Miraj Khan 0nline kauli yetu ni MKWELI MWAMINIFU pata kusikiliza mawaidha ya masheikh mbalimbali wasiliana nasi au tutumie tukiololote linalohusu DINI na JAMII kwa whatsap +255 713 730 907 au kwa email: buikhan21@gmail.com
Mashekh wetu, Allah AWAHIFADHI na vitimbi vya SHEITWANI,,, mashekhe majibu yenu mazuri Sana na mnakwenda vizuri na mdahalo huu,, sio hao wakiristo hawana hoja,, uislamu ndio dini sahihi, na mtume muhammad ndie anafaa kufuatwa
😂😂😂😂😂sishangai kuona maneno haya sababu hta mm kabla cjaslim nilikuwa km ww,asikudanganye mtu km una akil timam ukiskiliza kwa nia ya kujifunza huwez kuwa mkristo sema ttzo la nyie wakristo mlio manyumbu hamko kwa kujifunza ila mna kariri tu
Huyu Sheikh ana hoja dhaifu sana. Hoja ni kati ya Muhammad na Yesu ni nani wa kufuatwa? Lakini yeye analeta hoja ya Musa na Haruni ambao wakati wao wala hakukuwa na Kanisa wala Sinagogi. Nilitegemea angetoa aya inayozungumzia Yesu bali anahama. Uwezo ni mdogo mdogo sana. Habari ya Muhammad kupanda farasi alidai yeye mwenyewe ilimtokea kwenye ndoto na hakuna aliyeishuhudia. Hivyo sio hoja
Akika kila mtu anahaki yakufuata kitu anachokiamin kuoji imani ya mwenzio kuwa ni ubatili yako nisalama uoni upofu wa macho yote anajua mungu binadam tutakufa dini zote tutaziacha. Sas apo tuache kubishania dini musiingilia majukumu yamungu
Hakika hii mnafanya kama siasa walimu,ila amukumbuki mungu akimuahidi Abraham baraka,uzao kama mchanga.someni kwa kuelewa wala si Kwa kuzindana. mungu ni mkuu yote yawezekana kwake.
Wanatetea ukiristo dini ya uongo. Hawana hata ushahidi. Hawafati hata amri moja ya yesu. Wangemfata yesu wangeingia msikitini wakasujudu ndio yesu anavofundisha
Mungu alituma mwana wake wapekee, saitani alitupwa toka mbinguni?je mbona uamini yesu alifufuka na akaenda mbinguni na alikuwa mwana wapekee,?sasa tufuate Muhammad, musa, yona Samuel, matayo, Luke, Alisha, yakobo, wote wako in bible, jamani nani alisameha yesu au Muhammad mimi nafuata mwenye alifufuka akaenda mbinguni.
Ubishi wa nini ndugu zangu,,mambo ya kidini yanahitaji hekima ya kiroho siyo ya kimwili,,,mungu awa hurumie,,ila nawa sihi tu,mtafute ufunuo wa maneno ya kiroho,,acheni kuzitamka tu,,
Ipo siku watanzania mtakuja juta kumruhusu mazinge kupotosha imani zenu .... Najua xai yanayotokea Mozambique yalianza tu hivi ...ijueni kesho yenu sababu Ushindanishi wa dini unaleta vita
Na bado ako mbinguni, waongo na wauaji hawataona mbingu LA Yesu.Na Yesu Kristo ndiye ufufuo Wa Mwisho,sasa tunafuata ufufuo Wa Mwisho ambaye ako hai milele na milele.Na bado tunafuata Nuru ya Yesu aliye Hai mbinguni.
Wakiristo wengi hawajui bibilia na wengi wao hawajaisoma mpaka wakaimaliza , Igeni mfano Kwa waislamu wanasoma QURAAN yote na isitoshe wanahifadhi nyie mnabaki kupayuka TU ... Soma sana kijana
Shida sio kukata Tanzania inch huru Kama wakristo mnaona midahalo inakatwa waambien waalimu zenu nao watupie vile ambavyo wanaweka wenzao wanaona kabisa Hana hoja ndo Mana hawaweki hoja zao kwahiyo wakristo tulieni
Nenda kasome kijana uelewa wako mdogo sana na ujitahidi kutafuta ukweli kasome bibilia yote mwenyewe alaf ndo uongee na ujenge hoja sio Sasa huna tofauti na CHOKORAA ...
