MASIHI ISSA BIN MARYAM (YESU KRISTO) NDIYE NJIA YA KUELEKEA PEPONI (MBINGUNI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2018
  • 0714750521

ความคิดเห็น • 328

  • @skyartgraphics4047
    @skyartgraphics4047 2 ปีที่แล้ว +4

    Yesu ndiye njia, kweli na uzima; mtu haji kwa baba, ila kwa njia ya Yesu. Kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya maji; na kila ulimi ukiri ya kwawa YESU KRISTO ni Bwana

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 ปีที่แล้ว +6

    This guy is a revolutionist just like Issa bin Mariam. God bless you.

  • @nathanliberty1453
    @nathanliberty1453 5 ปีที่แล้ว +14

    Kweli hizi ni siku za MWISHO,Yesu anakuja kuchukua kanisa,injili haina budi kuhubiriwa kote duniani. Tiini neno ndugu waislam mpate kuokoka,Yesu anawapenda sana

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 4 ปีที่แล้ว

      Kafiri mwenzenu huyo

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu Kristo ndie njia, kweli na Uzima. Watu maamuma kama kina Rashid wamuwezi muelewa huyu mchungaji.

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@laurentraphael5470 naona huna unacho fuata kwa yesu alafu unasema yesu ndiye njia ya ukweli na uzima

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 3 หลายเดือนก่อน

      @@rashidjumamohamed3437 mm nilijua Quran haionyeshi yesu ni nani kumbe imeweka wazi kila ki2 ila amuoni !!

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakutakia maisha marefu kaka kwa kazi ya kuhubiri injili juu kwa watu wote.

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 ปีที่แล้ว +5

    Binafc nakuelewa sana nakuombea baraka kwa mwenyezi MUNGU

  • @halimahaji58
    @halimahaji58 5 ปีที่แล้ว +11

    Na nyie ndugu zangu ambao mnatukana nawasikitikia kwasababu hamjafanya uchunguz wowote bali mnasubiri mashekh...wawafanyie Kila kitu. Mungu atuongoze sote na atujaalie mwisho mwema

  • @fredrickmathias3517
    @fredrickmathias3517 5 ปีที่แล้ว +17

    Okoa roho ZA waislamu mzeee wape ukweri WA MUNGU

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 ปีที่แล้ว

      Siangejiokoa yeye kwanza akawa mkristo waislam wote wanamkubali yesu au nabii issa

  • @bettyandeso6559
    @bettyandeso6559 5 ปีที่แล้ว +8

    Amen...YESU ni njia ya ukweli na uzima wa milele.

  • @ernestthomas9689
    @ernestthomas9689 5 ปีที่แล้ว +14

    Hubiri neno la uzima mkuu..
    Kristo Yesu.. ndiye njia kwel na uzima..

  • @mwakasagulelinah5792
    @mwakasagulelinah5792 5 ปีที่แล้ว +6

    Nilikuwa nachukia sana mashehe wapokuwa wanapindisha ukweli. Lakini shehe HAMZA, yuko tofauti sana na waislaam wasiojitambua.

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Ukweli gani uliyo pindshwa uwo

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakufananisha na mtume paulo alivyokutana na YESU ubarikiwe sana hata kama unakosea baadhi ila roho mtakatifu ni mwalim atakufundisha

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 5 ปีที่แล้ว +9

    USTADHI UPO VIZURI

  • @shadrackmusyoka3350
    @shadrackmusyoka3350 5 ปีที่แล้ว +9

    hapa naona kwa kweli watu wengi n wa dini kwa kuwa bado hawajaelewa haswa waislamu kwa kuwa bado wanamwita kafiri kwa kuambiwa ukweli lakini Mwenyezi awafungue macho,fahamu zenu na pia maskio yenu ili upate chenye anachojaribu watu wajue, kwa kuwa ni ukweli mtupu na shetani hufumba watu wasisikie wala wasiufahamu ukweli watu wengi badala ya kuona wanasaidika na hayo maneno watapuuza na kumrushia Manteno machafu ambapo haitakusaidia ila utapotelea kwa iyo unasema dini yako.....

