HAMZA ISSA NO 2 MIHOJA MIZITO ILIYOMUANGAMIZA NABII FEKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2017

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +14

    Jaman Masheikh wetu nawaonea huruma kwa kazi nzito hii mnayopambana nayo

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/KVBAAe3p0NY/w-d-xo.html
      👆 *TUPATE MAZINGATIO KATIKA KISA CHA NABII YUSSUF (AS)*
      _USISAHAU ku share subscribe na ku like_

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว +4

    Awa waislam wanamrazimisha hamza awatetee wao epu muacheni uyo anamjua mungu na yupo kiroo zaidi yesu aendelee kukutia nguvu ameni

    • @Junior-rl2hj
      @Junior-rl2hj 3 ปีที่แล้ว

      Wee roida kafiri ondoka umundani we kaa ukokanisani apa hapakuhusu

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 ปีที่แล้ว

      @@Junior-rl2hj shida yenu mnajiona mko safi mno na hy dini ya mwanadam aliye zikwa pale maka na hakuna wa wajinga na makafiri km waislam hk mtaan

    • @AbdulkarimuSuwedi-un8xq
      @AbdulkarimuSuwedi-un8xq 9 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga,jitambue

  • @clynarsugar3730
    @clynarsugar3730 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendele kukuongoza sheikh hamza Imani yetu ipo pamoja nawe ishalah

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Huna kazi nawewe

  • @kristinaojambo3611
    @kristinaojambo3611 2 ปีที่แล้ว +3

    Allihamdullilah Allah aliye tuteremsha Qur'an Kwa mjawake (muhamad sww) ingelikuwa hatukupata Qur'an watu kama hawa wangetupoteza na generation yetu

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 ปีที่แล้ว +3

    Subkhanallah Dunia ya mwisho kwa kweli Allah atupe mwisho mwema duh Nabi tena Kaja ?

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +8

    Nahisi kupoteza fahamu. Machozi yamebubujika kama yalivyobubujika alipofariki baba yangu. Subhannallah

  • @ngupalirashidi4104
    @ngupalirashidi4104 6 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah ewe Allah mnusuru hamza na utujaalie waislam tuwe na hofu zaidi, ya Allah tuongoze kwenye jambo jema

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya majamaa yanahoji Kama yale yaliyo muuliza yesu yana sema . Hebu tufanyie kamuujiza kidogo ilituamini kuwa ww Ni mwana wa mungu

    • @amoury1481
      @amoury1481 2 ปีที่แล้ว

      Mm Naona Hao Walokuwa Wanataka Miujiza Kutoka Kwa Yesu Ili Wamuamini walikuwa Sahihi,Kwa Sababu Hata Mm Mwenyewe Naweza Jiita Mtume sasa Ili Niwathibitishie Watu Kuwa Mm Ni mtume Wa Kwel Ni Lazima Nioneshe kitu cha Kitofauti

  • @sheillar07
    @sheillar07 6 ปีที่แล้ว +7

    The Holy Prophet of Islam (pbuh) prophesised that "there will arise 30 imposters in my nation and each one of them will pronounce that he is a prophet, but I am the last in the line of the Prophets and no Messenger will follow me."

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 5 ปีที่แล้ว +7

    Amen Amen Amen,,,,mungu anatuma ujumbe kwanza ....wape mwanga

    • @emmanuellikaare1661
      @emmanuellikaare1661 4 ปีที่แล้ว

      Hi

    • @muyugalimbu3728
      @muyugalimbu3728 4 ปีที่แล้ว

      Ww umepata mwang gan

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 4 ปีที่แล้ว +2

      @@muyugalimbu3728 unajua siku zote hupotezwa hawa kwa ujinga wa akili na ufinyu wa elimu ~ mtu kuzua chochote na kupata wafuasi ambao ni wajinga ndo hawa brother .. so usishangae and PIA ni wakiristo hawa but wamefeli

    • @abdullahsalim6508
      @abdullahsalim6508 4 ปีที่แล้ว

      yaani kukaa na kumsikiliza huyu kiumbe inataka moyo ukweli mi ningekuwa mbele wa usowake nisingemudu kuyavumilia haya kuyaona

  • @fatumahamisi7064
    @fatumahamisi7064 3 ปีที่แล้ว +2

    Subaha nna llah .Allah amunusuru uyo hamza arudi ktk kheri ( anatia kichefchef

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 ปีที่แล้ว +1

    Madina ndiyo mji uliyo salama na makkah ALLAH anajuwa ya zaidi

  • @ttec9431
    @ttec9431 5 ปีที่แล้ว +7

    Allah akuongoe na akuepushe na Moto maana umelaaniwa kweli kweli wewe Khabith mmoja .... Hatuna nabii vitabu vipo wazi usipotoshe waislam ....