yaaan unajua wazi kwamba wakristo hawana hoja za msingi a b wanajua wanachokizungumza ni pumba ila wanawapotosha wanaotaka kujua dini ya haki mbele Allah kama ni uislamu tu
Hebu nambie,ikiwa ungepatiwa kuku ukachinje upate kula na ukapewa kuku aliyekufa mwenyewe yaani nyamafu, Bila shaka ungechagua asiyejifia mwenyewe, Sasa je, ikiwa watumainia uzima wa milele peponi Napo pakawa na wajumbe wawili wakwanza yeye aliyekufa kisha akafufuka, wapili yeye alikufa na hakufufuka lakini nawe watumainia uzima wa milele ungemfuata yupi kwa mafundisho yapasayo kuuingia uzima wa milele?
Wakristo ndo wakufuatwa,maana sifa nzuri zimetoka kwa JESUS. Maisha ya YESU ni mazuri ila Mohammad ana sifa mbaya kwanza alikuwa mpenda wanawake,alikuwa hana future,sasa unafuata vipi mtu asiye na future!!
@@firo0ozdawah378 What ever you say it's nothing to Christians,our JESUS is BETTER than Mohammad. That's why even when you use his name things HAPPEN😎 Thank you JESUS we Love you!!🙏🙏
Akuna cha hiyo walemafu wasiende kanisani kwa nini??nana yesu alitoka wapi?pia Muhammad alitoka wapi??yesu alifufuka akaenda mbinguni, Muhammad alifufuka akazikwa kama mwanadamu mungu akilundi atafufuliwa, yesu akasema aliyeniona ameona baba, so we have one God a+Jesus the son of God, Okey the Bible says that yesu akasema siku za mwisho atarudi kama mwizi, je kuna mahali Muhammad anaandika atarudi na ako wapi mbinguni ama nduniani @£€€€₩
Kuna walioandikiwa kwenda upotevuni. Mimi leo najua Yesu anarudi niache kumuamini atakaerudi nikamuamini ambae nitasimama nae kwenye foleni ya hukumu. Not make sense
Bilal alikua mfugwa kabla hajakua mwislamu alinunuliwa Abu Bakr Al-Siddique, went to Bilal's master to try and put an end to the torture. He knew the master would value money more than a human soul. So, he offered to buy Bilal for a fair price. After He was bought by Abubakar Sadiq R.A he was set free ( Abu Bakar was companion of Muhammad s.a.w)
@@kiaiezekiel3334 please i refer you to read the legacy of Muhammad. You can get it until u read we are people of reading. Knowledge is power seek it to get the truth
Sheik kumkataa Muhamad unaelewa kamaanisha nini? Mbona liko wazi kumkataa sio hoja yeye Muhamad alikuepo ila hali na Matendo yake yakonwazi pia, hapo bila ushabiki Waalim wa Kikristo wako juu m'no wala elim yao haiwezi kufananishwa na ya waalim wa kiislam Tatizo USHABIKI tu mbona jibu liko wazi KIPOFU Mfano mzuri sana wala hauhitaji MJADALA.
Takwimu za Dunia Kila siku zinaonyesha dini inayokua Kwa Kasi ni uislamu japokua inapigwa vita, tunaonewa , mabalaa yote kwetu waislamu lakini Bado wanasilimu , WEWE HUJIULIZI TU MASWALI INAKUAJE ? Millie sana mola wako akuongoze kwenye haki
Astaghfirullah wewe unae jiita yohana wewe ni murtadi na mna fiqi mmoja, usipo rudi katika njia ya haqi uta ipata pata huko unako kwenda. Halafu una tafsiri unavyo taka wewe ama kweli huna elimu kabisa ya dini ya ki Islam nenda uka some tena
Michael unadiriki kuwaita waislamu mbwa, hivi ukristo haukatazi vitu vya kijinga kama hivyo? Basi mm ni muislamu ila cwezi kumwita mkristo mbwa maana dini yangu ni dini ya wastaarabu.
Wakiristo wengi ni MACHOKORAA kwasababu hawasomi bibilia ... Wanaburuzwa tu ndo maana wanaitwa kondoo ... Ushahidi na mfano huo hapo mbele yenu alichokiongea
@@firo0ozdawah378 Sawaa sisi kondoo wew Kafiri unasemaje maana ya Uislam ni Ukafili Wa Maaka mpaka Leo mnaabudu sanamu LA jiwe jeusi,,mnasema Allah Allah kumbe siri lmefichuka Allah kumbe jiwe jeusi lipo ndani ya al Kaaba,
Kweli wewe CHOKORAA wahed ... Nenda kasome ujifunze hivi wewe unaweza ukampanda yesu kimungu chenu juu ya kichwa hamuwezi hata siku moja Kwa taarifa yako Sasa we CHOKORAA wahed watu tofauti walikua wakipanda juu ya Alkaaba na wakitoa adhana kabla ya kuswali, mpaka hapo nimekupa elimu ya Bure kondoo wa kike wahed we ...
