MUISLAM ACHANA NA KUFUNGA RAMADAN NI KUSHINDA NJAA TU, NJIA NI MASIHI ISSA (YESU KRISTO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • HIVI_WAISLAM_TUMEFUNGA_AU_TUNASHINDA_NA_NJAA_TU_QUR_AN___720p_1371825306

ความคิดเห็น • 847

  • @VerahOnkeope2cg
    @VerahOnkeope2cg 6 หลายเดือนก่อน +13

    Jesus our everything we need.halleluya JESUS, EVERY KNEE SHALL BOW B4 U AND EVERY TONGUE SHALL TESTIFY THAT JESUS IS LORD

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 6 หลายเดือนก่อน +1

      UKIWA MUISLAM MAANA YAKE UMEMUAMINI MUNGU MMOJA NA MTUME WAKE MUHAMMAD(S.A.W) YUKO SAHIHI KWA KIPANDE HIKO

    • @VerahOnkeope2cg
      @VerahOnkeope2cg 6 หลายเดือนก่อน

      @@daudinyello4033 njia pekee ya ukweli na uzima ni YESU.MOHAMMED NA ALLAH NI VIWETE WAPINGA KRISTO .Mungu wa mbinguni haruhusu watu kuabudu miungu

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 6 หลายเดือนก่อน +2

      YESU SI CHOCHOTE SI LOLOTE KWASABABU SIO MUNGU...MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HATAKUFA,HAJAZAA WALA HAJAZALIWA,YEYE NDIYE ALIYEUMBA MBINGU NA ARDHI,KAUMBA VIUMBE HAI NA VISIVYO HAI NA HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE....YESU ALIKUFA,ALIVULIWA NGUO,ALIOMBA CHAKULA, ALIPIGWA,ALIZALIWA TOKA KWENYE VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE,ALINYONYA KIFUANI MWA BI.BIKRA MARIAM, ALIFUFUA KWA IDHINI YA MUNGU, ALIUMBA UDONGO KWA MFANO WA NDEGE NA KUPULIZA KUWA NDEGE KWA IDHINI YA MUNGU...SASA MUNGU GANI HUYO?

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@VerahOnkeope2cg MATHAYO 24:24-5 YESU Akajibu,Akawaambia ,Angalieni , MTU Asiwadanganye 5 Kwasababu wengi Watakuja kwa jina Langu , Wakisema , Mimi Ni KRISTO; Nao Watadanganya Wengi ,🙏🙏🙏 @verahOnkeope2cg SOMA BIBILIA Kabla Kuropoka 🤣🤣🤣 YOHANA 5;41 Mimi Siupokei UTUKUFU Kwa Wanadamu ,🤣🤣🤣 MARKO 7:6-9 Akawaambia , ISAYA Alitabiri VEMA Juu Yenu Ninyi WANAFIKI , Kama Ilivyoandikwa , Watu hawa Huniheshimu Kwa MIDOMO Ila MIOYO Yao Iko Mbali Nami ; 7 Nao Waniabudu Bure , wakifundisha MAFUNDISHO Yaliyo Maagizo ya WANADAMU, 8 Ninyi Mwaiacha Amri Ya MUNGU , Na Kuyashika Mapokeo ya WANADAMU , 9 Akawaambia , Vema! Mwaikataa Amri ya MUNGU Mpate Kuyashika Mapokeo Yenu .🤣🤣🤣 @VerahOnkeope2cg Ni Kati ya WAISLAMU Na WAKRISTO Nani Anaanudu Miungu ? Msikie YESU anasemaje, MARKO 10:18-19 YESU Akawaambia , Kwanini kuniita Mwema? Hakuna Aliye Mwema ila Mmoja , Ndiye MUNGU ,🤣🤣🤣 MARKO 12:29 YESU Akamjibu , Ya Kwanza Hii , Sikia , ISRAELI , BWANA MUNGU Wetu , ni BWANA Mmoja , 🤣🤣🤣. @VerahOnkeope2cg Msikie na Aliyekuletea UKRISTO Anasemaje, WARAKA WA PAULO MTUME KWA : WAEFESTO 4;6 MUNGU Mmoja , Naye ni BABAWa Wote, Aliye Juu ya Yote na Katika Yote Ndani ya yote ,🤪🤪🤪 @VerahOnkeope2cg. Soma BIBILIA Wewe , Msikia BWANA MUNGU Anasemaje kwako wewe Unae Muabudu YESU , YEREMIA 17;5 BWANA Asema hivi , AMELAANIWA Mtu Yule amtegemeaye MWANADAMU . Amfanyaye MWANADAMU Kuwa Kinga Yake Na MOYONI Mwake Amemwacha BWANA. 🤣🤣🤣👏👏👏 😜😜😜. @VerahOnkeope2cg Mfuate YESU Kwa kweli, MARKO 1:14-15 Hata Baada ya YOHANA KutiwabGerezani , YESU. Akaenda GALILAYA , Akihubiri Habari Njema ya MUNGU , 15 Akisema , Wakati Uetimia , Na UFALME wa MUNGU Umekaribia ; TUBUNI na KUIAMINI INJILI ,.🙏🙏🙏 @VerahOnkeope2cg Nakukumbusha Fuata MAFUNDISHO Ya YESU na Achana na MAFUNDISHO. Ya. WANADAMU , Ya Kina PAULO ,

    • @Logicentric
      @Logicentric 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni kafiri tu wala sio hata mkristo. Kwa nini anajinasibisha na uislam wakati yeye ni kafiri tu.
      Kama ni mtume aje na kitabu chake na dini yake uislamu haumuhusu kabisa.
      Na kama ni mkristo akahubiri ukristo lakini asichezee uislamu sisi sio mambumbu tunaijua dini yetu..na tunakisoma kitabu chetu. Sisi hatuna shida ya mtume mweusi...

  • @saigonernest7631
    @saigonernest7631 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu ana sema Mimi ndiminjia nakweli na uzima hakuna awayeyoyote awezaekwenda Kwa babayangu bila kupitia kwangu.

