Bwana Yesu asifiwe mchungaji mbaga naomba ushauri wako mimi niko kahama natamani sana kuwa msabato nakila nikichukuwa hatua sasa nakwenda sabato vita kubwa inainuka juu ya mume wangu pamoja na vipigo yani ni mashambulizi mpaka nawakwe zangu natumefungia ndoa kanisa la RC yani mpaka ninaenda2 kusali humo ukatoliki lake moyo wangu haumo kabisa naomba ushauli wako
Bwana Yesu asifiwe Mchungaji, Jina langu naitwa Emmanuel Tambo natokea Mombasa Kenya, nashukuru kwa video na jumbe ambazo ziko kwa mtandao huu GOD BLESS U ALL.Ujumbe huu kwa hakika umenifungua macho sana yaani yakiroho, nasio huu tu ziko nyingi mno.Mwenyezi MUNGU akubariki namapenzi yake yawe pamoja nawe.U r ma Spiritual Role Model.Tuko pamoja natubarikiwe sote.
Mchungaji MUNGU Akubariki Sana nimebarikiwa kwa kumbe Zako kweli kila mtu ana Vita yake na hawezi kuishinda kwa NGUVU zake mwenyewe Hadi tutakapo mluhusu Yesu Kristo apambane maana sio Vita yetu ni Roho mbili na sio ya kimwili
Ni vyema kuendelea kuomba mwongozo wa Mungu. Maana katika uelewa wangu kwa kizazi hiki dunia imepitia misukosuko ya mateso ya kutisha kwa wanadamu wakati wa vita vya kwanza na vita vya pili vya dunia. Dunia nzima ilitikisika. Na kipindi hicho kukaibuka maelezo mengi kwa mfano kanisa katoliki kupitia miujiza wa bikira Maria aliyeelezwa kuwa alionekana kule Fatima nchini Ureno na akaonya dunia. Hata hivyo dunia ilipita. Vita vya Urusi na Ukrain ni vita ya mataifa mawili tu hii ndio itakuwa ya kinabii!? Ninaamini shetani bado hajajiinia bado. Bado Neema ya Mungu ingalipo. Siku ile ya CHUKIZO badooo.
GLORY TO GOD BE BLESSED PSTR ,CONTINUE TO IMPACT US is GODS WORD AMEN.HE is using you as a tool to fight antchrists that are at large now as ur equiping our souls .
Nabarikiwa sana !...lakini ninaushauri!..kwamba mnapoweka hii video!..Mimi nahisi zingekuwa zinapunguzwa muda!..na ni vyema ujumbe uwe hata na sehemu mbili mfano Kama ujumbe Una dakik60 basi sehem ya kwanza iwe na dakka30 na ya pili hivohivo

Bwana yesu asifiwe mchungaji ,Jina langu ni Margaret mwita natokea Nairobi Kenya mungu akupaliki KAZI zuri 🙏🙏
Asante kbs pasteur,ila natamani Siku moja ukuye kwa Congo hapa kutulisha piya neno la Mungu,kanisa la wa adventiste ni mengiii zaidi.
Ninapanga kuja Goma
@@MahubiriPrMmbaga tutafurahi sana ukifika huku kwetu Goma.Mungu akuandae vizuri kabisa
Bwana Yesu asifiwe Mchungaji, Jina langu naitwa Emmanuel Tambo natokea Mombasa Kenya, nashukuru kwa video na jumbe ambazo ziko kwa mtandao huu GOD BLESS U ALL.Ujumbe huu kwa hakika umenifungua macho sana yaani yakiroho, nasio huu tu ziko nyingi mno.Mwenyezi MUNGU akubariki namapenzi yake yawe pamoja nawe.U r ma Spiritual Role Model.Tuko pamoja natubarikiwe sote.
A MEN I ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mungu akubarki san
Mh..makubwa jamani..😢😢
Mchungaji MUNGU Akubariki Sana nimebarikiwa kwa kumbe Zako kweli kila mtu ana Vita yake na hawezi kuishinda kwa NGUVU zake mwenyewe Hadi tutakapo mluhusu Yesu Kristo apambane maana sio Vita yetu ni Roho mbili na sio ya kimwili
Yesu anakuja tuandae maisha yetu wapendwa asante Pr kwa ujumbe wako
Umenifungua macho mchungaji, nilikuwa najiuliza maswali kuhusu hiyo vita, umejibu maswali yangu yote. Asante sana kwa ujumbe mzuri sana.
