QUR'AN ILIKUJA KUTANGAZA INJILI YA MASIHI ISSA (YESU KRISTO) NA KUWAOKOA WAKRISTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mtu huyu ni sahihi sana na amekuja kwa wakati wake amen

  • @daudluswema-mx3ok
    @daudluswema-mx3ok 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nifundishe kwa upande wangu mim nakuelewa sana mwalim.

  • @maryamalrayami1513
    @maryamalrayami1513 3 หลายเดือนก่อน +8

    Shukran
    Allah azidi kukuongoza

  • @barakaofficialtz
    @barakaofficialtz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amin Amin aaminiye haya anao uzima wa milele. Yesu ndie kristo

  • @HenryTweve
    @HenryTweve 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubaliki hii pia ni hatua

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 2 หลายเดือนก่อน

    Hauna baya mungu akupe nguvu

  • @annymacher3829
    @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu ni Roho alie zaliwa katika mwili ili sis tuweze kuokolewa kupitia yeye,fikiria Roho angekuja akawa anazungumzia juu ya mambo ya Mungu?nafikiri ingetujengea hofu na hata tusingeleewa ndio mana akavalishwa mwili kama tu alivoumbwa Adam na apajawah toka na mtu kama Yesu alie na maajab mengi,ishara na utukufu kama Yesu.

  • @peterrichard3108
    @peterrichard3108 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Mwalimu..tupe na Ukwel pia wa Hellen G White na usabato

  • @henrykigugwe5112
    @henrykigugwe5112 3 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to Jesus!!

  • @keyishanadel6998
    @keyishanadel6998 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mutakufa vibaya nyinyi woote ila ukweli ni kwamba njia ya haki ni uamin kwamba mungu ni mmoja tena wa pekee na wa kweli na naaa uamini pia na mitume wake akiwemo yesu na huo ndio uzima wa milele YOHANA: 17;3

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 3 หลายเดือนก่อน +1

      Njia ya haki ni moja tu....Yesu Kristo Yohana 14:6
      Yohana 17:3 fahamu Mungu NA Yesu Kristo.
      Waislamu wanamkana Yesu Kristo na kumkubali yesu bandia issa bin maryam....ole wenu mwisho jehanam - Yohana 3:18

  • @samsonthoya4275
    @samsonthoya4275 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni Baba. Tufundishe ukweli bwana Nabii Eliya kiupande wangu mimi nakuelewa vizuri sana ju mimi sio wale wala jana kuanza kukufuatilia, Mungu akubari ❤❤❤❤

  • @user-gd3fk2ie2x
    @user-gd3fk2ie2x 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio ukweli kabisa mtumishi wa nabii Eliya Mungu akubariki sana

  • @barakaofficialtz
    @barakaofficialtz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Someni biblia vizur mtajua kweli juu ya kristo tatizo la watu wengi walio wakristo wanategemea mafundisho ya wengine. Hakuna mazehebu ila kristo ni mmoja 1Wakolinto 1:12-13

  • @coffeetreetza9543
    @coffeetreetza9543 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mathayo, Mark, na Yohana, wameishi na Yesu, wamekula meza moja, wamelala nyumba moja, na huamini injili zao, ila unaamini mtu alokuja miaka 600 badaye tena kwa kutoa maandiko kutoka kwenye Biblia... Hakuna mstari wowote kwenye Biblia unamtaja Mohamedi, na haitakuja kutokea kutajwa kwenye Biblia hata mwisho wa ulimweli.

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Nawe utaijua kweli nawe kweli itakuweka huru

  • @user-hq8wn9tz2l
    @user-hq8wn9tz2l 3 หลายเดือนก่อน

    Wahambie nabiiiiii

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe umejifunika gozi la kodoo lakini dani no mbwa mwitu. Uwezi ukatupoteza, kweli tunaijua.

    • @Erik-kj5no
      @Erik-kj5no 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe umezoea injili za vyuo vya biblia hii inaitwa injili ya ufalme wa mungu sio rahisi kupata na kama huna mungu huwezi kuihubili injili hii sababu inapingana na tawala za duniani harafu usijaribu kumtukana huyu mtu utapata taabu maishani mwako

    • @petermutuku1289
      @petermutuku1289 3 หลายเดือนก่อน

      @@Erik-kj5no aaaya bazi mmi sina ubaya.

