Yaani hawa wahenga wanavyozungumza ndio maisha yangu kabisaaaa... Yaani ni kama wananizungumzia mimi.... If you love me come directly kabisaa.... Sitaki uzungu mimi kwa kweli... I wish ningezaliwa miaka hiyo ya 50 kweusi sometimes natamani ule utaratibu wa kuolewa kizamani ungerudi kwa kweli... Leo mmenizungumzia mimi kabisaaa... Nimewapenda buree😍😍
Mnaposema mwanamke hata akipigwa na mumewe hapaswi kumnyima haki yake na haijalishi ameumia kiasi gani au kununa, all matters ni wewe as mwanamke umpe haki. Sipingi kwa hilo lakini kipigo kwa mwanamke kutoka kwa mumewe ni case mbili tofauti na wanatakiwa au tunatakiwa as women tuzitambue tofauti hizo na nyinyi muelimishe hizo tofauti. Tafauti ya kwanza ni ya yule mwanaume ambae tayari yeye anatabia ya kumpiga mkewe bila makosa, na ni kawaida yake kila siku kumpiga mkewe na kumuumiza na wala sio kwa bahati mbaya, wala kukosea. Na ameshakanywa sana lakini hasikii. Hivyo basi mwanamke unakila haki yakukataa na choose yourself over him. Na tofauti nyengine ni yule mume ambae akifikia kumpiga mkewe basi itakua mke amefanya kosa sana au mume ameteleza bahat mbaya kumpiga mkewe hapo ni haki kwa mke kumpa mumeo haki yake kwasababu anampenda mkewe ila kunasababu ya msingi mpaka amefikia kumpiga mkewe. Muzitofautishe hizi tofauti kwa lengo la kuwasaidia wanawake majumbani ambao wanapitia hali kama hii, kwasababu mkiwa hamutofautishi basi hata wale wanaume wanaopenda kupiga wake zao wataendelea kwa kudhani kwamba hata nikimpiga na kumuumiza na kumuingilia ndio solution.
Hakuuna justification ya kumpiga mke or mme tena mtu mzima!! Kosa hilo ni kosa kama kosa lolote la jinai. Nyie ndiyo mnao sababisha hizi kesi haziishi sababu ya ku'justify.
Asalam aleikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Tunashukuru sana kwa hiki kipindi kwa kweli tunafaidika sana. Bi khadidja ahsante sana kwa kusimamiya uwisilam. Na juwa tunakupenda sana hapa Oman. Natowa shukran tena.
Yani huyu baba Jamani Ahsante sana Tunashukuru Natamani Kila kipindi Uwepo jamani. Umeongea pointi sana na Tumejifunza mengi.Shukran dada Liliyani mwasha💞🥰🥰🥰
Huyo mzee hapo kaongea points zote sawa kipindi chaleo nimekipenda sana watu wameongea kwa utulivu na busara tulete watu kama hawa kwakweli tunailimika sana. Tulete pitter mitimingi 👍uwone kazi (mambo ya kisaikolojia yatafufuliwa mubaki midomo wazi 😉
Mada nzuri sana, shida hapo akina bi khadija, aunt sadaka na baba yetu wanaongelea maisha halisi ya mapenzi yetu hasilia ambayo ndio tunatakiwa kuyafuata,lakini lilian na mwenzie wao wako ktk mapenzi ya kisasa ambayo tunaiga kwa wenzetu which is not ok,sio culture yetu.ninachotaka kusema mtabishana mpaka hasubuhi hamtapata suluhu mko culture mbili hapo. 😉😁❤👍
Kwanini hawawezi kuongea kwa kupokezana mtu akamaliza point yake? Vurugu kama kelele za sokoni? You guys can do better than this. The guy started rough but he finished with big points....,shukrani baba.
Mchango wangu ni kwamba tuwe wasikivu na kufuatilia vipindi mie nimekipa big up hiki kipindi maana sasa hivi wadada wanachoangalia ni mwanaume ana nini, na wa kaka nao wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi. sasa huyu akikosa hivyo vitu mapenzi yanaisha. na ndiyo maana ndoa hazidumu.