  • @kwezitwaha9399
    @kwezitwaha9399 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyo ni mwendawazim tena wazim wake ni wabange sio kingine naomba mwenyezi mungu atunusuru juu yahili

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi manabiiii wamekwisha kufa huyu katoka wapi wasio ogopa mungu tanzania mambo mengi mnatuletea allahu aqbaru

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ni Mlaanifu! Allah amshinde! Anajua kabisa kuwa UTUME na UNABII uliishia kwa Muhammad (S.A.W.).

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 7 ปีที่แล้ว +5

    HUYU HUYU ALIHUBIRI KANISANI AKASEMA HUU NI WAKATI WA INJILI SIO WA QURAN, KISHA AKAWAOMBA MSAMAHA WAISLAM KUWA ALIKOSEA, LEO ANAKUWA NABII ILYASA. MHHH FEKI

    • @zainaburajabu2863
      @zainaburajabu2863 5 ปีที่แล้ว

      Innalillah wainna ilayhhi raajiuun. hataa Allah hawezi kua na nabii anaefanana na Tito wa dodoma mtume ndo wa mwisho.kwetu hatujakusoma popote hamza kadhab ucwachokoze waislam km umetumwa jua mungu wetu hatowaacha nyie c tnamsubir nabii issah laanatullah we we.

  • @matukioyasikuzamwisho7653
    @matukioyasikuzamwisho7653 4 ปีที่แล้ว +4

    hamza anajua kujenga hoja
    sema mashehe wanalazimisha tu

    • @mrlyrics8512
      @mrlyrics8512 3 ปีที่แล้ว +2

      we huna akili

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Nawewe utakua km hamza hoja gani anazozijenga upumbavu mtupu

  • @hancvonpop4598
    @hancvonpop4598 7 หลายเดือนก่อน

    Cpat picha haya anayoropoka akiyaropokea msikitin alaf siku ya ijumaa nahis had leo hii msalaba wake kaburin ungekuwa umepata kutu.... Hongeren mashekh zetu kwa kuwa na subra zid ya huyu mwenye njaa

    • @iva-ox2qn
      @iva-ox2qn 6 หลายเดือนก่อน

      Siyo rahisi kuhubiria watu walionenewa mashetani kwenye masikio yao toka siku waliozaliwa na wapate kukuelewa , watakuuwa tu.

  • @derickomoghela9948
    @derickomoghela9948 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Mungu ni mwema sana kwetu, Wafundisge hao Issa, wakisikia mshukuru Mungu, wakikaidi, nawa mikono ushukuru.

  • @djumamariam1810
    @djumamariam1810 3 ปีที่แล้ว +9

    Tujiandaeni na qiama zote dalili zipo wazi. ALLAHU atujalie mwisho mwema

    • @salmahanai3601
      @salmahanai3601 2 ปีที่แล้ว

      Miongoni mwa dalili.za kiama

  • @ramadhaniadamu5993
    @ramadhaniadamu5993 6 ปีที่แล้ว +5

    subhana llah...hata Quran kusoma shidddah...hii ngoma yafaa kudundwa!!!...

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 3 ปีที่แล้ว

      nikweli hata Qur an shida

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 ปีที่แล้ว

      Sio muislam mfatilie vizuri utaona video zake akihubiri anataka kutumia Qur'an ili kuchanganya watu tena waislam wasio jielewa

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว

      Wote ni kulatwa vichwa

  • @wesakawesaka4549
    @wesakawesaka4549 5 หลายเดือนก่อน

    Ww n nabii wa kwel wa mungu tatizo hapo hao unaoongea nao wanajua kitabu kimoja na hadithi zake ila wakifatilia na history huyu jamaa ni sahihi sana mungu amulinde sana

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii Eliasa kula maini ndani ya Yesu. Waache wababaike.

  • @thoraiyahassiem4721
    @thoraiyahassiem4721 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashekhe wangu mcpoteze muda kwa mshenzi huyo mwisho wadunia umekaribia

  • @rosemarysaidd9597
    @rosemarysaidd9597 6 ปีที่แล้ว +4

    HV waislam huko mskitini huwa mnafundishwa kejeli na matusi au? Nmefuatilia video nyingi za Kikristo comments nyingi mnatukana tu. Huyu nae ni mwislamu mwenzenu kawaambia mambo yanayowachoma mnamrushia matusi ya kila aina. Jitafakalini acheni kijifunza neno la Mungu kimwili na acheni kukalili, japo in ngumu kuamini anachosema ila ni dhambi kutukana.

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anakuona....muogope mungu...inshaalla mungu atakulipa

  • @huuasf710
    @huuasf710 6 ปีที่แล้ว +12

    Ya Allah tunusuru waja wako tunafika pabaya

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 ปีที่แล้ว +9

    UST Hamza upo sahihi kabisa huna makosa

    • @geoffreyembasa8483
      @geoffreyembasa8483 4 ปีที่แล้ว

      Anaeleweka!!!

