Wewe othman ndo ulie nifanya mimi nikabadili dini na kua muislam 😭😭 Allah akupe shiffaa tuzidi kukusikiliza na kuyafata haya unayo tukumbusha inshaa’allah
masha Allah huyu sheikh hatari sannna anajenga jamiii yeye hatoi mawaiza ya ikhtilaf wala kutumia jazba ni mkumuelekeza muumin kuufanya uislamu wake uwe mzuri masha Allah ya rabi mpe maisha marefu yenye kheri nae azidi kutupatia vyakula vya moyo
Mashallah mashallah Allah akujaze kheir na baada ya kheir jannatul firdaus akuzidishie taqwa na uchamungu wako uzidi kutuelimisha na sisi umati Mohamad S.W.
The maalim I love his elimu alot may Allah bless you with along life maalim mafunzo yako huwa yananielimisha zaid nikiskia hutba yako huwa na furahia tyu
Mashaallah shekh Wang nakusikza tangia 2002, mpaka leo nimefarajika sana na mawaidha y'ako yananifanya niishi maisha mazuri na tulivu na yenye furaha klck silali bila kkckza ww , Allah akujalie kheri maisha y'ako yote na akujalie pepo uishi pmj na mtume Muhammad s.a.w., Nawausia ndugu zangu siku atakapofariki shekh wetu bhs nimda wa kughariki kisiwa Cha znz Nuru haitakuwepo tena, Bora mtu ahame kbs kbs hakna km ww mashaallah, Allah akujalie maisha marefu yenye kheri zaid yahapo, inshaallah🙏
Millard Ayo usahihi sikuzote unapatikana kwa watu wema kama nia na juhudi za kufuata mwenyez mungu agakuwekea wepes nas insha Allah atujaalie ktk kuyafuata yalio yakheli
MashaAllah, Allah Barik sheikh Othman, huchukia Sana ninaposikia watu wengine wanakuzungumza Kwa mabaya. Mungu akulinde na akupe kher Zaid na neema ktk umri wako wote.
shekh othman wako wapi wanaume kama hao wanaume wasikuhizi asalam yake pia nimatusi bora awe na hela kidogo hujisahau kama yy n binadamu twasikitika sana kwa hi maisha ya wakati hu tulonayo allah atupe sahali yarab
maa shaa Allah Allah akuzidishie ilmu, barka, afya na uzima uzidi kutuelimisha nasi wasikilizaji tuwe wenye kuyafanyia kazi biidhnillah shukran sana sheikh Othman Maalim
masha Allah... mm pia napenda da'wa zake sana. Natamani nipate mume kama yy Aloshika dini, mpole understanding.. good looking. sauti yake nzuri hana makelele... napata utulivu kila nikimsikiza Natulia kwa mola wangu nikisubiri wala sikati tamaa kwa Allah. Nampenda kwaajili ya Allah, na kwaajii yangu. kama Allah hakuni kutanisha nae hapa duniani Anikuta nishe nae kesho peponi yaa rabb.
Wewe othman ndo ulie nifanya mimi nikabadili dini na kua muislam 😭😭 Allah akupe shiffaa tuzidi kukusikiliza na kuyafata haya unayo tukumbusha inshaa’allah
Amin
amiin hongera sana sheikh
Allah akuongozee😍😙
MashaAllah takbirAllahu
Welcome our sister
Othman maalim ni ustadh wangu alinifundisha huko mombasa kisauni allah amjaalie umri mrefu.amen
masha Allah huyu sheikh hatari sannna anajenga jamiii yeye hatoi mawaiza ya ikhtilaf wala kutumia jazba ni mkumuelekeza muumin kuufanya uislamu wake uwe mzuri masha Allah ya rabi mpe maisha marefu yenye kheri nae azidi kutupatia vyakula vya moyo
Ameen Thumma Ameen
MASHAALAH ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI LEO NA KESHO AKHERA PIA AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE MANUFAA ILI UENDELEE KUTUPA DAAWA.
Nampenda sana huyu shekhe mimi jinsi anavyotoa mafundisho yake mashallah mungu akuweke uzidi kutupa daawa
Irene Bernard
Allah atupe moyo wa imani tufate matendo mema inshaallah
Sxx
Inshallah m.akuafu
Mtaalamu namuamini na ni mwalimu Wangu
Mashallah mashallah Allah akujaze kheir na baada ya kheir jannatul firdaus akuzidishie taqwa na uchamungu wako uzidi kutuelimisha na sisi umati Mohamad S.W.
