Pt7_MAJIBU YA PETRIDA KARCH KHS PETE,KUOLEWA MARA YA PILI,KUFUNIKA KICHWA:Msikilizeni Roho Mtakatifu

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 116

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz  ปีที่แล้ว

    Wasiliana na Petrida Karch kwa What'sApp no. +491758114293
    Wasiliana nasi promover tv kwa What'sApp no. +255784074462
    Kujiunga na group la Petrida Karch, Bonyeza link hii chat.whatsapp.com/KngcNJwF9gOKp8FUiKxhjg

    • @odiliaamnaay4429
      @odiliaamnaay4429 ปีที่แล้ว

      ASANTE MTUMISHI WA MUNGU NIMEBARIKIWA SANA KWA MAFUNDISHO YAKO.

    • @juliaseverianonangade8807
      @juliaseverianonangade8807 ปีที่แล้ว

      MUNGU abariki promover Tv Mozambique tunainuliwa kupitia shuda za promover Tv

  • @Kayla-jo9mq
    @Kayla-jo9mq ปีที่แล้ว +5

    Jamani Amkeni Munguhawezi kuzungumza Vitu vi2 tofauti..
    Ebu sikilizeni shuhuda zahuyu Dada zote.kuna baadhi ya alivyo Ongeya uki msikiliza kwa umakini zaidi utavikuta viko 100%Kinyume na Maandiko....kabisa Kabisa.....Msipoteyeee Wana Wa Mungu.

    • @briandeflugel9055
      @briandeflugel9055 ปีที่แล้ว +1

      Hebu tupe muktasari.... Kama kipi kwa mfano tafadhali?

  • @veronicamumo9849
    @veronicamumo9849 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niombe mtumishi wa Mungu

  • @ByamungupoloKapili
    @ByamungupoloKapili 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @fenellalilian4590
    @fenellalilian4590 ปีที่แล้ว +3

    Diana mwakaseke ana mawigi na pia herini masikioni so usijifananishe na ndoa ya mwakaseke kwa sababu Wana pete za ndoa inafaa pia ww ukubali kukosolewa no man is perfect

  • @eliakimukivamba8044
    @eliakimukivamba8044 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki mtumishi bwana naazidikukufunulia ilitujiandae bwanaanaporudi haleluya

  • @edinabubelwa9213
    @edinabubelwa9213 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Yesu anabadilisha watu ya kale yanapita mtu anakua kiumbe kipya kama alimbadilisha Sauli aliyekuwa anaua watu wa Mungu akawa mtume Paulo na akafanya kazi ya Mungu kubwa sana Yesu analiangalia kusudi lake lazima litimie haijalishi historia ya uyo mtu ilikuaje

  • @vivianadiang2501
    @vivianadiang2501 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ni nyakati za mwisho mimi nitabaki tu kwa neno la Mungu.
    Na si kwa maono.

  • @mashakaraphael8041
    @mashakaraphael8041 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi nimebarikiwa mno na ushuhuda huu, nakuombea Bwana azidi kukulinda na kukutumia.

  • @janesanga3727
    @janesanga3727 ปีที่แล้ว +2

    Dada mungu akubariki kwa ujumbe mzuri sana mungu atusaidi

  • @TeleziaFrancis-jt4jk
    @TeleziaFrancis-jt4jk ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe shujaa wa Bwana

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo pamoja na ww dada na MUNGU ATUSAIDIE. SANA NA DHAMBI IMEKUWA NI CHAKULA CHETU HATUMUTAKI MUNGU NA NGUVU ZAKE MUNGU ATUSAIDIE SANA

  • @peterkarimu00
    @peterkarimu00 ปีที่แล้ว +14

    Dada Petrida Mimi nimekuelewa Sana na nimejifunza vitu vingi Sana Kutoka kwako,Bwana Yesu azidi kukubariki sana, ninachokuomba piga goti uliza Kwa Unyenyekevu Sana kuhusu Pete,tunapewa Ufunuo Kwa sehemu,na usiangalie wachungaji wakubwa Kwa kuwa Wanapete na Mungu anasema nao tambua Mungu anasema na watu wote hata mamajusi alisema nao, inawezekana Mungu amekupa nafasi hii Ili uvuke kitanzi hicho Mimi na Mke wangu Mungu alipotuambia kuhusu Pete tulivua, agano la ndoa haliwekwi na chuma mwilini na hakuna Neno linalotuambia tufanye hivyo,Usiifuatishe namna ya dunia hii, Yesu anakupenda Sana ila hapa unapaswa umueleweshe mumeo vizuri, Mungu azidi kukubariki sana Dada Petrida nimejengwa Sana na ushuhuda wako.