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว

    Kwakweli Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @susynjambi
    @susynjambi 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko na jukumu kubwa mbele yako nakuombea Mungu ashindi kukujalia nguvu na hekima unapowafikisia waislamu habari njema ya Yesu Kristu

  • @exaveryndelwa2309
    @exaveryndelwa2309 ปีที่แล้ว

    safe saana nabi Elyas nakupongeza kuwa hubiri ndugu zetu waislamu na wakiristo wapagani unamthibitisha kuwa ndiye njiani ya ukweli na uzima bila kumwamini Yesu na kutubu but dhammbi huwezi kum won a Mungu Kwa kuwa Yesu Kristo ndiye njia ya kweli

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi Mtumishi wa Mungu, Mungu akulinde 🙏

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 2 ปีที่แล้ว +2

    ameeen God bless you

  • @abelkidakule8818
    @abelkidakule8818 5 ปีที่แล้ว +3

    Uko sahihi kabisa hakika, Mwenyezi Mungu akujalie kheri

    • @mshindotv8475
      @mshindotv8475 5 ปีที่แล้ว

      Kafili tu huyo atumthamini anafaa kufyekwa

  • @willywilondja8275
    @willywilondja8275 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe na Mungu akujaliye neema, upewe ushindi.

  • @bettyandeso6559
    @bettyandeso6559 5 ปีที่แล้ว +10

    Wooiiiiii wagonjwa wanapona viwete watembea vipofu waona na mapepo yatoroka kwa jina la YESU KRISTO.Amen.

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 ปีที่แล้ว

      NYIE TOENI MAPEPO KWA JINA LA YESU SIKU YA MWISHO ATAWARUKA FUTI 100 ANDIKO HILO👇
      22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
      Mathayo 7 :22
      23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
      Mathayo 7 :23

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 5 ปีที่แล้ว

      @@banjatvofficial186 hao ni wale wanao toa mapepo lakini matendo yao ni machafu

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 ปีที่แล้ว

      @@harrisonsamwel3112 andiko alijasema hivyo

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 5 ปีที่แล้ว +1

      @@banjatvofficial186 limesema sema hivyo nimegundua ninyi hamjui mnachokisoma mnasikiliza mashekh ambao nao hawana elimu ya kutosha biblia haisomwi kama unavyotaka wewe biblia inasomwa kwa upana wake mfano huwezi soma neno moja ukaelewa inatakiwa usome fungu lote mfano umetoa mfano neno hili lakini anzia matayo 7 mtsari wa 21 inasema sio kila aniambiae bwana bwana atakae ingia ufalme wa mbinguni bali ni yeye afanyaye mapenzi ya baba akiwa anamaanisha kuna wanao itajina lake lakini hawatendi mapenzi ya mungu elewa hilo na pia ukisoma mstari wa 22 inasema kwamba watasema tunetoa mapepo kwa jina lako alafu usiishie mstaru wa 22 tu nenda na wa 23 umalizie kusoma anasema ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu ukilinganisha na ule mstaru wa 21 inamaana kwamba wale wote ambao hawatendi mapenz ya mungu hata kama watatoa pepo kwa jina lake bado ni waovu na niwaovu kwa sababu gani kwa sababu matendo yao ni kinyume na mungu anavyofanya hata katika uislamu kuna wengine ni mashekh lakini ni mashoga hyo haimaanish waislamu wote ni mashoga japo wanaliita jina lana la allah

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 4 ปีที่แล้ว

      @@harrisonsamwel3112 Hahahaaaaaaa mtihani mkubwa sana unajua ukiisoma quran watu kama nyinyi wala hamtushangazi mwenyezi mungu kishawazungumzia. Ila anasema na siku kafiri atatamani kurudi kuwa mtt mchanga.

  • @ammonyalistides6638
    @ammonyalistides6638 5 ปีที่แล้ว +11

    YESU KRISTO AKUBARIKI KWA KUMKIRI KUWA YEYE NDO UFUFUO NA UZIMA

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kuelewa kweli na uilinde maisha yako kwa wafuasi wa jihad

  • @difakilossa5525
    @difakilossa5525 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik sana

  • @cupcakesanddounuts6555
    @cupcakesanddounuts6555 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ameweka moto kinywani mwake wala haogopi mabaya yoyote praise God ✌️

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo Tanzania ni nchi ya amani angekua nchi zengine mbona kitambo

