Women Matters (4): Mwanamke aliyeolewa KUTONGOZWA hovyo ni ishara kuwa wanaume wanamuona ni MRAHISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 211

  • @hatimsalum5587
    @hatimsalum5587 4 ปีที่แล้ว +4

    Doctor mwaka ni moja kati ya watu wenye wigo mpana wa kufikiri, ameokoa sana fikra za kila jinsia hasa kwa wale waliokuwa hawajui majukumu yao katika ndoa thanks for your kindness.

  • @stanleygeorge6638
    @stanleygeorge6638 5 ปีที่แล้ว +31

    Sijawai pataga like ata sikumoja jamani wanaume APA kwa Dr mwaka embu dondosheni like wazee wenzangu

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 5 ปีที่แล้ว +16

    Doctor mwaka nmekuelewa vzr sana elimu kwl aina mwisho c vyote utavijua na kwl uhaminifu na hekma na heshima ukiwa navyo maishani utafaulu.

  • @rosepeter415
    @rosepeter415 5 ปีที่แล้ว +11

    Dr nimejifunza,ahsante MUNGU kwa kunipa mume anayejielewa sana

  • @maryrosemukashema2751
    @maryrosemukashema2751 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka nampenda sana kwenye maongezi yake. Tena naya amini kama wa ume wakifanya kama yeye dunia inaweza kuwa paradiso

  • @elizajuma5616
    @elizajuma5616 5 ปีที่แล้ว +12

    Daah hii mada ya leo kiboko yaan doctor Mwaka kanifungua sana Akili....... Sijatamani iishe..... Pongezi kwako Lilian Mwasha kwa watu uliowaalika leo hapo women Matters

  • @buberhb9615
    @buberhb9615 4 ปีที่แล้ว +3

    Doctor nimekuulewa uzuri sana umeeleza vizuri sana na nimejifunza mengi kutoka kwako ALLAH akuzidishie elimu zaidi ili nasi tupate faida kupitia kwako

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 4 ปีที่แล้ว +2

    Mara ya mwanzo naangalia hivi vipindi kumbe vinasomesha mambo mengi Big up Lilian keep it up Dr Mwaka una madini mengi kichwani

  • @bamsoskhamis8735
    @bamsoskhamis8735 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni mada nzuri mno .imenikumbusha mbali sana .nina mifano hai baba yngu alifanya hivyo .na mpaka leo ameharibu maisha yetu na ya kwake pia yameharibika.mno

  • @breenyambu1088
    @breenyambu1088 4 ปีที่แล้ว +5

    I have never used 2hrs on you tube like this. thank you Dr Mwaka and hosts

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani dokta Mwaka nakuelewa sanaa... Yaani unauelewa na unaijua dini yako vizuri mashaa Allah... Ndoa yako ikawe na baraka bi-idhinllah

  • @luluvictor5769
    @luluvictor5769 5 ปีที่แล้ว +62

    Kama umesikiliza ya 1-4 gonga like.

    • @omarymb
      @omarymb 4 ปีที่แล้ว +1

      hahahahahahahahah nimeanza jana usku mpaka nw namaliza

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow, Mwaka has kept me on the screen fir two whole good hours! TWO hours na bado natamani masomo yangeeendelea. Talks a lot of sense

  • @rhodamkungu9132
    @rhodamkungu9132 5 ปีที่แล้ว +9

    Yaani Dr mwaka umeelezea reality ya maisha ya ndoa ipasavyo. Jamani dada Lily andaa kipindi kingine na Dr Mwaka, tupate nondo lol! i'm so happy.

  • @consojacob8636
    @consojacob8636 5 ปีที่แล้ว +5

    Natamani watu wote wangelijua faida za hiki kipindi nimepata faida kubwa ktk akiri yangu. Asante waandaaji.