    • @gervaskisinza1227
      @gervaskisinza1227 ปีที่แล้ว

      Huyu anatufundisha maono tu badala ya Neno la Mungu kuolewa mara pili huo ni uzinzi

    • @judynjeru9175
      @judynjeru9175 ปีที่แล้ว

      @@gervaskisinza1227 true

    • @judynjeru9175
      @judynjeru9175 ปีที่แล้ว

      Kuna assumption ya maono na neno...... people should look for thy word of God

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mimi Mungu alinifundisha kuwa kabla sijafanya jambo lolote kwa mfano sherehe au hizo pete za ndoa lazima nichunguze zilianzaje chanzo. Unaweza hata ku google chanzo cha pete za ndoa mpaka zikaingia kanisani . Ilihusishwa miungu ya kimisri. So pete za ndoa ni machukizo.
      Lakini pia usilinganishe na wanadamu katika Wokovu siku zote jilinganishe na Messiah yeye aliishi duniani bila kutenda dhambi. Unaweza ukamwona mwanadamu ni mtakatifu Kwa nje lakini sirini ni muovu.

    • @catherineawinja7417
      @catherineawinja7417 11 หลายเดือนก่อน

      Asante Sana mtumishi WA Mungu aliye hai Mungu akubariki

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +4

    Nionavyo mahali imefika wacha nikae nikitubu na nikiisoma Bibilia na Mungu atanisaidia

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน

    Aaa umejibu vizuri Pete ya ndoa si dhambi ni utambulisho wa kuonyesha kuwa mtu kaolewa

  • @antoinettendayizeye5884
    @antoinettendayizeye5884 ปีที่แล้ว

    Asante dada

  • @odiliaamnaay4429
    @odiliaamnaay4429 ปีที่แล้ว +1

    AMINA AMINA MTUMISHI WA MUNGU, KWELI TUNAMHITAJI ROHO MTAKATIFU. KWA KUWA PIA HATUNA MAARIFA YA MUNGU. MUNGU ATUSAIDIE

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni muongo Sana ,embu soma rumi7:2-3

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeena

  • @susanmoraa9289
    @susanmoraa9289 ปีที่แล้ว +1

    Ningependa kujazwa roho mtakatifu nine na ndimi za mbinguni

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN

  • @marymatekwa6867
    @marymatekwa6867 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe Sana wapendwa nikijangia kuhusu some hili, kuolewa Mara ya pili si Dhambi sababu kuna njaa singine baadhi ya ndo hizi unaesakua muaminifu Kwa ndo yako lkn ukose amani kabisa uvumilie mbaka upate Mungu tafadhali niondolee Hii ndoa sababu ya uzito WA jangamoto Ma Mungu mwenye huruma husikia Ma atakuondolea no yeye Mungu Yule atakayekufungulia mbali yako kamili na uishi Kwa amani, wapendwa vile dada wetu amesema ukiwa na roho mtakatifu utaongoswa Ma roho mtakatifu, Mungu Baba akajua unyonge wetu ndipo akawatuma malaika wake kupitia watumishi wake ili tupate ufahamu Ma kujua Mubarikiwe sana wapendwa tusidi kufundishana Tukiomba Mungu atujaze roho mtakatifu atuongose Kama nimekwasa mtu naomba unisamehe asandeni Sana, asande dada wetu mpendwa Petrida

  • @lukaerinest8004
    @lukaerinest8004 ปีที่แล้ว

    Ameni mtumishi unafundisha vizuri naomba niulize kwa habali ya mtu alie okoka kwenda gim kufanya mazoezi nikosa

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Mjumbe wa agano John isaya igumi,Napenda kusema kuwa hakuna ujumbe mpya wa kutomwona Yesu ni Neno.wala Pete si Neno acheni kupoteza watu.jifunze Kwa mjumbe wa wakati.