  • @davidkaingu6946
    @davidkaingu6946 5 ปีที่แล้ว +1

    Yesu christo ndiye njia iliyonyooka ....au sio

  • @saidirajabu5182
    @saidirajabu5182 5 ปีที่แล้ว +3

    Usikate tamaa polepole wataelewa tu

  • @halimahaji58
    @halimahaji58 5 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah!!! Endelea kufanya kazi Ya mungu Ust.. Na mungu akulinde sana tuko nyuma yako

    • @abuumaryam1922
      @abuumaryam1922 5 ปีที่แล้ว

      Huyu hafanyi Kaz ya mungu huyu anfanya Kaz ya shetan uhalisia ukweli nkwamba sio muislam haujui uislaam nimpotoshaji

    • @martinibrahim8966
      @martinibrahim8966 5 ปีที่แล้ว

      @@abuumaryam1922 wew unaujua tuambie ukweli tuwe waislam

    • @jacksonjosephkungunde6337
      @jacksonjosephkungunde6337 ปีที่แล้ว

      @@abuumaryam1922 Hebu tuambie hicho kitabu anachosoma ni Kitabu chake mwenyewe?, au ni Quran?? 🤔

  • @divamrembo8788
    @divamrembo8788 5 ปีที่แล้ว +8

    Waislamu acheni kujitoa akili...... ukimsikiliza kwa makini huyu kuna vitu anaongea ni kweli. Pamoja mimi nilikalilishwa tangu utoto ila sasa nina akili timamu ya uwelewa nimemuelewa vzr sana na nitamtafuta inshaallah

    • @loverasta5765
      @loverasta5765 5 ปีที่แล้ว

      karibu ....tuko wengi tuonane na yeye live /live..

    • @adinanyusuph8124
      @adinanyusuph8124 5 ปีที่แล้ว

      hamia huko kwa wenzako ndio ndio uhubiri hayo unayohubiri sio ujidai muislam halafu unahubiri upande wa wenzako.play your party

    • @venancegaspatv1961
      @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว

      QURAN 19:34-Huyo ndio Isa Mwana wa Maryam,Ndiyo kauli ya Haki ambayo wanaifanyia shaka,YOHANA 16:6 Mimi ni njia na uzima,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Menye kuelewa kaelewa.

    • @pulanaabdulkarim5527
      @pulanaabdulkarim5527 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kafiri mariuuni unadanganya unabadilirisha mane no ya mungu Kama Mayahudi kwa ajiri ya tumbo Ila ujue Kama unakula moto ndoo unajaza katika tumbo lako

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@venancegaspatv1961 kipi alikifanya yesu nawe unamfuata kama si mnafik.wew

  • @daudiphilipo5951
    @daudiphilipo5951 4 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki sana mtumishi endelea kuwapa ukweli iko cku watakuelewa tu

  • @Mhandisi2008
    @Mhandisi2008 4 ปีที่แล้ว +1

    Waislam mpokeeni YESU acheni ubishi mnaenda motoni

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Tungekuja ila bahati mbaya hakuna dini inayo itwa ukristo biblia nzima kwa iyo pole sana mana hatuwezi kuja wakati wewe mwenyewe huna dini mpaka leo

  • @stephanojohn1156
    @stephanojohn1156 2 ปีที่แล้ว

    Amen,m/mungu akutie nguvu katika kazi hii kubwa unayoifanya

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu nabii kainuliwa kuwahubiri waislam wenye mioyo migumu walioshika dini badala ya imani.

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna babii atakae kuja mwengine badala muhamad

  • @paskalihauleministries-int9997
    @paskalihauleministries-int9997 5 ปีที่แล้ว

    Acha kuzuia watu wasimjue Kristo wa Kweli.Huwezi mfananisha Yesu na issa bunmariam

  • @emmanuelbanda9964
    @emmanuelbanda9964 ปีที่แล้ว

    Good bless him msema ukweli kila siku anapingwa tu

  • @cosmaspius4863
    @cosmaspius4863 5 ปีที่แล้ว +1

    Timiza wajibu wako mpendwa najua una deal na mindset sio rahis but inawezekana kwakuwa n kaz ya mungu sema ukweli wakuskia askie.

  • @jacksonjosephkungunde6337
    @jacksonjosephkungunde6337 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri hongera sana ndugu kwa kujulisha watu ukweli, ila ushauri wangu kwako ni kwamba mpiga picha wako hamna kitu kabisa, tafuta mpiga picha mzuri professional.

