Women Matters:Je...Kumuuliza mpenzi wako UKO WAPI/Na nani na UNAFANYA nini ni kosa ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #womenMatters #wasafitv
    Je...Kumuuliza mpenzi wako UKO WAPI/Na nani na UNAFANYA nini ni kosa?Mapenzi si KUFWATILIANA au?

ความคิดเห็น • 68

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mko vzr women's matter
    Team nzima yenye💪
    Kwa kweli tunajifunza mengi

  • @Safariking2010
    @Safariking2010 3 ปีที่แล้ว +1

    Mke wangu hajawahi kuniuliza hayo maswali na jambo hilo limepelekea kumuheshimu sana na kuongeza imani na amani ndani yetu

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 ปีที่แล้ว +3

    Vai 😄😄 shoga angu mi napenda unapokuwa kwenye kipindi, ukweli unanogesha sana 👌👌 halafu waache kukuita roporopo bwana, mi sipendi, salaam za upendo kutoka Chicago USA

  • @SalmaSalma-ee4nx
    @SalmaSalma-ee4nx 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kuuliza sivibaya coz huenda nilimshika na msg yakwenda kuowana ndio maana nikamuuliza hvo

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +3

    Like Lilly dress👗

  • @gifthumphrey3123
    @gifthumphrey3123 4 ปีที่แล้ว +2

    Well presented nimekipenda sana! Its a wake up call to all parents!

  • @hawamussah2370
    @hawamussah2370 4 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana women matters is wisely teaching and giving out real life situations 😘😘❣💯

  • @sayedalaradi6355
    @sayedalaradi6355 4 ปีที่แล้ว +1

    I love this

  • @fatumayusufu1706
    @fatumayusufu1706 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni vile mnavyoishi na maelewano yenu katk maongez mi nishazoea siku zote kumuuliza mumewangu uko wap na nan na unafanya nn na ninajua Kwamba yuko kazn but ni mazoea2 complain ya swal hili linatokea kama hamuaminian2

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 4 ปีที่แล้ว

    Big up guys, leo nimependa mnavyo shirikiana kuchangia mada. Much love from Italy

  • @daktarij381
    @daktarij381 4 ปีที่แล้ว +1

    nice discussion

  • @shamimfuraha7863
    @shamimfuraha7863 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakusikiliza niko Germany 🇩🇪 my Dada kipenzi mwasha(:)

    • @lillianmwashatv
      @lillianmwashatv 4 ปีที่แล้ว

      Love you hun.Thanks for watching

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 4 ปีที่แล้ว

      German sehem gani upo tujuane

    • @chibandamwende3676
      @chibandamwende3676 4 ปีที่แล้ว

      Pande gani lakini nipo Deutschland pia

    • @bbs10072002
      @bbs10072002 4 ปีที่แล้ว

      Kweli tujuane tugawane Corona, LG 🇩🇪🇹🇿

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice kipindi kizuri sana nawapenda

  • @Biharamulo6444
    @Biharamulo6444 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimekua Wa 11

  • @sabahasalum8448
    @sabahasalum8448 4 ปีที่แล้ว +6

    Wise mine maxrioba

  • @lovenessbaynit1028
    @lovenessbaynit1028 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kipo vzr ...naomba mpeane muda wakuongea

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

    Dr anongea kisomi sana ropo ropo anapanick tu Dr anatema point

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada wa kazi pls pls maskini wako usiwe fimbo ya kukunyanyasa acha kaz maana huyo mtt anakudhalau anakuona kama mtt mwenzie sidhan kwa umri ulionao uliishi kwa kuwatengemea wao riziki mafungu saba

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 ปีที่แล้ว

    liliane niko Belgique nakupata 100%

  • @priscawilliam2414
    @priscawilliam2414 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nina hadi ushahidi kuhus hili swali
    Wanaume wengine akikuuliza uko wapi anataka ajue ulipo ili apite na mchepuko wake kwa amani hili swali saa ingine ni utata ili tu mtu a control mizunguko yko

  • @ciciray5676
    @ciciray5676 4 ปีที่แล้ว

    Miwani y jua ndani. Ushamba

  • @neemamsuyas3084
    @neemamsuyas3084 4 ปีที่แล้ว

    Hyo ishu mtoto wa miaka 5 alikuja kututemblea home na mama yake tupo jikon akaniambia nataka huku huku anaonyesha xyz amelala chin inabidi nimuite wifi yangu naye hakuamin alichoambiwa mtoto hatak kwenda kwa mama yake so me nahisi malez au mtoto anapoanza kuwa na ufahamu wa kujitambua na analala na wazazi nalo tatzo

  • @glowingspirit606
    @glowingspirit606 4 ปีที่แล้ว

    hapo kwenye calls mnawezaa mkablock calls just set my contacts only(for calls)...