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Makafiri watkubali walikubali hata injili Mpya ya mzungu kafiri wamempnga na kumkodoa mmungu mwenye kitabu na kubadilisha mandolin na kufata madili ya mzungu injili taira tu zaburi vyote ni vitabu vya mmungu kile ya kwa ma na bee wa kweli sio hao makafiri kila siku mana bee wa uongo wanatakrija

    • @AbdulkarimuSuwedi-un8xq
      @AbdulkarimuSuwedi-un8xq 9 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga,jitambue

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 ปีที่แล้ว

    Laanatu llahi aleik Mungu akufishe Kwa Hali hio hio kama unamfanyia istihzaai mwenyezimngu...

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 ปีที่แล้ว

    Nabii mwongo kweli, waislamu tubuni mje kwa kristo

  • @shwaibuathumani5656
    @shwaibuathumani5656 5 ปีที่แล้ว +25

    Kweliiii nmeamini yalee yote mtume aliyetabiri yametimiah watajitokezaa Manabii wa uwongoo

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION 5 ปีที่แล้ว

      Who is fake prophet?

    • @alexambrose4722
      @alexambrose4722 4 ปีที่แล้ว

      Lete aya ambayo mtume alisema watakuja manabii wa uongo?

    • @nyotayamashariki5411
      @nyotayamashariki5411 3 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewa hostazi

    • @nyotayamashariki5411
      @nyotayamashariki5411 3 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa NABI MUNGU AKUTIYE NGUVU

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa wenzetu mpaka zumaridi wamemkubali dini ya kislam haitaki mchezo mtu kujitungia eti na bee

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว +5

    jaman waislamu tusomee dini yetu maana dunia inaharibika watu kama hamza issa watuangamiza wa A'udhubillah

  • @Ricky_melody
    @Ricky_melody 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Nabii Isaya,Wacha nicheke2,Unavowachanganya na Quran yao,Ila ww uko kweny Ukweli wa Yesu.Kichwa ki1 kinachanganya miwatu😂😂

    • @amoury1481
      @amoury1481 2 ปีที่แล้ว

      Atawachanganyanje Na Qur'an wakati Yeye Mwenye Hajui Qur'an Anababaisha babaisha Hakuna Alichowanganywa Hapo,Labda Ww Umechanganywa Kwa Sababu Huijui Quran

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kusumbuka bana mkubali mkatae shaulienu YESU ni bwana

  • @alfaqeersaidsalimelbakry1110
    @alfaqeersaidsalimelbakry1110 7 ปีที่แล้ว +7

    sheikh Muharram mziwanda umempa Mzigo mzito huyo bwege,kwa hoja hizo ilibidi aombe udhuru tu kua maleria ilimpanda kichwani

    • @OverdozClassic
      @OverdozClassic 5 ปีที่แล้ว +1

      AL MADRASAT IHSAANIYYAH AL MADRASAT IHSAANIYYAH 😀😁😂😂

    • @faysalmussa5593
      @faysalmussa5593 4 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah sheikh muharam ameongea point sana. lakin huyo nabii muongo ata simuelewi ana ruka ruka tu

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu bwana anatafsiri quran kwa ufaham wake..si wa waja wema waliotangulia((asalafu swaleyh))

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 6 ปีที่แล้ว +2

    Bibilia inawaonya watu...wasitukane inaongoza watu wapende adui zao.... wala tusilipize kisasi ni cha Mungu...mbona waislam...mwatoa matusi jamani...mbingu gani inaruhusu ....watu ...watoe matusi hivi.... bibilia inasema hata mpumbavu akinyamaza ataesabiwa kuwa na hekima...basi heri... unyamaze....

  • @YonahMwamwaja
    @YonahMwamwaja หลายเดือนก่อน

    Ipovizuri nabii wabwana damu ya YESU ikufunike

  • @mirajimohamed5710
    @mirajimohamed5710 6 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh mziwanda umemuua huyo hamza muongo kiukweli sheikh wng allah akuweke nimetosheka na elimu uliyoitoa hapo.

    • @norbertlilungulu5018
      @norbertlilungulu5018 2 ปีที่แล้ว

      Sasa kama anaongopa mbona qnayoongea yanatoka kitabuni! ?

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 ปีที่แล้ว

      @@norbertlilungulu5018 KASOMA HUYO

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +8

    Dunia nzima waje tanzania wataishi wapi na watakula nini dunia yote

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

      Kwa uwezo wa allah wataishi na watakula

  • @kingjkingj2463
    @kingjkingj2463 2 ปีที่แล้ว +1

    Ewe ndungu katika bindamu ogopa mungu kweli kweli hakika Allah hajaribiwi.