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miaka 600 umeanzishwa Uislamu...., mnapoanzisha dini zengine badala ya Yesu....ni kupinga mafundisho ya mungu kwakuanzisha wafuasi wenu na sheria zenu.....

    • @jerryblake7854
      @jerryblake7854 3 หลายเดือนก่อน

      Try to understand him

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 3 หลายเดือนก่อน +2

    NABII ELIYA ILYAAS acha uongo....muhammad alitabiriwa wapi kwa biblia????
    Toa aya kama ni ukweli weka namba ya sadaka hapa!!

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    NASEMA TENA KAMA HUNA ANDIKO LA KWAMBA NABII ISSA .AS ALISULUBIWA MSALABANI TAFADHALI POTEA USIUPOTOSHE UMMA WA KIISLAM

  • @user-ox9cu9hx2r
    @user-ox9cu9hx2r 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kupotosha maudhui ya muradi wa tafsiri ya qur an unajitahidi kupotosha ila tambua kuna siku ya kiama

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 3 หลายเดือนก่อน

    Nabi Elias sio wa sateni na sio wa mungu ayui ako wapi?ajielewe uu

  • @khamisjuma3799
    @khamisjuma3799 3 หลายเดือนก่อน +2

    KAFIRI HAMZA ISSA HUYU MWANAKHARAMU KABISA ALIYEASI

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      KASOME Quran kuhusu issa ndio uje apa acha kumuongelea Masiha Yesu vibaya na ww utakua miungoni mwa mpinga Kristo.

    • @badilikakijana4032
      @badilikakijana4032 3 หลายเดือนก่อน

      Shekh anaongea ukweli

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 3 หลายเดือนก่อน

      Mwanaharamu ni ww na familia yako woteeeee

  • @innocentpeterassey4106
    @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน

    vita vya kikristo vilivyokuwa vinaendea si viliishia kwa kontatino alivyo ukubali ukristo na dola la Rumi lilikuwa lina nguvu kipindi hicho na ukristo na ndo ukawa dini ya taifa mwaka 392 sasa muhamadi anakuja kutokea mwaka wa mia sita

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

    Siku ya HUKUMU... huyo YESU atawahukumu waislamu kama njugu...., ataanziwa huyo MOHAMAD mstari wa mbele...kisha wanafuata wafuasi....
    Maana, mnatumia neno undugu....kumbe mmepotoka. Ukimuamini Yesu hutokiamini kengine...., ukimuamini Mohamad....utajitenga na kweli ya Mungu. Mmepotoka.

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 3 หลายเดือนก่อน

    Uislam ni muongozo mzuri sana kilichokosa ni kutomtumia nabii issa ipasavyo wakidhani wataupa nguvu ukristo wakati matapeli wanamtumia issa kuwavuta waislam kwa spidi kubwa sana

    • @JohnjohnMnonjela-br3xl
      @JohnjohnMnonjela-br3xl 3 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo wewe hivi ni nini maana ya masihi dajjal

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 หลายเดือนก่อน

    Islam pekee ndiyo njia sahihi

  • @user-yp8sz6do2h
    @user-yp8sz6do2h 3 หลายเดือนก่อน

    ataitwa mwana wa mariam

  • @user-sb7ge6yj1i
    @user-sb7ge6yj1i 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu ni mnafiki namnafiki atakua chini ya mashimo ya Moto atakaahumo milele

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    TAFADHALI POTEA MPOTOSHAJI MKUBWA MFUASI WA DAJALI SASA UNAJIDHIHIRISHA RANGIYAKO YA UHALISIA

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    NJAA ZAKO ZITAKUPOTEZA TOA ANDIKO WAPI NABII ISSA .AS SALAM ALISULUBIWA .TAFADHALI KAMA HUNA ILO ANDIKO ACHA KUISINGIZIA QUR AN

    • @Erik-kj5no
      @Erik-kj5no 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi nyie wanadamu mkoje Yani huna uwezo wa kufikiri au unafuata mkumbo hebu tuliza akiri mfuatilie vizuri huyo mtu

