizi maana kanisa linaangamia Kwa kutojua haya utapata thawabu Kwa Mungu

    • @neemafelister9584
      @neemafelister9584 2 ปีที่แล้ว

      Kanisa la mungu la kweri ni la ISA yaani (KAN-ISA,
      Aliye kufa msalabani yaani
      INRI
      I =ISA,
      N =NAZARESI ,
      R=REXLUDAERUM
      I =ISIRAER.
      Yaani mungu wa
      Ibrahim
      Isaack
      Isiraeri ndiye
      Isa masiah. Huu ndio ukweri.
      Walio ktk aya majina apa chini ni ya lile kanisa lire MALAYA (Ufunuo 17:5-6.
      ZEWUSI
      YESU
      YEZU
      JESUS
      Walio ktk

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 2 ปีที่แล้ว

    Nimekupata vzr Mtumishi ubarikiwe

  • @esterjoseph670
    @esterjoseph670 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelea sana kamanda,nimekupenda bule.

  • @allyissalipawe7072
    @allyissalipawe7072 3 ปีที่แล้ว +4

    Yesu akimsujudia mungu wake ww ninyi mnafanya ivyo

    • @jacksonnzai1593
      @jacksonnzai1593 3 ปีที่แล้ว

      Macho ya mwili yanasumbua kutambua ya rohoni. Sivizuri kuosha kkmbe nje ilikpendza watu na ndani kichafu

    • @abrahambash6687
      @abrahambash6687 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@jacksonnzai1593hueleweki anamaanisha nini

  • @user-jj6sd8me9k
    @user-jj6sd8me9k หลายเดือนก่อน

    TATIZO WAKRISTO NA VIONGOZI WENU,HAMUJIBU MAASWALI

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Pr. Dominiki hongera hii kazi unayoifanya, ni kubwa mno!! Mungu akubariki sana baba, waelimishe waede Mbinguni.

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwa amen

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana maelezo na utafiti wako. Waislam ni janja nyingi kuhadaa watu

    • @issackabdi7001
      @issackabdi7001 2 ปีที่แล้ว

      Wapi yesu alihingia kanisa 😂😂😂😂 kama hii imani ya ukiristo

  • @leonardgewa5875
    @leonardgewa5875 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mtumishi wanapenda kutumia hio mistari kupotosha watu

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

      Leonard Gewa wapoteshwa wwe

    • @jouriasfaveur7450
      @jouriasfaveur7450 5 ปีที่แล้ว

      3. Siku moja nitakuwa mwamuzi wa watu wote kama vile kila nabii atakuwa mwamuzi wa kizazi chake. Imeandikwa ya kwamba mitume wataamua makabila kumi na mbili za Israeli kuhusu wakati Bwana Yesu Kristo alikuwa duniani. Warumi 2:16 inasema kwamba Paulo atakuwa mwamuzi wa watu wote kwa muda ambao yeye alikuwa duniani. Na mimi Kacou Philippe ambaye naongea nanyi, nitakuwa mwamuzi wenu mbele ya Mungu. Angalieni marais wa mataifa. Angalieni viongozi wa kidini na viongozi wa mashirika kama vile UM, UNESCO, wanasiasa, wakuu wa makampuni...mtahukumiwa wote kupitia Injili yangu mimi Kacou Philippe.

  • @barakambise7866
    @barakambise7866 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nimekupenda pure uko vizuri

  • @samuelmuiruri4405
    @samuelmuiruri4405 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana..tunaomba utuletee mada ingine

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Sio ingine, Ni nyingine acha upotoshaji

  • @josephmtemi5658
    @josephmtemi5658 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie maarifa zaidi

    • @rajabally2431
      @rajabally2431 5 ปีที่แล้ว

      Af ww muinjilist ww uciwe mfinyinu wa mawazo cio kila ukiona neno njia ndio huaga lina maanisha dini, coz kuna cku nimeshakusoma njian ya mbagala utasema ni kiristo nayo,