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +23

    Hawa madaktari unaowatafuta Lilian ni kiboko, nikija TZ lazima nikuone nikupe credit zako uko vizuri sister❤️

  • @papasatv1539
    @papasatv1539 5 ปีที่แล้ว +14

    Gonga mezaaaaaaaa kwa ddk Mwaka

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 ปีที่แล้ว +41

    Madam Lillian tunamuomba doctor mwaka katika kipindi kingine please anamengi sana ya kutufunza

    • @PRAYAGAIN
      @PRAYAGAIN 5 ปีที่แล้ว

      Leylah Ley sure sure mdau

    • @fatumasingano3928
      @fatumasingano3928 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisaaa

    • @omarymb
      @omarymb 4 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa dr dr haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 ปีที่แล้ว +4

    Dokta Mwaka umezungumza ukweli kabisaaa.... "Vitu vya bei ghali haviuliziwi sanaaa" great👍

    • @amalali2554
      @amalali2554 4 ปีที่แล้ว

      Nani nakwambia huku uzunguni vile vitu ni ghali hata watu hawanunui wanasubiri ifanywe sale ndio wakachukue hata mahari ya pesa kidogo ndio yenye baraka mwaka na kuchezewa akili tu mdomo ikija ukwly huwezi ukewenza pesa ndio kila kitu

  • @itsolutions2238
    @itsolutions2238 4 ปีที่แล้ว +2

    dahh kaka mwaka.....upo vzr mkaribishen tenaaaa....ni kweliii anayoongeaa

  • @luckydavid7475
    @luckydavid7475 5 ปีที่แล้ว +6

    Aunty sadaka umeongea vizuriiiii mnooooo, Kweli manaume haya ndo yanaletaga vitu vibaya ktk familiar dah... Kikubwa ni ivi ukikuta mwanaume anatoka nje ya ndoa wanawaketujitambue nikuachanaaa tu, basiiiii

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho nimepata concept nzur Sana jaman mbalikiwe sanaaaaaa mama zetu na Baba yetu Kwa baadhi yetu wengine kaka na dada kwangu mie wazaz wangu ♥️♥️❤️❤️🔥🔥😝women matters💯💪🔥

  • @joycembelwa6427
    @joycembelwa6427 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr. Mwaka nimekuelewa to the extent. Uko vizuri sana kaka.

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kaka angelikuwa na elimu ya dini ya Kiislamu, angeuwakilisha vizuri Uislamu

  • @Ingabirechanny
    @Ingabirechanny 4 ปีที่แล้ว +8

    We're learning alot thanks for helping family's

  • @chalamossi6656
    @chalamossi6656 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah ampee mwisho mwem Dr Mwaka

  • @user-nu9ip9en8i
    @user-nu9ip9en8i 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha-Allah mumenielimisha vyema mwanzo mwisho sikutamani kipindi hiki kisha nimependa saana kipindi hichi. Nawaombea mungu azidi kuwabariki muwe imara mzidi kutuelimisha. 🤝🤝🤝🤝🤝❤❤❤🙏

  • @veronicamangala2488
    @veronicamangala2488 5 ปีที่แล้ว +2

    You are very right Dr. Mwaka, may God enrich you more and more. I wish wanawake wote tungekuelewa....

  • @sportsgram7364
    @sportsgram7364 4 ปีที่แล้ว

    Dr. Mwaka Mungu azid mjalia maisha marefu na yenye baraka, mana kwa masomo yake anokoa familia nyingi sana za watu.

