NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2020
  • MADA IBADA YA MANABII NJIRU TOWN TAREHE 14:1:2020 NA USTADH YUSUF ,USTADH ABASS,USTADH MOHAMMAD,USTADH SAID

ความคิดเห็น • 217

  • @Tristan-t1x
    @Tristan-t1x 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mr ndacha nakupenda sana, wendeleye vile usipo zimiya roho Mungu atakulipa

  • @josephchui479
    @josephchui479 4 ปีที่แล้ว +5

    Ndacha MUNGU akubariki sana unawafundisha waislamu

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

      Huyo haezi kufunza anawapotosha wakirsto tu

    • @daudijoseph4340
      @daudijoseph4340 3 ปีที่แล้ว

      @@farhathamdansalum9725 Pole sana kwa kuwa ungali gizani ndiyo maana unasema Ndacha anapotosha.

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

      @@daudijoseph4340 anapotosha watu

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji nakupenda sana kwa huduma yako ya maandiko matakatifu hakika ubarikiwe sana

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 4 ปีที่แล้ว +8

    Vidume vya Allah MashaAllah!

  • @akeem1221
    @akeem1221 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndacha is good at confusing people, misconceptions. Deep in his heart, he knows the truth.

  • @josephchui479
    @josephchui479 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamani ndacha anatisha MUNGU akubariki sana kaka yangu unawafundisha waislamu kama watoto Ukristo ndo dini ya manabii na mitumee

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 3 ปีที่แล้ว

      Huo ni ushabiki lakini sio eti umejifunza chochote kutoka kwake, mm namuona kuropoka tu nakubabaika

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah, Sheikh yussuf muendelee na dawah vizuri; Jazakumullahu kheyran .

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sheikh yusuf Allah atakupa kauli thabith

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 4 ปีที่แล้ว +4

    Allahu Akbar, may Allah guide our christian brothers and sisters...surely wako kwa upotevu

  • @zaidanawadhi2664
    @zaidanawadhi2664 4 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah mashekhe, Allah awajaalie afya muipambanie dini yetu inshallah.

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 4 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah Ustadh Mohamed amefika . Dawa ya masabato

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +2

    Ina lilahi waina ilahi rajiun, kwa kweli huyu Ndacha anawapotosha watu sana ila anajuwa ukweli In Sha Allah Allah ampe ufahamu huyu Ndacha aingie kwenye uislam In Sha Allah

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah, Allah wazidishie kila la kheri masheikh wetu na waekee wepesi katika mambo Mambo Yao in shaa Allah

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 4 ปีที่แล้ว +10

    Thanks to ustadh wetu for that commitments and dedications for the religion of Allah.

  • @janelithasolomon5212
    @janelithasolomon5212 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mlm
    Ndasa waambie hao waisilamu ukweli,,,wamekuwa gizani kwa muda mrefu,,,
    Ndo maana hawajui hata tofauti Kati ya
    Mungu Jehovah na
    .....mungu wao allah mungu wa kiarabu
    Pia
    Hawajui hata maana ya kusujudu,,,
    Ndo maana wanajua kuchamba tu na maji wakijua dhambi imeobdoka kumbe Ni kuacha dhambi,,,,
    Mungu awape macho ya rohoni Hawa wasilisha mashetani
    Wapo kwenye kiza kinene kweli kweli,,,,
    Damu ya
    Yesu ya thamani iendelee kunena mema juu wa wapiga ramli Hawa na wasoma albadili
    Janelitha
    From Tanzanian

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sheikh Yusuf wape dozi hao wakristo,Huyo pastor ndacha kachanganyikiwa hajui anachikiongea ila ni porojo tu zake

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว +5

    MASHA ALLAH, mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema Aamin yarabi

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 4 ปีที่แล้ว +4

    Ustadh muhammad napenda unqvyofunza sanaa huwa nafrai sanaa inshaallah naomba ustadh mpeni mic muhammad mwanzo mwanzo

  • @robertmtandika2523
    @robertmtandika2523 3 ปีที่แล้ว +1

    Sema sheh wachungaji wengi niwapinga kristo

  • @nairobiflavour
    @nairobiflavour 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dacha ana neno LA mungu mungu amubariki

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +2

    Anajicheka mwenyewe Ndacha mwalimu mara aitwe yesu mara mwalim.