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 3 ปีที่แล้ว

      @@rajabally2431 heshima ni kitu cha bure

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

      @@rajabally2431 hahahaaaa Elim ya madrasa

  • @MaryMuigai-zj8fz
    @MaryMuigai-zj8fz 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu alileta ukristo hakuleta uislamu

  • @allymohamedy6715
    @allymohamedy6715 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana tumekusikia sana ila unajuwa uisilaam au neno uislam ina maana gani na kama ukijua maana yake ndy utajua kuwa uislam hakuuleta mtume muhammad bali aliuleta mungu mwenyewe

  • @user-wq4pl5dv6b
    @user-wq4pl5dv6b 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani waislamu nawahurumia kwa kweli

    • @mkilwaabdul9230
      @mkilwaabdul9230 หลายเดือนก่อน

      hatuhitaji huruma yako asee

  • @adamally404
    @adamally404 หลายเดือนก่อน +1

    wakati wa ibrihim ili uwe muislam inakubidi uamini kua mungu ni mmoja na ibrahim ni mtume wake
    wakati wa mussa ili uwe muislamu inkubidi uamini kua mungu ni mmoja na mussa ni mtume wake
    wakati wa yesu ili uwe muisllsmu inskubidi uamini kua mungu ni mmoja na yesu ni mtume wake
    wakati wa Muhammad (S.A.W) ili uwe muislamu inakubidi uamini kua mungu ni mmoja na Muhammad (S.A.W) ni mtume wake
    hivo ndivo ilivo kwa mutu wa Allah wote na hio ndio maana ya shahada
    ili Yesu awe muislam ilimpasa kuamini kua mungu ni mmoja na yeye Yesu ni mtume wa mungu na hivo ndivo alivokua akiamini.

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 หลายเดือนก่อน

      Imeandikwa wapi au ni maneno yako tu

  • @mossesmichaelnzowa3378
    @mossesmichaelnzowa3378 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu yupo vizuri sana na Mimi nimemuelewa.

  • @masta_android
    @masta_android 3 ปีที่แล้ว

    Pastor Habari.
    Naomba Mualiko Tujadiliane Kuhusu Maandiko.

  • @gamelahg4613
    @gamelahg4613 5 ปีที่แล้ว

    Amen asante kwamafundisho Mucungaji ubalikiwe sana

  • @parfaitkouassi9478
    @parfaitkouassi9478 5 ปีที่แล้ว +3

    3. Kisha, njiwa wawili wakaja kwangu na wakaenda mara tena juu ya maji. Na kukawa na patwa jua (mwezi), halafu mtu aliyefanana wingu na mwenye kushika Upanga akashuka toka Mbinguni pamoja na mwana Kondoo na dunia ikaangazwa tena. Walisimama juu ya maji na mwana Kondoo akaanza kusema nami kwa lugha isiyo julikana. Sauti yake iliingiya ndani mwangu na nikaanguka kama mfu. Nafsi yangu ikaenda kusimama pamoja nao juu ya maji wakati mwili wangu ulilazwa juu ya mchanga wa bahari. Alipo maliza kusema nami, nafsi yangu ikanirudilia na nikawa tena hai lakini sikuwaona tena.
    #pkpchaneltv

    • @Nim68182
      @Nim68182 3 หลายเดือนก่อน

      Huuu ni ushuhuda au ,sijafaham

  • @kelvinyohana4178
    @kelvinyohana4178 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza k2 hapo mchungaji asanteee can mungu akubariki sanaaaa nitamuaminii yesu maisha yangu yote

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 ปีที่แล้ว

      tatizo dini yenu nyinyi wakristo.!! makolokocho mengi imekuwa kama movie yaani uongo mwingi kuliko ukweli au wewe huoni!!,

    • @sabrikhvuai2327
      @sabrikhvuai2327 3 ปีที่แล้ว

      Dah kwaiyo unamtogoza Nani ?

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      @@sokakilumbi9293 kwa taarifa yako uongo ukiutaka hata kwenu upo uislamuni ndo maana watu husema hekma ikzd huondoa maarifa kwahyo wamefunyua kuitafuta hekma na nia zao so lazma haya yatokee

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

      Wafuasi wamalehem

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 ปีที่แล้ว

      Utamfataje malehem???