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    NIMEKUSIKILIZA SANA UNACHANGANYA UWONGO NA KWELI KWENYE CHUNGU KIMOJA HIYO NI DALILI YA UNAFIKI WEWE SI MKWELI POTEA

    • @AbdulAlly-dr7bf
      @AbdulAlly-dr7bf 3 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio hujui uliza ufundishwa maana tunakuona unalopoka tu mafundisho yashafundishwa sikunyingu ww sijui ulikua wapi hawezi kurudi nyuma kwasababu Yako ww mtumoja kwani ww nani wewe ndio utafute Dara's zanyuma alizo fundisha

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna Muhammad kwenye bibilia

    • @eliariro5514
      @eliariro5514 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanza huyu jamaa sijawai kujua anasimamia Imani ipi 😂

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

      Sijaona Mohamad kwenye BIBLIA.... ujue huyu jamaa ni MUONGO.... anawachukua mateka wasio taka kujitaabisha kwaajili ya BWANA.

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

      Sijaona Mohamad kwenye BIBLIA.... ujue huyu jamaa ni MUONGO.... anawachukua mateka wasio taka kujitaabisha kwaajili ya BWANA.

    • @BilalMuhammad-jt6sq
      @BilalMuhammad-jt6sq 3 หลายเดือนก่อน

      Bibilia huijui utaonaje jina muhammad ​@@SHULE_YA_KRISTO

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 3 หลายเดือนก่อน

    Watu awasomi bibilia nandio Mana wanabisha kitu kilicho wazi tumekalilishwa Sana someni bibilia vizuri sio zile sula za makanisani tuu ichambue vizuri utaelewa nini kina semwa apo

  • @thomsonsabano1488
    @thomsonsabano1488 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi katika uislamu alama ya mwezi na nyota ina maana gani

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 3 หลายเดือนก่อน

      Nyota mwezi kuwangoza binadamu mfano wavuvi baharini wanatymia nyota kuwaongoza

  • @user-ox9cu9hx2r
    @user-ox9cu9hx2r 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe bwana Acha kuwapoteza wakristo waweke wazi juu ya ukweli dhidi ya dini ya Allah usije ingia motoni bule ukweli unajua lakn u naona nibola u we freemason na eluminati

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe siwezi kumuacha mtume ata unipe Mimi Mana upi ubaya wa uisilamu au kwasababu tuna amini mungu nimmoja au Kuna lingine jamani waisilamu tuna amini mungu nimmoja tuuu ndio dini yetu sisi na wajiulize kwanini bibilia aija zungumzia uisilamu 😂😂😂 shetani amewashika sawa wazee wa miujiza endeleeni kwenda kwenye miujiza

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu, Nipe mstari mmoja kwenye Biblia unao muelezea MUHAMAD.....

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna katika biblia habar za Mohamad, ila nachoelewa mm kuhusu huyu baba kwao wao wanamwita Mohamad ss katka biblia tunamuita Yohana mmbatizaji mana ndio alie kua natangaza zaid ujio wa Yesu kristo kwahyo ni kuelewana tu.

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

      @@annymacher3829 hiki umejifunzia wapi??...
      Yohana aliizaliwa kabla ya YESU.... Sasa huyu MOHAMMAD si kazaliwa miaka 600 mbele, anawezaje kuwa ELIYA?...yaani mtangulizi wa Kristo.

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      @@SHULE_YA_KRISTO
      Hawana uhakika nasimamia hoja kuhusu mtu alie mtangaza Yesu katk biblia kwetu ni Yohana na had akambatiza Yesu.
      Hawa kwao ni kama wanaenda mbele na kurud nyuma,mtume wao sio alikuja baada ya Yesu nooo ni kabla ya Yesu jaribu ku Google katika Quran yao kasome habar kuhusu Yesu au wao humuita issa ni mtume wao alikua anatabr kuusu Yesu.hakuna mtu katka Quran yao alimuongelea Yesu zaid ya huyo mtume.