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani ww ungekuwepo karibu huku kwetu ningekuwa nakufuata pete si dhambi na ndoa hiyo ya kwanza kwa ww si dhambi kwa sababu hukuwa mzinzi kuna watu wanaachana ili abadilishe mme mke mwingine pia MUNGU ALIKUWA NA MAKUSUDI JUU YAKO NA MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTIA NGUVU ZAIDI

  • @Breathe-and-Be
    @Breathe-and-Be 7 หลายเดือนก่อน

    Hallo
    Unaishi mji gani ningependa kutembekea kanisa lako

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mwakasege gwajima makanisayao wamejaa watu wanavaa nguo ambazo azimpendezi mungu nawakezao wamejipamba mungukama anasemanao awaambii kuhusuilo

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndiye aonaye sirini na ndiye anayejua kama aliwaambia au hakuwaambia cha msingi tusiwatazame sana wanadamu kwa sababu hakuna mkamilifu bali tumtazame mungu yeye ndiye mkuu akikukataza usifanye hiki basi usifanye

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน

      Mm nimemuelewa huyu anatomy bibilia na ndo maana yupo vizuri sana ukiona mtu anaemia dhambi anaomba na Americana msikilize huyu Ana kitu cha MUNGU OGOPA SANA WALE WABISHI ANAAMBIWA HII NI DHAMBI ANABISHA

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน

      Tuachane na wavaa mawigi na kujichubua ss tukaze buti kumutafuta MUNGU TUJITAKASE

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Hakuna aliye na agano isipokuwa ni yule aliyepewa sawa na kmb.Torati 18:15-22. Kila unabii kama haujatoka Kwa Mungu.mjumbe wa agano ndiye aliyepewa ufunuo wa ufalme wa Mungu si mwingine.

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 ปีที่แล้ว +1

    Jambo mtumishi apokwakusema aufunikake kishwa sana unatembeya siyo saili kwa mu KRISTO kwasababu muKRISTO niaskari inapashwa askari kuwa tayari kwaiyo usikuwe unakosa kufunika kichwa

  • @alainmuhigirwa5151
    @alainmuhigirwa5151 ปีที่แล้ว +1

    Swali yangu ni ivi. Ni kweli Mwenyezi Mungu anaruhusu kubadirisha uraiya yako. Mbona wana wa Israeli walika mwaka 450 misri lakini hawakubadiri

    • @ktlm8787
      @ktlm8787 ปีที่แล้ว

      Wote wanao badirisha uraiya wako kwenye makosa wametenda dhambi ya kubadilisha asili ya uraiya wao

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

      Ndio unatakiwa ubaki na asili yako ukibadili uraia inaonyesha kabisa unamkosoa Mungu kukuweka kwenye ilo taifa

    • @simonrevelian7278
      @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว +1

      Acha kupotisha enyi msioyajua maandiko vema, Taifa la Israeli lipo Sasa sio asili Yao, asili Yao ni Huru ya Wakaldayo alikozaliwa baba yao Ibrahim, pale wapo kiagano na Mungu, elewa unaweza kuzaliwa pointi A Mungu akataka umtumikie pointi B iwe katika kabila lako na akupeleke kabila lingine au Taifa lako kwenda Taifa jingine. Na ni lazima kucomply taratibu za mahalo ulipooelekwa na Mungu maadam ni mpango wake.

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@simonrevelian7278umeongea point

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 ปีที่แล้ว +1

    Imeandikwa mbingu na nchi ni mali yangu na vitu vyoote viujazavyo ni mali ya Bwana kwa hiyo tunaomba msaada kwa upande wa madini. Mungu ameyaumba kwa sababu zipi maana ndiyo yanayotengenezea mapambo tusaidie kufafanua hapo mtumishi

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Mungu alitupatia madini Kwa ajili ya kujengea na siyo kujipamba. Ndiyo maana hata mji wa Yerusalemu mpya ni dhahabu safi shetani siku zote hulibadili kusudi la Mungu.

