Subirini kwanza... Huyu jamaa ni genius It’s not about having barchelor degree or masters or PhD but is about knowing who we are... Binadamu anaanza kufanikiwa pale anapoanza kujijua yeye ni nani? Dr Mwaka ur genius Tunaojua tunajua tu,wengi wanaweza wasielewe kwanini nakuita genius Big up👍
Dr. Mwaka its true wanaume tunawaza mambo makubwa, wanawake wanawaza mambo madogo. ila mwisho wa siku tujifunze kutoka out ili tupate nafasi ya kurekebisha pale tulipojikwaa au kuambizana mambo tunayopenda na ambayo hatupendi ili kulinda uhusiano wetu ktk ndoa zetu
Kwanza hongereni kwa kipindi kizuri. Bila ya shaka tukifuatilia kwa makini, tutasoma mengi hapo wake kwa waume... Hapo kuhusu kununuliwa vitu vya thamani na sometimes hata kwenye box mwanamke anaeletewa havifunguwi, si uongo, coz silo lengo lake hilo ki mapenzi. Mwanamke kitu kidogo tu pamoja na kauli nzuri na huruma utamfurahisha...ila mambo hayo sasa, kwa wanaume wengi ni adimu. May Allah guide us 👏🏽 Thanks guys.
From Zanzibar. Kwa kweli kipindi hiki ni kizuri sana na ni somo zuri sana mwenye kuelewa ameelewa. Ila nataka kuongezea hapo kuwa ukiwa na hofu ya Mungu ndani ya moyo wako yote utayaona ni kawaida. Ahsanteni kwa somo zuri
La zipu ni mm uyo kunasiku aliniudhi sana et mm ata sisemi!! Iyo sku kibaya zaid rafk angu akanisema maana nilimuomba anifunge na hana mume yeye akasema kwan unatofaut gan na mm nisie na mume yaan anashindwa ata kukufunga zp nilichukia sana mpka nimefka kanisan sikuweza kuongea nae kabisa hata mahubir sikuyasikia sku hio;...
Si kwamba walokole hawatendi Dhambi, hutubu na hawahalalishi dhambi! Marko 10: 2-12 Yesu kajibu vizuri. Msingi usipokuwa Mungu matatizo hayatoisha! Kuna wenye wake 4 na bado wanamichepuko. Jibu si kuwa na wengi, jibu liko ktk Marko 10.
I have realized kuwa wanawake tunainvest so much kwa wanaume in a way we r losing hata maana ya maisha yenyewe. I mean you marry a whole 30 man with a 15 yrs old boy n expect kumfurahisha hw?
Mi ninatatizo na mpnz wangu ila ni mume wa mtu ila nampenda saan japo kuna wakati nahis km nakosea na nishajarb san kuachan nae nmeshindwa .je nakosea au nko saw
Subirini kwanza...
Huyu jamaa ni genius
It’s not about having barchelor degree or masters or PhD but is about knowing who we are...
Binadamu anaanza kufanikiwa pale anapoanza kujijua yeye ni nani?
Dr Mwaka ur genius
Tunaojua tunajua tu,wengi wanaweza wasielewe kwanini nakuita genius
Big up👍
Kweli
Somo Kubwaa🙌🙌🙌🙌
Dr. Mwaka its true wanaume tunawaza mambo makubwa, wanawake wanawaza mambo madogo. ila mwisho wa siku tujifunze kutoka out ili tupate nafasi ya kurekebisha pale tulipojikwaa au kuambizana mambo tunayopenda na ambayo hatupendi ili kulinda uhusiano wetu ktk ndoa zetu
Doctor mwaka maasha allah..allah akujaalie furaha daima umejaaliwa kucheka maasha allah.
Leylah Ley Leylay ww
@@veronicadaniel1122 nambie
Loving Dr Mwaka s brain on these matters. He is on point
Yaani Leo mumenogesha Zaid kwa kweli, nawapenda Sana #women's matters from Saudi Arabia, doctor your the grate
Eeee Lilian Mwasha Muwe munaangaliwa nyinyi tuu....haya mpenzi Women matters Nawapenda mnajua#WomenMaters#SnS•√
Kwanza hongereni kwa kipindi kizuri. Bila ya shaka tukifuatilia kwa makini, tutasoma mengi hapo wake kwa waume...
Hapo kuhusu kununuliwa vitu vya thamani na sometimes hata kwenye box mwanamke anaeletewa havifunguwi, si uongo, coz silo lengo lake hilo ki mapenzi. Mwanamke kitu kidogo tu pamoja na kauli nzuri na huruma utamfurahisha...ila mambo hayo sasa, kwa wanaume wengi ni adimu. May Allah guide us 👏🏽 Thanks guys.
jamani mi kicheko tu cha DOCTOR kinaliwaza...na pia ana point sana ....da Lilian..hongera kipindi ni kizuri sana..mungu akubariki
I have learnt something new today I love this show all the way from Lancaster 🏴🙏
kama umegundua cc wanamme ni zaidi kuliko gonga like twende.
wow mwaka nakuelewa sana coz unaeleza mambo kiundan zaidi
Nawapenda jamani....