  • @delphinasenge3321
    @delphinasenge3321 5 ปีที่แล้ว +8

    Mwaka nimekuelewa vizuri sanaaaa,,,,,mm shuleni wakaka walikuwa wananiogopa kunifuata nawakituma MTU anakataa mpaka Leo aliyekuwa anatuma watu wanakataa kuja alinitafutaga mpakaleo ndomumewangu ,,,,,nimekuelewa sana

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว

      Masha Allah mpedwa barikiwa Sana muishi maisha marefu na mazur yenye upendo furaha na Aman mzae na watoto wake Kwa waume Amin ya'allab

  • @fatumamusa3704
    @fatumamusa3704 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah nawasalimieni kutoka NY.Dr.Mwaka umeusema ukweli.Mke wangu hana kasoro hata hii moja ila nimekupenda tu.safi sana.Kweli ndoa zina mitihani mungu atufanyie wepesi.
    Amiin

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Mwaka is right 100%

  • @cynthiaprince277
    @cynthiaprince277 4 ปีที่แล้ว +3

    Aisee Dr Mwaka ni motooooooo

  • @estarmussa3363
    @estarmussa3363 4 ปีที่แล้ว +3

    Like so much woman matters

  • @rizikilukali1558
    @rizikilukali1558 4 ปีที่แล้ว +1

    Very good doctor unajitahidi kuwa mkweli, hasa kidini

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 ปีที่แล้ว +3

    Daah Doctor Umetisha Sana umetufundisha mambo mengi Sana.

  • @merryshoki4391
    @merryshoki4391 4 ปีที่แล้ว +2

    Doctor mwaka umeongea ukweli kabisa nimejifuza mengi sana 👌

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +1

    Toka #women's matters ianze this was the grate show kwa kweli, nimejifunza mengi mno

  • @nozgeniuz1812
    @nozgeniuz1812 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr we genious ndomaana unaweza kumilik watu wote

  • @joharijj2164
    @joharijj2164 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow!!!I love this 😍😍😍😍Awwwwo, good lessons

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Dr.Mwaka nimejifunza ktu

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 5 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana💕💕

  • @zainabukassim9924
    @zainabukassim9924 5 ปีที่แล้ว +6

    Dokta ubarikiwee....nimeeelewa na vutatendewa kazi inshaallah

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 ปีที่แล้ว +4

    This show should have bilious of vies nice topics I’ve ever head

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nimejifunza vingi mnoo dr mwaka amefafanua vizuri mnoo, yaani jmni awepo hpo na kipindi kijacho ila na mama Terry

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +2

    Yanini basi kutishiana na kuumizana nafsi, ishi na mke mmoja kadri ya uwezo wako kwani wazuri hawaishi Jamani😳😳😳🇰🇪

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice sana mwaka

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 5 ปีที่แล้ว +3

    Dokta mwaka asante your true n honest

  • @lovenessdiva7132
    @lovenessdiva7132 5 ปีที่แล้ว +2

    Asanten jmn God bless all
    Dr mwaka tunakushukur

  • @fatousaeed7859
    @fatousaeed7859 5 ปีที่แล้ว +4

    From Mombasa, Dr mwaka congrats that's a wonderful and honest talk

  • @najjyali8176
    @najjyali8176 5 ปีที่แล้ว +2

    True. Mungu abariki kipindi chenu.luv from kenya

  • @aminamndeme5623
    @aminamndeme5623 4 ปีที่แล้ว +1

    Ant sadaka nimekuelewa sana .....

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 5 ปีที่แล้ว +6

    From +254,what a sweet topic

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa nimempenda San safi San brother wape elim

  • @zainabukassim9924
    @zainabukassim9924 5 ปีที่แล้ว +3

    Dokta..mashaallah...Allaha akulipe...fact

  • @theresiambunga3155
    @theresiambunga3155 5 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka umesomekaa vizuri saana

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 4 ปีที่แล้ว

    Honger sana docta mwaka upo full fare

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 5 ปีที่แล้ว +1

    Dk Mwaka umenena hilo la kutungozwa tongozwa wanaume huwa wanaangalia hilo ni.kweli na ukiwa sio rahisi anajua kwa sura uguswi ovyo

  • @mlowombozi9726
    @mlowombozi9726 4 ปีที่แล้ว

    Dokta uko. Vizuri sana nalkushauri jifunze uislam utatisha zaidi kuna vitu unaongea kama muislam ko ukiisoma itakuongezea

  • @siwazabron8198
    @siwazabron8198 5 ปีที่แล้ว +24

    huyu jamaa kicheko chake tu kinaonyesha hanajiamin,na vitu anavyoongea ni bonge la point,.