Mashaallah 💓❤️💓 love Muslim 💓💓 Allah awape maisha marefu kulingania dini yake
Kinyogoli wew ni mkali Bana nakukubali....Mungu akuzidishie....
Mungu akutie nguvu yohana uwahubirie waislam wamjue yesu waokolewe
Mashalla allbdulilai ustaz juma kinhogor 👐👐👐👐👐
Kinyogoli, you are a good teacher of both books, the Holly Quran and the bibles, undisputably well versed
MeshaAllah shekh w2 Allah Subhan w thalan awatia nguvu kw kazi nzuri
Uislamu utabaki kuwa juu poleni sana kwa upotevu
Lakini hautamfikia Yesu Kristo. Yesu wetu ako juu,juu mbinguni kwa Nuru.
Safi sana Yohana Omar kumbe umestukia jinsi wanavyoharibu film
Maashaallah mwenyezimungu awaongoze mashehe wetu
Mashekh wetu, Allah AWAHIFADHI na vitimbi vya SHEITWANI,,, mashekhe majibu yenu mazuri Sana na mnakwenda vizuri na mdahalo huu,, sio hao wakiristo hawana hoja,, uislamu ndio dini sahihi, na mtume muhammad ndie anafaa kufuatwa
Safi Sana mungu awabariki
Kinyogoli Allah akupatie maisha marefu uitete dini ya mwenyezimungu
Sheikh uko poa ma sha Allah
Mashallah Allah awalinde masheh wetu
Mashallah
Mwalimu.munguakubaliki.walikuwa.wanatuonea
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali
jibuni kwa hoja nzuri zenye vina waislamu majibu yenu hamtumii akili
Hao si watoto wa ahadi,hivyo hawana Hekima wala maarifa.😎😂
😂😂😂😂😂sishangai kuona maneno haya sababu hta mm kabla cjaslim nilikuwa km ww,asikudanganye mtu km una akil timam ukiskiliza kwa nia ya kujifunza huwez kuwa mkristo sema ttzo la nyie wakristo mlio manyumbu hamko kwa kujifunza ila mna kariri tu
Wakristo hawana akili akilizawo nimatope sana
Kinyogoli jamani nikupe nini mm na hao wenzako allah awazishie sana kila hali
Mashaa Allah, this sheikh is eloquent , Allah amuhifadhi ,Ameen thumma Ameen
Huyu Sheikh ana hoja dhaifu sana. Hoja ni kati ya Muhammad na Yesu ni nani wa kufuatwa? Lakini yeye analeta hoja ya Musa na Haruni ambao wakati wao wala hakukuwa na Kanisa wala Sinagogi. Nilitegemea angetoa aya inayozungumzia Yesu bali anahama. Uwezo ni mdogo mdogo sana.
Habari ya Muhammad kupanda farasi alidai yeye mwenyewe ilimtokea kwenye ndoto na hakuna aliyeishuhudia. Hivyo sio hoja
Kinyogoli is fantastically eloquent and to the point
Waisilamu okokeni pokeyeni Yesu kristo
Mashallah Allah Awapenguvu
Yohana omari hunajipya wew huko umefata maslahi lakini jahannam inakusubiri
si ukweli th-cam.com/video/By4VATBOr70/w-d-xo.html
Omar usisome Quran na kiarabu wew ni kafiri....kaa huko huko usitusomee Quran yenyewe hujui kuisona waikufuru...
Allah awaokoe mana hja hawana wakrixto
MA SHA ALLAH
Kristo nidjiwe limekatariwa na wadjenzi lakini kwa Mungu limecaguriwa
Raha ausi Raha 💓
Akika kila mtu anahaki yakufuata kitu anachokiamin kuoji imani ya mwenzio kuwa ni ubatili yako nisalama uoni upofu wa macho yote anajua mungu binadam tutakufa dini zote tutaziacha. Sas apo tuache kubishania dini musiingilia majukumu yamungu
Jesus Christ is the Son of God. he can save us. Acts 17:30
hamna hoja za msingi waislamu
Hakika hii mnafanya kama siasa walimu,ila amukumbuki mungu akimuahidi Abraham baraka,uzao kama mchanga.someni kwa kuelewa wala si Kwa kuzindana. mungu ni mkuu yote yawezekana kwake.