Beatrice kilima I absolutely agree with you , I reckon it’s because more people seem to like it , though it’s good to try and focus on other areas affecting women in various societies 🙏🇬🇧🙏
😂😂Wamevaa gloves alafu wamekaa zero meter, wanajishika kwenye videvu, usoni yani izo gloves ni urembo tu apo, mama zangu hupaswi kujishika usoni kwa sababu kama umegusa sehem ambayo ina virus vinabaki kwenye gloves na mkisha zivua tupen hutakiwi kuzirudia tena kisha nawa mikono kwa sabun. Hili janga ni gumu kujilinda nalo maana linamasharti mengi ambayo huwez timiza ni MUNGU wa kutulinda.
Hapo kuna gender issue, pia uncle yupo more on culture/old school style nadhani Max &Niki wangetakiwa hapo leo ku spicy up na kubalance kizazi cha Dot.con !
@@greenluke6882 Kuna mambo mengii ya asili zetu bado yanamkandamizaa sana mwanamke wakiafrikaa, na kumfanyaa asiwe na maamuzi ya kumchagua mtu anayempendaa, wanandoa walio wengi wanavumilia mambo yaki ukandamizaji simply utamaduni unamzibaa kuwa wazi, Mm nasema mkombozi wa mwanamke ni elimu na kujitambua +kuachaa kuwa tegemezii, mwanaume ukimuonyeshaa una uwezo atakupaa heshimaa.!wanawake kuamshana kuwe endelevu @Lilian kaza buti ktk kukomboaa fikra za wadada ktk jamii! Tusikimbiliee ndoa kabla ya kujua waendaa kufanyaje nn kwenye ndoa na mchango wako utakuwaa nini ! Ni mtazamoo binafsi tu.🙇♀️
@@magreth7981 Sema mnapenda kuiga mambo ya kimagharibi. Mimi mwenyewe nachoka sana maana madem wengi tumewatafuna kwa kupenda migizo na umagharibi . Na ndio maana maisha ya ndoa za kisasa ni upumbavu.mimi ni kijana ila nachoka na maisha yetu vijana
Mkitoka hapo nendeni quarantine 1. Social distancing is Zero 2. No Mask a.k.a barakoa 3. Showering saliva in someones food. Kuhusu COVID 19 Tz bado tunasafari ndefu sanaa
Habari Lilian, kitaalam kuvaa gloves kwenye kipindi mmekosea tena mnakula nazo you only needed to wash your hands with soap and running water. I have even seen some of you touching your phones and faces with gloves. At least you would have just put on face masks.Thank you
Kuvaa glove huku mukizungumuza sauti za juu na maji maji kuwalukia wengine. Badala ya kuziba midomo yetu virus zisiwalukie wengine mumevaa gloves na kuacha midomo yenu ambayo ndiyo mahali vairus zinapotoka.
Niko pamoja na Walio upande wa mzee Sigala , na Kama mahusiano yetu hayajafika mbali nadhani tutaachana tu kwakweli, Kuna vitu wanaume wanaweza fanya wakati mwingine si kwa ridhaa Bali kunusuru uhusiano
Kipindi mnapo kwazana ndio kipindi pekee mnacho itajiana sana ku sex ili kurudisha penzi kwenye mstali! Tofauti na hapo mmoja wapo anaweza tafuta faraja au amani ya moyo nje ya ndoa!
Wa maman hawana wakati wakufanya kazi zote nyumbani naza kulea watoto nakunyonyesha kufanya kazi yake na kufanya kazi za mume zao. Ni kazi nyingi saaana. Wa maman nikupumuzika nawa baba watumike wasaidiye wa maman.