  • @nekaagripa3993
    @nekaagripa3993 5 ปีที่แล้ว +2

    taratiiiiibu tutaelewana

  • @christinahzi8202
    @christinahzi8202 2 ปีที่แล้ว

    Nabii unasema ukweli mtupu may God protect you in Jesus name 🙏

  • @christinahzi8202
    @christinahzi8202 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to Jesus christ 🙏

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 ปีที่แล้ว

    Nabii Eliya ndio Muislamu wa kweli na anavijua Vitabu vyote vya Dini

  • @oscarharagakiza3922
    @oscarharagakiza3922 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wa innalillah rajiuni .wemwendawazimu tu

  • @mwitaadam5097
    @mwitaadam5097 5 ปีที่แล้ว +5

    Mnao mpinga huyu (muslims) maana huyu anawaambia ukweli mnamuona kafir Neema ya Mungu iwajilie mpate kuijua KWELI

    • @mshindotv8475
      @mshindotv8475 5 ปีที่แล้ว +2

      Acha kelele sio mwenzetu huyo ni wenu kafili mwenzenu

    • @zabronleonard2099
      @zabronleonard2099 5 ปีที่แล้ว

      @@mshindotv8475 we msenge nan kafili

    • @user-fk9pt7ww9c
      @user-fk9pt7ww9c 4 ปีที่แล้ว

      Zabron Leonard kwa mujibu wa Qur'an wakristo ni makafiri ..coz Qur'an inasema kwa hakika wamekufuru wale wanaosema mwenyezi mungu kajifanyia mtoto.😎😎

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyu sio muislam

  • @anthonymrimi2715
    @anthonymrimi2715 5 ปีที่แล้ว +9

    Kilagoti litapigwa kwake yesu kristo

    • @khairulabdi8231
      @khairulabdi8231 5 ปีที่แล้ว

      Goti LA Yesu Lenyewe lazima li pigwe

  • @damiangabliel9850
    @damiangabliel9850 5 ปีที่แล้ว +2

    sheih ukopoa we follow you

  • @damasmayanja9826
    @damasmayanja9826 5 ปีที่แล้ว +2

    Haleluyaaaa

  • @Omrankasiga
    @Omrankasiga 5 ปีที่แล้ว

    Mwandawazima na weli pammoja na wale wanamsikiza. Issa hakusali hata Siku mmoja Kanisani. Hakuna hata sehemu Moja ndani y Quran imemwagika damu y yesu

  • @abdisalat1579
    @abdisalat1579 9 หลายเดือนก่อน

    Don't gain the world and loose your soul wisdom is better than gold and silver

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 5 ปีที่แล้ว +3

    Raana za mwenyezi mungu ziwe juu lako

  • @annadaudi3114
    @annadaudi3114 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mungu azidi kukutumia

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 ปีที่แล้ว

    Uzur wa waislamu hawapelekeshwi na watu kama hawa, waislamu wanajua kusoma kitabu chao vzur, hivyo fuata njia yako nasisi tuna njia yetu, wewe sio ktk sisi wala sisi sio ktk wewe, Allah atakuhukumu kwa mujibu wa alivyo kupangia.

  • @paulndegwa9452
    @paulndegwa9452 5 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli huuma

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @agrikolaleo677
    @agrikolaleo677 5 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU AKULINDE KWAKUUSEMA UKWELI.

    • @shadrackmcrayah3938
      @shadrackmcrayah3938 5 ปีที่แล้ว

      agrikola leo Ukweli unaua na UKWELI ulimfikisha yesu msalabani. Tazama akafufuka na sasa anayo hiyo kweli nayo kweli ndiye yeye. Ni nuru ya ulimwengu. Yeyote anayemkiri kristo ataipata kweli na kuiona nuru

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣😂😂ety msema kweli hatar hii

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina sana

  • @thxzbst49cnh80
    @thxzbst49cnh80 5 ปีที่แล้ว

    Amen,Mungu akubariki sana

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 9 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli amza ww ni kiongozi bora nimekuamini leo bila yesu ufiki mbinguni waambie waislam yesu ndo njia