Maashallah Shekh.. MMungu akulinde akupe umri na afya Yarab...Amiin
Ameen
Zinduna mafunzo mazuri Amina
Zahra Munir ameen
Ameen
Amiin
Mashallah Allah zitakabal dua zetu sote tunao muombea Shekhe wetu Uthman Maalim Allah mpe barka na mwisho mwema yye na sisi Amiin
Mariam Abdalla ameen
MashaAllah uku oman twakupenda sana Allah akujaze kher duwa zako kwa watoto wote wa kiislam
Ameen
Othman maalim, mafundisho tulivu kabisa, hakuna jazba.
Sahihi
Allah akuongezee umr nakupenda kwaajili ya Allah
Masha'allah nampenda sana uyu shekhe Othman Maalim kwaajir ya Allah
Mashaallah mashaallah allah akupambe na umeri wenye afya akuondolee hasad akuzidishie elmu uzidi kutufundisha
mashaallah nakupenda kwa ajili ya allah
Bishara Ahmed
mungu akupende
mashaaalah huyu sheikh hata mimi napenda kusikiliza video zake Allah amlipe malipo mema amena
Allah akuzidishie elmu shekh mawaidha yako nayaelewa vizuri kwa ufaswaha
M mungu akujaaliye
Mashaa Allah! One of my favorite shiekh.
Allah akuweke mwalim wngu Othman Maalim ili uendelee kutufunza yalio mema ishaallah "ameen"
Shekhee wetu MashaAllah nakupenda kwaajili ya Allah💖
huwa imani yangu Inapanda pale ninapo sikia mawaidha yako
allah akujalie mwisho mwema
Ushukran othman
am not a muslim bt i alws litsen this gud teachings Mula akulinde Osman Maalim
Mola akuongoze
Daddie kwanini usiingie kwa dini ya kiislamu.inaonekana umependekwa sana na dini ya kiislamu,utajua mengi yatakaokufaidisha duniani.Allah akbar
May Allah lead u at aswiiratul-mustaqiima
mashaLlahu ALlah akujaalie kuufahamu ukweli na akupe ilhamu ya kuufuata In sha llah
Sasa fanya haraka uingie Ktk dini ya haki uislam.
MashaAllah mawaidha yako yanatia hamu kuyasikiliza hukemei unafundisha kwa busara MashaAllah.Allah akulinde
Mashaa Allah shekhe OTHMANI ALLAH akupe umri mref uzid kutujuza tusoyajua..na akutanulie zaid ghelimu yako🙏
mashallha sheke othuman mawaiza unayo toa yanafundisha vizuri na nakuombea kwa allha akujalie uzidi kutuhutubia Mara zote amina
Nimejifunza kitu hapa! Mwenyezi Mungu akubariki na kukuongezea Hekima
Ktk mashekhe ninao waelewa hakika wewe nakuelewa Sana Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema
Huyu sheghe yuk vizr munq amzidishie umr na sis tujifunz siy yapitiliz jaman
Allah amjalie maisha malefu ili aendelee kutoa dawa inshallah
Mi mke ameondoka wiki moja tu ....hali si hali.........Allah akbar
Alhamdulilah wengi tumeelimika kupitia mashehe .Mola awalipe ujira mkubwa na kesho tuwekwe pema penye wema.
Mawaiza yako kil siku muzuri saana Allah akuipe peponi Sheik Othmn.
The maalim I love his elimu alot may Allah bless you with along life maalim mafunzo yako huwa yananielimisha zaid nikiskia hutba yako huwa na furahia tyu
Masha Allah Othman kwa daawa nakupenda sana Allah akupe kher nyingi na baraka
Mashallah mashallah mashallah nakupenda kwa ajili ya Allah mungu akuzdishie ujira wko inshallah Ammin allahuma ammin 🤲🤲🤲
Nikijisikia nimeudhika sina raha I always listen his daawa and nikashinda vizuri
Kumbe tuko wengi. Sikiliza kisa cha kabla ya kuubwa ulimwengu Allah alikiwa wapii
Allah akuongoze katika kher daima, nampenda sana huyu shekhe nikisikiliza mawaidha yake am so happy moyo unakuwa laini
Asalam aleykum sheikh Othman maalim nafatilia sana mawaidha yako Allah akupe umri mrefu uendelee kutupa darasa inshaallah
nakupenda xn shehe othuman mungu akuripe inshaallah aturipe nasi turiopo
بارك الله في علمك شيخ و احب طريق شرحه ماشاء الله
اللهم من عاده فعاده ومن كاده فكده ومن بغى عليه مهلكة فاهلكه
Allah amsimamie huyu shekh nampenda sana
Kuluthumu Kitwana mashallah
Kuluthumu Kitwana k
Mashallah sheikh huy anatuelekez vzur
katika watu wanaotoa mawaidha na kuyaelewa ni pa1 na ww ostadh wangu
Walah Mimi nakuwa Muislamu haya mafundisho ni mazuri na naona furaha ndani ya moyo wangu nimechoka kupoteza muda.