  • @bernarddaudi9657
    @bernarddaudi9657 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana!!! Mungu akubaliki sana umemwinua bwana wetu Sisi wakristo tunamsubiri Yesu kumlaki tukiwa hai au mauti.Ninawaonya wale wasioujua Ukiristo wasijiweke kuwakilisha wakristo.

    • @binyamina8850
      @binyamina8850 4 ปีที่แล้ว

      Kwanza kabisa Sio baliki bali ni kubariki
      Pili Yesu akija atakuwa nasi sisi waislam nasio nyie

  • @SAM_163
    @SAM_163 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI.

  • @husha6372
    @husha6372 5 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji umesahau Yesu alipo sema je sikuwatuma NYinyi thnaashara yaani KUMI na MBILI the Sahara Ni kiarabu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mno

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana walimu wa kristo kwakua mnafatilia kwa yakini jambo kabla hamjafundisha nanyi mnafundisha yalio yakweli. Mungu awape uezo maana twawaitaji kina Mazinge wabatizwe waache kuwadanganya waislamu

    • @yaobleestelle2513
      @yaobleestelle2513 5 ปีที่แล้ว

      30. Jua kwamba unapozaliwa, baraka zote na laana za familia na za wazazi tangu Adamu zinakuwa juu yako. Lakini unapofikia umri wa ufahamu, sio wachawi lakini vitendo vyako vya kwanza huamua uchaguzi wako. Na suluhisho ni kumrudilia kwanza Mungu kupitia nabii wake kulingana na 2 Mambo ya Nyakati 20:20. Tafuta kwanza wokovu. Na wokovu ni tu kupitia nabii aliye hai wa wakati wako. Sio malaika wala kitabu kinachoitwa Biblia au Korani. Sio nabii anayeitwa Musa, Yesu wa Nazareti au Muhammad. Lakini maneno ya mtu aliye hai pamoja nawe. Na wewe, ingawa shida na mateso unayopitia, jua kwanza ya kwamba chanzo ni wewe mwenyewe. Na katika kutafuta suluhisho, hutamwendea nabii ovyo na haifai mtu ovyo akuwekee mikono. Hutabadilisha wokovu wako na faraja ya muda tu ya shetani katika kanisa katoliki, protestanti, ya kiinjili au ya kibranhamisti. Katika Mwanzo 50, Yusufu aliomba kwamba mifupa yake yatoke Misri pamoja na nabii Musa. Na wewe, ikiwa wewe ni mchaguliwa, hupaswi kufa kabla ya kukubali Kacou Philippe, nabii aliye hai wa wakati wako.

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 หลายเดือนก่อน

    Nilitegemea utatoa andiko ukristo ni dini
    Naona unatumia nguvunyingi bila kuthibitisha andiko yakwamba sinago ni kanisa

  • @timoteokajinaki7306
    @timoteokajinaki7306 3 ปีที่แล้ว +3

    Yesu ni njiia ya uzima

    • @neemafelister9584
      @neemafelister9584 2 ปีที่แล้ว

      Usidangwanwe mungu wa
      Ibrahim,
      Isaack
      Isiraeri ndiye
      Isa masiya. Mumgu
      INRI

  • @abrahambash6687
    @abrahambash6687 22 วันที่ผ่านมา

    Kwanza Neno Biblia halimo ndani ya Biblia.Mimeandika juu. Kwadababu yesu hajataja

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน

    MTU Wa content tu , hauna point.