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

      @@annymacher3829 we nawe kuna pahali unajichanganya... ISSA Bin Mariam ndio sisi tunamuita YESU.
      MOHAMMAD hayupo kwenye Biblia kwasababu yeye sio mtume wa MUNGU...., angekuwa wa Mungu asinge jigawa kwa KRISTO.
      Maana wale wanaomjua na kumwamini KRISTO, wamekuwa mwili mmoja na KRISTO.
      Sasa wewe ukienda kwa Mohamad unawezaje kuwa mwili wa kristo?.

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      @@SHULE_YA_KRISTO
      Mm sijichanganyi ila najarb kuelekeza upande wa pili wanaopinga kua Yesu wetu sio huyo wa kwenye biblia ndipo naposema wao Mtume aliwaambia abar za Yesu kua ndio mwokoz na ndie anapaswa kila mtu akir kwa kinywa chake kua yeye ni Bwana ili wapate kuokolewa.sisi alie litangaza abar za Yesu ni yohana na Yesu atabatiza kwa Roho sio kwa maji na ndipo Yesu akatokea akambatiza.sas kwa kumalizia au kwa kufunga mjadala ni upande wa pili wamkiri Yesu ili wapate uzima na ndivo walivo agizwa mana naona kama mambo yanakua mengi kiupande wao.sasa ili wasichanganyikiwe hatua ya kwanza kabsa wampokeee Yesu mwokoz wa ulimwengu ndipo watakapo elewa kila k2.

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli wewe ni msomi

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 3 หลายเดือนก่อน

    Hamza nenda kapige goti usome! 😂 waeleze manaswara na mayahudi, wamemkataa mtume Muhammad

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 3 หลายเดือนก่อน

    Muongo makubwa wee

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wasiokuelewa ni mambumbumbu .....poleni nyie msioamini.

  • @ray9738
    @ray9738 3 หลายเดือนก่อน

    Astrotheology ni basic ya kila kitu haya mengine ni Nursery rhymes tu, Quran na Biblia ni Vitabu vinavyo husu ASTROLOGY NA THEOLOGY zikiwa combine Kwa mfano Ukisema Jesus = Shamsi au JUA na Ukisema Christ= Aries au KONDOO the first Sign. Wayahudi/levitate/priest/ ni sawa na MLango wa 8 kati ya 12 ya MWEZI au JUA au scorpion/ ng'e.

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      Mambo ya ng'e na jua hayahusian na Mungu ndio mana zilkua zinaitwa ibada za sanamu,hizo ni Imani za wanadamu

    • @ray9738
      @ray9738 3 หลายเดือนก่อน

      @@annymacher3829 Ndugu yangu kama haujui Elimu ya Juu, Anga, mbinguni, Ahera, basi utulie, Quran kitabu kitukufu kinasema hiyo Elimu ya Juu imewekwa Kwa watu wanao Jua tu kama haujui basi utulie. Quran Yunus;10-5;
      10:5 - Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua.

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 3 หลายเดือนก่อน

    Na Kuna watu awajui kama Kuna nimrod na tamusi watu wapo wapo tuu

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 3 หลายเดือนก่อน

    Leo ndio nimeamini wewe ni zezeta hakuna siku Biblia takatifu itamtaja huyo mbwa Muhammad masih dajjal inayomkataa Yesu kuwa mwana na Mungu

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    WAPI KWENYE QUR AN ISSA A.S ALIBATIZWA MSALABANI JAMANI SOMENI VITABU HUYU NI MPOTOSHAji

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 11 วันที่ผ่านมา

      Imeandikwa kwenye bibilia quaran hatuijui imeandikwa Kiarabu

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    tafadhali kama wewe ni m,kweli toa andiko kwenye QUR AN LINALOSEMA NABII ISSA .AS ALIKUFA NA KUFUFUKA USIWE MNAFIKI SEMA KWELI ACHA NJAA MNAFIKI MKUBWA WEWE

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni wakala wa dini moja tushakujua inaitwa crislam

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe unasema mkristo hana nguvu mpaka aikubali qoran, huo ni uongo na haitakua hivyo mpaka kiama,
    Harafu wewe unajiita nabii Elia wakati qoran imesema nabii wa mwisho ni Muhamad, nawewe unasema ni muislamu, yani unaongea unajikanyaga mwenyewe, ukae ukijua watu hawakuelewi kabisaaaaaaaaaa., Kwanza wewe ndiyo muislamu wa kwanza kukubali Yesu kasulubiwa msalabani lakin waislamu walio wengi hawakubali hilo jambo, we unadhani wanakuelewa?
    We njoo ubatizwe ili ukubaliane na maneno yako, yani wewe ni mkristo kabisa ila hujajitambua bado, karibu kwa Yesu utaokoka.