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

    Dah bangi siku zote haimuwachi mtu salama

  • @meridaavahu6128
    @meridaavahu6128 5 ปีที่แล้ว +1

    umesema kweli mungu akubariki

  • @armindodamiao8729
    @armindodamiao8729 4 ปีที่แล้ว

    Okowa roho chehe.....maputo Mozambique

  • @ahmedpapaa1037
    @ahmedpapaa1037 4 ปีที่แล้ว

    Pole sna unatafuta moto kwa ngufu

  • @daudisimwinga1324
    @daudisimwinga1324 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu mambo ni motooooooooooo

  • @seifhamed5859
    @seifhamed5859 4 ปีที่แล้ว +1

    Laana tullah

  • @hamispeter388
    @hamispeter388 5 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri

  • @alfazabron8645
    @alfazabron8645 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwakukili kua yesu nimwanawa Mngu , na ndienjia yakweli , nayakwamba bilayeye huwezi kuuona ufarume w Mungu, hakika wewe umefanyika kua nduguyetu ,, nasasa naanzakuuona ujio wa babayetu Yesu kristo ,maana ujumbe huu nikwaajili ya wale wasioamini iliwaamini apatekuludi , nawaspoamini akiludi hukumuyao isiwelawama kwawote kwamba walidanganywa na mashehe , sasa kaja mwenzenu na kuwafundisha kupitia qruhni yenu wenyewe .

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 ปีที่แล้ว

    Tumemkubali Mohammed rasoolallah!

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว

    Nisha kuchoka zamani rafiki yangu bye

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 5 ปีที่แล้ว

    Twanga, twanga, twanga twendeeeee

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 ปีที่แล้ว +1

    Jameni huyu bwana apimwe akili.Tena haraka sana. Takbir!

    • @emmanuelbanda9964
      @emmanuelbanda9964 ปีที่แล้ว

      Takbir ndo nn ww kenge au ww ukapimwe hakiri

  • @SalumOthman-qr3lc
    @SalumOthman-qr3lc หลายเดือนก่อน

    Huyu mwache aruke apae ila tunajua kua huyu sio muislam mana kanuni zote za uislam kazivuka na hakuna anaekubali kwa maneno anayosema

  • @sotesisi4067
    @sotesisi4067 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu angekua mombasa ningempiga jiwe la kichwa nikamvunja mdomo wake.
    Maisha yake anzingeweza kusema tena.angekua bubu maishani mwake.

  • @mercydorcas2180
    @mercydorcas2180 5 ปีที่แล้ว +1

    sasa wewe ni shekh wa ukweli

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 9 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢

  • @leonardsr8994
    @leonardsr8994 5 ปีที่แล้ว +2

    Kila ulimi utamkili

  • @yassindeffu88
    @yassindeffu88 5 ปีที่แล้ว

    hutaweza kuwaondoa waislam wakweli kwenye njia yahaki we endelea kuwapotosha wakristo

  • @khairulabdi8231
    @khairulabdi8231 5 ปีที่แล้ว

    ALLAH Anakwambia Hatukumuua wala Hatukumsulubu we Kafiri Hamza Unasem Yesu Alikufana Kufufuk INA Maana we Unajua Zaidi Kuliko ALLAH au???

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 4 ปีที่แล้ว

      Khairul Abdi Allha ni kafiri wewe una soma vitabu vyenu kweli.

  • @loudcrytv8949
    @loudcrytv8949 5 ปีที่แล้ว +4

    Piga kazi wataelewa tu polepole!

    • @elizamsisizio4502
      @elizamsisizio4502 5 ปีที่แล้ว

      Wanajua sana ila shetani naye yuko kazini amewafunga akili na wanayemwamini hakuwahi ishi maisha ya utakatifu hata siku moja zaidi sana alioa katoto kadogo jambo ambalo hata asiyemjua Mungu hawezi Fanya

    • @halimahaji58
      @halimahaji58 5 ปีที่แล้ว

      Nikweli

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@elizamsisizio4502 mi naona nyini ndo mumefugwa akili

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka watakuchukia ila ndo ukweli

  • @davidmkude1196
    @davidmkude1196 5 ปีที่แล้ว +1

    Hamza uko poa sana

  • @alfazabron8645
    @alfazabron8645 4 ปีที่แล้ว

    Natamani sikumoja mujue kua Yesu ninjia yakweli kama qoran inavyosema , nasikuhiyo natamani kuona mkilia machozi kwauchungu hukumkimita Yesu awapeneema yakweli ,, najua iposiku yatatimia ..