  • @habsosiman1736
    @habsosiman1736 4 ปีที่แล้ว +5

    SubhanaaAllah may Allah(SwT)show him the right path

  • @divinahdivinahw513
    @divinahdivinahw513 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mmoja kwa kuwa watu wote habadunianihatuelewanivizuri mambo yakusali vitabu vinaleta mabishano katiyetu Naye siku ya hukumu mungu atangalia matendo peke take kwa hivyo tutende mema.

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhanah Allah, huyu Ndacha anasoma vitu bila kufafanua maneno yake uzuri anapotosha wakirsto tu

  • @ahmedikhamis2722
    @ahmedikhamis2722 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana mnayo ifanya masheikh wetu kz ya kufikisha ujumbe muhimu mungu awaepushie kila baya lililopo karibu yenu by Ahmed Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @janekaari3788
    @janekaari3788 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaoendelea kupinga pinga ukweli huu sababu ya kutetea dini ya kiislamu, Remember that th Judgement is waiting for u & me. Tengeneza uhusiano wako na Mungu aliyekuumba kabla hujafa ukishikilia dini bali si Mungu!! *Utalia siku ya mwisho!!!

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah.watching from Boston USA

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 4 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallahu kheri thanks so much sheik Yusuf

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 ปีที่แล้ว +4

    Amali ya kuhesabiwa siku ya kiyama mbele ya Allah SWT ni swalah na chenye kinatofautisha Uislamu na Ukristo hapa duniani ni swalah.Je,hao wakristo wanaswali huko kanisani au hapana?Na Yesu mwenyewe kaswali wanamuamini yupi ilhali wanampinga Yesu mwenyewe?
    Hakika dini ya haki mbele ya Allah SWT ni ya Uislamu,enyi kina Ndacha na wafuasi wake Mungu awaongoze ili mpate kalima njema siku yenu ya kuondoka kwenu hapa duniani la sivyo ni motoni expresssss.....

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah jamani baada ya kuhuzunika nimecheka eti ndacha akilala ndo anaabudu,hahaha jamani,Mwenyezi Mungu atunusuru

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว +1

    Wislam raha siraha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaa Allah mungu awe pamoja nanyi mashekh wetu yani duh ni kz iliyo na ndacha

  • @farhiaabdilahiali2194
    @farhiaabdilahiali2194 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanajaribu kuficha nuru ya Allah
    Kwa midomo yao Allah ata timiza nuru yake hata makafiri hawapendi. AS-SAFF 7-9

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Hata mfiche machafu ya humo kwenye korani yenu tumeshayajua,acha Yesu atukuzwe

  • @noorkeyz1083
    @noorkeyz1083 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahu Akbar

  • @shushu8105
    @shushu8105 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah yarabiin kwanem yakuwa muslim kila mwislam ananur kakita uso wake tazama jinsi walivyo pendeza hapo

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah🇹🇿 Wafundishe wajue dini yakweli

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Nipe andiko uislamu ni dini ya kweli na uzima. Ukinipa nasilimu

    • @muhammadngala1268
      @muhammadngala1268 4 ปีที่แล้ว +1

      @@interiorpaintingdesign9307 ww usisilimu baki hivyo hivyo cha moto utakiona baada ya mauti kukufika

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Sasa dini ya uislamu inaandamana na majini na shetani pia anabudu huko Yani kweli wewe ukiwa na akili penye shetani anaabudu itakua ni dini ya MUNGU wa kweli? Tumia akili yako vizuri. Dini ya shetani haiwezi kua ya MUNGU. Uruke ju ufanye Nini ni hivio. Ju shetani alisilimu naye akawa muislamu.