Kwa utamaduni wakipemba lazima umwambie mzee wako unataka kuoa. Swali na kwanza unalokumbana halo hela ya mahari unayo? Kama huna unambiwa nenda kajiandae hujawa tayari
Yaani hawa wahenga wanavyozungumza ndio maisha yangu kabisaaaa... Yaani ni kama wananizungumzia mimi.... If you love me come directly kabisaa.... Sitaki uzungu mimi kwa kweli... I wish ningezaliwa miaka hiyo ya 50 kweusi sometimes natamani ule utaratibu wa kuolewa kizamani ungerudi kwa kweli... Leo mmenizungumzia mimi kabisaaa... Nimewapenda buree😍😍
Uyu baba Big up sana tunashkr kwa ushauri.ameongea maneno muhimu kwa wanawake
Ukweli
I live in norway 🇳🇴and every topic i watch! This is the best program ever thanks lily🙏
i love sigala his advise work so well and full of fact
Alaah kumbee!! Huyu ndio Oni Sigara ooh!! I only heard him on the radio but I never saw him... Shukran Lilian Mwasha kwa kutuletea watu hadimu
Mnaposema mwanamke hata akipigwa na mumewe hapaswi kumnyima haki yake na haijalishi ameumia kiasi gani au kununa, all matters ni wewe as mwanamke umpe haki. Sipingi kwa hilo lakini kipigo kwa mwanamke kutoka kwa mumewe ni case mbili tofauti na wanatakiwa au tunatakiwa as women tuzitambue tofauti hizo na nyinyi muelimishe hizo tofauti. Tafauti ya kwanza ni ya yule mwanaume ambae tayari yeye anatabia ya kumpiga mkewe bila makosa, na ni kawaida yake kila siku kumpiga mkewe na kumuumiza na wala sio kwa bahati mbaya, wala kukosea. Na ameshakanywa sana lakini hasikii. Hivyo basi mwanamke unakila haki yakukataa na choose yourself over him. Na tofauti nyengine ni yule mume ambae akifikia kumpiga mkewe basi itakua mke amefanya kosa sana au mume ameteleza bahat mbaya kumpiga mkewe hapo ni haki kwa mke kumpa mumeo haki yake kwasababu anampenda mkewe ila kunasababu ya msingi mpaka amefikia kumpiga mkewe. Muzitofautishe hizi tofauti kwa lengo la kuwasaidia wanawake majumbani ambao wanapitia hali kama hii, kwasababu mkiwa hamutofautishi basi hata wale wanaume wanaopenda kupiga wake zao wataendelea kwa kudhani kwamba hata nikimpiga na kumuumiza na kumuingilia ndio solution.
Hakuuna justification ya kumpiga mke or mme tena mtu mzima!! Kosa hilo ni kosa kama kosa lolote la jinai. Nyie ndiyo mnao sababisha hizi kesi haziishi sababu ya ku'justify.
Asante baba kwakutufundisha vitu ambavyo hatuvijui Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe mzee wa ushauri nakukubali napenda sana kufatilia ushauri wako ukiongea sipendi mtu akukatize
I need this man contacts just for future reference 😂💪🏽... good show guys
osigalla@yahoo,com
Asalam aleikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Tunashukuru sana kwa hiki kipindi kwa kweli tunafaidika sana. Bi khadidja ahsante sana kwa kusimamiya uwisilam. Na juwa tunakupenda sana hapa Oman. Natowa shukran tena.
Yani huyu baba Jamani Ahsante sana Tunashukuru Natamani Kila kipindi Uwepo jamani. Umeongea pointi sana na Tumejifunza mengi.Shukran dada Liliyani mwasha💞🥰🥰🥰
Aisee ahsanten sana nimejifunza vitu vingi sana kupitia somo hili
Huyo mzee hapo kaongea points zote sawa kipindi chaleo nimekipenda sana watu wameongea kwa utulivu na busara tulete watu kama hawa kwakweli tunailimika sana. Tulete pitter mitimingi 👍uwone kazi (mambo ya kisaikolojia yatafufuliwa mubaki midomo wazi 😉
Kama unaangalia uku unaangalia comment like back:v
Jamani mlifanya vizuri kumuleta bibi khadija kopa hapa stay save they all beautiful souls
😀😀
Sigala asee nmekupenda kwakweli kuna mambo unaongelea very very true and nayaishi
So amazing.