  • @saidhassan2216
    @saidhassan2216 5 ปีที่แล้ว

    Allah akunusuru maana huwezi wazidi elimu kina mazinge, kinyogori, Dr sule, n.k hao tuu wangesha sema kua ukristo ndio dini

    • @gilloshaban2880
      @gilloshaban2880 5 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa shida wapi isa masih ni mtume wa Mungu tu wala cyo mungu wacristo nyie mnaamini yesu ni mungu
      Sasa shida wapi sis waislam tunamuamini kama mtume

    • @briansancedo9336
      @briansancedo9336 3 ปีที่แล้ว

      Wakina mazinge wapotoshaji huyu mtu ni kweli anaongea ukweli, Kama mnapenda Uongo endeleeni kupotea

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 ปีที่แล้ว

      Kama unamfuata mazinge shekhe mwaipopo pole sana jehannam inakungoja hawo niwanafiki kama wanafiki wengine

  • @damiangabliel9850
    @damiangabliel9850 5 ปีที่แล้ว

    safi

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @zaydatharunaverybeutifulma1730
    @zaydatharunaverybeutifulma1730 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni wa kupuuzwa tu kwa wanaojua kwan ipo siku atakuja vuna anachokipanda so achen atafte ugali wa hapa dunian kesho akhera atakipata

    • @shadrackmcrayah3938
      @shadrackmcrayah3938 5 ปีที่แล้ว

      Zaydat Haruna very beutiful masha'allah Tatizo unakaririshwa. Tafuteni UKWELI Huu ukafunikwe Kwa damu yake mwanakondoo ikapate kutenda maajabu siyo rahisi kuamini ila one day ipo siku moja utakiri hata mautini

    • @neymermponde7810
      @neymermponde7810 5 ปีที่แล้ว

      Nabii isa ni yesu

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 4 ปีที่แล้ว

      @@neymermponde7810 mdomo Mali yako

  • @sarifimikidad3994
    @sarifimikidad3994 4 ปีที่แล้ว

    Nabii wawagalatia

  • @mzazilyimolyimo5465
    @mzazilyimolyimo5465 5 ปีที่แล้ว

    Bado kidogo tu huyo kafiri ambaye mnayemfata atajita mungu nawapumbavu watamfata kwa upumbavu wao

  • @kibelaabe2647
    @kibelaabe2647 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unaongea ukwel nandomaan wahengawana Seema ukwel una uma

  • @boraafter
    @boraafter 4 ปีที่แล้ว

    Kwanza nenda ukasome

  • @cupcakesanddounuts6555
    @cupcakesanddounuts6555 5 ปีที่แล้ว +2

    So Muhammad preached the gospel of Kingdom wow 😲But how do Muslims hide this for years????

    • @banjatvofficial186
      @banjatvofficial186 5 ปีที่แล้ว

      Mtume wetu Muhammad aliletwa kwa ajili yenu mnaosema yesu ni mungu na Quran ndio kitabu pekee ambacho hakina shaka wala hakijatiwa mikono na mafarisayo waandishi
      NA Quran inamzungumzia Yesu karibia nusu yake kwakua watu kama nyinyi musipotee
      Ni kweli nabii Muhammad iliiubiri injili na utabiri wa nabii issa au yesu huu hapa 👇
      12 Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.
      Yohana 16 :12
      13 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
      Yohana 16 :13
      14 Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.
      Yohana 16 :14
      15 Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari.
      Yohana 16 :15
      Ushahidi kua Muhammad kapewa Quran pia upo ndani ya bibilia
      12 kisha chuo hiki apewa mtu asiye na maarifa, akaambiwa, Kisome hicho tafadhali, akasema, Sina maarifa mimi.
      Isaya 29 :12
      Quran 96- 1Al Alaq
      (96:1) Recite1 in the name of your Lord2Who created,3
      1. As we have explained in the Introduction, when the Angel said to the Prophet (peace be upon him): Read, the latter replied: I cannot read! This indicates that the Angel had presented these words of the revelation before him in the written form and had asked him to read them. For if the Angel had meant that he should repeat what he recited, he should not have replied, saying: I cannot read!
      NDIO MAANA KUNA HABARI NYINGI AS NABII ISSA KATIKA QURAN ILIMSIPOTEE MUHAMMAD KAJA KUWAOKOENI KWA KUSEMA YESU NI MUNGU MARA YESU NI MTOTO WA MUNGU SASA SIJUI TUSHIKE VIPI WAKATI YESU NI MTUME TU NA NABII WA ALLAH