Masha Allah kazi ya daawa mzurii alafu huyu jamaa wakwanza ameritadi au nn 🤔
Mdahaloo endelerni kuendeleza vidyo zake
Yaaan wakristo Wana kashfaaa mno awajuii kuongea kwa adabuu na mtachomwa motoo 😩😩😩Allah awaongozeee
Utachomwa moto wewe na waislam wenzio 👹
Nabii Issa kapewa Injil na Yesu kapewa Bibilia
Wanatetea ukiristo dini ya uongo. Hawana hata ushahidi. Hawafati hata amri moja ya yesu. Wangemfata yesu wangeingia msikitini wakasujudu ndio yesu anavofundisha
Wewe ume kwenda kutafuta pesa kwa kusema uwongo hasbiya Allah wani'mal wakiil
NAWAPENDA SANA KINYOGOLI UPO VIZURI
Hawa wakristo wamepotea kweli kweli
Huyo yohana ni muongo na mzandiq, hana lake moja
Maashalah
Mashallah Allah
Msikate vpande bna
Wakati kristo wanajibu Wana ongea kama Wana pigana maana hawana confidence.hata wkati wako church .
Mungu alituma mwana wake wapekee, saitani alitupwa toka mbinguni?je mbona uamini yesu alifufuka na akaenda mbinguni na alikuwa mwana wapekee,?sasa tufuate Muhammad, musa, yona Samuel, matayo, Luke, Alisha, yakobo, wote wako in bible, jamani nani alisameha yesu au Muhammad mimi nafuata mwenye alifufuka akaenda mbinguni.
Mimi nimkiristo ukweli unapatika kwakusoma mandiko.
Ubishi wa nini ndugu zangu,,mambo ya kidini yanahitaji hekima ya kiroho siyo ya kimwili,,,mungu awa hurumie,,ila nawa sihi tu,mtafute ufunuo wa maneno ya kiroho,,acheni kuzitamka tu,,
Yesu do njia
Ipo siku watanzania mtakuja juta kumruhusu mazinge kupotosha imani zenu .... Najua xai yanayotokea Mozambique yalianza tu hivi ...ijueni kesho yenu sababu Ushindanishi wa dini unaleta vita
Ndo walivokudanganya wazungu 😆
Adam so mtume😂😂wakristo 🙌🙌🙌
Ukweli unajulikana sasa na waislamu wanaelewa wafanye mabadiliko tu
Na la msingi ni sisi wakristo tushikamane bila kujadili umadhehebu
Jifunze kuelewa
S.A.w
Hivi huyu yohana murtadi anawezaji kumuabudu binadamu (issa bin maryam) yesu badala kumuabudu mungu mmoja hilo ni tatizo la kisaikology
Ningekua rais wa tz nisingemrusu mazinge kupotoza wa tanzania 🇹🇿
Nahayitotokeeya weyekuwa rahisi tuliya
Wewe jinga kabisa naainge tokea ww kua rais
Allahu akbar
Yesu kasema uongo mara kadha kwa mjibu wa biblia ata ni hajabu sana waislam hawajui kwamba yesu kadanganya
Na bado ako mbinguni, waongo na wauaji hawataona mbingu LA Yesu.Na Yesu Kristo ndiye ufufuo Wa Mwisho,sasa tunafuata ufufuo Wa Mwisho ambaye ako hai milele na milele.Na bado tunafuata Nuru ya Yesu aliye Hai mbinguni.
Kwely haki itabaki kuwa haki
Waislamu hawatokaa waelewe maana kitabu chao kimekuja kigeni na kitaondoka kigeni!.