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว +8

    Haloooo vitu vya bei kubwa haviuliziwi uliziwi ovyo 😂😂😂😂😂

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 5 ปีที่แล้ว +3

    Jaman Dr mwaka anajua kwakweli naomba vipindi vyote hasikose, yaani kipindi ni moto kwakweli

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว

      Yan kipind hiki kitamu Sana coz tunajifunza mengi Zaid kutuhusu kwenye ndoa ni misingi mizur Kwa maisha ya ndoa

  • @rachaelsabiti5615
    @rachaelsabiti5615 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow I really enjoyed this
    Watching from USA

  • @rebornmimi7872
    @rebornmimi7872 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza sana. Mungu ibariki ndoa yangu 💖

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว +1

      Amin Allah akujalie uwe mke mwema mamiiii

    • @rebornmimi7872
      @rebornmimi7872 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamyoyote8172 amen

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaka mwaka

  • @sumaiyamihrma7852
    @sumaiyamihrma7852 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice kipindi 😍😍😍😍

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda mno sns #womenmatters is fire💫💫💫💫

  • @deliusmsigwa5256
    @deliusmsigwa5256 5 ปีที่แล้ว +14

    kaka mwaka, shikamoo kubwa

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Wana niukweli😁👍👍👍👍👍

  • @leen2733
    @leen2733 4 ปีที่แล้ว +3

    Not true, being seduced does not mean that one is cheap. There are men without scruples and know no boundaries plus a beautiful woman will always get hit on, how she responds is what matters.

  • @petrodaud3032
    @petrodaud3032 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni mtazamo wake tu naye, kila mtu anautofauti wa kimtazamo na Imani ya Kuishi kwenye ndoa

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 ปีที่แล้ว

    Point taken oneday lazima ntatimiza hayo nakumuhakikishia kwamba mm niwako not by words only Bali namatendo juu yake 🙏🙏🙏

  • @kb0x
    @kb0x 4 ปีที่แล้ว +1

    Niko hapa juu ya hiyo kiswahili. Yenye wanaongea haina maana

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 2 ปีที่แล้ว

    Kusema kweli natongozwa sn tu ila siko cheap km anavyosema, thamani yangu naitambua na siwezi kuzuia kutongozwa.Mwanamke yeyote aliyekamilika kutongozwa ni kawaida ila kosa ni kukubali.Hakuna kitu chochote kizuri kisichouliziwa, hata nguo ghali inauliziwa bei yake hata km pesa huna. Hyo mwanamke asiyetongozwa labda sura ibadirike nyuma kuwe mbele na mbele kuwe nyuma.

  • @muhamedwardah5144
    @muhamedwardah5144 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri kweli😍😍😘😘😘

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe mins tufunza mengi.

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 5 ปีที่แล้ว +3

    Naomba nisikose hichi kipindi mara ingine.❤👏

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl ปีที่แล้ว

    Lilian MIMI ni MKE wamtu lakin wanawake wa nje wawili Wanapigana mbele yangu Kumgombania mume wangu huwez amin mpaka nimepata maradh ya pesha Nifanyeje naomba Niulizie Hilo maana sijawahi Kuongea chochote zaid ya kulia ndan

  • @rhodamkungu9132
    @rhodamkungu9132 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha! Dr Mwaka leo umenichekesha sana, yaani kila kitu unachosema niukweli kabisa. kipindi kizuri mno. Big up Women matters. Wanandoa wengi watapona. Lol!!

  • @alikhamis3723
    @alikhamis3723 4 ปีที่แล้ว +3

    Dr. Mwaka ni Dr. kweli umestahiki kuwa Dr. yaani sijawahi kuona Dr. mwenye akili na hakika kama huyu

  • @queeneva3709
    @queeneva3709 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante baba vitu vya gharama haviuliziwi saaana.