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 ปีที่แล้ว +1

    Financial Loan. Muislamu Wa Kwanza Si Mke Wa Muhammad Rehema Na Amani Ziwe Juu Yake. Muislamu Wa Kwanza Ni Nabii Adam. Soma Wacha Kukariri.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Toa andiko basi ktk vitabu vya kale tuone adamu alipo kua muislam...kweli waislam ni 0 wkt mama w Mohammad mpaka amekufa ajui neno uislam sasa adamu uyo vp?Mohammad kazaliwa ajakuta uislam kweli mwalimu wenu kipofu na kawaroga kweli kweli maana mnamshobokea yule mbakaji kamlala Aisha akiwa na miaka 9 so sad moto wa milele umchome yule kafiri wa kiarabu

  • @MaryMuigai-zj8fz
    @MaryMuigai-zj8fz 2 หลายเดือนก่อน

    BwanaYesu hakuleta ndini ndini ni mpango wa shetani

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni mmoja kati ya Kristo wengi

  • @eshuchimukholi2890
    @eshuchimukholi2890 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante. Huwauliza waongeze somo mpaka Yesu anasoma kitabu cha Isaiah. Swali ni vtabu gani vinasomwa katika sinagogi?

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyakati za mwisho hizi kila mmoja atakuja na elimu yake kikubwa ni Kumwamini Mungu na kutii sheria zake maana mwanadamu ana mavumbuzi mengi na ndio maana alitushindwa lakini anatuoa neema ya uhai sababu sisi ni viumbe wake na anatujalia mema japo sisi tunamtenda uovu

  • @luiskiwale3145
    @luiskiwale3145 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 3 ปีที่แล้ว +2

    Kanisa makanisa yametajwa katika Quraan lakini Yessu hakuwa hi ijenga kanisa wala hakuwa hi kuingia kanisani hata siku moja wala kupitia nje ya kanisa wala haja anzisha ibada yoyote ambayo nyie mnajifanya Sasa twambieni Hilo sinagogi ndio kanisa gani maana mnasema sio msikiti mbona hakuna andiko Yessu ameingia kanisani Imani ya Uislamu hakuileta yeye naye pia ameikuta Imani ya Uislamu

  • @zachariabin5400
    @zachariabin5400 4 ปีที่แล้ว +2

    We unawapotosha bibila kwa wakristo wenzio

  • @sullecom
    @sullecom 5 ปีที่แล้ว

    Kweli mtumishi

    • @ommyomario3069
      @ommyomario3069 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini sasa unalazimisha ukweli mtumzima ufikirilesho?

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว +2

    Umri unaenda. Haki bado hujaijua au makusudi?
    Mungu hafanyiwi makusudi..
    We endelea.
    Hujasoma Mungu Anavyowaangamiza wanaofanya makusudi

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 หลายเดือนก่อน

    Wewe unajina lako lkn unaitwa mkristo kwasababu dini yako ni mkristo sasa vipi tena nikuulize dini yako wakati tayari ni mkristo.

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo hakuja kuanzisha dini duniani. Hakuanzisha dini yoyote wala hakuagiza dini fulani ianzishwe kwa niaba yake. Ukristo wenyewe sio dini ila ni ufuasi tu

  • @lukmanbakari2318
    @lukmanbakari2318 3 ปีที่แล้ว

    Kwanza wew Mtumish umeongea uwongo na unajaribu kuwapotosha Wakrito wenzako na watu wengine, uislamu haukuanza mwaka 622 kama ulivyosema bali mwaka huo ndio kalenda au tarehe ya uislamu. Hebu rudi ukasome tena Qur-aan tuquf halafu urudi tena.

    • @neemafelister9584
      @neemafelister9584 2 ปีที่แล้ว

      622AD Muhammad alianzisha ilo diini. ISA MASIYA NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA.
      Muhammad mwenyewe alikubali injili ya Isa masiya ila akupata mafunzo ya kina akawa amefanya kinyume na injili iyo.