Wakiristo wengi hawajui bibilia na wengi wao hawajaisoma mpaka wakaimaliza , Igeni mfano Kwa waislamu wanasoma QURAAN yote na isitoshe wanahifadhi nyie mnabaki kupayuka TU ... Soma sana kijana
Yesu juu aruke juu uanguke chini
Mnaweka vipande vinavyowabeba zaidi waislam, mbna mnakata ivyo 😁😁😁, weken full
Kweli kabisa
mashalaah th-cam.com/video/By4VATBOr70/w-d-xo.html
Cjakuelewa vifup vp kwan anae anza kuongea hapo ni Shekh....? Tulia dawa iwaingie
Ndacha ashindwa kujibu swali la prof:Mazinge Tanga th-cam.com/video/wRZOA3R8AGI/w-d-xo.html
Mazinge hauna lolote ....tulia ufunzwe
Shida sio kukata Tanzania inch huru Kama wakristo mnaona midahalo inakatwa waambien waalimu zenu nao watupie vile ambavyo wanaweka wenzao wanaona kabisa Hana hoja ndo Mana hawaweki hoja zao kwahiyo wakristo tulieni
Sana
Yohana acha kuongopea watu mdahalo wa south Africa likuwepo ulikosaga chakujibu kabisa
Mohamed alikufa hajafufuka, Yesu alikufa akafufuka, sasa nitamfuata vipi asiyefufuka??, kifo kimempiga
Nenda kasome kijana uelewa wako mdogo sana na ujitahidi kutafuta ukweli kasome bibilia yote mwenyewe alaf ndo uongee na ujenge hoja sio Sasa huna tofauti na CHOKORAA ...
yaaan unajua wazi kwamba wakristo hawana hoja za msingi a b wanajua wanachokizungumza ni
pumba ila wanawapotosha wanaotaka kujua dini ya haki mbele Allah kama ni uislamu tu
Mchungaji uko fiti
Hebu nambie,ikiwa ungepatiwa kuku ukachinje upate kula na ukapewa kuku aliyekufa mwenyewe yaani nyamafu, Bila shaka ungechagua asiyejifia mwenyewe, Sasa je, ikiwa watumainia uzima wa milele peponi Napo pakawa na wajumbe wawili wakwanza yeye aliyekufa kisha akafufuka, wapili yeye alikufa na hakufufuka lakini nawe watumainia uzima wa milele ungemfuata yupi kwa mafundisho yapasayo kuuingia uzima wa milele?
@@makutanochristoph2820 yesu juu
Kabisa wanapotosha tu watu haoo
Mbona mohammad alikunja paji la uso kipofu alipomuendea.
Nashkuru kuwa muslim
Waislam hawana hoja polopaganda nyingii
Wakristo ndo wakufuatwa,maana sifa nzuri zimetoka kwa JESUS.
Maisha ya YESU ni mazuri ila Mohammad ana sifa mbaya kwanza alikuwa mpenda wanawake,alikuwa hana future,sasa unafuata vipi mtu asiye na future!!
punda wa watu Yuko wapi ? MWIZIIIIIIIII
Uislamu ndio dini ya haki mpaka KIAMA...
@@firo0ozdawah378 Mohammad was a WOMANIZER😎
@@firo0ozdawah378 What ever you say it's nothing to Christians,our JESUS is BETTER than Mohammad.
That's why even when you use his name things HAPPEN😎
Thank you JESUS we Love you!!🙏🙏
May the Almighty guide you ... Aameen
Sasa umesema cc ni Vipofu na mbele yetu kuna mtume na yesu halafu Moja wetu amepona sasa cc tunaona vip.wkt Cc wote ni vipofu
Kinyogoli kiboko 😂
🤣🤣🤣🤣mnatuchekesha kwakwel
Akuna cha hiyo walemafu wasiende kanisani kwa nini??nana yesu alitoka wapi?pia Muhammad alitoka wapi??yesu alifufuka akaenda mbinguni, Muhammad alifufuka akazikwa kama mwanadamu mungu akilundi atafufuliwa, yesu akasema aliyeniona ameona baba, so we have one God a+Jesus the son of God, Okey the Bible says that yesu akasema siku za mwisho atarudi kama mwizi, je kuna mahali Muhammad anaandika atarudi na ako wapi mbinguni ama nduniani @£€€€₩
You are right,JESUS is everything we need now days🙏🙏
Kuna walioandikiwa kwenda upotevuni. Mimi leo najua Yesu anarudi niache kumuamini atakaerudi nikamuamini ambae nitasimama nae kwenye foleni ya hukumu. Not make sense
Bilali alikuwa mfungwa wapi Mohammad akamfungulia ?he kept begging for his realise
Bilal alikua mfugwa kabla hajakua mwislamu alinunuliwa Abu Bakr Al-Siddique, went to Bilal's master to try and put an end to the torture. He knew the master would value money more than a human soul. So, he offered to buy Bilal for a fair price. After He was bought by Abubakar Sadiq R.A he was set free ( Abu Bakar was companion of Muhammad s.a.w)
@@saadiashariff5377 then why Mohammed owned slaves ?if true he was a prophet of God
@@kiaiezekiel3334 please i refer you to read the legacy of Muhammad. You can get it until u read we are people of reading. Knowledge is power seek it to get the truth
*you cant*
Sheik kumkataa Muhamad unaelewa kamaanisha nini? Mbona liko wazi kumkataa sio hoja yeye Muhamad alikuepo ila hali na Matendo yake yakonwazi pia, hapo bila ushabiki Waalim wa Kikristo wako juu m'no wala elim yao haiwezi kufananishwa na ya waalim wa kiislam
Tatizo USHABIKI tu mbona jibu liko wazi KIPOFU Mfano mzuri sana wala hauhitaji MJADALA.
