Jamani huyo dada apunguze kudakia sana. Unakuta saa nyingine unakosa point anayoongea mtu. Jitahidi kutulia aisee. Na mic pia jaribu kuiweka mbali na mdomo maana daah
Beautiful show. Ila naona hiyo background ina rangi nyingi mno mpaka inachosha, uki-plus na wageni wanakuja huaga na rangi tofauti tofauti za nguo, Neutral (Plain) background inge-fit sana hii show. Kama hilo pambo la ua hapo mezani yani ni Nooooo.
Lily unasumbua wewe😂😂😂😂😂. Yaani kama katoto unavyouliiiiiiiza nakucheka. Nimecheka apo docta alivyosema lipsi za mwanamke nikama-------. Ukapasuka kucheeeeeeka. Ha!ha! Lol...!
Mmm ni mwalimu nimwjua kusudi langu
Dr Eli yaani una listening skills 100%..
I salute you!
Namtetea Lily yupo makini saana, anaulizaa maswalii swadaktaa go lily!👍
Wozaaaaaaaaaa mchumba angu doctor Henley is there
Dr Elli napenda sauti yako... Ni💥
JAMANI NIMECHEKA MIMIII...DR ELLIE UMEJUA KUNIFURAHISHA KAH!!! NIMECHEKA SANA
Mungu awabariki sana siwezi kupitisha siku bila kuangalia kipindi chenu. Nawapenda sana
Jameni nime angalia iyi video more than 10 time 😂😂😂😂👌 thank you 🙏🏻
Naelewa sana
Dr. W...ameshaona sehemu za siri za Lily na Aunty S🤣🤣🤣🤣🤣...yaani, huyu Dr. NAMPENDAAAAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤
🤣🤣🤣
Nawapenda Sana kwakweli tunajifunza Mambo mengi Sana
Nampa pia hongera Mke Mwenza wangu Jestina...keep it up
Mi Zuhura wa Sudi UK Northampton
Nilikuwa naona kama hk kipindi hakina maana😔 ... naomba msamaha sana nimejifunza mengi na nawapenda mno mbarikiwe🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Very nice show my people I really enjoy the show, najifunza mengi sana mubarikiwe, from Qatar
Hii ni powerfull 😍😍😍
Asante sana mmenifunza mengi
Asante sana hiii rahaaaa
Jamanii u made my night
Akumbuke msiba kwenye tendo
Jamani huyo dada apunguze kudakia sana. Unakuta saa nyingine unakosa point anayoongea mtu. Jitahidi kutulia aisee. Na mic pia jaribu kuiweka mbali na mdomo maana daah
😂😂😂😂❤️❤️❤️ lilly unafurahisha kweli na hiyo miguno
I really enjoy the show #women matters, I miss Dr.Elie, criss and anty sadaka
hahahahahaa mmejua kunichekesha khaa......eti umezaliwa lini, umelipa kodi hahahaha jamani looh
Jaman jamani......
Women matters mko juu
Nawapenda sana❤
Lily hizo sauti zimenifurahisha
Dr Elly tehteh........
Jaman lily hiyo miguno nimejkuta nacheka kwa saut
Lili leo umepatikana🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila doctor umejua kunichekesha
hahahaha daaah 36:17 io mbinu dokta nikweli
Beautiful show. Ila naona hiyo background ina rangi nyingi mno mpaka inachosha, uki-plus na wageni wanakuja huaga na rangi tofauti tofauti za nguo, Neutral (Plain) background inge-fit sana hii show.
Kama hilo pambo la ua hapo mezani yani ni Nooooo.
Lily unasumbua wewe😂😂😂😂😂. Yaani kama katoto unavyouliiiiiiiza nakucheka. Nimecheka apo docta alivyosema lipsi za mwanamke nikama-------. Ukapasuka kucheeeeeeka. Ha!ha! Lol...!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
😂😂😂😂lyly nakupenda wwwe unanogesha eti mmmmh haaa😂😂😂
Hahaha hahaha Dada lily nakupenda
Love you guys 👌🏽
Kipindi kizuri sanaa
Lily too much noise control emotional jaman unauwa point za watu hazimaliziki
Topics nzuri ila mmboreshe sound system yenu...
UMEZALIWA LINI??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣MBAVU ZANGU WEEEE🤣🤣🤣🤣
kipnd bora kulko vyote tanzania
Atari
Mnapatikana wapi nahitaji mauwa but me nipo morogoro please naomba namba
Kipindi kipo faya👌👌👌👌👌👌
jamani mafunzo hayoo
😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
Naomba kuuliza docter Elly amesema mwanamke anaweza kwenda mara 3 naomba kuuliza ni kwa muda gani?
❤❤❤❤💖💖💖💖💖💖
#snsforlife #womenmatters
Wanaagana cha mwisho mwisho...
Wowowo I love women matters
Jamani lily unaniuaaa eti mmmh!🤣🤣🤣
😂😂😂😂 daaah you guys you're so funny
🤣🤣🤣🤣guys you so funny
Eid Mubarak wanasns
WOMEN MATTERS
Kipindi kizuri ila sound haiko powa
Nawa penda sana hawa wa baba 😂😂😂
Mic hyo unayotumia lilian kama inakoroma fulani hiv hasa ukiwa unaongea embu shughulikieni hilo jambo
Dada mtangazaji punguza kuongea sana basi ....acha mtu amalize point kwanza.
Huwa ana dakia sana
Babysky nafrahi kukuskia, Lilian unanikosha kwa kucheka
Hahaha