Mada nzuri sana, shida hapo akina bi khadija, aunt sadaka na baba yetu wanaongelea maisha halisi ya mapenzi yetu hasilia ambayo ndio tunatakiwa kuyafuata,lakini lilian na mwenzie wao wako ktk mapenzi ya kisasa ambayo tunaiga kwa wenzetu which is not ok,sio culture yetu.ninachotaka kusema mtabishana mpaka hasubuhi hamtapata suluhu mko culture mbili hapo. 😉😁❤👍
Very true aunty sadaka... It will affect alot mentally
Aunt Sadaka, Mr. Sigala na Khadija Kopa nimewaelewa sana, mmeongea jambo zur, mwanaume anaetaka kuoa anatakiwa ajipange na si kumtegemea mwanamke
dahh kuna watu wanaelim oni sigara hongera kwa kutuelimisha,lilian big up kwa kipindi
Wapi mama Teri wapi mama Deborah? Women matters team is super sweet natamani mngekuwepo woote kila mara
Hongereni Mr oni big up na madada zangu nnakupendeni
Show amazing 👏👏👏💕
Nice show
Kwanini hawawezi kuongea kwa kupokezana mtu akamaliza point yake? Vurugu kama kelele za sokoni? You guys can do better than this. The guy started rough but he finished with big points....,shukrani baba.
Mchango wangu ni kwamba tuwe wasikivu na kufuatilia vipindi mie nimekipa big up hiki kipindi maana sasa hivi wadada wanachoangalia ni mwanaume ana nini, na wa kaka nao wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi. sasa huyu akikosa hivyo vitu mapenzi yanaisha. na ndiyo maana ndoa hazidumu.
Ladies, wearing gloves alone doesn't help, you need to sit one meter apart .
They shouldn't even eat with gloves on. It's better to just wash ur hands and eat, then deal with ur gloves later.
I missed you auntie Sadaka, usipotee tena mama
I think the show imekuwa so much about relationships their is so much more issues women go through apart from relationships let’s mix it up
Beatrice kilima I absolutely agree with you , I reckon it’s because more people seem to like it , though it’s good to try and focus on other areas affecting women in various societies 🙏🇬🇧🙏
@@silverman6930 true many people watch and love r/ship issues than any other thing in this world. I love it too😂😂👌
Good idea we have to request for the more
Kila siku michepuko, tendo la ndoa(sex) 😂 as if hayo ndio mambo pekee yanayomuathiri mwanamke katika maisha.
Beatrice kilima kweli .... kila siku topic za michepuko. The discussion are too focus on symptoms and not the problem.
Nampenda sana Vailet 😊😊😊😉
Uko vizuri Lilian make up nice
Mr One nashukru sana
Da Lilly eti kichaa akipigwa anakuaje vile
😂😂Wamevaa gloves alafu wamekaa zero meter, wanajishika kwenye videvu, usoni yani izo gloves ni urembo tu apo, mama zangu hupaswi kujishika usoni kwa sababu kama umegusa sehem ambayo ina virus vinabaki kwenye gloves na mkisha zivua tupen hutakiwi kuzirudia tena kisha nawa mikono kwa sabun. Hili janga ni gumu kujilinda nalo maana linamasharti mengi ambayo huwez timiza ni MUNGU wa kutulinda.
Hata wanashikana..
@@frenchygigi Umeonaeee!
Big ups baba...u are real.