  • @salehemwalimu6865
    @salehemwalimu6865 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu amfanyie wepesi na ampe ufahamu wa kujua ipi haki na ipi batiri

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว +3

    Inalilahi wainah ileih rajhun...SUBHANAH LLAH.....LAILAH HAILALLAH

    • @rayasloom8711
      @rayasloom8711 2 ปีที่แล้ว

      Ina lilahi wa ina ilaihi rajiun mtihani

  • @samakimwenyekiundaniyamaji8885
    @samakimwenyekiundaniyamaji8885 7 ปีที่แล้ว +7

    Masheikh mue Na subra

  • @geiguryusratee2202
    @geiguryusratee2202 6 ปีที่แล้ว +2

    Hamza Issa...kila swali kajibu...kama humkubali njoo getho

  • @a.a.7029
    @a.a.7029 7 ปีที่แล้ว +3

    Alihamdulillah mashekhe wetu nimefurahi sanaa mnavosimamia ukweli ,huyo Alias ni kichaaa apelekwe hosptal akapimwe akili kama ziko sawa

    • @fatumashabanfatumawawapimy1157
      @fatumashabanfatumawawapimy1157 4 ปีที่แล้ว

      Subhanalah huyo wapi kafeli jaman Kawa nabii kabsa anajiita bila aibu et nabiii

    • @fatumashabanfatumawawapimy1157
      @fatumashabanfatumawawapimy1157 4 ปีที่แล้ว

      Hembu aache hizo Kuna clp amesema yeye haa in kama Kuna kifo et yeye hata kufa jaman kama mtume hatukonae yy vp abaki aaa Dunia Ina mambo sku za mwisho hzi jaman c mpaka masihidjali atukute majumban ndio huyo masihidjali mwenyewe

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว +4

    Hemu muashieni moto aingieee😂😂😂😂😂tutajuwa nabii au anaekti

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 ปีที่แล้ว

    Ndiyo nikasema watanzaniya mji hadhari sana macho ya shaitwani yako kwenu mtajikuta kwakufuru bila kuji juwa mjihadhari saaana tena sana shatani ana watumishi na vituko vyake kama mfano ya manabi anaweza kuwatiya jwa kufuru ombeni ALLAH aqaoneshe ukweli wamambo hayo

  • @geiguryusratee2202
    @geiguryusratee2202 6 ปีที่แล้ว +1

    Hamza Issa....jenga mskiti tuje tuswali wewe ni Nabii wa kweli.

  • @zinjankhan2883
    @zinjankhan2883 4 ปีที่แล้ว +4

    . UDHAIFU. HUYU MNGEMPA MAZINGE TU AMTIE MASWALI MAKAVU YALIOSIMAMA

    • @salimujuma1244
      @salimujuma1244 4 ปีที่แล้ว

      Yaaaan wameyumba waampe mazinge

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 4 ปีที่แล้ว

      Hoja hizo kwann msinge zitumia pia kubaini utume wa Muhammad kuwa ni wa kweli au si wa kweli.

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasa7393 Mtume Muhammad haitaki tochi yeye ni mtume wa haki

  • @alfaqeersaidsalimelbakry1110
    @alfaqeersaidsalimelbakry1110 7 ปีที่แล้ว +16

    najiuliza,huyu kituko hamza ilyaas asema KAZI YAKE NI KUWAITA WATU WAJE TANZANIA,sasa watakaa wapi wakati sie wenyewe hapatutoshi???
    nashangaa na hao maswahaba zake sijui wamerogwa na nani??=== JIBU NI KUA WAMEROGWA NA NJAA

    • @ARFIddy
      @ARFIddy 7 ปีที่แล้ว +1

      Said Saalim jamani hajitambui tufanye msahada AKAPMWE akili 2 hakuna jins haaahaaa

    • @rahmashaban8693
      @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +3

      Said Saalim :::hahahahahahahahaha said unaniua mbavu. Unajiuliza na jibu unajipa mwenyewe hahahahahaha. Hao maswahqba sijui Abuu Bakari swidiq ni yup na Sayyidina Ummar ni yupi. Yaani ni vumbi tupu

    • @salmagogo9967
      @salmagogo9967 7 ปีที่แล้ว

      Said Saalim harmorapa huyo

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 7 ปีที่แล้ว

      Hahahahhaahha

    • @rashidadam3900
      @rashidadam3900 7 ปีที่แล้ว

      Huyu Jamaa hajielewi yy analalamika Kuwa anapingwa hadithi zote hata ya kweli sio anapingwa laiti angejiita shekhe asingepingwa kinachokataliwa ni unabii wake anaoulazimisha

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hakosi mbegu. Haijalishi ni kabira gani

  • @imranihussen5764
    @imranihussen5764 ปีที่แล้ว

    Nabii issa me nakuelewa sanaa 🙌🙌 hapo unashindana bakwata🤣🤣 ila unapoint👏

  • @beyonceisaack6390
    @beyonceisaack6390 7 ปีที่แล้ว +3

    Wewe Hamza Issa, nabii

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda jinsi wanavyuoni wa dini wanaitetea imani na itkadi ya dini.Lakini kabla ya mtume wa kiarabu kusimamishwa walitangulia kina Malaki waliotabiri ujao ama kuachiliwa kwa roho ya Eliya.Ambayo itakuwa upokezi wa hile nguvu na maarifa kwa wajumbe wa tabaka nyingi sehemu tofauti tofauti.Huyu bwana anajiingiza kwenye mtihani akidhani kwamba yeye ndiye mwenye hiyo Monopoly pekee yake.Kwa mungu hakuna anayehesabika kufa.Wateule wote wa zama hizo wametukuka na wanafanya sala kwa niaba ya wenye ardhi na hupo msimu roho zao ujihusisha na watu