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +2

    kipindi kizuri sana nimemwelewa sana doctor

  • @massuman4420
    @massuman4420 4 ปีที่แล้ว +1

    Nime penda ushauri wa Dr mwaka

  • @jenipherkavusha506
    @jenipherkavusha506 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimeelewa somo

  • @kamenge
    @kamenge 3 ปีที่แล้ว

    Asanti Sanaa love my culture, swahili culture

  • @minzagabriel6150
    @minzagabriel6150 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka unaakil sana.

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume n mbwa maan mnanusa aswaa😀😀😀😀😊😊

  • @robbytz1314
    @robbytz1314 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja

  • @misscall7814
    @misscall7814 5 ปีที่แล้ว +4

    Dr banah😂😂😂 kwahiyo wanawake ni mfano wa bidhaa ikiwa ghali haiulizwi ulizwi ila si mpka iwe inabei? Kama bidhaa nzuri vipi isiuliziwe bei? Huoni kama unacontradict point yako ya wanaume kua na nature ya tamaa na siucheap wa mwanamke? Sidhani kama kujua bei ya bidhaa ni kutokana na u cheap wa price. Kama ni hivyo basi hata bei zisingewekwa watu wangekua wanajibebea tu. My point is hujaoa wake 3 kwasababu walikua cheap kwako.

    • @dianamwinyikambi2319
      @dianamwinyikambi2319 5 ปีที่แล้ว

      Miss Call

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 5 ปีที่แล้ว +2

      Hata ukitembea madukani hususan Europe vile vya ghali hukaa muda mwingi bila kuuzika! zaidi ya wengi kuvijabu na wengine kupigaga navyo picha ili kuuzia au kujifsgharisha wanamiliki.
      But mwisho wasiku siku za sales punguzo, vile vya ghali ndio hupunguzwa bei.! Na vile vya rahisi thamani yake kubaki pale Pale.

    • @alimakame3529
      @alimakame3529 4 ปีที่แล้ว

      Amegusia kiwa unajulikana upo kwenye ndoa........

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 2 ปีที่แล้ว

      Nimekupenda

  • @vumiliachisoma6305
    @vumiliachisoma6305 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dr mwakaa

  • @princessenzahoraho1364
    @princessenzahoraho1364 3 ปีที่แล้ว

    Wa bwana atakama umemushika vizuli nyumbani atakama mukeo yiko visuli bwana ataenda inje kwa wengine mukeo. Natena kama bwana afanye kitu kitandani eti mkeo avumiriye hivyo hivyo nivigumu sana kwa mukeo. Natena eti bwana akisema mukeo anyamaze nivitu vigumu sana kwa wa mukeo kukanyagwa nawa bwana zao. Nikusikirizana kusema pasikue mwenye atakanyaga mwengine

  • @sanianan6586
    @sanianan6586 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli hujakosea kbs naisi mafunzo mazuri

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @mbiutv
    @mbiutv 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atawalaani michepuko woote, biblia inasema katika amri kumi za Mungu, USIZINI

  • @samwelmhando9104
    @samwelmhando9104 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwenye hii mada angeongezeka Masoud Kipanya na mwanamke alie kwenye ndoa ya wake wengi balaa lingezidi

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว

    mmh leo kipindi motoo jaman mume anauma kha mungu anisaidie ninyamaze hata nikiona

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa dokta hatmm naangalia vigezoo

  • @nadiakabamba7373
    @nadiakabamba7373 5 ปีที่แล้ว +2

    Dada lillian siku zijawo muhalike tena doctor next time nashukuru sana

  • @brendamgaya8355
    @brendamgaya8355 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi ni kizuri sana ni funzo kwa wana ndoa ila tunaomba kujadiliana husu mauaji kwa wanandoa kufikia hatua ya kumwua mwenzie kisa wivu. Mfano wa Naomi wa Kigamboni alieuwawa na mumewe