    • @uwesusaid9764
      @uwesusaid9764 4 ปีที่แล้ว +1

      @@interiorpaintingdesign9307 sheta niwewe

    • @muhammadngala1268
      @muhammadngala1268 4 ปีที่แล้ว +1

      @@interiorpaintingdesign9307 haina neno wacha iwe kama unavyosema lakini kumbuka nlichokuambia mwanzo cha moto utakiona baada ya mauti kukufika hapo ndio utajua maharagwe ni mboga na kua hamna dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu isipokua uislamu

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 2 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Lusaka zambia, Islam won this debate, Christian lost,we love and admire and appreciate the way you conduct those debates in your respective countries, they are very educative

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @rukiamusa9916
    @rukiamusa9916 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashalah mabruk vidume vya Allah waelimishe wajue dini ya haki kua mwisilamu ni rahaa huyu mwalimu pasta ana jichanya hata haeleweki kejeli ndio zakee tu !

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Safi ndacha,Mungu Yuko pamoja nawe,hakika hao mashekhe jasho linawatoka

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Ukristo ndio dini inayomtukuza Mungu si uidlsmu

  • @glorynoel8237
    @glorynoel8237 4 ปีที่แล้ว +3

    Maasha sheikh yusufu

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndacha ni wale watu hupiga ukweli wakijua kupoteza wengine .Mungu amuongoe

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwani huyu ndacha mnadhani ana elimu yoyote ya maneno ya Mungu huyu anatafuta ucheshi kwa kumtumikia ibilisi kwa kuwapoteza watu wasimuabudu Mungu huyu ni kafiri mkubwa hajui chochote amekaririwa aya za kumtusi Mungu akiniamini I asiingie jahannam pekeyake ila nawaambia makafiri wa kikristo msiposoma wenyewe mkajua Mungu anaabudiwa vipi basi hatakuwa na wa kumlaumu siku ya majuto mtajuta majuto makuu na muda wa kutubu haupo

    • @mussakilo4916
      @mussakilo4916 4 ปีที่แล้ว

      Sheh yusuf ipo cku nitakutafuta ninakufuatilia Sana unavyo wanyoosha akina ndacha pia mshauri huyo ndacha aache kmtukana alaah

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 4 ปีที่แล้ว

      sema kweli kweli ila saiz hawezei ona ivo

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 4 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 4 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh Yusuf umempeleka mbio huyu , pole pole sheikh huyu Ndacha hana elimu na hikma walahi.

  • @AaAa-kr9nb
    @AaAa-kr9nb 4 ปีที่แล้ว +5

    kwenda ndacha yuajua ukweli lakini yuapotosha ao wasio jijua watu waliswali msikitini na walivaa kanzu wajua kila kitu lakini upuzi ndio wako na wapotosha wenzio mungu arakuadhibu

    • @ritharitha1685
      @ritharitha1685 4 ปีที่แล้ว +2

      Nyinyi ndio mna potosha watu wasipokua makini wengi mtapotea nyinyi ndacha songa mbele na injili hongera sana ndacha

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ritharitha1685 sasa ww unasifia ndacha na hata hayo maandiko ya bibilia anayasoma nusu,mbona hamalizi maandiko

  • @harbisulub
    @harbisulub 4 ปีที่แล้ว +3

    I love you all my brothers for the sake of Allah. I love your debates, continue your dawa. May Allah bless you all and your families.

  • @abdallashabaani4560
    @abdallashabaani4560 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaw mungu awabariki sana

  • @feisalabdi1005
    @feisalabdi1005 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah

  • @johnsonoyugi1773
    @johnsonoyugi1773 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you brother Ndacha for teaching the truth of the Lord. May Jesus Christ strengthen you in His service. Amen.