Karbu sna kk yapo Mengi Mazur ya Kujifunz ktk Uislamu na Ni Mazur Mno
Takbirii
Maashaallah sheikh, Allah akuhifadhi uendelee kutupatia dawa ya nafsi zetu
Allah akupe kher uzid kutupa ilmu @sheikhothman
Mashaallah shekh Wang nakusikza tangia 2002, mpaka leo nimefarajika sana na mawaidha y'ako yananifanya niishi maisha mazuri na tulivu na yenye furaha klck silali bila kkckza ww , Allah akujalie kheri maisha y'ako yote na akujalie pepo uishi pmj na mtume Muhammad s.a.w.,
Nawausia ndugu zangu siku atakapofariki shekh wetu bhs nimda wa kughariki kisiwa Cha znz Nuru haitakuwepo tena, Bora mtu ahame kbs kbs hakna km ww mashaallah, Allah akujalie maisha marefu yenye kheri zaid yahapo, inshaallah🙏
Hamdhillah atleast I have learnt something.Much Respect to my lovely wife #UmmuZeinab
mashallah jazakallah hayra, ya Allah tujaaalie watoto wema wenye kuendeleza dini inshallah,,,,amiin
0p0 of î
JAZAKALLAH KHEIR SHEIKH OTHMAN ALLAH AKULIPE KHERI.
Wallah nampenda shehe maalim mawaidha yake Mashallah Allah akulinde Inshallah
Nataman nijifunze mengi kutoka kwake zaidi niwe kama yeye
Ukiwa na nia iliothabit mtafute na atakufundisha.
Mungu ampe maisha marefu mana anatupa elmi
MashAllah Mungu akupe maisha marefu uzdi kutuupa dawa
Millard Ayo usahihi sikuzote unapatikana kwa watu wema kama nia na juhudi za kufuata mwenyez mungu agakuwekea wepes nas insha Allah atujaalie ktk kuyafuata yalio yakheli
Jifunze utajuwa na wewe utupe dawa jambo nzuri mungu akujaliye upate wepesi waniya yako
Maa shaaa Allah Sheikh Othman ni zawadi kwetu Waislamu toka kwa Allah
Maashallah Allah akupe maisha marefu na akuifadhi kesho akhera 🙏
Mashallah nampenda sheikh malim hana kibri Mashallah
Nimecheka Sanaa ,,, mashaallah sheikh Mungu akuzidiahie kheri hapa duniani na akhera
Shehe mungu akujalliye kilalenyekheri nawewe asante kwadawa
Allah nakuomba mpe shekh othman maisha bora ulimwenguni na kesho mpele ya hukmu kwa uwezo wako yaa Allah
Mashaa Allah Allah Akuhifadhi shekh Wetu Karibu tena singida Allah Akupe Khatua karibu Sana.
masha Allah Mola akueke sayyidy
Mashalla ya nimepata faida kubwa Sana shekh
Allihamdul llah namshukur sana mwenye zimungu kutupatia sheikh huyu Othman maalim mwenye huruma na waislam
Allah akuweke na kukupa nguvu zaidi kila kukicha.hakika nafarijika kusikia mawaidha yako.nakupenda kwa ajili ya Allah
ماشالله بارك الله فيه
MashaAllah, Allah Barik sheikh Othman, huchukia Sana ninaposikia watu wengine wanakuzungumza Kwa mabaya. Mungu akulinde na akupe kher Zaid na neema ktk umri wako wote.
mansha allah sheikh allah akulipe kila la kheri ktk maisha yako allahuma amiiin.
Allahu Barik Ishallah!
mashaallah allah akulinde sna shekhe
You are among the very few who speak clearly, nicely, politely and most of all with passion and love. Only 3 words from me, God bless you.