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 5 ปีที่แล้ว

      @@banjatvofficial186 kwaiyo ww unakubali bila yesu ufiki mbinguni au sinakuelewa au ww yesu kwako ni kama nani?jee upo tayali nikupe aya ya yesu ni mwana wa mungu au mungu upo upo tayali?na nataka kujua yesu unamuamini kama nani nabii wa kawaida au zaidi ya nabii?

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 4 ปีที่แล้ว

      Stand up Kenya Muhammad Ali rongwa

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

      @@saitotisapiyo7167 kwa iyo hadisi yako inafunza nni

  • @khairulabdi8231
    @khairulabdi8231 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti Yesu Alikufa Na Kufufuka We Na ALLAH Nan Mjuzi Zaidi

  • @AishaAli-lk7gh
    @AishaAli-lk7gh 5 ปีที่แล้ว +6

    sisi watu wa Allah na Issa ibn Mariam ni mtume wetu kwa waislamu wote wanaojua Quran so continue shouting iblis amekutawala

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 ปีที่แล้ว

      Aisha Swadakta wewe unajitambua mashaaAllah ningepata mke kama wewe 👏👏👏 Allah anijaalie nimpate kama Aisha anaijua dini yake

    • @venancegaspatv1961
      @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว

      QURAN 19:34-Huyo ndio Isa Mwana wa Maryam,Ndiyo kauli ya Haki ambayo wanaifanyia shaka,YOHANA 16:6 Mimi ni njia na uzima,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Menye kuelewa kaelewa.

  • @asiaimamu3435
    @asiaimamu3435 5 ปีที่แล้ว

    Hamza tukadhabu, Innalillah waina ilayhi raajiun, laana tullah aleyh marhuun mkubwa unapotosha umma

    • @jumamtira4463
      @jumamtira4463 5 ปีที่แล้ว

      Wew shahada yako !! Umeitoa wap!!! Na wew Pepo hyo yako acha kudanganya ww na mtume nani anajua !!! Dini

    • @jumamtira4463
      @jumamtira4463 5 ปีที่แล้ว

      Njaaa mbaya hamza !!! Usidangany watu na aya zako 2 na Hadith mbili !! Inamaana ww Ndo umesoma kuliko waislam wote !!! Ushapewa pesa unalopokwa kumbuka umaut

    • @doricefrancis3117
      @doricefrancis3117 3 ปีที่แล้ว

      Hekima inapatikana katika vitabu vya Mungu. Soma acha ubishi usiyo na maana. SOMA

  • @ramsamsasali4826
    @ramsamsasali4826 5 ปีที่แล้ว

    Waislam muogopeni huyu shetani tena ananjaa ya kumwaga damu ya waislam, anatangaza uvunjifu wa amani, anataka kafara ya rusifa huyu ni mfuasi wa Roma mass, muogopeni sana, nakujibu dola ya kiislam ipo katika zama hizi ni IRANI tena tunajua vizuri tena lmamu nakuja kwa kasi,

    • @ramsamsasali4826
      @ramsamsasali4826 5 ปีที่แล้ว

      Mjinga mushiriki unafundisha ujinga kwa wajinga wenzako

  • @bobsuleh9365
    @bobsuleh9365 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu panga inamhusu

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 5 ปีที่แล้ว +1

    Ewe nafsi rejea kw mola wko ukiwa radhi na uridhie utakayo lipwa.

  • @victorkingi6403
    @victorkingi6403 5 ปีที่แล้ว

    gyud

  • @abdilahimriri8984
    @abdilahimriri8984 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mkiesema hivyo wakati ulaya na Marekani yote wanaukimbia ukristo na kwenda kwenye uislamu?

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว

    ZIDI KUTUMIKA KATIKA KWELI YA MUNGU ... sasa MTUMISHI WEWE UMEBATIZWA KWELI