    • @rayasloom8711
      @rayasloom8711 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama kuna dini nyingine kwanini hawa itaju hiyo lukha kama sio kiarabu .kwa sababu ni lugha ilio kamilika .sio dini nyingine isipo kuwa uwislam.huyu jama sijuwi kapatikana na nini 😂😂😂 kiala shetani anakuja na namna yake dininzitakuwa nyingi sana ndio mjuwe kiama kinakariabia

  • @rajabuhassani8426
    @rajabuhassani8426 2 ปีที่แล้ว

    Nakukuchukia sana mbwa eliasa kama ninavyo wachukia wakiristo

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Waislam mtamkumbuka Issah Hamza siku ya kiama! Yesu ni mtume wa Mungu, siyo Mungu, hata Biblia inasema.

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 ปีที่แล้ว

      Uislam ndio din ya haqi na manabii wote wamezaliwa ktk bara la uarabuni sasa hakuna Nabii aliye zaliwa ulaya na ndio ukaona ukristo ni dini ya wazungu

  • @hajiomar1895
    @hajiomar1895 7 ปีที่แล้ว +6

    ww mshenz ww mungu anakuona na atakulipa inshaallah kwa uzush unaouleta ktk dini yetu laaanatulllah ww

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 6 ปีที่แล้ว

      usimtukane wala usimlaani bali muombee maana yawezekana ameingiwa na shetani na siyo akili yake na yawezekana pia uwazimu unamkaribia au pia ujinga waweza ukawa unamsumbua. tumuombee lakini kama akiendelea na mambo yake kwa jeuri hapo sasa dua mbaya maana atakuwa kakataa haki kwa ujeuri wake

    • @aminingarigari6313
      @aminingarigari6313 5 ปีที่แล้ว

      Huyo issa yukovibaya yotehayo ninja inamsumbuwa nasikingine .amana hatakusoma.hakuwi .

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 7 ปีที่แล้ว +6

    Hahaha,akapimwe akili

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 5 ปีที่แล้ว

    Mara ngwaaah allah akupa mtihan mzito we unajiita nabii utaisomaaa allah hachezew.. pumbavuuy

  • @ericjosephat9180
    @ericjosephat9180 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akuongezee ujasili zaid ili uwaelimishe hao walioweka imani yao ktk dini wameamini sheria mpaka wamekua na kutu lakini kweli n kristo peke yake.

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Kristo bada ya isa kuondoka is sa ni muislam na anamsujufia mmungu mmoja tu injili ilibadilishwa na makafiri kumpinga mwenye kitabu mmungu

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +3

    hatakusoma aya hawezi laanatulah

    • @maryerkayombo2358
      @maryerkayombo2358 6 ปีที่แล้ว

      Hongera baba waweza kuendelea¡!!!!!!!!!!!!!!

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +7

    Jamani mpelekeni kwenye vipimo huyo mwenzetu jamani kabla mauti hayajamfikia

  • @yassinm69
    @yassinm69 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona shekh sharif hakujiita nabii wee hamza bangi hizo

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 ปีที่แล้ว

    Mujihadhari nawakristo wanaweza kumtumiya kwanjiya kuwa bomowa nyinyi kama mnavyo sema wakrito wako nanabi saa hizi isije ikawa ni njama tu hiyo muwe wangalifu sana nasiyasa za shaitwani rajim

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +5

    asante kwa muendelezo umenifanya mpaka nime subscriber

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว +6

    kofia lina mpwelepweta

  • @zaharanihassan9013
    @zaharanihassan9013 6 ปีที่แล้ว

    watazidi kuibiwa wanaokurupuka na Ku like nila kuchimbua elimu

  • @upendokileo8840
    @upendokileo8840 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabii hakubariki nyumbani pia waislamu wengu hawapendi ukweli duuu

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 ปีที่แล้ว

      Uislam dini iliyo KAMILIKA huku hakuna tena unabii au utume

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa atawapotezea mda mpelekeni hospitali huenda anamatatizo ya kiakili, Yani muonekano wake tu kuchekacheka tuu

    • @mamual-ismaily7599
      @mamual-ismaily7599 4 ปีที่แล้ว

      Wallah kweli 😄😄

    • @nyotayamashariki5411
      @nyotayamashariki5411 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe nguvu hata Yesu alikataliwa usijali simama katika haki ikikubidi ufe katika haki waongoze kwa hekima mana hata wakati was nuhu walipinga

  • @hajiomar1895
    @hajiomar1895 7 ปีที่แล้ว +5

    yaan masekh mna moyo kweli mda wote kumckiliza mzushi huyo

  • @alminzilmohd9662
    @alminzilmohd9662 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenda wazimu huyu. Hata kitabu chake hakisomi vizuri. Hahhahah

  • @ahmedmohamed9040
    @ahmedmohamed9040 5 ปีที่แล้ว +2

    SubhaAllah.Ati. watu wote waje Tanzania kufanya nn na tunajua kuna makka na madina