Mme niliza sana kikweli, Thanks ❤from UK in Newcastle
when will you visit southampton men
Nawapenda Sana nyote mnaoshiliki hiki kipindi ❤️❤️❤️ najua zaid mengi Kwa kuwasikiliza
Oyooo nimeelewa san ndio maana huwa nakupenda San hiki kipindi kina nifuza mambo mengi san
From Zanzibar. Kwa kweli kipindi hiki ni kizuri sana na ni somo zuri sana mwenye kuelewa ameelewa. Ila nataka kuongezea hapo kuwa ukiwa na hofu ya Mungu ndani ya moyo wako yote utayaona ni kawaida. Ahsanteni kwa somo zuri
Kwangu mimi, hiki ni kipindi bora cha familia kwenye TH-cam kwa mwaka huu (2019)
Ulichokisema dr mwaka nikweli ni tamaa zako tuu Ni kweli make mapenzi hayawezi gawanyika mara zote kuna sehemu lazma yatazidi,tuu
Nimefurahi Sana Leo kwa kumpa doctor mda mwingi wakuongea haki nimefaidika mno
Lol! Dr. Mwaka on point give us more,,
Subhaanah Allaah , huyu dr nimkweli sana
Nataman mume wangu awe anasikiza
Today's best♥️♥️♥️🌹
Nzuri sana
Womens matters you're so good ,you have a good exclusive interview,you make us learn good things from you.
Leo nimefurahi saaana # nawapenda sana# sns# womenmatter
Nawapenda sana
We dr Mwaka ni sheitwani
Do ahsanteni sana the session was too intretsted
Yani hiyo yakuumwa dah! nikama mnasema yakwangu
Pole my friend!!
La zipu ni mm uyo kunasiku aliniudhi sana et mm ata sisemi!! Iyo sku kibaya zaid rafk angu akanisema maana nilimuomba anifunge na hana mume yeye akasema kwan unatofaut gan na mm nisie na mume yaan anashindwa ata kukufunga zp nilichukia sana mpka nimefka kanisan sikuweza kuongea nae kabisa hata mahubir sikuyasikia sku hio;...
Si kwamba walokole hawatendi Dhambi, hutubu na hawahalalishi dhambi! Marko 10: 2-12 Yesu kajibu vizuri. Msingi usipokuwa Mungu matatizo hayatoisha! Kuna wenye wake 4 na bado wanamichepuko. Jibu si kuwa na wengi, jibu liko ktk Marko 10.
Ivi wanawake mwanamme ni oxygen au Mungu mbona tunakuwa viumbe dhaifu tusiejitambua society give a woman a break
Mmh👐
I have realized kuwa wanawake tunainvest so much kwa wanaume in a way we r losing hata maana ya maisha yenyewe. I mean you marry a whole 30 man with a 15 yrs old boy n expect kumfurahisha hw?
I meant 30 yrs old with a 15 yrs old mind
hahaha huwez dumu na mwanaume kwa atitude hio...
Think twice.
Oya WAJUBA tutafuteni pesa hivi vitu vinaendeshwa na mkwanja kama huna mkwanja hata demu tuu atakushinda.
Nikweli
Siokweli miminimwanaume nikokwenyendoa miaka 25sijawahikuwa namchepuko tupowanaume waaminifu
Hongera
Siijui Kigwangala anakiangalia hiki kipindi?Bigup Dr.Mwaka
Huyu Dr mwaka akili yake imegota mbingu ya saba
Mbona kweli hapo unapoumwa
Kukuhurumia kivipi plz tunaomba utufafanulie kiundani Dr.
Kipindi Bora Kabisa
Apomnawalenga wemyebuwezo na kazi zamaana km muuza karanga mshona viatu atawaza kununua gari kweli yakumbebea mkewe mpaka sipitali
What is huruma in English
mercy, sympathy, compassion, pity, tenderness etc, depending on the context!
@@davidngwesa thanks
@@davidngwesa 💯
Mwanaumeon kuwa mwanamke mmoja n nn😂😂😂 du htr wanawake kazi ipo
why mhalalishe kuwa wanaume hawawezi kukaa bila kucheat? hakuna popote mlipohalalishwa..ni nyie tu na mfumo wa kumkandamiza mwanamke Hii sio sawa
ni kweli kabisa nature sio kucheat...ila kutaman wwanawake wengine is ok
💯🎤
Hhhha volume iko xwa???
Nawapenda😍😍😘😘
Nkweli DR umesema mwanamke yuwataka tension
Really like this show nawapenda sana Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh aunty sadaka nakupenda
Najifunza jaman...
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
kipindi bora katika maisha 2019-2020
nimeipenda kipindi jamani
Liliane duh kama wewe haurizish na wew unaonekana I say ni mautamuuuu
Kipindi kina mafunzo mazuri sana.
Uu ni ujinga haya mambo yapigwe marufuku
Huyu mwamba mazee ana dizev wake 10,ana afya ya akili sana.
Nawapenda❤
Kipindi kizuri Sana
jamani naomba namba ya anty sadaka
Anti sadaka ajitahidi kufupisha maswali
Mi ninatatizo na mpnz wangu ila ni mume wa mtu ila nampenda saan japo kuna wakati nahis km nakosea na nishajarb san kuachan nae nmeshindwa .je nakosea au nko saw
0755953536 nitafute
unakoseya zaidi sana
Asate dada muna tufuza kweli kweli
Why are then using the term Biblical? He is a Muslim.
Muulizeni vp kuhusu tendo landoa kwa wake zake 3 vp ana ndondo kirasiku au wote ana make appointment nao
Hahaha
Huyu ni dokta wa tiba za asili anazitumia vzr kwenye ndoa yake barabara...
😚😚😚😚
Mafunzo matamu sanaaa
Hivi wapendwa mume anakusevu cobra au sunami kwenye sm yake,hivi hapo anakupenda au kakuchoka!
Huyo atakua hawara sio mume maana mume hawez kumsave hvo mke wake wa ndoa
@@seifmohamedseif9467 ni mume na ndoa ya kanisani kabisa!
Hahaaaa, anakuchukia na kukuteta na wenzake huko njee
Hahaaaa, anakuchukia na kukuteta na wenzake huko njee
🤣🤣🤣 huyo alichoka mno