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว +3

    Dada unanichanganya sasa, neno la Mungu linasema kila jicho itamwona, lakini wewe unasema watakatifu tu ndio watakaomuona Bwana Yesu Kristo akishuka. Elezea hapo kwanza ili nikuelewe

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 ปีที่แล้ว

      Huyu sio mtumishi wa Bwana Yesu,anapisha na neno la kristo,huyu anatumika katika ufalme wa shetani,

    • @rehemaminja2843
      @rehemaminja2843 ปีที่แล้ว

      Kwenye unyakuo ni watakatifu tu ndio watamuona Yesu na kuisikia parapanda ila unayozungumzia wewe ni kurudi kwa Yesu mara ya pili duniani ndio kila jicho litamuona. Unyakuo ni Siri kubwa

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      @@rehemaminja2843 Amen amen umenena vyema

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Kuna kuja kwa Messiah mara mbili,
      1: Atakuja kulichukua kanisa ataishia mawinguni na watakatifu watamlaki mawinguni watakwenda naye mbinguni na kutakuwa na sherehe kwa muda wa miaka 7 wakati huo duniani kutakuwa na dhiki kuu mpinga kristo atawashughulikia wanadamu lakini na hasira ya Mungu itashuka juu ya wanadamu waliomkataa.
      2: Messiah atarudi duniani kwa mara ya pili yaani ataikanyaga dunia kwa mara ya pili, mara ya kwanza aliikanyaga dunia alipozaliwa kama mwanadamu na mara ya pili atakuja na mwili wa utukufu. Na hii itatokea baada ya miaka 7 ya dhiki kuu. Kila jicho litamuona atatawala dunia kwa muda wa miaka 1000 wakati huo shetani atakuwa amefungiwa shimoni kwa hiyo miaka 1000. Baada ya hiyo miaka 1000 shetani atafunguliwa na atafanya vita na watakatifu na Messiah ambapo atayaangamiza majeshi ya shetani kwa upanga utokao kinywani mwake.
      3: Baada ya hapo hukumu ya mwisho. So wakati wa unyakuo ni watakatifu tu ndiyo watamuona wenye dhambi hawamuona ndiyo maana ya wawili wamelala mmoja atwaliwa mmoja aachwa.

  • @majamaja8136
    @majamaja8136 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilikatakata nguo na wig zone nikatupa dustbin

  • @perischari3630
    @perischari3630 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Huu ni ujumbe mzuri sana.Nlikuwa naulizia ni vyema kuweka family planning Kwa mwili?

    • @susansusanne6157
      @susansusanne6157 ปีที่แล้ว

      Not at all. One of the LORD'S ten commandments says do not kill. God is the One that decides which children will be birthed and not you. You have no right to family plan for God. God is your family planner and not those tablets or whatever the worldly doctors recommend for family planning. It is not different from abortion because when you do family planning, you are practically stopping a life which is categorised under murder which is a sin according to the word of God.

  • @marywanjiru438
    @marywanjiru438 ปีที่แล้ว

    Kuvalia Pete ni dhambi na Huyu dada Hana ushuhuda Wa kweli

  • @chancefuraha5764
    @chancefuraha5764 ปีที่แล้ว +1

    Sifa niza YESU kwa watuwake waliyoitwa kwakufunua mambo yake. lakini uombe Tena MUNGU ukufunuliye. Kuhusu Pete sote ni miungu migeni iyo
    Isaya 3:16-25 hakuna kwenye kunaeleza Pete ya Ndowa
    Siyo mbaya lakini MUNGU nimumoja anaye pana ujumbe wake kwa watu wake mbalimbali ilaomba Tena MUNGU atajibu

  • @edinakibani8725
    @edinakibani8725 ปีที่แล้ว +1

    Apo Dada ñmekuelewa kuhsu kijifunika kichwa

  • @simonrevelian7278
    @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว +2

    Matendo 4:30 "Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu." Mtu akiwa BADO gizani anakuwa huru mbali na Sheria ya Kristo, pale anapookoka ndo mahesabu ya UTAKATIFU na makatazo ya Mungu yanaazia, kama huyu petrida angekuwa alivamia ndoa ya mama mwingine akawa mke wa pili au wa tati Yesu angemtoa kwa mme wa mtu, ila kwa sababu ni mke pekee maandiko yanambeba, hivyo ni ndoa halali kabisa.

    • @bentesha
      @bentesha ปีที่แล้ว

      So maandiko yanasema mwanamke anaruhusiwa kuolewa tena akiachika, kama atakua mwanamke pekee kwa huyo mume?