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Matthew 22:29

    • @timotheojumal894
      @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว

      @@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp unaunga S Tu mjomba Hujui lolote kuhusina na Biblia😀😀😀,wewe unavyoisoma Biblia unamawazo ya kiQurani ndio maana inakusumbua hata kuielewa, kwanza hilo Fungu halihusiani na matendo ya ibaada, hilo Fungu unataka kulitafsiri wewe unavyofikiri katika akili yako na haiwezekani, sasa hilo hilo Fungu tusome tuone kama kunauharisia wowote wa kuhusiana na Ibaada,
      Mathayo 22:24-30
      [24]wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao.
      [25]Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake.
      [26]Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.
      [27]Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
      [28]Basi, katika kiyama, atakuwa mke wa yupi katika wale saba? Maana wote walikuwa naye.
      [29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
      [30]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
      Basi tujaribu kuingiza akili zako apo kama zitatoshana na hilo andiko , kwanza Yesu kusema hivyo kwamba " Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu" Wapo watu waliokuwa wakimuuliza Yesu kuhusiana na habari za kuoa wake wengi kama ninyi WAISLAMU mnavyofanya mnaoa wanawake mia kwa tamaam zenu wenyewe, lakn Yesu ndio anawajibu wanapotea kwasababu ya mafikiria yao kama ninyi Mnavyoamini kuwa katka Paradise( makao ya milele) mtaenda na wake zenu huo ni uongo Mkubwa kama Yesu alivyosema mnapotea inamaana hiyo hilo andiko linasawazisha hoja Yenu ya madai hayo kwahiyo WAISLAMU mnapotea kwa Mujibu wa Maandiko matakatifu (Biblia) mbingu hakuna kuoa wala kuolewa Njooni kwa Yesu mkawe kama malaika mbingu wachaneni na Muhammad, sasa wewe hapo unatoa hilo andiko kwa mantiki ipi? maana haliingiliani na matendo ya Ibaada wala halina uhalisia wowote kwahiyo Hoja yako au makusudio yako ni Dhaifu.

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว +1

    Message kutoka Canada. Wapendwa Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah

  • @georgeasalla6967
    @georgeasalla6967 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mchungaji Ndacha,nakupata vizuri sana nikiwa Mererani Tanzania

    • @daudijoseph4340
      @daudijoseph4340 3 ปีที่แล้ว

      Nami pia Ndacha nampata100% nikiwa Kigoma TZ

  • @ahmedikhamis2722
    @ahmedikhamis2722 4 ปีที่แล้ว +6

    Alafu uyo Ndacha anamatatizo kweli ety Qur an anaamini baadhi ya vipengele ila tumuombe mungu amuongoze aamini yote

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Tatizo nyi mnatamba kuiamini eti korani iko sawa kuliko biblia,wakati korani vya hovyo vingi na ndiyo hivyo mlivyodhani hatuvifahamu Sasa ndio tunawaekeza kuwa tunavifahamu hivyo mnavyoficha

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo nami nasema wenye matatizo ni nyinyi waislamu

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว +8

    Masha-Allah ustadhi Yusuf hiyo mhadhara ulifanya nimelala na furah sana tena sana, Leo umezika ndacha mzima mpaka akakwambia amwachie mwalimu Abbas, inalilah wa inalilah rajuni, ustadhi Yusuf ungekuwa humurumil huyu ndacha kama Leo angekuwa anakuona na anakimbia mbio sana, mpaka saai ustadhi Yusuf nakupongeza sana, siku yoyote ukikuja huku side ya kisumu na western nijulishe nkuletee zawadi yangu, kwa haki ustadhi Yusuf Mungu akuzidishie muda Leo umefurahisha waisilamu sana, umenipa maandiko mazuri yenye ntafundishie hawa makafiri,Mungu amjalie

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  4 ปีที่แล้ว

      Alhamudulillah

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Nashukuru MUNGU kwa kuwapa wanadamu maaarifa yakuweza kusoma bibilia takatifu. Na waislamu waweze kuokoka.

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Ndacha kiboko yao

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Lakini Mimi huwanga najiuliza enyi waislamu mna akika mtafika kwa MUNGU wa kweli ili hali mnaabudu na shetani msikitini?

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว

      @@interiorpaintingdesign9307 hata yesu alikuwa na mwanafunzi wake shetani Hiyo huiyoni? Na toa andiko inayo sema tunaswali na mashetan mskitini

  • @annasongolo2887
    @annasongolo2887 2 ปีที่แล้ว

    mungu ambariki dancha, mimi ni mkristo msabato,

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah

  • @stephenelieza6726
    @stephenelieza6726 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtabatizwa kupitia kweli tuu

    • @kibojewee2710
      @kibojewee2710 4 ปีที่แล้ว

      Uwongo mtupu uwongo mtupu, hahaha😂

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 3 ปีที่แล้ว

      Pole kwa ndoto yako ya mchana

  • @SharifMustafa
    @SharifMustafa 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahuakbar.