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว

    Sauti ndogo.mnatukeraaa.hyo max ndo kbsaaa hana sauti

  • @milanomilan1524
    @milanomilan1524 4 ปีที่แล้ว +1

    upo wapi, upo na nani, mnafanya nn?
    yategemea ulimi wako ukiteleza majibu yatakuwa sio mazuri, bt ukiuliza kw ustaarabu majibu mazuri yatakuwepo hata km milikuwa mmetofautiana flani!

  • @aishairakoze2133
    @aishairakoze2133 4 ปีที่แล้ว +2

    Miniko warabuni nimeketi nawaskiliza

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +1

    Tabia na khulka ni kitu kimoja doctor

  • @briangodfrey5284
    @briangodfrey5284 4 ปีที่แล้ว

    Niko south africa nawafatilia vzr sana

  • @sayedalaradi6355
    @sayedalaradi6355 4 ปีที่แล้ว

    Lilian hampi mgeni time ya kuongea

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 4 ปีที่แล้ว +1

    Niko nyumbani

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 4 ปีที่แล้ว +2

    Sauti ndogo mno

  • @raudhamahmoud9538
    @raudhamahmoud9538 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani yuko wapi mama Terry?

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

    Max rioba superb

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 ปีที่แล้ว +1

    💯 💯 💯 💯

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekielewa sana kipindi

  • @everjohn1136
    @everjohn1136 4 ปีที่แล้ว

    Penye mna fanya nn..