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉👏👏👏Walokutuma kazi hawajakosea mwalimu. HONGERA. Na hongera kwao kwa kuchagua agent mzuri... Unajua kushawishi wallah... Mana unaanza na ukweli ndio baadae uchomeke na zako😊.

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ata ibilisi alei laana amewai kusema kweli na mtume wetu akakili kuwa amesema kweli, na uyu leo japo ni muongo sana ila leo kaongea vingi vyakweli, allah akuonyeshe haki

  • @GoPGM
    @GoPGM 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalovkuokolewa kwalo isipokuwa jina la YESU KRISTO peke yake. (Matendo ya Mitume 4:12). Wote wasikiri kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu ni wapinga Kristo. Hii ni pamoja na waislamu wote na mtume wao.
    Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
    (1 Yoh 4:1‭-‬3 SUV)
    Je, Uislamu unamkiri Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Hapana!

  • @mammukaratu2084
    @mammukaratu2084 6 หลายเดือนก่อน +18

    Allah amesema Swaumu ni yake na yeye ndie anajua atalipa vipi na Nini...alafuu Aliyetakasika ni Allah pekee yake !!

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 6 หลายเดือนก่อน

      Msikilze vizur dear utamuelewa.

  • @IssaahAdam-dd6vo
    @IssaahAdam-dd6vo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu kristo ndio njia na kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa MUNGU mahali pema pasipo kumkiri Bwana Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha alikufa akafufuka kwa dhambi za ulimwengu pasipo Yesu kristo huwezi kusamehewa dhambi

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 6 หลายเดือนก่อน +2

    Njia, Ukweli na Uzima Ni Yesu kristo Mwana wa MUNGU

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masheikh mbona huyu anatukashfu sana na Bado anatamba tu kinachoniauma anatumia neno Moja moja kwenye QUR-AN tukufu kutukashfu waislamu na Uislamu Bado munamuangalia tu inamaana ndio hakuna namna ya kumzuiya huyu mpinga haki ili haache kuuutukana Uislamu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 6 หลายเดือนก่อน

      Yaani hata Mimi nashangaa anaendelea hata wasi Hana , huu Ni mpango ulioandaliwa maksudi kupotosha

  • @UlisayaMwampaja
    @UlisayaMwampaja 6 หลายเดือนก่อน +16

    Mimi ni mkristo ,hila nabihii yuko sahihi anacho sema kufunga bila imani si chochote hata kwa sisi wakristo kufunga bila imani pia si kitu na vile vile uislamu na ukristo mimi nishajifunza na nimehelewa kupitia kwa nabi eliya kupitia mafundisho yake ni kama mungu wetu ni mmoja tu ni vitu vidogo sana ndo vinatutofautisha mungu atusaidie tusome vyema mafundisho .

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 6 หลายเดือนก่อน +1

      Imani bila matendo imekufa, maana kitakachomtetea Mtu mbele za Mungu ni matendo… sasa watu hawaelewi hilo wanaamini Dini ndo kila kitu! Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema

    • @UlisayaMwampaja
      @UlisayaMwampaja 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@veronicanestory1662 Asante kwa uliyoyasema mungu atutetee

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 6 หลายเดือนก่อน

      @@UlisayaMwampaja 🙏🏻 mtu wa Mungu

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 6 หลายเดือนก่อน

      Sio surat baqara mtu ni suuratul baqarah …suuratu ni khabari ya mubtadah

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 6 หลายเดือนก่อน

      Jinga hili dini ya kiislamu ni dini ambayo mapokeo yake yana chain of narrations eti maana yake ni maaliki amekutangulia nan kufahamu hivyo hili ni kristo

  • @karimstambul-ts4gn
    @karimstambul-ts4gn 6 หลายเดือนก่อน +14

    Mwendawazimu ktk ubora wake

    • @Cabosport
      @Cabosport 6 หลายเดือนก่อน +3

      Uwa mtu akissema ukweli uwaga tunampinga, sababu tumezoea uwongo. Dunia ya sasa atupendi ukweli...

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 6 หลายเดือนก่อน

      @@Cabosport ni kwel kabsa alf hawa wanabisha k2 kilicho katika Quran yao.yan issa wanamjua ila kwa kua ss twamuita Yesu na tumekiri kwa vinywa vyetu na moyo wao wanaona kumtaja ni makosa makubwa alooooh,chaguen Yesu yy ndio njia kwel na uzima.na kama hawaamini waende wasome Quran Yesu kaelezewaje,na kule anaitwa "Masih" yan vitu vinajieleza kabsa ila wabishi na tena wameambiwa wamfate ndipo watakapo ongoka.

  • @haddardismail2689
    @haddardismail2689 6 หลายเดือนก่อน +8

    Haihitaji mjadala hapo kwanza umesema muumini ni yule alietamka laailaha illa llah kingine mpaka mtu ameacha kula wakati chakula anacho ameacha kunywa ni wazi kuwa hiyo ni imani tosha, acha kupoteza watu

    • @abdulazizhabib4581
      @abdulazizhabib4581 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu dish limeyumba njaa

    • @Saidmohammed-o3u
      @Saidmohammed-o3u 6 หลายเดือนก่อน

      Ww c muislamu uvaa vazi kupotesha watu

    • @annymacher3829
      @annymacher3829 6 หลายเดือนก่อน

      Quran inasemaje kuhusu issa?

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ww jamaa mbona sikuelew unamuambia nan km ni muislam wakuelew maana ww.ni kafir mbaya mnoo na ni.mnafiki

    • @veronicanestory1662
      @veronicanestory1662 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kafir wa kwanza ni wewe usiyeielewa kwel unaangaika na Dini, ulidanganywa na nani kuwa dini itakupeleka mbinguni?