  • @mwanaidishibe9275
    @mwanaidishibe9275 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Ndacha mgumu na mshindani sana ihali anajua Ukweli

  • @mohammedali7803
    @mohammedali7803 4 ปีที่แล้ว +2

    Jezakha''Allahu kheir

    • @interiorpaintingdesign9307
      @interiorpaintingdesign9307 4 ปีที่แล้ว

      Kile napenda ni waislamu ni watu wakulalamika Wala hawana helimu. Na ndio maana muhumad akawambia waulize waliotangulia waislamu Yani wakristo. 87:18 Qur'an photocopy

    • @alhabibymasoud3445
      @alhabibymasoud3445 3 ปีที่แล้ว

      ما شاء الله

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha anajua ukweli

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 3 ปีที่แล้ว +2

    Asokubali kushindwa simshindani. " NDACHA " lazima tumsilimiahe in sha Allah 🤲🤲🤲🇰🇪

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Kabsa

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Ambao ni nyinyi waislamu hamkubali kushindwa,Sasa Hapo Ndacha kashindwa nini?Hata mjitahidi kuficha tumeshajua Kila kitu Cha waislamu hamna Mungu wa kweli

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Ndacha Mungu akulinde na na hao waislamu uwafundishe kwani wanadhani hatujui wanachoabudu ni uchafu mtupu

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Ndacha laxima ubatize waislamu hao

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Ndacha lazima awabatize mashekhe hao

  • @Prisca-fj9zv
    @Prisca-fj9zv 2 หลายเดือนก่อน

    ndacha wewe ni baraka toka kwabwana amina

  • @sefaniaslyvestertv1498
    @sefaniaslyvestertv1498 4 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu poleni kwa kuwa mnalazimisha kuvaa miwani ya mbao ili mupotee maksudi

  • @rajabkimia1876
    @rajabkimia1876 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi njema kila la kheri Allah awafanyie wepesi kazi mzito Sana..... jazzaka Allahu

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 ปีที่แล้ว +3

    Ata usipoiamini Kur,an huzidishi hupunguzi kuna wengi sana tunao iamini kwaiyo kwanyie wakiristo tu nikama ulo dondosha shindano kwenye bahari

  • @jumaakatembe7106
    @jumaakatembe7106 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha shida yako huna hoja, umeambiwa utetee ibada ya kikristo na Nani ameamrisha ifanywe hivyo... Sasa yeye aruka ruka kuthibutisha hawezi... Alafu maskini wale walioko pale pia wanajichekea tu na ukweli hawaujui...watu wapenda vya rahisi kweli yani raha tu..

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha kabeba vitabu Au Nn Jmn 😃 Ndacha muogope mungu.. unawapoteza tutu karibu ktk uisilamu dini y hakh

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushindwe kbsa wewe kwa jina la ALLAH

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alykum www ndacha rundi school unapoteza wa kristo

  • @AmiirAlwajidiAsomaal
    @AmiirAlwajidiAsomaal 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri ustadh

  • @AaAa-kr9nb
    @AaAa-kr9nb 4 ปีที่แล้ว +4

    we ndacha wajua lugha ungesema kifur fir kifudi.fudi sio kuanguka kifur fur

  • @estherkanini4627
    @estherkanini4627 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kushidani hapa nikujua kweli

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 3 ปีที่แล้ว +1

    NDAcha hawezi kushindwa

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  3 ปีที่แล้ว

      Eee ndacha kwamashidano ameshida, but kwa kufundisha hawezi, labda waisilam wamupatie elimu

    • @thegospelmessage5039
      @thegospelmessage5039 3 ปีที่แล้ว

      @@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp huyo ni mwalimu kutoka mbinguni

  • @MwandagasyaVicente
    @MwandagasyaVicente 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mutangazaji unapengamiya haupo serieuse