  • @innocentpeterassey4106
    @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน

    hapo aliposema sinai ya uarabuni hapo paulo alikuwa anazungumzia torati na wanaotembea na kutegemea torati kwakuwa torati ilitolewa mlima sinai na wote wanao itegemea torati wanafananishwa na ajiri aliyekuwa mtumwa hivyo wote wanao ifuata torati wako chini ya utumwa bali wakimpokea Yesu wanatoka chini ya utumwa ambayo ni torati

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 3 หลายเดือนก่อน

      Kristo hakuja kupiga Torati ndugu kasome vizuri

    • @innocentpeterassey4106
      @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@partnersah8802 Yes hakuipinga torati Bali kuitimiza lakini hatuesabiwe haki Kwa Sheria ambayo ni torati Bali Kwa Imani katika kristo

    • @innocentpeterassey4106
      @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน

      @@partnersah8802 Warum3:19 Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu;

    • @innocentpeterassey4106
      @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน

      @@partnersah8802 Warumi 3;20. 20 kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria.

    • @innocentpeterassey4106
      @innocentpeterassey4106 3 หลายเดือนก่อน

      @@partnersah8802 soma vizuri wagalatia 4:21-31 utaelewa zaidi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 หลายเดือนก่อน

    Hata mpinga kristo atatokea Rumi

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 3 หลายเดือนก่อน

      Rumi ipi hio mana kihistoria mpaka uspecify ni Rumi ipi?

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni. Agent wa one world religion

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalim hao wakiristo dini yao ipi nisaidie

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 3 หลายเดือนก่อน

      Wakristo hawana dini.....ni imani kwa Kristo.
      Dini zote zilianzishwa na binadamu!!

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน +1

    huyu ni DAJJAALMKUBWA!!

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂...eti hata nipewe dunia siwezi muacha Mohamad...
    Mtumishi unaelewa maneno haya ya YESU?.." HERI MASIKINI WA KIROHO MAANA UFALME WA MBINUNI NI WAO??...
    Wewe wajiita Mwalimu kwakuwa unafikiri unaufahamu wote kuhusu Mungu...ndio maana huwezi kuyapokea yanayotoka kwa MUNGU. Kwasababu hiyo, unafananishwa na MAFARISAYO waliozania wana kilakitu waakamsurubisha kristo.

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    WEWE NA WATU KAMA WEWE MLITABIRIWA NA MANABII MUTAKUJA KUPOTOSHA UMMA POTEA SRMA KWELI WEWE NI MFUASI WA DAJJAL

  • @BilalMuhammad-jt6sq
    @BilalMuhammad-jt6sq 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu nikafili

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 3 หลายเดือนก่อน

      Nipe tafsir ya kafir,ni mtu asie mkiri Yesu huyo yeye ni kafiri

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kwa watu wenye akili, tunajua kabisa hakuna uhusiano wowote kat ya bible na Quran, hakuna uhusiano wowote kati ya Yesu Kristo na huyo Issa wa kwenye Quran. Na Mungu hajawahi teremsha kitabu kinacho itwa Quran. Kwa Hilo somo wale maamuma ndio wataona kama unaongea ukweli😂😂 wavivu wa kusoma

    • @Adoullahsal
      @Adoullahsal หลายเดือนก่อน

      Ujinga

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 หลายเดือนก่อน

      @@Adoullahsal 😀😀 soma vitabu usiwe mbumbumbu

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe, akili yako haiko sawa, bibilia nzima, hakuna neno muhamadi, isipokua injili ya Quran pekee ndio issa wa humo amemtabili muhamadi wake. Uslamu na UKRISTO ni mbingu na inchi.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe hachana na uongo Quran ni mpinga kristo 100% Muhammad kwenye biblia ni mtume na nabii WA uongo mathayo 24 inathibitisha wew hamza hachana na majini yanakupotosha Fanya mahamuzi ya kujua YESU kristo hachana na issa kumuita Yesu kristo issa sio mwokozi issa waarabu wakristo Yesu wanamuita Yeshua sio issa uongo ni uislamu