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b 2 หลายเดือนก่อน

    Ukristo ulianza baada ya yesu kuondoka. YESU hatambui ukristo bali anatambua uislam kwani manabiii wote walimuabudu mungu mmoja na siii 1+1+1=1

  • @rojac-uq1sc
    @rojac-uq1sc 2 หลายเดือนก่อน

    Shida hapa ni pesa za Warabu zilizotumwa na kuwafikia Akina Lusekelo

  • @mebbukatibalo787
    @mebbukatibalo787 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni bingwa kiukwel umetusaidia watu ni wabishi sana👏👏

  • @dahabomahmud3539
    @dahabomahmud3539 3 ปีที่แล้ว +3

    Wacha kujificha marika jumba nenda huko ukajitambulishe wacha kufunza watu uwongo

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 3 หลายเดือนก่อน

    Soma ufunuo wa 3;9-hio die wa waislamu jini akasilimu akawa muislamu sawa?

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yesu mwenyewe ndiyekiristo nawafuasi wake ndiowakiristo nahakuacha kanisa ila aliacha ukiristo yeye alikuwa anasimama tukilasehemu wafuasiwake walikusanyika na kusikiliza mahubili yake yaufalmewaMungu. Makanissyakiristo yalianzakujengwa namitume baada. YaYesu kupaaMbinguni.

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    USIBABAISHE NYOOSHA MANENO WEWE UNACHANGANYA WATU NA KUJICHANGANYA MWENYEWE

  • @AbdulMohamed-c8e
    @AbdulMohamed-c8e 3 วันที่ผ่านมา

    Yesu hajawahi kuwa mkiristo

  • @kessyrojas9549
    @kessyrojas9549 2 ปีที่แล้ว +1

    omba friend match na ustadh mazinge kama ujatokea dirishani!

    • @Nim68182
      @Nim68182 4 หลายเดือนก่อน

      Mazinge hana kitu😂😂😂😂 umekos wengine wakutaja hapo

  • @medinacheronohildah7933
    @medinacheronohildah7933 2 ปีที่แล้ว +2

    Dini ni upotovu wapendwa wa mungu nina imani mungu hakuumba dini wanadamu ndio walijigawanya na kuanza mambo ya dini ....mimi si mdini ata juu nshakua confused mungu ni yeye ataniongoza katika maisha

  • @josephkirimi5453
    @josephkirimi5453 2 ปีที่แล้ว

    Yesu hakuleta uislam.synagogi sio msikiti bali ni nyumba ya kuabundia la la waisraeli ukristo ni ndini.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 13 วันที่ผ่านมา

    ubalikiwe

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna vitabu vinaitwa biblia Wala dini inaitwa ukristo

  • @user-wq4pl5dv6b
    @user-wq4pl5dv6b 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu alisema iko siku siri zote zitafichuliwa na ukweli utajulikana kwahiyo wakristo hata msiwe na wasiwasi

  • @neemafelister9584
    @neemafelister9584 2 ปีที่แล้ว

    Akuna diini yeyote ipelekayo watu mbinguni bali NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE NI ISA MASIAH asiye badilika milele. Aya majina yaliwekwa ili watu wasimujue mungu wao wa kweri.
    Yesu kristo
    Yezu kristu
    Jesus christ.
    Mungu wa kweri abadiliki ata na jina lake alibadiliki au kubadilishwa
    ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA.

  • @ezlanshakilbhanji4133
    @ezlanshakilbhanji4133 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeah amefata mtume Musa na mafundisho yake. Kwa hiyo Musa alikuwa muislamu na yesu kumfata inamaana naye muislamu

  • @adamally404
    @adamally404 หลายเดือนก่อน

    sinagogi ni sehmu ambayo kama wayahudi wasingeenda kinyume na maamrisho ya Allah basi ingekuwa ndio sehemu sahihi ya kuabudia hadi leo lakini kwavile wayahudi walikengeuka amri ya mola wao ndipo Allah akmleta Yesu aje kuwaonya juu ya adhabu ya Allah ktk kukengeuka kwao iwapo hawata tubu na kurudisha sheria ya Allah, kwaiyo yesu ndopo alilazimika kuwafata wayahudi ktk masingogi sehmu ya ibada walio igeuza soko la kufanyia biashara zao. jitihada za Yesu ziligonga mwamba wayahudi walimkataa Yesu na kutaka kumuua ndipo Allah akampaisha juu, pia Allah akawaacha wapotee wayahudi wasiotaka kuongoka na akamleta Muhammad salawahu alyhi waslssam. kuirejesha sheria yake itawale dunia ndio mana ikaletwa misikit sehemu takatifu toharifu kwaajili ya kutekeleza sheria hiza ndiomana waislam hatuingii katika masina gogi kwasababu Yesu kashindwa kuwarekebisha kuirejesha sheria ya Allah