    • @AndrewWoiso
      @AndrewWoiso 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo waislam wengi hampendi ukweli mkiambiwa ukweli mnakasirika 😢

    • @shareefkamtande
      @shareefkamtande 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe fuata imani yako usiingilie mambo ya waisilamu ​@@veronicanestory1662

    • @MahmoudDouchi
      @MahmoudDouchi 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@AndrewWoisotatizo Hana alijualo kuhusu uislamu pocho mkubwa huyu jamaa

    • @AndrewWoiso
      @AndrewWoiso 6 หลายเดือนก่อน

      @@MahmoudDouchi acha makasiriko buda

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ukiulizwa mtume alisema yeye ndo nabii wa mwisho, wewe unabii umeupata wapi?? Eleza kidogo hapo wewe jahil

  • @yusufufahadi7790
    @yusufufahadi7790 6 หลายเดือนก่อน +17

    Umejitahidi kusoma Madrasa.ilahaukusoma kujenga uislamu umesoma kubomoa uislamu.Inshallah hautafanikiwa .wewe nimcristo!!!

    • @AnoldLyimo-h1e
      @AnoldLyimo-h1e 6 หลายเดือนก่อน +1

      Usimshtumu ni mkristo kwan umeona ametaja ukristo ?

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli unauma eee

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 6 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo umefundishwa kuulinda lkn ukweli mmeambiwa msiusikilize ila kulinda ndio ht mkiambiwa ukweli hamtaki kujua sio

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ndugu yani unataka atetee dini na siyo kweli ya Mungu kwani dini nini

    • @deepestmathematics1888
      @deepestmathematics1888 6 หลายเดือนก่อน

      Umefundishwa kulinda uhongo na kukataa ukweli? Hivi mbona ni rahisi tu kwanza anaongea Kiswahili ambacho hupati tabu kuelewa je hasomi maandiko je afafanui. Hahah hasa Uislamu ni ugaid tu amni ukatae😂😂😂

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asalam alaikum mm sjamaliza mpaka mwisho ila ni muislam Mimi na nakuelewa na kupitia maneno haya nitajitathmini ni mtu wa aina Gani mbele ya Allah na waislam mliomkosoa huyu yawapasa mjue kua funga bila Sala funga bila Iman funga bila matendo mazur Amna kitu jamani

  • @huseninchasi
    @huseninchasi 6 หลายเดือนก่อน +11

    Jamaa anajua kudanganya watu sana anajifanya shekh kumbe hakuna

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 6 หลายเดือนก่อน +1

      sheikh gani anajiita nabii ashakufuru hapo

    • @benjamanigabriel3349
      @benjamanigabriel3349 6 หลายเดือนก่อน

      Anachoongea kwel usipinge

    • @Cabosport
      @Cabosport 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi waislam atupendi ukweli ndio tatizo letu

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tena Waislam na kizazi chetu, tusipotaka kusoma dini yetu atawachanganya wengi. Ukweli mchache lakini udanganyifu mwingi.

    • @SolomomAdams-pf5zy
      @SolomomAdams-pf5zy 6 หลายเดือนก่อน +1

      Anaitwa sheikh Mbwa ndiyo jina lake halafu limeishiwa aibu kabisaa

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 6 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa alishawahi kuitwa kwenye jopo la ulamaa, alibanwa kwa hoja madhubut na akaomba msamaha. Binafsi nina wasiwasi na kichwa chake , akapimwe akili na mkojo wake.

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wallah jishenzi hili kweli kweli, kisha mtu akwambia sheikh nimekuelewa daah wallahu musta'an

    • @ahmedchoden9970
      @ahmedchoden9970 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi huyu sio muislamu na anatumiwa na wakristo kuchanganya waislamu wasio jua vizur dini yao
      Muislamu anaejua dini yake vzur hadanganyiki na uonho wa huyu mtu anaejiita nabii uo unabii sjui kaupata wapi

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 6 หลายเดือนก่อน +1

      Si rahisi kushindana na mfumo. Hata ukiwa unasema ukweli.

    • @SolomomAdams-pf5zy
      @SolomomAdams-pf5zy 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna ukweli Bomoko ww

    • @michaelmagwaza-bc6mk
      @michaelmagwaza-bc6mk 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo lenu mkiambiwa ukweli huwa huwa mnafra.😊😊 nyweeni nyote kikombe hicho Acha kuhamisha Agenda, ukitaka kupinga Weka Aya ili uaminike usiogee bila Aya.🤭

  • @OmarSaid-wj5zn
    @OmarSaid-wj5zn 6 หลายเดือนก่อน +12

    A A. Ndugu zangu waislamu tuchunge sana. Maana masihidajal ndie fitna kubwa na kila mtume aliwaoya umma wake kuhusu fitna ya masihidaja leo nabii waurongo anafudisha uislamu hii ndio fitna kubwa ndugu zangu waislamu M MUNGU atuzidishie hikma tuwajue manabi wa dajjal AMIN saum makbul ndugu zangu waislam.

    • @majigeedward955
      @majigeedward955 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huu jamaa anasema kweli cc na nyie c maadui ni jambo la uelewa tuu,,

    • @bigfive8334
      @bigfive8334 6 หลายเดือนก่อน +1

      huyu jamaa hana kitu anatafuta pesa kanisani anajuwa michingo ala elmu hana iyo aya ameshindwa kufafanua na kuelewa aje afunzwe na mwanangu age 8🇰🇪

    • @asmaalghafri449
      @asmaalghafri449 6 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe haujulikani dini gani umechanganyikiwa ungelikuwa miislam kamili usinge jiita nabii na bii wa mwisho mtue wetu mohamed

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 6 หลายเดือนก่อน

      Ndugu wewe nabiidajal mtume wa uongo ni wewe ,lakini nabii ilyasa ni mkweli kuliko dini yauongo ya wisilamu kazi yake ni kupotosha umma na kuupeleke umma motoni uislamu ni dini ya uongo

    • @zahorsuleyman7617
      @zahorsuleyman7617 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli.kabisa

  • @OthmanhajiMwalim
    @OthmanhajiMwalim 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ww utadhalilika na kila mtu atakuona.