Amiinn
May Allah protect you and your family for the good knowledge you pass on to umati Muhamad....Ameen
shekh othman wako wapi wanaume kama hao wanaume wasikuhizi asalam yake pia nimatusi bora awe na hela kidogo hujisahau kama yy n binadamu twasikitika sana kwa hi maisha ya wakati hu tulonayo allah atupe sahali yarab
ummu fatma fatma c wote dadangu Ummu Fatma wapo baadhi yetu wazuri
Mimi katika mmoja wao @ Ummu Fatma
Swadakta !!! Hawapo hao wewe unaangukia matusi tu
Maa shaa Allah. Allah akuzidishie ilmu sheikh Othman Maalim
Shekhe Othman Maalim nakuombea kwa ALLAH akuzidishie kheri na baraka uzidi kutuelimisha AMIIN
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
Nakupenda sana OTHMAN MAALIM mungu akuruzuku tawbah kabla umaut
jazakallahu akhyra sh. Othman nayapena sana mawaidha yako
Kwakweli napenda sana mawaidha yako hayachoshi kusikiliza munguajarie kheri
Mwenyezi Mungu akuhifadhi.. JazakAllah kheir.
Mashallah
@@swalehmohd1987 mmkkkkkkkmkmjj mm look loom km JJ n
@@swalehmohd1987 mmkkkkkkkmkmjj mm look loom km JJ n
MashaAllah unapotoa mawaidha yako una utaratibu sana mtu yuwaelewa neno baada ya neno mungu akujaze mbele na nyuma
mwenyeez mungu akujaalie maisha marefu shekh namim nasema allahuma jaalna minhum
Manshallah millerd ayo kujifunza na kuingia kweny din ya kiislam ndio utajua dhaman ya mawadha na din ya haki
maa shaa Allah
Allah akuzidishie ilmu, barka, afya na uzima uzidi kutuelimisha
nasi wasikilizaji tuwe wenye kuyafanyia kazi biidhnillah
shukran sana sheikh Othman Maalim
mashallah Allah awe nawe
May Allah bless you so much
masha Allah... mm pia napenda da'wa zake sana. Natamani nipate mume kama yy Aloshika dini, mpole understanding.. good looking. sauti yake nzuri hana makelele... napata utulivu kila nikimsikiza Natulia kwa mola wangu nikisubiri wala sikati tamaa kwa Allah.
Nampenda kwaajili ya Allah, na kwaajii yangu. kama Allah hakuni kutanisha nae hapa duniani Anikuta nishe nae kesho peponi yaa rabb.
Amin inshaallah kw sote
mungu aziwafanye dua zetu ziwe za kweli kwa sheikh wetu kuwepo kwake tunapata vitu vingi wallah
Twish khalifa tz massha Allah. Ustaz ni best sana. Twakualika changamwe kwako Zamani. Pls pls
Twish khalifa tz mh
Nice darasa mashallah mungu akupe afia ameen thuma ameen
Allah akulinde sheikh tuzidi kufaidi
MashaAllah amin sheikh🤲🤲🤲
masha Allah Allah akuongoze na akupe umri mrefu wenye her na kila mwenye chuki nawe Allah akulinde .nakupenda sana kwa ajiri ya Allah
mashaallah
🙏🙏
MA Sha Allah
nakupenda sana kaka Othman
Mashaallah alla akuongoze
Zamzam Hamisi babu yako amir au
Sheikh Wetu mashaallah watupa elimu kubwa allahumma amini
Ww umenibadilisha sana mm Osman malim shukran sansa
Mashallah Allah akufanyie wepec ktk kazi zako za daawa na akupe kheri daima.na.kusimamishie mke.mwema uishi nae mpk kufa kwa wema.amin
mashaallah shukran sheikh
mashaallha
Allah akujaalie umri mrefu na afya njema sheikh
Maasha Allha shekhe mwenyezimungu akupe umri mrefu uongoze umaaa wake
Mashaallah mungu akupe kila la kheri shehe watu
Allah akuzidishie ilmu sheikh
Walah napata elimu ya kumjua Allah zaidi kupitia kwako Sh. Othman Allah atulinde soteni tuzidi kuelewa Allah zaidi.. Allah atujalie mwisho mwema
Mimi pia kwakweli
Allah akulipe ujura mzr Kwa kazi nzr unayoitowa Kwa Jamalii ya kiislam allah baarik
Good my brother 👊
Mashaallwah jazaka llwahu kheir
masha Allah may Allah reward you
Ma sha Allah mung akuhifadhi
Mungu akuongeze maisha maref
Mashallah..Allah ibarik
JazaakAllah khair othman maalim.