  • @mariamsuleiman7159
    @mariamsuleiman7159 7 ปีที่แล้ว +5

    jamani hivi huyu mtu ni mzima kweli

  • @mwanakijacho640
    @mwanakijacho640 5 ปีที่แล้ว +3

    yani ww Hamza utakikukubali kama ujui dini vizuri mana wajua utaaibika ila Allah akusame mana ujui unacho kifanya

  • @yusufuvea5311
    @yusufuvea5311 2 ปีที่แล้ว

    Mbora no mwenye kusikiliza Kisha akachagua ritakalomnufaisha

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hana upendeleo

  • @likungaduu6445
    @likungaduu6445 7 ปีที่แล้ว +7

    hahahahah.....HAMZA atakua anakula sana BANGI yenye MBEGU.....MSHAURINI AWE ANATOA MBEGU KWANZA...PIA ASIVUTIE CHOONI AKIENDELEA SOON ATAJIITA MUNGU.

    • @salumsalum7057
      @salumsalum7057 6 ปีที่แล้ว

      liku ngaduu hahahahahahahaha na mimi nilifikiri hivo hivo

    • @saudamachocho9231
      @saudamachocho9231 6 ปีที่แล้ว

      Ke ke ke ke ke ke inna Lillah wa inna illah rajiun

    • @asiajuma5784
      @asiajuma5784 6 ปีที่แล้ว

      liku ngaduu 😂😂😂😂

    • @maryambintukhadija1604
      @maryambintukhadija1604 3 ปีที่แล้ว

      Awe ata anachemsha ilo bangi ata makali wapungue manake anakribia pabaya

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣makubwa huyu hamza kweli bado wasalam tu majina mengine tutizameni yakuwapa watoto wetu jamanini mengine hayafai!!!eti nataka kutoka niende nikakae pangoni 🤣🤣🤣siwezi kwenda Anifghakistan kwenda kupigana 🤣umenimaliza kweli 🤣🤣mtume gani anaeogopa vita? 🤣🤣namtume huandaa vita ili kutaka haki nyoo nenda bomu moja tu tunakusahau halafu hebu sema lugha unayoijuwa usiwape watu kazi kukueka sawa huku wanakujadili wakupeleke mirembe gani yakaribu Na hapo maana unatuchefuaje😏😏🤔

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 ปีที่แล้ว

    Sijui huyu kasoma sana hadi kaingia wazimu au hana radhi zawazee siju hata niseme Nini huu msiba ya Allah tuhifadhi waja wako ama kweli hii dunia ya mwisho subhana Allah 😭😭😭😭😭😭😭

  • @miraclemirajiathumani7333
    @miraclemirajiathumani7333 2 ปีที่แล้ว +1

    mimi sina mashaka kwa sababu mungu azoeleki na kingine mnafikiri kama nabii eliya yeye haogopi kuangamia katika jahanam basi yy anatimiza wajibu wake

  • @seifjumabhansigiye2867
    @seifjumabhansigiye2867 7 ปีที่แล้ว +18

    acheni kumtukana yeye kama kapoteza busara nyinyi msipoteze busala ninyi mnaomtuka ndiyo wapuuzi..

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 7 ปีที่แล้ว

      Seif Juma Bhansigiye ndugu una busara sana

    • @hassinarahbi352
      @hassinarahbi352 6 ปีที่แล้ว

      Mbona hata herufi za qur'ani hazijuwi kizitamka inavotakikana

    • @suleimanngondo3787
      @suleimanngondo3787 4 ปีที่แล้ว +1

      Seif Juma Bhansigiye mpuuzi ww na shangazi yako

    • @hamudmuhammed536
      @hamudmuhammed536 4 ปีที่แล้ว +1

      wewe mpuuzisana mshenzi kabbisa ww wamaa muhammadun illa rassuulu llaaah hakuna mtumetena wala hatotokea zayd yamuhammad nahuyo hatakihoja ataka tu atolewe kichwa na washenzi km nyie wote munaomuunga mkono kafiri km huyu kaaafiri mtoeni kichwaaa asiitie dosari dini au km hana kijio mpeni ale asipoteze watu laanatullaah

    • @zaharahasan1912
      @zaharahasan1912 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hassinarahbi352
      Yaan anaonekana kabisa huyu ni mwislam, ila tuu kwa sababu tuu yuko upande mwingine ndo maana unasema hatamki maneno vizuri

  • @saidishabaninguku8655
    @saidishabaninguku8655 7 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna kauli nzuri kwa mnafiki kama wewe, ila ulisha sema kuwa unatafuta umaarufu na hao wendawazimu wenzio yaani hao maswahaba wanafiki hao.