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wallah mtu hawezi kuwa anafanya upuuzi km huu miaka yote kisha Allah akamuacha ,sub-hanahu wata'ala

  • @abdulhalimomar5329
    @abdulhalimomar5329 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam kuweni makini sana kwanza huyu si shehe usihadaike anachosema hawa wana dini yao na sisi tunadini yetu ya uislamu ,msihadaike mtu anaweza kusoma ili aharibu dini yetu ya uislam , uislam umeeleza vipi tuishi ikiwa tumetawaliwa tunatakiwa tutii mamlaka hata mtu muhammad hakuamrishwa kupigana vita wakati ambao hana nguvu walipitia manynyaso na vitimbi vya makafiri ,lakini walikaa nao kwa mipaka funga ndugu yangu usidanganywe huu ni mwezi mtukufu haya yote tumekadiriwa kutokea ,funga fanya mema ila uwe na imani uwe na Taqwa wewe huna uwezo wa kusimamisha haki bc jichunge wewe usizulumu fata mamrisho acha makatazo FUNGA NI YA ALLAH NAYE NDIE ATAKAELIPA ASIKUHADAE MTU KUJA KUKUAMBIA HULIPWI KMA MLIPAJI BINADAMU HUTOLIPWA LAKIN ALLAH YYE NDIE MLIPAJI WA FUNGA BINADAMU YOYOTE HANA UWEZO WA KUJUWA KMA FUNGA INALIPW au hailipwi kuweni makini huu ni mtego kuchezea imani zenu uko kwenye njia sahihi ndio mna unapigwa vita hawa tumeambiwa hawatatulia mpka tufate mila zao,na cc tunamtambuwa issa vzr asikudanganye, tazamaa vzr usomaji wake kma hutofatilia na kusoma unaweza sema anasema ya maana hapana iyo quran anakosea anasema sivo , anasema mashehe tupo uyo si shehe ,mfatilie uyo c muislamu

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ila kuingia ndani na kuivuruga imani sio fresh. Acha Muislam aamini katika uislam na mkristo aamini katika ukristo...

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 6 หลายเดือนก่อน +1

    UMETISHA SANA NA UNAJUA MPAKA AKILI ZIMEPUNGUA, UNAFAA KUSALISHA MAKA....HAHAHAAAAAAAA

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jamaa kiristo acha kufafanua kitu ulokua hukijuw hakuna nabii anaekaa tz njaa Kali ww

  • @piscaskatembo3909
    @piscaskatembo3909 6 หลายเดือนก่อน +10

    Niko drcongo Nina kufata siku kwa siku mwalimu.
    Ubarikiwe sana .kwa hekima kubwa Mungu anaendeleya kukufunuliya kwa kizazi hiki.aksante sana nabii wa Mungu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @piscaskatembo3909 Wewe Na Huyo Nabii Iliyasi wote Kwa Mungu mna Lakujibu ,🤣🤣🤣

    • @abdulmaslah5730
      @abdulmaslah5730 6 หลายเดือนก่อน

      Huo unabiii wa kujipachika umetumwa na Sheitwan😢umetuletea kitabu gang?

    • @Logicentric
      @Logicentric 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa unamfuats huyu kwani huyu ni dini gani?
      Ila na nyinyi ndugu zetu wakristo munajichanya..

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@Logicentric MKRISTO Mwenzao huyo 🤣🤣🤣 Kwa WAISLAMU Mtume wa MWISHO ni MUHAMMAD Sasa huyu Nae Anajiita Nabii Iliyasi unaona kuwa Anaenda Kinyume na Mafindisho ya UISLAMU . 🤣🤣🤣

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 6 หลายเดือนก่อน +9

    Alisema Bwana Yesu Kwa njia yoyote ile yaliyofichwa yote lazima yafunuliwe 🙏.

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu hatambui watu wa mataifa😂😂😂😂 read bible when jesus called mwanamke wa mataifa ni mbwa, alitaka msaada akakataa,

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Zainab_salatkabisa na alitumwa kwa kondoo walio potea kwa Wana wa izrael nashangaa wao ndio wamekua hayo makabila 12😂😂😂

    • @Nim68182
      @Nim68182 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@saumbliz8983😂😂😂soma Yohana 10:16
      Usiropok saaaana

    • @MercyKanini-r2i
      @MercyKanini-r2i 6 หลายเดือนก่อน

      الإنجيل محرف في ذاته ليست هناك نسخه قديمه اصليه اذا كنت فعلا مسيحي فأنا أكثر منك مسيحي ولكن لا وجود للانجيل الصحيح الذي هو ذكر فيه آخر الرسل وهو محمد وعيسى ليس إلا مثل ادم خلقه الله من تراب و أوحى إلى مريم من كلمته المسيح وجعلها رسولا نبيا ويكلم الناس في النهد صبيا ويحي الموتى وكثير من المعجزات

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 6 หลายเดือนก่อน +1

    Umedanganya tena na kusema uongo. Hivi unamfaidisha nani? muhammad alipoebda madina aliweza kusambaza uislam si kwa kufunga bali alipopata dola ndio aliweza kuua na kulazimisha watu wawe waislam ama walipe kodi. huo ndio ukweli na wasiosoma wanasema eti unaongea ukweli. Muhamad aliua kufa na kupona ndio uislam usituhadae shekh.

  • @AssumaniJohnson
    @AssumaniJohnson 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nam yote un songea shekh yamo katika qour an unasema ukweli mwenyezimungu atusameeh zambizetu. Na atuongoze.

  • @MeYou-g9x
    @MeYou-g9x 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ishara za ukafiri nikama hizi

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki ktk ubora wake

  • @MohamediRamadhani-z1z
    @MohamediRamadhani-z1z 6 หลายเดือนก่อน +3

    As/alaikum
    Tunashukuru umejitahidi kupambanua walakini Kuna jambo unafeli kidogo sijajua coz unafanya haya Kwa matarajio gani..
    Iko hivi; Allah ametuita enyi mlioamini Kisha ukatuelekeza walioamini ni wale walioshahadia Lailaha illa llah, hao ndio wanaopaswa kufunga, swadakta uko sahihi kabisa
    Sasa mahala unachanganya mada ni pale unapotuambia tunakua hatujafunga ati kisa inchi inaongozwa na mwanamke mara watu wanafanya liwati, Iko hivi
    Hizo unazozieleza ni changamoto ambazo zinapatikana ktk maisha ya duniani Wala hizo changamoto hazizuii yule alieamini asifunge, hata mwenyewe Kuna mda umejibu mada Kwa kusema hatupaswi kubeba bunduki Kwa changamoto hizi.
    Tuachie tulioamini tufunge afu changamoto za kidunia nazo tutazitatua Kwa uweza wa Allah mwenyewe...