Lilian mamangu you loook beautiful
Hongera sana lilian umedamshi sana leo. Mbn mama debora na mama terry hawapo.
mi najiona mshamba na mume wangu kumbe ni sahihi asantee kwa somooo🗝
Manshallah kipindi kizuri sana
Labda uelewa wangu ni mdogo ama umri pia unachangia, ivi suala la kuvishana pete lina Asili ya kiafrica ama ni uzungu pia?
huyu dada aliokaa pembeni ya khadija kopa anajikuta ana attitude kama zote utadhani kwenye ndoa yake ye ndo kaoa......pitty for her husband!
Alafu anabore
Gud job mwasha kip it up.
Daaaah mnatupa mafunzo meng sana nikikikosa huwa sjiskii vzr wallah
Mimi ilishawai nitokea hii usiombe itokee huwo ni unyanyasaji alipiga kweli kweli kisha akataka nilikataa alitumia nguvu😭😭😭siwezi sahau hilo tukio
Halima pole sana kwa yaliokukuta nadhani kama bado hivo vitu akilini mwako unahitaji msaada wa kisaikologia. Waweza kunitafuta.
Hapo kuna gender issue, pia uncle yupo more on culture/old school style nadhani Max &Niki wangetakiwa hapo leo ku spicy up na kubalance kizazi cha Dot.con !
magreth 79 true that
@@greenluke6882 Kuna mambo mengii ya asili zetu bado yanamkandamizaa sana mwanamke wakiafrikaa, na kumfanyaa asiwe na maamuzi ya kumchagua mtu anayempendaa, wanandoa walio wengi wanavumilia mambo yaki ukandamizaji simply utamaduni unamzibaa kuwa wazi, Mm nasema mkombozi wa mwanamke ni elimu na kujitambua +kuachaa kuwa tegemezii, mwanaume ukimuonyeshaa una uwezo atakupaa heshimaa.!wanawake kuamshana kuwe endelevu @Lilian kaza buti ktk kukomboaa fikra za wadada ktk jamii! Tusikimbiliee ndoa kabla ya kujua waendaa kufanyaje nn kwenye ndoa na mchango wako utakuwaa nini ! Ni mtazamoo binafsi tu.🙇♀️
@@magreth7981 Sema mnapenda kuiga mambo ya kimagharibi. Mimi mwenyewe nachoka sana maana madem wengi tumewatafuna kwa kupenda migizo na umagharibi . Na ndio maana maisha ya ndoa za kisasa ni upumbavu.mimi ni kijana ila nachoka na maisha yetu vijana
@@magreth7981 wewe umeolewa. Na je ndoa yako ina raha kama umeolewa
Najifunza sn kupitia hiki kipindi🔥🔥🔥
Mzee anajua sana muwe mnamualika kwenye kipindi
Huyu Baba ako na mawaidha mazuri sanaaa,
Safi sana kwa elimisha
Mkitoka hapo nendeni quarantine
1. Social distancing is Zero
2. No Mask a.k.a barakoa
3. Showering saliva in someones food.
Kuhusu COVID 19 Tz bado tunasafari ndefu sanaa
Me wananiboa kitu kimoja tu wanaonges kwa makelele hawasubiri mtu amalize point wanamkatisha
Hapo ndo shida, cjui kwanini hamwachi mtu akamaliza kusema, tukapata point
Yaani inaboa sana wanaongea wote kwa pamoja
Kweli mzee
Baba nimekuelewa.....Mr
Kaka one jman hata kichaa akipigwa nimecheka Sana. .. lil nakufuatilia Sana
Huyu mzee anafaa sana kwenye hiki kipindi
Mzee anafaa ila anatakiwa kupata maarifa ya kidini huko ataweza kufaidisha sn watu
Lilian mzuri mno ukimuona live ni mzuri kuliko kwenye screen,nilikuona nikakupenda kweli
Maongenzimazuri sana huyu Baba ni kibokoyao. Ongera sana kwa wote
Noah kabisa
Habari Lilian, kitaalam kuvaa gloves kwenye kipindi mmekosea tena mnakula nazo you only needed to wash your hands with soap and running water. I have even seen some of you touching your phones and faces with gloves. At least you would have just put on face masks.Thank you
ManshaAllah nimependa mada iyii
MUNGU Azidi kuwabariki Sna, Maana mim ni miongoni mwa wanaonufaika na kujifunza Vitu vingi sana
Mpo karibu sana ,mate na virus vinawapata wote.
great conversation,
Wameficha mikono usowazi cjaelew😂😂
Those gloves can be a source of transmission, just clean the surface ,sanitize your handiand avoid touching your face
Nawapat nikiwa mascut oman yani najiona rahaaaa sanaaaa
This woman can singgggg.