    • @simonrevelian7278
      @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว

      @@bentesha mwanamke aliye nje ya wokovu hafungwi na Sheria za Kibiblia, maana Hana sehemu katika UTAKATIFU. Ila akiisha okoka ndo anafungwa na maandiko maadam mume aliyeachana naye Yu hai.

    • @bentesha
      @bentesha ปีที่แล้ว

      @@simonrevelian7278 Kwa hiyo akiwa nje ya wokovu akizini haesabiwi dhambi? Au akiiba haesabiwi dhambi? Sheria ni moja, inatoka kwa mmoja. Hakuna mtu ambae hafungwi na sheria

    • @simonrevelian7278
      @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว

      ELEWA KUWA KUNA AINA 3 ZA SHERIA ZA HUKUMU YA MUNGU KWA WANADAMU WOTE 1.SERIA YA UHURU, Yakobo 2:12 "Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru." 2.SHERIA YA MUSA Waebrania 10:28 "Mtu aliyeidharau sheria ya Musa hufa pasipo huruma, kwa neno la mashahidi wawili au watatu."
      3.SHERIA YA KRISTO YESU Galatia 6:2 "Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo." mtu asiyeokoka anafanya anachoona ni vema kwake kiwe kinyume ama kweli maana anakuwa huru,

    • @simonrevelian7278
      @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว

      Usinielewe kuwa nawaruhusu watu wasiiokoka walio ndani ya ndoa wazini, hapana, ila hata wakizini au kutenda dhambi yoyote hufanya sehemu ya matendo ya baba yao ibilisi,

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว

    Wewe ulikutana na shetani sio Yesu

  • @senorinamtei8202
    @senorinamtei8202 ปีที่แล้ว

    Huyo anayesema wasabato hatumkubali roho mtakatifu siyo msabato huo ni uongooo

  • @lilianmyinga4578
    @lilianmyinga4578 ปีที่แล้ว +1

    Whatsap ujumbe haujibiwi

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 ปีที่แล้ว

    Imeandikwa fedha ni mali ya Bwana pia imeandikwa dhahabu ni mali ya Bwana sasa hapo tusaidie mtumishi inakuwaje dhambi kuzivaa

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 ปีที่แล้ว

    Hekalu la mfalme Suleiman lilijengwa sehemu kubwa na dhahabu tena kwa maagizo kutoka kwa Mungu tusaidie hapo pia je mfalme Suleiman alikosea nini hapo msaada kwako tafadhali mtumishi

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Mungu alitupatia madini Kwa ajili ya kujengea ndiyo maana hata hekalu alilolijenga Suleiman ilitumika dhahabu kwa sehemu. Hata mji wa Yerusalemu mpya ni dhahabu safi. Kazi ya shetani siku zote ni kulibadili kusudi la Mungu.

  • @miriamriziki990
    @miriamriziki990 ปีที่แล้ว +1

    unasema ktk isaya 3:19, inasema pete ya masikio, V21 kwaile isaya, inasema pete gani hiyo?
    ukipata andiko ktk biblia lenyekusema kama mtu akifunga ndoa avec pete, itatusaidia tena tutatubu.
    ndoa ni takatifu, malaki 2:14-16, warumi 7:2-3, 1wakorintho 7:10-11,
    kila mtu duniani ni mtumishi wa MUNGU, zaburi 119:91, isaya 65:8, lakini si wote wataingia MBINGUNI, mfano, nabii mzee, mathayo 7:22-23, 4:10, 24:4-5,
    shauri Yako kwa watu wafuate maneno Yako kwa kupata uzima wa milele au neno la MUNGU, (biblia)?
    watu watahukumiwa kulingana na maandiko, yohana 12:48, warumi 2:16.

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว

    Naona leo umevaa pete mkono sahihi wa kushoto

  • @susanmoraa9289
    @susanmoraa9289 ปีที่แล้ว

    Mimi niko na salon na napenda mungu hiyo ndio napata riziki yangu nifanyeje

    • @simonrevelian7278
      @simonrevelian7278 ปีที่แล้ว +2

      Mathayo 10:37 "Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.". Mathayo 6:26 "Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?" Ukiamua kwelikweli kuokoka, mambo yote yaliyobeba machikizo inakulazimu kuyaacha, na Mungu anakufungulia MLANGO mwingine wa kazi isiyobeba machikizo.