    • @nyimbozakuabudu2650
      @nyimbozakuabudu2650 6 หลายเดือนก่อน

      Kumbe yupo sahihi

    • @AlphonceTiago
      @AlphonceTiago 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa hauelewi nn apo mjomba, yupo sahihi huyu jamaa

    • @AlphonceTiago
      @AlphonceTiago 6 หลายเดือนก่อน

      Kama unaweza kuwa muislamu na kufunga iweje usifunge kwa haki kwa kuondoa hizo changamoto alizozielezea, hauwezi ukaongozwa na mwanamke halafu ujiite muislamu

    • @MohamediRamadhani-z1z
      @MohamediRamadhani-z1z 6 หลายเดือนก่อน

      @@AlphonceTiago Akili yako ndipo ilipoishia kutafakari.

    • @MohamediRamadhani-z1z
      @MohamediRamadhani-z1z 6 หลายเดือนก่อน

      @@AlphonceTiago wewe uliemuelewa unaishi ktk nchi ipi? Na inaongozwa na nani? Hameni nchi basi

  • @alisosola-rb1vc
    @alisosola-rb1vc 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika makafir ni maadui wa mwnyz mung

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwege tu kizabi zabina huyu mtu ukristo anauamini kwa kusema yesu kafa kafufuka na anawaunga mkono wale wakristo wanaosema Mungu ana mtoto yaani yesu wakati QUR AN IMEKUJA KUWAINYA WALE WANAOSEMA MWENYEEZI MUNGU KAJIFANYIA MTOTO kwa kuwa huyu mtu anajiita Nabii wakati unabii ushapita sasa hakuna Nabii huyu kwa mujibu wa Qur an ni Kafiri

  • @selemanishabani6843
    @selemanishabani6843 6 หลายเดือนก่อน +1

    usipoteze nguvu kubwaaa,maana tunakufaham vizuri,umesha pinda,hata kujitambua tu hujitambui.pole kawaambie makafiri wenzio

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 6 หลายเดือนก่อน

      Nabii ilyasa anajitambua sana kuliko wewe unaye bwekabweka kama kalubu nila uelewa wa dini yako nabii ilyasa ni mwalimu wadaawa subiri daawa ikwingie acha kubweka

  • @barakamwasanga1667
    @barakamwasanga1667 6 หลายเดือนก่อน

    6:71 - Sema: Je, tumuombe asiye kuwa Mwenyezi Mungu ambae hatufai wala hatudhuru, na turejee nyuma baada ya Mwenyezi Mungu kwisha tuhidi? Tuwe kama ambao mashet'ani wamempumbaza katika ardhi, amebabaika? Anao marafiki wanao mwita ende kwenye uwongofu, wakimwambia: Njoo kwetu! Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio Uwongofu. Nasi tumeamrishwa tusilimu kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote,

  • @nasoroabdallah6253
    @nasoroabdallah6253 6 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa wewe ni muislam kweli na unaamini katika yale aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (S.A.W) kutoka kwa Allah (S.W), ni mafundisho gani ya uislam yanayokuruhusu kujiita nabii wakati Qur'an imeshaeleza wazi ya kwamba hakuna unabii wala utume baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Sura ya Al-Ahzaab aya ya 40. Je huoni kwamba umekengeu (umekufuru) na kutoka katika Uislam? Acha kupotosha na muogope Allah (S.W) kwani ni mkali wa kuadhibu

  • @HAMIS-ci2vt
    @HAMIS-ci2vt 6 หลายเดือนก่อน +4

    Inna lilah wainnaaa ilayhi raajiun.

  • @wilsongeorge465
    @wilsongeorge465 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesoma baadhi ya comments Kuna watu wanajibu Kwa mihemko ya kidini pasipo kufuatilia Kwa undan kile Mwalim unafundisha na wanajibu bila hata kuainisha kwamba mwalim amekosea wap, MUNGU akubariki sn mtumishi wa Mungu, fanya kazi yake Kwa uaminifu Kwa kadri Mungu atakavyokuongoza yawezekana ukawaokoa baadhi ya watu wa Mwenyezi Mungu. Mungu akubariki na akutie nguvu katika kuifany kazi yake. Amina

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 6 หลายเดือนก่อน

      Haswaa 👌👌

    • @hamynas
      @hamynas 6 หลายเดือนก่อน

      mwalimu?hata kutamka matamshi kwamshinda ha ha haa

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 6 หลายเดือนก่อน

      WAISLAM WOTE WAMEAMINI MUNGU MMOJA NA MTUME WAKE MUHAMMAD(S.A.W) NA KUFUNGA NI KUJIZUIA KULA IKIAMBATANA NA KUSALI,KUSOMA KUR"AN,KUTOA ZAKA,KUJIZUIA NA MATENDO MABAYA NK...ILA KUSEMA HATUFUNGI HAPO UNAKOSEA KWASABABU MALIPO YA SWAUMU NA SALA MUNGU PEKEE NDIO ANAEJUA NA HATUWEZI KUACHA KUFUNGA ETI KWASABABU KUNA MATENDO MABAYA YANAENDELEA MBELE YA JAMII.

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 6 หลายเดือนก่อน

      Yesu amesema msiwe vuguvugu,,kama ni moto kua moto, kama ni barid,barid..sa ww ukimuamgalia huyu mbona ni vuguvugu au hujamuelewa maana huyu anayekataza watu kufunga hapo hapo anasema kufunga ndio kunaleta ucha mungu..huyo ni kafir kubwa.

  • @thebeatshouse
    @thebeatshouse 6 หลายเดือนก่อน

    Pumzi inakuhadaaa.....unajitahidi kupindua maneno ya ALLAH kwa faida yako....waupotosha umma kwa faida yako binafs hakika upo ndani ya bidaa.....ALLAH atakulipa kwa uzushi huo siku ya hesabu...tubia kabla haujaondok duniani

  • @saidhassan5346
    @saidhassan5346 6 หลายเดือนก่อน

    Kufunga tunafunga sisi nyinyi kinawakeleketa nini....Amjui kuna zakatil fitil Ndio inayosafisha vyote poleni sana Amjui Dini...tokeni Apa.