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 หลายเดือนก่อน

    Sinagogi ni mahari panapokutanika tena ilikuwa ni kawaida yao tena wakifanya ibada baada kuwa nyumba zao kubomolewa, hii inaonyesha kwamba nikweli walikuwa wakifanya ibada hapo
    Kingine tafsiri hii imetolewa na mkusanyiko wa wakristo wote ambao ni viongozi

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtahangaika San ila hakuna dini inaitwa ukristo au vitabu vya dini vinaitwa biblia

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 ปีที่แล้ว

    Waislam wanajenga hoja kwamba Yesu alitawadha kwahiyo ati ni mwislam.

  • @africrowd4559
    @africrowd4559 ปีที่แล้ว

    Yani Hawa wachungaji hawaingii akili bora hata waislamu

  • @husha6372
    @husha6372 5 วันที่ผ่านมา

    N Hungarian kiyunani kanisa ni Ecclesius Au Colesium synagogue ni ki hebrania kiyahudi kiyunani Konik Greek eclesius au colesium ndio kanisa Kwa HIVYO WEWE BAADO hujuwi lugha Vizuri

  • @NemeyeMaliki
    @NemeyeMaliki 3 หลายเดือนก่อน

    Acha ushabiki zungumza ukweli yesu hatambuwe ukristo abadan Hana habari namnayo yafanya.

  • @eliasmpanilehi3221
    @eliasmpanilehi3221 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi.Umeeongea na kufafanua vizuri sana. Kama mtu anania ya kujua ukweli atakua amejua,ila shida ya wenzetu,Wanakalili na sio kuelewa.Maana kama wanaiamini biblia na kujua kuwa Sinagogi ni Msikiti.Kumbe inawapasa kuifuata biblia yote.

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilitegemea utatoa andiko kuwa aliingia kanisani lakini hakuna ndio maana umejifungia useme pekeako hata mfichie ukweli bado mtateseka sana mta wadanya wale wasio taka kuachia akili za huru kazi yao ni kuhubiliwa tuu hivi yesu alikuwa mzungu au mswahili leteni maandiko aliyo yatumia ya kiebrania mta danganya watu sana leo mna sema walio tafsiri biblia ni waislam hii yote mwelevu ataelewa likini mjinga hawezi kuelewa

  • @bezckmosam-bh4gu
    @bezckmosam-bh4gu ปีที่แล้ว

    Usiongee pekeako mtafute shekh mkae woote tuoneapo maana akuna Mambo ambayo yesu alifanya na nyinyi mnafanya na wap yesu kaingia kanisani na je BIBIRIA yesu anaijua nakato agizo watu wasome BIBIRIA au yesu haitambui BIBIRIA usiwapotoshe watu mchungaji sema kweli

  • @saidmohammed78
    @saidmohammed78 5 ปีที่แล้ว

    Binafsi nakusifu kwa uchambuzi mzuri ingawa kuna kupwaya kwa nafasi ya utetezi toka upande wa pili juu ya ulichokichambua nadhani ili kufafanua kama ulivyofafanua na nahdan hii ni njia nzuri zaidi kwakua maandiko na marejeo yapo waz ningependa kushauri juu ya hili kungekua na mdahalo wa hoja usiousisha watu wengi(hadhara).

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/5UXoluZxSac/w-d-xo.html MUINGILIANO KATI YA UISLAM NA UKATOLIKI

  • @mwagilomasukuzi4402
    @mwagilomasukuzi4402 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe sio kosa lenu mnasubiri kufundishwa na wachungaji badala ya kusoma vitabu sisi waislam tunasoma vitabu kwahiyo hakuna ambacho utamdanganya muislamu cz bibilia tunasoma agano la kale na quran tunasoma ko sijui utapita wapi tusipopajua pole rudini darasani

  • @MaulidMtopa-sh6in
    @MaulidMtopa-sh6in 3 หลายเดือนก่อน

    Apo unatetea Kwani ata Kwenye qur an. Lipo neno klisto sasa waliitafsili wakilisto?