    • @josephntungiye6232
      @josephntungiye6232 3 หลายเดือนก่อน

      We mbuzi nawe umetokea wapi?😮😮

    • @ramadhanihudhaifani4376
      @ramadhanihudhaifani4376 3 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa kuandika kwenyewe hujui,utaweza kuijuwa Qur'an wewe!? Acha akili matope hiyo. Nyau wewe!

    • @user-hq8wn9tz2l
      @user-hq8wn9tz2l 3 หลายเดือนก่อน

      Tupendane ss ni watoto wa baba mmoja

    • @paulmwangi3438
      @paulmwangi3438 3 หลายเดือนก่อน

      Wacheni kelele tuko darasani.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-hq8wn9tz2l hatuwezi kuwa WA Baba Mmoja maana hao Mungu sio Baba kwao wanamkataa lakini biblia inasema hivi watoto WA Mungu ni dhaili na WA ibilisi pia 1 Yohana 3:10 wakimkataa Mungu ibilisi anachukua nafasi kwao ukitaka mbingu zitatuke sema Allah anaye mwana quruan 19:88-91 kwaiyo unaitaji kufunguka wenzete tuwapende tu kama Bwana Yesu alivyosema mpende jirani Yako

  • @rashidkassimjuma4320
    @rashidkassimjuma4320 3 หลายเดือนก่อน

    MUONGO MUONGO MUONGO MFUASI WA DAJJALI

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mkristo asiyeusoma Uislam japo kidogo anaweza kumuamini huyu shekhe, ki ukweli ni muongo sana. Uislam unafundisha uadui dhidi ya ukristo zipo aya nyingi tu, Muhammad anampinga Yesu Kristo, zipo aya nyingi tu, na mengine mengi ya tofauti. Anasema Wayahudi waliwachukia wakristo na kuwaua, ni kweli. Lakini hata Uislam uliwachukia wakristo na kuwaua pia, zipo aya nyingi tu Muhammad alieneza chuki dhidi ya wakristo. Kwahiyo kazi anayojipa ya kuwaunganisha wakristo na Waislam ni kinyume cha mtume wake Muhammad, labda sasa atuambie Muhammad alikosea kuwachukia wakristo na kwahiyo yeye ni bora kuliko mtume wake. Wasioujua Uislam au kuusoma japo kidogo wataona anasema vizuri. Huyu Siyo mkweli, ni muongo.

    • @JohnjohnMnonjela-br3xl
      @JohnjohnMnonjela-br3xl 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa huyu jamaa ni muongo tena sana

    • @petermolle7659
      @petermolle7659 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi namwelewa Sana,Mungu akubariki kwa ufunuo huu

    • @yusuphhassan9619
      @yusuphhassan9619 3 หลายเดือนก่อน

      Toa andiko ambalo Mtume Muhammad SAW anachukia wakristo

    • @ABM1963
      @ABM1963 3 หลายเดือนก่อน

      Soma vitabu vya dini vizuri utamuelewa.
      Jifunze, soma vitabu vyote viwili.
      Alafu fanya maamuzi sahihi.
      Fuata Amri kumi za Mungu alizompa MUSA utaelewa na kufanikiwa.

  • @chapchap-oz1ou
    @chapchap-oz1ou 3 หลายเดือนก่อน

    QUR'AN ILIKUJA KUTANGAZA INJILI YA MASIHI ISSA (YESU KRISTO) NA KUWAOKOA WAKRISTO
    uongo mtupu....koran ilikuja kupinga injili ya Yesu Kristo HALAL na kutangaza injili ya issa bin maryam haram

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 3 หลายเดือนก่อน

      Unayo ushahidi

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 3 หลายเดือนก่อน

      @@husseinkiruta1712
      Ushahidi wa wa nini ndugu yangu??