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 6 หลายเดือนก่อน

    Kijana una POROJO za kitoto mno,wale wanaoingia KANISANI UCHI,unaweza kuwalinganisha na wanaofunga mchana mzima bila ya kula chochote ili hali ana kila kitu ndani?Sio wala walipoona Funga ni ngumu wakaamua wachague vyakula ndio wadai wamefunga eti Kwarizma😂

  • @yazidbafunda5092
    @yazidbafunda5092 6 หลายเดือนก่อน

    Pia umekuwa ukiwachanganya waislamu wenye uelewa mdogo wachini lakini washakufahamu.
    Usilete FALSAFA zako katika dini usiyoifahamu

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 6 หลายเดือนก่อน

    Ukweliusemwa semekweli nakola mwihislamu asikiye okoke'i wandugu sikuzimeisha KRISTO ikomla ngoni

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam na Wakristo rejeeni nyuma mkumbuke huyu na Pastor Ceaser Masisi walikuwa wanafanya kazi pamoja pale kanisa la Neema juu ya Neema. Yule Pastor leo anatukana biblia, anachochea ushoga, anasema kuzini sio dhambi n.k. Na huyu pia anasema watu wasifunge na wasiswali!! Hamjashtuka tuu!?? Mwenye akili ameelewa. Matapeli hawa. Fuatilieni matukio na mtumie akili mtgundua kitu.🙏

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 6 หลายเดือนก่อน

    Hujuiikitu wewe mjinga.kuruani sio mchezo itakudhuru mjinga wewe

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunamfuatilia saana mafundisho yake kujua kama ana elimu au ni elimu ya shetani kupoteza watu wasiojua dini MPAKA SASA NIMEGUNDUA HUYU NI KAFIRI KWA MAJIBU WA MAFUNDISHO YAKE MWENYEWE

  • @iddkilango3033
    @iddkilango3033 6 หลายเดือนก่อน

    Kwann we kibabu lini umeusoma uisilamu we c hiv karibun ulikuwa mchungaji sijui pasta unaelezea habar za gaza ...makanisani
    Acha kuchezea akili za watu JAHILI WEWE

  • @eiddykenga5816
    @eiddykenga5816 6 หลายเดือนก่อน

    Huja hoja ww..kuja kwenye mihadhara ufundishwe sio kupost vitu zakitoto

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi hua ukiingia KANISANI waliokaa vichwa wazi.
    Wanaovaa Vimini hua huwaoni?
    Hao nao niwacha Mungu!??
    Au wachungaji wa KIKE unawazungumziaje?

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unasema tusifunge na tusiswali na yule mwenzako uliyekuwa unashirikiana nae (Pastor Masisi) ana chochea ushoga na anatukana Biblia. Mpango wenu ni mmoja tumeshtuka. Hatuachi ibada hata km dunia nzima itaabudu shetani. Mmesomeshwa na Wayahudi mje kusaidia kazi ya Mpinga Kristo. Siku zenu zinahesabika.

  • @DrLugendo-yg8qh
    @DrLugendo-yg8qh 6 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿Dr lugendo, ANAKUPA SALAAAM......

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sisi tunakupenda sana Nabii wetu Mungu akueke maisha marefu uzidi kueka ukweli bayana

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @augustfive5279 Ametoa Aya QURANI 2:183. Enyi Mlioamini! Mmelazimishwa Kufunga ( SAUMU ) Kama Walivyolazimishwa Waliokuwa kabla yenu ili Mpate KUMCHA MUNGU . 🙏🙏🙏. @augustffive5279 Yeye Akaishia ( Enyi Mlioamini ) Akajisahau Akajua jua Yupo KANISANI Akaanza Porojo Mpaka Mwisho wa Clip yake 🤣🤣🤣@augustfive5279 MANENO YA MUNGU Hayaongezwi wala Kupunguzwa / Soma hata KITABU Chenu, / KUMBUKUMBU LA TORATI. 4:2 Msiliongeze NENO Niwaamurulo wala Msilipunguze , Mpate Kuzishika Amri za BWANA , MUNGU WENU , Niwaamuruzo, 🙏🙏🙏. MHUBIRI 3:14 Najua ya Kwamba kila kazi Aifanyayo MUNGU Itadumu MILELE ; Haiwezekani Kuzidisha Kitu , Wala kuipunguza Kitu ; Nayo MUNGU Ameifanya ili Watu WAMCHE YEYE ,🙏🙏🙏@augustfive5279 Sasa wewe Nenda na Huyo Nabii wa Mchongo 🤣🤣🤣😂😂😂 Kwanza Kwenye UISLAMU Nabii wa MWISHO NI MUHAMMAD, Sasa huyu Muislamu gani Anaejiita Nabii Iliyasi ??? Anajisahau kuwa yeye Ni MKRISTO Kapandikizwa katika UISLAMU Sasa Anahubiri Ki KANISA 🤣🤣🤣

  • @tariiqssaby2645
    @tariiqssaby2645 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe usieamini usifunge...usitafute trend kwa kufanya mdhaha kwa mola wako.

  • @jumamigindu7639
    @jumamigindu7639 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unataka leta matatizo kwa jamii ya uislamu, hali unajua fika kua uislamu umejengeka kwa nguzo tano, Shahada, Swala, Awamu, Zaka na Hijja..yaani wewe ni chizi kweli. Usipite kwenye anga zangu pumbavu zako wewe.

  • @yazidbafunda5092
    @yazidbafunda5092 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona unajichanganya wewe, waislamu wanasoma dini yao labda baadhi wanaofuata kibubusa.
    Mtume mpaka ameteuliwa na Allah tiyari ni muumini sasa huoni kuwa wamkosoa Allah? na ndio maana akapewa kazi ya kulingania washirikina na waliopotea waifuate njia ya sawa.
    Allah akampa wateule wenye imaan ambao ni maswahaba ili wamsaidie kwenye kazi hii.
    Wewe unaposema kuwa mtume na maswahaba waliitwa waumini baada ya miaka 13 wewe ni MUHONGO na hufai KUSIKILIZWA na watu.