    • @briandeflugel9055
      @briandeflugel9055 ปีที่แล้ว +2

      Badilisha biashara .... Kati ya Saloon na ufalme wa Mungu una thamini kipi.... Najua unajiuliza watoto watakula nini ... Je ? Huyu Mungu anaelisha ndege angani na wanyama wote... Je ata shindwa na wewe na familia yako..! Huyu Mungu unae dai unamwabudu, je unajua uwezo wake?.... Kuwa na Imani... Aliwalisha Wana wa Israeli jangwani

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Hiyo biashara ya salon unamtumikia shetani unawapeleka watu kuzimu

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน

      Tafuta kazi nyingine ila atakujibu huyu dad yupo vizuri ila hiyo ni mbaya kwa mlokole

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi nimekuelewa, ila Aston Mbaya alionyeshwa chumba Cha waliolewa mala ya pili yaana nilichanganyikiwa .maana najua mbinguni hakuna ñdoa, Sasa vip kuhusu ñdoa ambazo hazijafungwa makanisani? Waliolewa kyenyeji tu bila kwenda kanisani kunashida?

    • @heriturya940
      @heriturya940 ปีที่แล้ว

      Mtumishinilihitajimaombezi. Inawezekana

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

      Ndoa ni ndoa Mungu anaitambua ata kama mlifungishwa na nani like ni agano Mungu anaangalia agano haangalii ulifunga wapi

    • @bentesha
      @bentesha ปีที่แล้ว +2

      Unaongozwa na Adam Mbaya au na Neno la Mungu?

    • @viousa
      @viousa ปีที่แล้ว +1

      ndugu zangu kama hatutaongozwa na Roho Mtakatifu tumekwama Kwa sababu ni kweli maandiko hayaruhusu kuolewa/oa mara ya 2 lakini ikiwa hiyo ndoa ni Bwana aliunganisha. Lkn je kama ndoa Mungu hakuiunganisha ikavunjika je hupaswi oa au olewa Tena? Kwa sababu Kuna watu walienda Kwa waganga Ili kuteka ufahamu wa mtu waliemtamani na kufunga nae ndoa je iyo ndoa itakua imeunganishwa na Mungu au miungu ya mganga? Niwewai skia mchungaji mmoja alioa agent wa kuzimu yule ajenti alitumwa na kuzimu kuangusha mch na huduma yake. Je mch km uyo vipi

    • @bintmwambapa7734
      @bintmwambapa7734 ปีที่แล้ว

      @@bentesha naongozwa na neno la MUNGU,ambae Neno huyohuyo ndo alimpa maono Aston mbaya ili aje aliambie kabisa lake

  • @sarahkishaluli6087
    @sarahkishaluli6087 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu kristo asifiwe, ina maana mtumishi wa Mungu kwa msemo huo ina maana hatuhitajiki kusoma agano la kale? Kama ni hivyo mbona limeandikwa na limeunganishwa na agano jipya?
    Pia ktk maandiko yake Yeremia 31:36-37 kwamba agano lake halibadiliki/halivunjiki sana inakuwaje kwako wewe kwamba akuruhusu kuolewa mara ya pili na hapo hapo ukiolewa au kuoa tena huo ni uzinzi

    • @winnyrocha190
      @winnyrocha190 ปีที่แล้ว +1

      ndio maana maandiko yasema zijaribuni hizo roho mpate kujua kama kweli zatoka kwa kristo.... nimuhumu kuenda magoti kumuuliza bwana akufungulie ukweli

    • @wemamanikana9791
      @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว

      Mimi mwenyewe kaniacha njia panda kuhusu yeye kuolewa kwa mara ya pili. Heti yeye kafanywa kuwa bikra ndiomana kaolewa tena. Kwa mtindo huo wengi wataachika na kuolewa tena, kisha wataokoka na kujiita mabikira

    • @Kayla-jo9mq
      @Kayla-jo9mq ปีที่แล้ว +1

      Winny Rocha.Hautakiwi kwenda kwenye Magoti.yakazigani.Neno la Mungu niunabi Tosha. Na hizo Roho tuna zijaribu kupitiya Maandiko.
      Kila kilicho kinyume na NENO la Mungu.(Maandiko)Nicha shetani.yaani ni Uongo mtupu. Sio Mungu.

    • @fediliakweka1718
      @fediliakweka1718 ปีที่แล้ว +1

      Aliolewa mara ya pili kabla ya kuokoka ! Angekuwa ameshaokoka ndo tungehukumu!