  • @bilo1106
    @bilo1106 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha alipeleka urongo Tanzania ssa maana amemuacha yesu kenya amenda kutafuta pesa ..vile munavyopenda pesa waenda kutafuta hela chenji yake iko chin sana kenya ...usije ukazeekea huyko maana ujaz her ungeenda yuganda

  • @faithwairimu1466
    @faithwairimu1466 3 ปีที่แล้ว +1

    The debate is good between christians and muslims

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 2 ปีที่แล้ว +1

    enzi zile dozz ilionja kama coctail ya pilipili dasha ilimwashaa😀

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +1

    NDACHA NIPE KABILA LA YESU TAFADHALI?

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha biblia imeshuka kutoka wapi? Je imeandikwa na nani?na imeteremkia wapi na malaika gani kaishusha?

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wisilam ustadh yusufu we kimboko ya ndacha 😃😃😃🤝wape 🤣 wataelewa tu

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndacha kapatikana

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wewe hulali na kiatu kitandani kwako Ndacha acha upotofu,kiatu unachovaa kinakanyaga uchafu sasa chukua kiatu weka mezani wakati wa kula.

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran masheikh wt lkn huyu ndacha c Kama haelew kuwa ukiristo c dini c unamuona anavotapatapa cjui kusujudu c kufany hiv au vp yn anajuw ukwel asaa. Ila anadangany wt

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha huyu alikufuru kitambo muache Ile cku yake ikifika ndo atajua hajui

    • @ritharitha1685
      @ritharitha1685 4 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndio mnakufuru ngojeni siku ya mwisho mtasema tungejua

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 4 ปีที่แล้ว +3

    huyu jamaa yuko na akili kweli . wewe haujui maana ya kusujudu acha kudanganya watu mbona waogopa

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +1

    JE ?YESU KATEREMSHIWA KENYA MBONA UNAMTA WEWE NA YESU SIO KABILA YAKO?

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 2 ปีที่แล้ว +1

    Umesema kusujudu kumeandikwa kwenye bibilia sasa umekiri mbona hausujudu kwenye Ibada zako.sasa hapo kuna agano la kwanza na la pili sasa hivyo vitabu vimeandikwa na nani kama kweli?Hoja yako haina msingi na wanawake wanasali wakiwa na nguo fupi?

  • @samxx411
    @samxx411 2 ปีที่แล้ว +1

    Naona ndacha haoneshi ibada za kikristo, kazi yake ni kupinga za waislam

  • @Alkaburu
    @Alkaburu ปีที่แล้ว +1

    Ndacha amka kutoka usingizini. Eti hiyo ni biblia ya kiafrika, kwa hiyo biblia zinatofautiana 😭 basi sio kitabu cha kukitegemea wala kukifuata.

  • @bonanekad8702
    @bonanekad8702 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha is very intelligent congratulations

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha anafundisha kiswahili na anasema kifuri kifuri badala ya kifudi kifudi.....huyu ni sarakasi na ukafiri na hata kiswahili hafahamu

  • @sulaimansleemalhajri9108
    @sulaimansleemalhajri9108 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha anakuja kuharibu na kuchafuwa uisilam haje kufundisha wala kujifunza hatumie elimu anaongea maneno ya mitani.

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha show us how christians worship.

    • @timotheojumal894
      @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว +1

      John 4:23, 24
      23 But the hour cometh, and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth: for the Father seeketh such to worship him.
      24 God is a Spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth.
      This is how we worship " In spirit and in truth"

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 4 ปีที่แล้ว +2

    furaha kuona Mohamed Yariti

  • @khalifaali9229
    @khalifaali9229 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha hajujui lolote

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Ndacha anajua kweli lakini-------

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว

    Ijumaa ni siku ya mauaji siyo ibada

  • @timotheojumal894
    @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว

    WAISLAMU NJOONI KWA YESU, ndacha anajitahidi sana kuwafungua akili zenu lakn mnamzihaki acheni ziaka maana hazina faida yeyote,

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha hauwezani na Yusufu mwalimu wako huyo