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว

      Wewe muabudu majini kaa kimya

    • @omanbarka1588
      @omanbarka1588 8 หลายเดือนก่อน

      Kejeli na thihaka hazimpendezi mwenyezi mungu Kwa viongozi wake kama huelewi Bora ukae kimya usije uka laanika na mungu

  • @mofarri
    @mofarri 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah napenda kusikiliza mawaidha yako sheikh Eliyas, hasa kwenye matukio ya zama za mwisho, Mashallah Allah azidi kukupa elimu na busara, Lkn jambo moja ambalo siwezi kukuunga mkono, WEWE SI NABII, hakika kusema ivo umeibadilisha quran na kusema kuwa maneno ya mtume ni uongo, Which is “SHIRK” unaweza kuwa sheikh mufti,Doctor, lkn sio nabii, Na imeniuma sana coz nmesikiza mawaidha yako na yamenigusa sana lkn nlipokuja kuona video hii ukijivunia bila wasiwasi kuwa wewe ni nabii, Hakika ni msiba mkubwa, Innalillahi wa innaillaihi rajiun,
    Endelea na kazi nzuri mashallah lkn jitoe hicho cheo cha unabii, Mjadala wa unabii uko very open very clear kwenye Quran, wala si fumbo. IT IS VERY CLEAR, You’re not a prophet my Brother if you believe you’re then you’re not even a MUSLIM at all,
    Allah atufumbue macho na akili kwenye maswala kama haya, hakika watu wengi wanakukusikiliza na wengi wanashadadia na kukupa sifa ya Unabii, Ujue unayabeba madhambi yao wote, Allah akusamehe na atusamehe sote, tuwe ni wafuataji 100% wa quran na sunnah ya rasul (SAW) bila kuongezea ama kubadilisha chochote

  • @zainabomar9139
    @zainabomar9139 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu amepangwa na maaduwi wakiislam atuvurugie dini yetu lkn inshaAllah utashindwa kwanguvu za allah hutofaulu nahaooo walonyuma yako

    • @mohammedmoshe6622
      @mohammedmoshe6622 4 ปีที่แล้ว

      >NI KWELI MWENYEZIMNGU ALITUTAHADHARISHA KUHUSU MAYAHUDI NA MANASARA,KWAMBA HAWATARIDHIKA NA SISI WAISLAAM(HUSUSAN WAKRISTO) MPAKA TUFUATE MILA ZAO(DINI NA IMANI ZAO>ITIKADI ZAO)-Q2:120 >NA HUYU BWANA ANAHUBIRI ITIKADI NA IMANI POTOFU ZA KIKRISTO. TENA ANAPOTOSHA KWA KUPOTOA QURANI NA KUTAFSIRI KIRONGO ILI KUUNGA ITIKADI NA IMANI ZA WAKRISTO

  • @habibusalum5800
    @habibusalum5800 7 ปีที่แล้ว +7

    Inna lillah wainna ilaihi rajiun. huyu jamaa ametumwa na shetan. upeo wake alionao hafai hatakuwa mkuu wa mtaa.

    • @asmabintikiwasha13
      @asmabintikiwasha13 6 ปีที่แล้ว +1

      HABIBU SALUM ibiris haonekani ila huyu ndie

  • @dennisthomas8164
    @dennisthomas8164 6 ปีที่แล้ว +4

    kwani alichokisema siyo kweli,tatizo huyu kawazidi elimu na maarifa ,ndymaana mnamchukia ,

    • @showfive4413
      @showfive4413 4 ปีที่แล้ว

      WEWE DENIS KUMA LA MAMA AKO

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sheikh Mwenye alimjibu nampenda Sana afu nimsomi Mashallah napenda jibu lako huyu nabii mrongo Sana...

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/KVBAAe3p0NY/w-d-xo.html
      👆 *TUPATE MAZINGATIO KATIKA KISA CHA NABII YUSSUF (AS)*
      _USISAHAU ku share subscribe na ku like_

  • @abdunnasser9580
    @abdunnasser9580 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani nawashangaa hao masheikh walipoteza muda kukaa nakujadili namtu mpumbavu kama huyo

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 7 ปีที่แล้ว +3

    QAFIR MKUBWA HUYO! NA WALA WAISLAAM MSIPOTEZE WAKATI WENU AMETINWA NA DOLA KUPOTISHA WAISLAAM !

    • @timorpathsullusi7055
      @timorpathsullusi7055 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mchochezi, Mhukumu huyo mtu wenu. Sasa hapo dola inaingiaje

  • @siafuonlinetv1003
    @siafuonlinetv1003 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah Mungu anakupenda bado wabongo hawajakuchinja njoo zenji tukupe Zawadi

    • @francismhilu2936
      @francismhilu2936 5 ปีที่แล้ว

      We n mkichaa..izo zwad n nan wew had uhukumu.kwn kaz yk n kukomboa ukion ujakombok wapo waliokombok usiharalishe na kuhimiz uov