Amina pasta ubalikiwe Sim yangu waliiazima imekaa wiki Yan nmefungua tu nakutafta mahubir yako ubalikiwe nmekupata
Mchungaj mbaga ubarikiw na Bwana Yesu Kristo kwa mafundisho yako
Hello Man of God josephart watching u from Kenya Nairobi God bless u
Ni vyema kuendelea kuomba mwongozo wa Mungu. Maana katika uelewa wangu kwa kizazi hiki dunia imepitia misukosuko ya mateso ya kutisha kwa wanadamu wakati wa vita vya kwanza na vita vya pili vya dunia. Dunia nzima ilitikisika. Na kipindi hicho kukaibuka maelezo mengi kwa mfano kanisa katoliki kupitia miujiza wa bikira Maria aliyeelezwa kuwa alionekana kule Fatima nchini Ureno na akaonya dunia. Hata hivyo dunia ilipita. Vita vya Urusi na Ukrain ni vita ya mataifa mawili tu hii ndio itakuwa ya kinabii!? Ninaamini shetani bado hajajiinia bado. Bado Neema ya Mungu ingalipo. Siku ile ya CHUKIZO badooo.
Asante mchungaji mbaga MUNGU azidi kukutumia ilituzidi kusogea miguuni pa BWANA wetu
GLORY TO GOD BE BLESSED PSTR ,CONTINUE TO IMPACT US is GODS WORD AMEN.HE is using you as a tool to fight antchrists that are at large now as ur equiping our souls .
Amen Niko Mozambique, pastor ubalikiwe sana
Hakuna kitu kibaya kama kutengwa na kanisa.usipomtazama kristo unaweza kweli ukaliacha kanisa na imani yake.
Barikiwa sana
Naitwa Stadius Kutoka kagera muleba baba mch nimebarikiwa kwa neno lako hili
MUNGU atusaidie
Ubarikiwe mtumishi
Subiri tu mch. Utaona ambao hujawahi kuyaona. Soma vema kuhusu taifa la kasikazini na wana wa mashariki, huyo unayesema kaka mkubwa atakuwa mdogo tu
God bless you pastor David 🙏
Huu wakati kweli ni wa kufunga na kuomba kwa kuwa hizi nyakati ni dalili za mwisho. Ameni mchungaji barikiwa
Napenda sana kukuelewa lakini Leo sijaelewa
Mungu atupatie macho ya kiroho kuona na kuelewa kinachoendelea hapa duniani katika kipindi hiki cha mwisho
Nashukuru Mungu kwa neno ambalo Baba amekupa kutulisha kwa siku yaleo
Barikiwa pastor Mmbaga na mahubiritv kwa kutujali
Nabarikiwa sana !...lakini ninaushauri!..kwamba mnapoweka hii video!..Mimi nahisi zingekuwa zinapunguzwa muda!..na ni vyema ujumbe uwe hata na sehemu mbili mfano Kama ujumbe Una dakik60 basi sehem ya kwanza iwe na dakka30 na ya pili hivohivo
Kwenye swala la muda usipunguzwa ujumbe mzito namna hii uupe nusu saa kweli
Nakushauri uwe unaangalia ukichoka unaacha unaendelea baadae tena
Amina Mchungaji Mbaga mungu aendelee kukutumia kama itakavyompendeza Nina shida binafsi naomba Namba zako tafadhali kama hutojali.
+255 755 932 283
Ni Mungu na sio mungu ndugu.
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA BWANA KWA MAFUNDISHO HAYA
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA
Hicho kitabu cha siraha saba za kiroho kinauzwa sh ngapi na kinapatikana wapi
AMINA...🙏Nimebarikiwa sana.
Namba ya sadaka
Onja msisimko😆😆😆😆😆😆😆
IMEISHA HIYO
Mawakala wa ibisi waliomo kanisani hasa viongozi wanaweza kuwa chanzo kikubwa chakuwafanya watu waiache imani .
Hamna kitu hapo
Glory to God. God bless and continue using you to his glory.
Be blessed Pastor kwa mafundisho
Ubarikiwe mtumishi was Mungu
Mchungaji napenda tu kukuambia kwamba Putin na Urusi we muache tu, usiseme watamunyoosha, so kweli je wajuaje
AMINA
Pr. Nabarikiwa sana kwajinsi Mungu anavyo kutumia kusema kweli katikati ya upinzani mkubwa ulimwenguni.
Niko dodoma mtumishi,nawezaje kupata hiki kitabu cha silaha 7 za kiroho?
Asante mchungaji. Mungu akubariki zaidi.
Acha na haya mambo wanayajua wenyewe
Nabarikwa
Ubarikiwe sana pasta
love you mr pastor
Kitu chochote atakachokufundisha Mmbaga ni AMINA na KWELI
napataje kumuona huyu Mtumishi??? Naomba nipate mawasiliano yake pliz.
Amina mungu anakutumia vyema
MUNGU ASIFiWE
Thanks 🙏🙏🙏 Sir Reverend
Glory to God
Good
Amina mtumishi
Nitapataje kitabu chako na Niko kenya
+254 759 614 102 piga number hii
Wwww
ameeeen
Mchungaji henoko naye alitenda dhambi
Kwani biblia imesemaje Soma mwwnzo4:1 sura nzima
Amina
Amen
Elon Musk
7u7îl
🙏🙏🙏
Salama iko kwa Yesu tu. th-cam.com/video/wr4NLOcRbSc/w-d-xo.html
Amen
Amen
Jamaa unajitahidi kuwalisha matango pori ukichanganya na ukweli.
Amen