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 ปีที่แล้ว

      @@fediliakweka1718 Umesikiliza kuanzia sehemu ya kwanza mpendwa?

  • @ktlm8787
    @ktlm8787 ปีที่แล้ว +1

    Wacha kudanganya watu akuna kitu chanamnaiyo wewe unazini biblia imeonya Bwana Yesu kaonya kuacha mtu na kuoa mwingine

    • @viousa
      @viousa ปีที่แล้ว

      ndugu zangu kama Roho Mtakatifu tutamuweka kando hakuna kitu Kwa sababu ni kweli maandiko hayaruhusu kuolewa/oa mara ya 2 lakini ikiwa hiyo ndoa ni Bwana aliunganisha je kama ndoa Mungu hakuiunganisha ikavunjika je hupaswi oa au olewa Tena? Kwa sababu Kuna watu walienda Kwa waganga Ili kuteka ufahamu wa mtu waliemtamani na kufunga nae ndoa je iyo ndoa itakua imeunganishwa na Mungu au miungu ya mganga? Niwewai skia mchungaji mmoja alioa agent wa kuzimu yule ajenti alitumwa na kuzimu kuangusha mch na huduma yake. Je mch km uyo vipi

  • @hermanemmanuel1953
    @hermanemmanuel1953 ปีที่แล้ว

    KUHUSU KUOLEWA MARA YA PILI NA MAJIBU YAKO ULIYOTOA BADO KABISA HUJAJIBU KIMAANDIKO
    KUHUSU KUACHANA NA MUME WAKO UBERGIJI NI KINYUME NA NENO LA MUNGU KWANI,
    MUNGU HAWEZI KUPINGANA NA NENO LAKE(ISAYA55:10-11).
    MUNGU ANACHUKIA KUACHANA (MALAKI 2:14-17 NA 1 KORINTO 7:39) KAMA
    NI MUNGU KWELI ANGEMUUA MUME WAKO WA KWANZA, KAMA ALIKUA ANAZUIA KUSUDI LA MUNGU KWAKO KAMA
    KWA ERI, ONANI NA TAMARI(MWANZO 38:6-11),
    LAKINI KTK NENO HILI KUTOKA , KWA MAANDIKO HAYA WEWE NI MZINZI,
    MUNGU HAWEZI KULIPINGA NENO LAKE ACHA KUDANGANYA KANISA, NA ROHO WA YESU HAWEZI KUTUJIBU
    NJE YA NENO LA MUNGU, WEWE NI NANI HATA MUNGU ALIKATAE NENO LAKE LAKINI PIA WAZINZI WENGINE
    KAMA WEWE WAMEKUFA WAPO KUZIMU, NA MUNGU WETU HANA UPENDELEO (MATENDO 10:34) NA WEWE SUBIRI KUZIMU TU NA
    HUO UZINZI WAKO UNAOUTETEA KWA JINA LA YESU)
    KWAHIYO NAKUSHAURI UTUBU DHAMBI YA UZINZI NA ULUDIANE NA MUME WA UJANA WAKO AU KAA BILA KUOLEWA
    (1 KORINTO 7:10-11, WARUMI 7:2-3 NA MALAKI 2:14-17)
    KWAKUWA MUNGU ANASEMA WAASHERATI NA WAZINZI ATAWAHUKUMIA ADHABU (WAEBRANIA 13:4),
    NA KWA NUKUU ZA MAANDIKO HAYA DHAMIRI YAKO IHUKUMIWE ILI UKUMBUKE TOBA,
    ILI USIKOSE MBINGU HALELULA AMINA.
    KUHUSU MAJIBU YA PETE YA NDOA
    1. NDOA ALIYOFUNGISHA MUNGU YA ADAM NIONYESHE WAPI ALIPOWAVIKA PETE YA NDOA?
    2. KUHUSU KUTONGOZWA AU KUTONGOZA HATA UKIWA NA PETE YA NDOA WATU WANATONGOZ NA KUTONGOZA
    PAMOJA ANAYO PETE YA NDOA NA WANAZINI TU NAKADHALIKA, KWAHIYO HIYO SIYO SABABU KUA PETE
    YA NDOA KUA NI ULINZI WA NDOA SAWASAWA NA MANENO YAKO.
    3.KUHUSU PIA RAFIKI YANGU MWALIMU MWAKASEGE KRISTOFA KUVAA PETE YA NDOA,
    HI SIYO SABABU KUA MUNGU KARUHUSU KUVAA, KWA SABABU HUU UFUNUO HANA WA MAPAMBO KWANI MKE
    WAKE ANAVAA CHENI, ANAVAA WIGI PIA IJAPOKUA KWELI KABISA NAKILI KTK JINA LA BWANA WETU
    YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA MWALIMU MWAKASEGE YESU KRISTO ANAMTUMIA KWA KIWANGO
    KIKUBWA SANA HATA MIMI KWAKE MENGI NAJIFUNZA BADO HATA LEO, LAKINI MWALIMU MWAKASEGE UFUNUO HUU WA MAPAMBO HANA ,
    NDOMANA MKEWE ANAVAA MAWIGI TUU HATA TIMU YA KUABUDU KADHALIKA, LAKINI PIA HUSHEREHEKEA CHRISMAS PIA.
    BINAFSI NAZIDI KUMWOMBEA MWALIM WANGU MWAKASEGE WA NENO LA MUNGU APATE UFUNUO HUU WA
    MAPAMBO ASIJE AKAKOSA MBINGU, KWAKUA KTK HUDUMA YAKE HAPO NDIPO NILIPOPOKEA WOKOVU NA BADO NAJIFUNZA KWAKE MENGI.
    LAKINI NAKUSHANGA WEWE UNAVOJITAHID KUTETEA HAYO WAKATI
    INJILI YA UAMSHO UNAYO MIMI NINAKUTILIA MASHAKA NA UTUMISHI WAKO HUU, NAKUPIMA KTK NENO
    LA MUNGU NAKUONA HAUTOSHI.
    KUHUSU UCHAMBUZI WA SIKUKU YA CHRISMASS.
    NI KWELI KRIMAS DEC 25 SIO SIKU YA KUZALIWA KWA YESU KRISTO WANAZARETI YA GALILAYA,
    LAKINI UCHAMBUZI WA NENO
    KUTOKA LUKA 1:26-33 SI SAWA KWANI MNAMO MWEZI WA 6 LINAVOSEMA NENO NI MWEZI WA 6 WA UJAUZITO
    WA ELIZABETHI NA SI MWEZI WA 6(JUNE), (LUKA 1:24-25,36), KWANI MTU ANAWEZA KUA NA MIMBA YA MIEZI 6
    KATIKA MWEZI WA JANUARI.
    LAKINI PIA KALENDA YA WAYAHUDI NI TOFAUTI
    NA KALENDA TUNAYOTUMIA MWEZI DECEMBA KWA WAYAHUDI NI MWEZI WA 10 HIVI.
    KWA UCHAMBUZI WA HUYU
    NDUGU SI SAWA.