  • @samirsumary8230
    @samirsumary8230 7 ปีที่แล้ว +1

    kwa kweli magufuli huko tanzania katia watu vifachaaaaa,please magufuli punguza kibanoooo maaana maradhi ya uchiz yamezidi kwa njaaaaa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 ปีที่แล้ว +4

    ziaka sio nzuri
    Mungu ndie anayetoa ukumu
    cha msingi nikumsikiliza anacho sema ni sahii?
    lakini mi sioni tatizo juu yake yeye anasema kama Nabii kwa hiyo bado sio Nabii mab atabarikiwa, Mungu hamfanyie wepesi.
    halafu si vyema kuwa na jazba mnta mwelewa mtabaki kumpinga hata kwa jema
    halafu lugha sio sababu huo ni huzaifu
    kila mja Mungu anamwezesha atakavyo
    ninacho kiona hapo nyie mlio wengi mnaonyesha kujifanya mnajua lakini sivyo
    huyo jamaa anaoneokana kuna kitu cha ziada hila mnaonekana kama mko na hasira juu yake
    mi mkiniambia asijiite Nabii hapo nitawaelewa
    lakini tukumbuke mambo ya mwenyezi Mungu ni mambo yanayo hishi na yapo mengizaidi ambayo wapo waliojaliwa kuyatambua yale ambayo wengine hawakujaliwa kufunguliwa kwa nini tuwe na kebei anacho kifanya huyo Hamza nikuwakumbusha yaliyo mema
    sasa maswali mengine ni ya hila tu heti mtu anauliza
    We hulisha wahi fika Misri sasa hilo ni swali au hila?
    mi sioni baya kutoka kwake labda hilo analosema kuwa yeye ni Nabii hapo ndio niko na Mashaka?

    • @miraclemirajiathumani7333
      @miraclemirajiathumani7333 2 ปีที่แล้ว +1

      huu wakati mungu anachiria manabii wake ili mpte kujua nn kinaendelea

    • @adventsumari6967
      @adventsumari6967 2 ปีที่แล้ว

      Yeye kasema cyo nabii kasema yeye ni kama nabii. Mtamuelewa tuu uyu amza anakitu ndani yake ila wengi amtaki kukubali. Ilasiku zinavyozidi kwenda mtamuelewa tuuu. Hamza tuko pamoja barikiwa sana

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      @@miraclemirajiathumani7333 mmungu alikuambia mmungu Alissa sema kua ma nabee nivae zamani alijua ni was mwisho ni muhamad saw Angela wapo watakuja huyu ana tafuta sadaka ya dhambi mbona watu wamemkalisha ktk Islam hamna mtu ajitokee kua yy ni na bee kwani wanajua mmungu ni mmoja tu na yy ndio wenye mana bee huyu mjinga tu mchukueni awe na bee fekk kama hao wa wakristo kila siku wanakuja mana bee na wanakubalika hakuna mana bee manabee walikuja zamani

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 ปีที่แล้ว

      @@hemedikassimu9604 kabisaaa ukitoa erufi moja inajulikana sembuse kubadilisha mmungu ndio alkamilsha kila kitu humo ndio mtume wa mwisho hamna na bee tena mpka kiama

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 ปีที่แล้ว +1

      Muhammad mwenyewe ni nabii feki yuko kwenye Quran 2 ht torati na injili hajawahi mtaja hy Muhammad xaxa nabii wa mwisho kwa nan kwa waarabu au kwa mungu waislam wote niwapinga kristo

  • @birdmanhussein2182
    @birdmanhussein2182 7 ปีที่แล้ว +4

    Shehe wangu nakupendaka sana shehe issa Amuzah mutu hawezi pendawa nawatu wote

    • @abdullahally1665
      @abdullahally1665 6 ปีที่แล้ว

      BIRD MAN HUSSEIN we ni hasfu tena huna akili na hujakaa madrasa na wala huijui dini ya kiislam,unabaki kushabikia vitu usivyovijua

    • @buluush9741
      @buluush9741 6 ปีที่แล้ว

      kwanza kusema hujui😂😂et mutu😂😂wew na uyo issa wako nyote manabiii wasenge😂hamujui munaongea nn

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 5 ปีที่แล้ว +2

    Hamza ungekua nabii bac ungekua watufunulia yatokayo kwa mungu ndivyo mitume walivyofanya wote nakushangaa ww mtume wasoma watoa ufunuo kutoka katika ufunuo ama kitabu cha Qur'an

  • @naushadally2272
    @naushadally2272 4 ปีที่แล้ว +2

    Ibilisi kafanikiwa sana kumtia vijiti huyu Hamza (Alayhi laana )

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว +3

    mm nawaonea huruma hawoo maswahaba tu

    • @buluush9741
      @buluush9741 6 ปีที่แล้ว

      Fatma Ally 😂😂😂😂😂😂😂

    • @jasminyiddysulaiman9807
      @jasminyiddysulaiman9807 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @maryambintukhadija1604
      @maryambintukhadija1604 3 ปีที่แล้ว

      Wallah wanatia huruma wote. Pamoja na mtume wao manake wamekaliw na masheytwan kila kona mpaka wanashushiwa wahay na mkuu wa mashetan

  • @binalone134
    @binalone134 6 ปีที่แล้ว +3

    Raha tupu hamza mapoint kama Bungeni

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Elia yupo vizuri kiroo