Nc Show, but gloves for which purpose
🔥
I like this ..especially the guy ooo my God
🤣🤣🤣Khadija kopa chukuaa bag lako uwondokee loooo
duh mambo mazito haya😁😀
Wadada it’s true Mzee tell them the truth 👍👍
Liliane mu mualike mama dangoti tumusikilize .
😂😂😂😂👌👌👌etii mate yako yana matatizo
Tuwombe mungu Sana atuwe uwezo jamani.
Love you all 🥰🥰🥰
It’s very much true 👍
Duuh huyu mzee ana busara sana aise
Huyu baba ana elimu halisi ya maisha sio ya darasani ya mzungu
ALI KHAMIS kweli kabisa
Baba yupo vizuri sanaaaaa
Nice kipind
🙏🏻
Mada inanihusu mno mno asanteni sana sana wapendwa wangu
Hi I like that
Aksante kwa kipindi kizuri sana
Kuvaa glove huku mukizungumuza sauti za juu na maji maji kuwalukia wengine. Badala ya kuziba midomo yetu virus zisiwalukie wengine mumevaa gloves na kuacha midomo yenu ambayo ndiyo mahali vairus zinapotoka.
Sasa vipi wale wanaoana wanalishana cake mdomon.hii sio sahihi?uyo baba kichwa sanaaaaa.kipindi kitam 😅😅
Mungu atunusuru
Niko pamoja na Walio upande wa mzee Sigala , na Kama mahusiano yetu hayajafika mbali nadhani tutaachana tu kwakweli, Kuna vitu wanaume wanaweza fanya wakati mwingine si kwa ridhaa Bali kunusuru uhusiano
Wallai mimi mume wangu akikuudhi tu anataka tendo na sijui nikwanini
uwiii mimi simpi
Kipindi mnapo kwazana ndio kipindi pekee mnacho itajiana sana ku sex ili kurudisha penzi kwenye mstali! Tofauti na hapo mmoja wapo anaweza tafuta faraja au amani ya moyo nje ya ndoa!
Usithubutu kumnyima
@@charlzzesonconsciousness6685 unatetea kwa vile we nimwanaume!
Huo ni umalaya, romantic siku ya kwanza ? Huyu Violet ana hashuo kama ni mwanamke sana .Anawazingua wenzie wa group tu.
Wa maman hawana wakati wakufanya kazi zote nyumbani naza kulea watoto nakunyonyesha kufanya kazi yake na kufanya kazi za mume zao. Ni kazi nyingi saaana. Wa maman nikupumuzika nawa baba watumike wasaidiye wa maman.
Kwa utamaduni wakipemba lazima umwambie mzee wako unataka kuoa. Swali na kwanza unalokumbana halo hela ya mahari unayo? Kama huna unambiwa nenda kajiandae hujawa tayari
😂😂😂 mie ndo maana nawapenda wapemba
@@azizakwileka1686 Asante karibu Pemba
Subiirini basi kaka aseme. Ndio muongeeee
Lilly tunawataka kina dr elli na chris hao ni best kwa kutufundisha.
hawa wazee mbona wanatuvuruga😓
Mashemeji wanafiki sana😅😅wakuda wakudaadeki
Jomoni Maneno Kuntu 👌 👌
Mzee sigala ameongea ukweli wanaume tunapenda kuoneka vidume hata kama hatuna hushupavu huo!
😊
Izo gloves contamination hatari sanitizer tuu inatosha