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 ปีที่แล้ว +2

  • @methodpatrick1562
    @methodpatrick1562 4 ปีที่แล้ว +2

    🔊🔊

  • @basmahalshammmari641
    @basmahalshammmari641 4 ปีที่แล้ว +3

    Asnten mnatuponya

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi Bomba sn

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤

  • @matswelopelemphela9676
    @matswelopelemphela9676 4 ปีที่แล้ว

    Jibu Tena la haraka linamalizaga kilakitu

  • @damianswaggy4007
    @damianswaggy4007 4 ปีที่แล้ว +2

    🙄🙄🙄

  • @rosesanga6163
    @rosesanga6163 4 ปีที่แล้ว +1

    TABIA YA KUJICHUA ULIVYOSAMBARATISHA MAHUSIANO YANGU.
    Ni kosa langu, ndio ni kosa langu.
    Nilianza kujichua kwa msukumo wa marafiki zangu, na waliniambia ni njia rahisi ya kupunguza zile hisia kali nilizokuwa nikizipata mara baada ya kumaliza kutazama picha chafu za video.
    Raha ya mchezo ilipokolea ikawa ni kama sehemu ya maisha, nilikuwa siwezi kulala bila kupiga kimoja cha kutafutia usingizi,
    Hata nilipo maliza masomo yangu ya sekondari bado nilikuwa nikifanya japokuwa nilikuwa katika mahusiano tayari.
    NITAACHA KESHO, HEBU LEO NIPIGE KIMOJA CHA MWISHO... Nilikuwa najiaminisha hivyo lakini.. SIKUACHA!
    Mahusiano yangu yalikuwa yakidumu miezi mitatu mpaka mitano tuu kwasababu sikuweza kuyamudu kabisa.
    •Sikuweza kustahimili tendo.
    •Sikuweza kurudia tendo, kimoja tuu cha harakaaa nimeshalala.
    •Sikuweza kusimamisha na kuwa imara tena baada ya mzunguko wa kwanza.
    •Hamu ya tendo ndo kabisaaa mpaka nikiangalia zile picha au video za hatari
    "PUNYETO ILIKUWA IMENITEKA, NILIYAONA MADHARA LAKINI SIKUJUA NAMNA NAWEZA KUJIKOMBOA"
    Mabadiliko yalianza taratibuuu mwaka 1 uliopita siku nilipokutana na Makala katika website Moja hivi, walifafanua vizuri sana kuhusu madhara ya kujichua, kwa mara ya kwanza niliipotezea kuisoma ila baada ya kukumbuka aibu nazo zipata nikiwa na mwanamke kitandani nikairudia tena na tena kuisoma.
    HAKIKA WAMENISAIDIA SANA.
    NAFAHAMU, UNAWEZA KUWA NI MMOJA YA WATU WALIOATHIRIKA NA HILI TATIZO.
    MAKOSA YANAYOFANYWA NA WATU WENYE CHANGAMOTO YA NGUVU
    Makosa 5 ambayo watu wengi huyafanya:
    1: Kupuuzia tatizo linapoanza taratibu na wanasahau kama tatizo linazidi kuwa kubwa.
    2: Kukimbilia kuji bust kwa dawa za kemikali ambazo mara nyingi hazitatui tatizo ila zinakufariji tuu na baadae tatizo linakuja kuwa kubwa zaidi.
    3: Wengi kuamini PUNYETO HAINA MADHARA na Wanasahau KAMA PUNYETO INGEKUWA NA MADHARA KWA SIKU MOJA BASI HAKUNA AMBAE ANGEFANYA.
    4. Kosa la nne ni kutokubali kama UNA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME, hili wengi limewaathiri sana na wanakaa nalo na mwisho watu wao walionao kwenye mahusiano ndio huamua kuvunja mahusiano.
    UNATAKA KUONDA ATHARI ZA KUJICHUA, KUBORESHA NGUVU NA STAMINA !!??
    MAWASILIANO YETU:
    +255758112592
    TUMA UJUMBE MFUPI AU PIGA SIMU.
    UTAPATA MWONGOZO SAHIHI WA KUMALIZA CHANGAMOTO ZAKO.

  • @chalamossi6656
    @chalamossi6656 4 ปีที่แล้ว

    👏👏🇧🇮

  • @templerfx4212
    @templerfx4212 4 ปีที่แล้ว +8

    naomba uchukue muda mchache kubonyeza picha yangu ku subscribe channel yangu kujionea mengi mazuri kwenye uislam support yako 🙏🏻..

  • @milanomilan1524
    @milanomilan1524 4 ปีที่แล้ว

    je ni wapi anafanya kazi za ndani?
    wenzetu wahindi wana tabia ndizo sizo haswa kw kudharau hali duni ya mfanya kaz,i na wazazi wake haswa mama mtu hatomuelewa mdada wa kazi akishtakia issue km hizo, na akimpiga ndo kabisa kazi hamna

  • @mrchoristerofficial7021
    @mrchoristerofficial7021 4 ปีที่แล้ว +2

    😁

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 ปีที่แล้ว +1

    🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️🤩🤩

  • @elvistv7601
    @elvistv7601 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan hii media vipindi vyake jao Sana em jipangeni bana Kama wenzenu Ni wabunifu nyie mnafata Mambo ya kiusanii tu makelele mpaka mnapoteza weledi

    • @ungaroboungarobo5531
      @ungaroboungarobo5531 4 ปีที่แล้ว +4

      KAWAFATE WENYE WELEDI UKU UMEFATA NINI

    • @itshaluastyle
      @itshaluastyle 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/AiAMUOzzAFs/w-d-xo.html

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 4 ปีที่แล้ว

      Mwambie kiba afungue yake ukaangalie

  • @devothamedia5177
    @devothamedia5177 4 ปีที่แล้ว

    Umeona walichofanya diamond ba mobetto . Bonyeza picha yangu kupata matukio yote ya insta usisahau kusubscribe😀

  • @hktztv6519
    @hktztv6519 4 ปีที่แล้ว +2

    TUNDULISU aibua ufisadi unaofanywa na CCM AMTAJA NA MAREHEM MH. MKAPA
    👇👇👇👇
    th-cam.com/video/8U0TEUNPmlw/w-d-xo.html

  • @lovenessbaynit1028
    @lovenessbaynit1028 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kipo vzr ...naomba mpeane muda wakuongea