  • @omarbinkhattab-kn8bu
    @omarbinkhattab-kn8bu 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe shee sikiliza milembe panakuhusu mzee yan bora lingepachikwa jiwe hapo.acha kupotosha watu wewe.

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 6 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuwa uliyeamini😢 kama sio muislamu. Hatua inayofuata baada ya hapo ni uchamungu.

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naona comment za wa Islam zenye matusi sasa sijui kama nao wamefunga ? 😅😅😅😅😅😅😅

    • @benjamanigabriel3349
      @benjamanigabriel3349 6 หลายเดือนก่อน

      Hao ndo wale wanaofunga na kushinda njaa

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe no chizi tu,Fundisha ukristo hatuna haja na watu wanao ubomoa Uislamu,Kama ni njaa njaa zetu wewe zinakuhusu Vipi?watu wengine confused sana.

  • @jamalibella9707
    @jamalibella9707 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unaonyesha bdo hata matamshi yako ya kuyatamka maneno ya Mwenyezi Mungu unashindwa rudi madrasa

    • @haruniaisha5905
      @haruniaisha5905 6 หลายเดือนก่อน +1

      Msicho penda waislam nikuambiwa ukweli kwasababu babayenu ni baba wa uwongo aliwadanganya amekutana na maraika gabriely kumbe kaminywa na shetani

  • @listerferdinand9653
    @listerferdinand9653 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo shekh unatushauri pia tusiswali, tusifunge, tusitoe zaka, na tusihiji maka, na tusishuhudie kwamba ALLAH ni mmoja
    Eti kisa tunatawaliwa na mwanamke
    Waisamu msipo soma dini yenu mtakua manaswala walivyo mfata poulo ikawa chanzo za upotevu mpaka leo

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 6 หลายเดือนก่อน

    Utawapata Washirikina wenzako yasioujua Uislam mfano kafiri wenzako mnafk Mkubwa we hata unacho kieleza sio Saiz yako

  • @melckizedecktemba5373
    @melckizedecktemba5373 6 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewaga sana,na kweli kama sio ulinzi wa Mungu, ISHMAEL angeshakuuwa.. endelea kusema ukweli

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza wewe mwenyewe unefunga??? Alafu mbona unautumia sana uislamu kuutangaza ukristo mzee 😂😂😂 tengeneza dini yako upige hela acha kuutumia uislamu kama silaha yako.

  • @Logicentric
    @Logicentric 6 หลายเดือนก่อน

    Na nyinyi ndugu zetu wakriso sijui mnajielewa au la..
    Sasa munamfuata huyu kafiri kwani huyu ni dini gani?
    Ila na nyinyi munajichanya kweli hata siwaelewi.

  • @lalyabbas8861
    @lalyabbas8861 5 หลายเดือนก่อน

    Njoo nkudulusu shekhe Eti mtu akiswali akifunga yaani aamal yote hazikubali

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona unalazmsha kuisoma Qur'an Alafu Qur'an haikutaki kwa Sababu ya Unafk Ulionao Moyoni Usoni kama Mtu Moyoni Mbwa mwitu

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 6 หลายเดือนก่อน

    Wala diini haipo hivyo matendo mema yatapimwa kama ilivyo makosa yatapimwa usikatishe tamaa watu,ILA WEWE SIYO MUISLAMU 100/=

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 6 หลายเดือนก่อน

    Yani hata kuitama Qur'an hawez Amesha kula pesa za papa ili Afundshe Uislam fek Mbwa huyu

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน

    Huko uliko wasomi hawafatilii mambo yako, ungebaki Tanzania mpaka sasa kazi yako ilikua imeisha kilicho kukimbiza Tz n nn? Wew n tapeli usiye jitambua danganya wakristu wenzako huwez pata kitu kwa waislam

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 6 หลายเดือนก่อน +13

    Anayejua mfungaji ni Mungu wewe habari za kufunga waachie wafungaji

    • @abuumkota5505
      @abuumkota5505 6 หลายเดือนก่อน

      safi yangoswe amuachie ngoswe kwan yeye kinachomuuma nini

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Hamza achana na mambo ya Dini yetu Maana wewe siyo katika sisi

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu sio muislamu bhana atuache na swaumu zetu kafiri mmoja huyu kondoo mwengine alie potea

  • @54plus41
    @54plus41 6 หลายเดือนก่อน +1

    watu nisaidieni tu kuelewa huyu preacher niwa ndini gani haswa manake huezi kuwa unatumia vitabu za dini mbili kuhubili nauseme hakuna makosa pahali.Again,jina la muumba nitofauti sana kwa hizi dini mbili .huyu niwa dini ipi sasa ?

  • @omarbinkhattab-kn8bu
    @omarbinkhattab-kn8bu 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lako unachanganya mafaili.unapokuwa unafundisha dini.na hiyo inachangia elimu kiwa ndoho sasa fanya kitu kmj katafute mashekhe wakubwa wakufahamishe jinsi ya kutowa da3wa sio kwa njia kama hii hujakuwa straight so unapotosha dini hiyo dhambi kubwa tena sana utakuja kuuliza mbele za haki hapo baadaye.

  • @abdulmaslah5730
    @abdulmaslah5730 6 หลายเดือนก่อน

    Hata biblia ilisema watakuja manabii wa uongo jidanganye nafsi yako usipotoshe watu.

  • @mirajihamza2892
    @mirajihamza2892 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe kafiri acha kujikanyaga,,,Rudi kwenye dini ya haki,,,unajua kabisa umepotea halafu una bwabwanya ukifa kabla hujasilimu ujue wewe ni kuni za jahannam

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 6 หลายเดือนก่อน

    Kuma ww kafiri mkubwa ukija Zanzibar nikiwa na taarifa kama umekuja nitakula sahani moja,,,nitaukatisha uhai wako,,,acha kuichezea dini yetu,,, kafiri mkubwa

  • @HamadiDodi
    @HamadiDodi 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mshenzi tena kafiri mkubwa hata hujui kusoma pumbavu

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 6 หลายเดือนก่อน

    Mwache ashinde na njaa wewe. Haikuhusu wewe si muislamu uislamu hausomwi kirahisi hivyo sote waislamu tunatakiwa tuamini yoyote muislamu lazima atakiri lailahallah ndo maana na nyinyi mkiingia kwenye uislamu lazima useme lailahaillah. Unajitoa fahamu Allah akuongeze uwe muislamuu kwenye safari yako ya upotoshaji inshaallah.