Maskini WAGALA KILA HOJA ANASHINDAGWA NA MADA.HUYO YOHANA ni Muongo.
unajifurahisha tu mazinge kiboko yako
Waislamu wamebakia tu kuwa wabishi ila hawana hoja
Unfuatilia vizuri lkn? Hayo uliyocomment ni kinyume chenu nyie ndio hamna jipya miaka yote mnafurukuta lkn hamuwezi kuinuka mkasimama
Takwimu za Dunia Kila siku zinaonyesha dini inayokua Kwa Kasi ni uislamu japokua inapigwa vita, tunaonewa , mabalaa yote kwetu waislamu lakini Bado wanasilimu , WEWE HUJIULIZI TU MASWALI INAKUAJE ? Millie sana mola wako akuongoze kwenye haki
YESU tu ndo anafaa kufuatwa,huyo Mohammed ni mtu haeleweki tu.
Alokutuma umfatu muhamdi nani?mbonatopowengi waslamu atukutaki
@@aminatatu5692 Amina hebu rudi darasani kwanza,then uje na maandishi yanayoso meka na kueleweka.
We unaandika tu bila ya kufanya editing??😎😂
Ukiristo ni upagani. Hata hawaoni haya ukweli wote wanaopewa. Makafiri hawa fy nari jahannam
Hahahahahaha ndg zangu wakristo nyie kila mdaharo ni kushindwa tu, kwel Mungu ni mwema kunitoa huko
Astaghfirullah wewe unae jiita yohana wewe ni murtadi na mna fiqi mmoja, usipo rudi katika njia ya haqi uta ipata pata huko unako kwenda. Halafu una tafsiri unavyo taka wewe ama kweli huna elimu kabisa ya dini ya ki Islam nenda uka some tena
Wa kufatwa ni Muhamad s.a.w basi nyie mukatae shauri yenu
Nionyeshe andiko lolote kama mtume muhammad alikufa akafufuka
Unapotosha watu
Kasome bado mazinge kiboko yako
Nyinyi mnaotoa comment amtak ata kuelewa ni na MASHABIKI wa Yanga, Mbwa nyinyi
Mbwa niwewe kafiri mkubwa kenge wewe kombawmwiko kunguni jini wamgu moja
Michael unadiriki kuwaita waislamu mbwa, hivi ukristo haukatazi vitu vya kijinga kama hivyo? Basi mm ni muislamu ila cwezi kumwita mkristo mbwa maana dini yangu ni dini ya wastaarabu.
Wakiristo wengi ni MACHOKORAA kwasababu hawasomi bibilia ... Wanaburuzwa tu ndo maana wanaitwa kondoo ... Ushahidi na mfano huo hapo mbele yenu alichokiongea
@@firo0ozdawah378 Sawaa sisi kondoo wew Kafiri unasemaje maana ya Uislam ni Ukafili Wa Maaka mpaka Leo mnaabudu sanamu LA jiwe jeusi,,mnasema Allah Allah kumbe siri lmefichuka Allah kumbe jiwe jeusi lipo ndani ya al Kaaba,
Kweli wewe CHOKORAA wahed ... Nenda kasome ujifunze hivi wewe unaweza ukampanda yesu kimungu chenu juu ya kichwa hamuwezi hata siku moja Kwa taarifa yako Sasa we CHOKORAA wahed watu tofauti walikua wakipanda juu ya Alkaaba na wakitoa adhana kabla ya kuswali, mpaka hapo nimekupa elimu ya Bure kondoo wa kike wahed we ...
Muslims hawanaga hoja😅
Allahu akbar
Sasa umesema cc ni Vipofu na mbele yetu kuna mtume na yesu halafu Moja wetu amepona sasa cc tunaona vip.wkt Cc wote ni vipofu