  • @mwetajoseph1989
    @mwetajoseph1989 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona husemi neno linalosema ni ukweli

  • @mwagilomasukuzi4402
    @mwagilomasukuzi4402 4 ปีที่แล้ว +2

    Katika dini zote hii dini ndo inaongoza kuleta manabii wa uongo na mijitu inawaamini poleni sana mtayumbishwa sana na hao manabii njaa wenu sisi tulii dini ya haki lazima ipigwe mawe wala hatuna papara na kama mnajiamini kelele za nini?ila nyie bhana mna macho lkn hamuoni poleni sana maana hata bibilia mnayodai mnaisoma hamuijui

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    KITABU CHA KWELI HAKITAKI MANENO MENGI KIKOWAZI SANA WAMBIE WATU UKWELI

  • @chalzdom7299
    @chalzdom7299 4 ปีที่แล้ว +1

    Tujiulize swali" kwa mujibu wa biblia, tukiangalia ibada za yesu ndani biblia zinaendana na ibada za makanisani au misikitini?"

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      Yesu alisujudu tena nyakati 5 kila siku jee kanisani mnafanya hivyo ndugu

  • @amanisausi5529
    @amanisausi5529 5 ปีที่แล้ว +2

    Njia ni moja tu na ukiikosa hiyo umepotelea kwenye msitu mnene, nayo ni Yesu Chrito, na alisha sema kwamba 'mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia yangu mimi'

    • @ahmedhussein2393
      @ahmedhussein2393 5 ปีที่แล้ว

      Not only Jesus was the way,life and truth but also other prophets were also the same and that doesn't mean that Jesus is God

    • @masawejoram5075
      @masawejoram5075 5 ปีที่แล้ว

      @@ahmedhussein2393 only Jesus Christ .

    • @masawejoram5075
      @masawejoram5075 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 ปีที่แล้ว

    OK

  • @MohamedAli-tg7xp
    @MohamedAli-tg7xp 3 ปีที่แล้ว +1

    Soma lugha asili ya bibilia yenyewe sio kiingereza au kiswahili ndio hautapata tabu mchungaji

  • @romeobraoua7009
    @romeobraoua7009 5 ปีที่แล้ว +3

    9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake.

    • @alimuniira5436
      @alimuniira5436 5 ปีที่แล้ว

      Shame on you

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 5 ปีที่แล้ว

      romeo braoua unacho Ongea wewe na mada inayo ongelewa hapo nitafauti kabisa,so subri ufundishwe uskalili

  • @rizaram123yes7
    @rizaram123yes7 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifuza mengi sikukuwa naelewa mungu akumbariki sana

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 หลายเดือนก่อน

    Sinagogi siokanisa ni msikiti kwasababuhii aina ya sala inayo saliwa ndani yasinagogi nisawa na inavyo saliwa ktk msikiti wasasa 1)sinagogi msikiti hakuna benchi 2) wanasujudu 3) anaombewa duwa ibrahim kitu ambacho kanisani hayo ayafanyiki ndomaana yesu aliingia hekaluni nakupinduwa meza zote nakutawa nje

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    JE UNAAMINI KWAMBA BIBLIA IMEWEKWA MANENO YA WATU NA IKIWA UNAAMINI HIVYO ICHO KITABU UNACHOKIITA BIBLIA KASHUSHIWA MTUME GANI

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 4 ปีที่แล้ว +1

    Abraham alipokua akifanya ibada ana via viatu Yesu pia alivua viatu nyinyi mnavua viatu .??

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011 4 ปีที่แล้ว

      Nani alikuambia kwamba Abraham na Yesu walivua viatu kufanya ibada? Unaweza kuleta ushahidi??