    • @helenbahati8038
      @helenbahati8038 ปีที่แล้ว

      Hallelujah Hallelujah 🙏

    • @perufamily6941
      @perufamily6941 ปีที่แล้ว

      Kuhusu krismas ni hatari unamwabudu tamuz

  • @marywanjiru438
    @marywanjiru438 ปีที่แล้ว +1

    Not of God

  • @lukaerinest8004
    @lukaerinest8004 ปีที่แล้ว

    Kwenda gim kufanya mazoezi nikosa kwa mteule

    • @agnestunu5527
      @agnestunu5527 ปีที่แล้ว

      Si kosa ni afya

    • @lukaerinest8004
      @lukaerinest8004 ปีที่แล้ว

      @@agnestunu5527 naomba kuuliza kwa wanandoa staili Za kushiliki tendo la ndoa kwa mcha mungu ni moja tu,? Kulala chaleZingine ni Za mapepo inasemekana niza maprpo

    • @agnestunu5527
      @agnestunu5527 ปีที่แล้ว

      @@lukaerinest8004 mambo ya rohoni ni ya rohoni na ya mwilini ni ya mwilini kwaiyo ata Mungu anatambua ndoa bora tu iwe ni njia iliyokubaliwa na Mungu,soma 1Timotheo 4:1:5

  • @Kaizanziku-vs5mt
    @Kaizanziku-vs5mt 9 หลายเดือนก่อน

    Amina