  • @sheikhamansoor3522
    @sheikhamansoor3522 6 หลายเดือนก่อน

    Usidhani wewe ndio unatufundisha
    Waislam tunajua
    Qu'aani ndio kila kitu
    Nani aliwaambia padri asioe na sistar asiolewe
    Wewe mwenyewe unakufuru haifai kukusikia
    Siku hizi wanaoa

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa bakwata hawaoni wapotashaji kama huyu!? Wao bakwata wanang'ang'ania wapewe mamlaka ya kutangaza mwezi muandamo😊 basi 😅😅😅

  • @sheikhamansoor3522
    @sheikhamansoor3522 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani unafundisha wakristo kwa kutumia Qur'aan sababu umeona ni dini ya haki😂
    Hayo yote waislam wanayajua
    Asiye na imani hafungi
    Hakuna nabii mwingine wa mwisho ni Muhammad
    Umejaa madhambi kwa kujiita nabii
    Mnasoma qu'raani ndio maana mmejua kuongea zamani mlikuwa hamjua kuongea

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 6 หลายเดือนก่อน

    Sikujua kumbe una chuki sana kwa wanawake. Kwani ni nani aliwapa amri wanaume ndio viongozi wa dunia hii, hizo dini zote za ukristo na uislam viongozi wao wote ni wanaume yesu na mohamed sasa waliweka hizo sheria kupendelea jinsia zao. Dini ni myths na uongo wa kumcontrol binadamu. Acha kudharau wanawake umezaliwa na Mwanamke, wanawake wana nguvu, wanazaa wanaume hawana uwezo huo wa kuzaa kwa hiyo heshimu Mwanamke

  • @mzazifilms9354
    @mzazifilms9354 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu sio mkristo ila ni mnafiki.
    Mnafiki.yupo.tayar kupotosha ili tu apate chakula au umaarufu .
    Sasa ukitaka kujua hakuna mtihan ni mkubwa lkn allah anajua kuhukumu

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe tuache na njaa zetu,shida iko wapi kwani? fundisha ukristo

  • @RamadhaniChai
    @RamadhaniChai 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa na masikio ya Allah utamuelewa uyu shekhe pia uwe na akili kubwa kumuelwa inshallah 🤲🤲

  • @MatildeBjelland
    @MatildeBjelland 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam huwa hawapendi kukosolewa hata kama anawaelemish ni muislam mwenzao! Utasikia huyo cyo muislam😅

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 6 หลายเดือนก่อน

    Nitumie namba yako nina swasaka yangu ya elfu thelathini

  • @mussaidd4509
    @mussaidd4509 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe nikafiri kama makafiri wengine.aidha upeo WA akili zako ndio umekomea hapo.karibu katika darsa za wasomi waumini wenye dini yao uongeze maarifa.

  • @Saidmohammed-o3u
    @Saidmohammed-o3u 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu amesoma kuvunja uislamu lakini c muislamu..wakristo wanajaribu kila njia kuvuruga uislamu lakini hamuezi

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 yaani leo imefikia wakati ambao wasiokuwa kuwa waislamu wanatufundisha dini yeni ,kweli sisi waislamu wazama zetu hizi wengi wetu ni waislamu majina tu ila vitendo vyetu vinapingana na qur ani 😢

  • @jumamsuya6670
    @jumamsuya6670 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kitu ambacho wengi hawakijui kuhusu huyu bwana ni kwamba huyu sio muislamu.nasema hivyo kwa sababu waislamu wooote wanaamini nabii wa mwisho ni Muhammad swalallahu alahi wasalam.hivyo ukiona mtu anajiita nabii moja kwa moja anapingana na uislamu.pia Allah amesema funga ni Siri baina yake na mja wake .Sasa wewe unayesema watu wanashinda njaa je wewe ndio Mungu?

  • @shairaniifofo5794
    @shairaniifofo5794 6 หลายเดือนก่อน

    Umelaaniwa wewe tangu siku nyingi maana huna dini unayoifuata , kitendo cha kujiita nabii Baada ya kuja kwa nabii Muhammad na kufariki ni ishara ya wendawazimu wako .
    Mbaya zaidi unahisi unajua Uislamu kumbe ni mpiga debe tu .

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe Elia kama unataka ujuwe mama ya kufunga weka dibeti na waislamu sio unapiga kelele peke Yako Allah ndio mujuzi

  • @bigfive8334
    @bigfive8334 6 หลายเดือนก่อน

    apo kataja sababun uzul ila kaangaika bila kueleza nikma anakijua jina tu kitabu kisha iyo aya 2.183 imetaja waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu. pia kaangaika kuwaeleza wakristo wenzake

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ni mwehu tuu

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 9 วันที่ผ่านมา

    Kichwa cha habari kimepotosha uhalisia wa mawaidha

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 6 หลายเดือนก่อน

    wewe unapotosha watu mwenyezi mungu amehamlisha waumini kufunga uislamu una nguzo tano yakwanza shahada ukitamka shahada tu unatakiwa ufate amri za Allah nguzo yapili swala yatatu saumu yanne zaka yatano hija kwawenye uwezo vipi wewe umpinge mungu mungu anasema hakika malipo ya funga nijuu yake vipi wewe useme anaanacho pata tupe aya inaosema awapati chochote waislamu wanaamini Allah analipa matendo yamjawake kwa nia yamtendaji usiongope unatoamaana kwa akili yako ya upotovu ukiona mtuanatumia kur ani kwa upotevu ni wewe ndie utapoka wangapi walikuwepo

  • @lalyabbas8861
    @lalyabbas8861 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekujua leo huna elimu njoo nkulipe uache kuwapoteza ummah siulikiri mwenywe huna elimu jopo la ulamaaa