Wewe HAMZA kwanza sio NABII. ACHA UONGO kuwadanganya watu. Pili hakuna wachawi wanaotumiwa QURAN', Kuroga. Kwanza LAZIMA ujue kuwa QURAN' niponyo pia TIBA. QURAN' ni TIBA, NIPONYO pia. Kwamaana hiyo wewe ELIMU zako unazotangazia watu ni kwakutumia. MAANDIKO nyumba mbele mbele nyuma. WEWE UTAWAPATA WAKIRISTO KUWADANGANYA. LKN WAISLAAM WANAKUONA NIMUONGO NIMCHUMIA TUMBO TU. TUNAKUTAADHARISHA USITUTUKANIE DINI YETU, UTAKUJA PATA MATOKEO MABAYA.
subuhanAllah majin yamezungumziwa sana kwenye quran kwan nawao waliumbwa kabla yetu so wapo wengi kwan walilaaniwa na wakatupwa maeneo tofaut tofaut ya uso wa dunia ikiwemo baharin baaada ya hapo ndio mwanadamu akaumbwa na akapewa mamlaka ya kuwa juu yao na huo iblisi ni uzao wa majin,so ukimuona muisilam anatumia majin kufanya uganga huyo anakufur bali sio uisilam yy katumia maandiko vibaya muung katufahamisha juu ya viumbe hao ni visa vyao natukaambiwa tusiwaogope wala tusiwape nafasi ,alimtoa nabii suleiman na akawaamrisha kufanya lolote kwa uwezo wa mungu ili kutuzihirishia yakwamba hao majini sio bora,so unatakiwa uwasome uwajueee kwa sababu nao waliumbwa kwan mungu huumba kila kitu,,,
Eliya nabii nakukubali kabisa wewe watakuchukia lakini ukweli umesema wote dini zote tumemkosea Mungu kabisa tunahitaji Toba kabisa. Unasema ukweli kabisa asijisifie mtu wa dini yoyote maana wote Ni wakosefu mbele za Mungu. Mungu akulinde sana
Nabiii ni mtu ambae anaongozwa na Mungu na kusema kile Mungu akichomwagiza bila kupindisha pindisha huyu anayo sifa hyo kwahyo mda wowote na wakat woteee Mungu anamwinua mtu awe nabiii ili aseme na watu wake kwahyo hakuna manabii wa mwisho,Mungu analeta bado manabii wake,sema kuna watu watajitokeza kuongea habr za Mungu kumbe ajaambiwa na Mungu,kwahyo usikariri kua nabiii ni huyohuyo unaemjua ww tu hapana watakuja mana Mungu huwatumia kutupa ujumbe,kwahyo jukumu lako kukubali au kukataaa.😅
Mimi napenda kukusikiliza mafundisho yako lakini natamani uwe unafundisha juu habari njema za injili ya Yesu Kristo na uachane na habari za wale wasiomwamini Kristo.
Majini kutajwa kwenye Qur'an sioni kama ni tatizo, Coz Kwenye bibilia mnakosa kuelewa kua Spirits ndio hao hao majini, Lugha imewachanganya na Spirits wapo wazuri na spirits wapo wabaya. Yesu alitoa Wale Evil spirits kwa yule mgonjwa aliyekua na wazimu kisha majini wale wakarushwa kwenye nguruwe. Ila mzungu akisema holy spirits na evil spirits waafrika wanashindwa kuelewa lugha.
Acha kuwa mfitinishaji ewe mwana wa adam hakika umekosea sasa jirekebishe na utubie kwa mwenyezi mungu na atakusamehea na uwache kuchochea na visingizio vya uwongo ....na enzi zetu hakuna manabii wewe tayari uko mwongo .......mwenyezi mungu akuongoze na akufanye uwe mwisilamu ndo ujue utamu wa uslamu
Alichokiongea nisahihi japo alieongea simuumin wa uislam...waislam mnaotukana jifunzeni kuangalia video hadi mwisho ndio mtoe maoni yenu.. jifunzeni suuna za mtume wetu za kua nakauli nzuri na kupenda kusikiliza kabla yakutoa hukumu.. Nyinyi mnaotukana ndio mnatuchafulia dini kuonekana dini ya kihuni na kishenzi..Allah anamlaani yule ambae viumbe wengine hawatakua salama katika ulimi na mikono yake. Uislam ni mwenendo nataratibu za maisha zilizostaarabika. Inaumiza kuona tunaongea kauli chafu kwakigezo chakuulinda uslamu kitu ambacho mtume wetu hakuwahi hata kufikiria kufanya
KWANI KAMA AMEONA KWELI KWENYE KRISTO AENDE KIMYAKIMYA BILA KUONGEA YASIYOWAPENDEZA WAISLAM MNAFIQI ANATUMIKA KUUBOMOA UISLAM, MEANWHILE WAZUNGU AMBAO WAANZILISHI WA MWANZO WA UKIRISTO WAMEIONA KWELI NA WANAINGIA KATIKA UISLAM HUKU WAKIBUBUJIKWA MACHOZI SUBHANALLAH POLE HAMZA, HUWEZI KUIHARIBU SURA YA UISLAM KAKA YANGU, POLE SANA.
AFU YA WAISLAMU HAYAKUHUSU UNACHOTAKIWA KUONGEA WEWE BABA NI MAMBO YA ZUMARIDI NDO YANAYOKUHUSUUU, MADA ZAKO ZIHUSIANE NA HAO WAKINA MWAMPOSA, ZUMARIDI NA WENGINE ACHANA NA UISLAM UTAKUUA KWA PRESHA MAANA UNAZIDIKUENEA KAMA ILOVYOAHIDIWA TAKBIIIIIIIIR!!! ALLAHU AKBAR
Majini na malaika na bin naadamu vyote ni viumbe vya mwenyezimungu kuna binadamu wa baya na majini wa baya ila malaika ajamuasi mungu ila mwana damu na majini ndio waliondaliwa moto.kwa ivyo majina wanayo nafsi na binnadamu ivyo ivyo
Fungeni binya nyie makafiri pamoja na huyo kafiri mwezenu hamza Hanamna hoja yeyote dhidi ya dini ya kislamu mntabaki mkikashfu tu basi wala hakuna nenololote namsiki wala la busara mnalo zungumza pumba tupu 😏😏😏 hovyo kabisa Narudia tena makafiri jazayao ni moto mkifa hivyo motoni Allah ashasema Makafiri nyie wote motono
Quran inakubali ya kwamba kuna waislam wa aina mbili, waislam majinn na waislam binadam na katika ibada hushiriki katka ibada moja, sasa utasemaje waislam binadam na waislam majinn hawana ushirika wala urafiki na ikiwa mtume mwenyew alisema kila mtu akizaliwa bas anajinn ndan yake!?
matabia Yasua; Huna maarifa ya kueleze ndugu yangu, eti kuna Waislamu wa aina 2!!! Kweli unatumia akili kujua haya mambo!!!!? Kwa hiyo kuna Uislamu wa mwanaadamu na ule wa majini wakati Uislamu ni mmoja tu ila viumbe wanaoabudu Uislamu ni tofauti!!! Acha uboya nakwambia kajifunze, kwa hiyo nikikwambia hata Malaika pia Waislamu je utaniambia ni aina nyengine ya 3 ya Waislamu!!!? Foolish!!!!
@@ussikhamisussi4882 hahahhaaah!!! Malaika ni waislam hahahah..lol!! Waislam sijui nan kawaloga.. Yaan mnafikiria kama watoto wadogo aisee, sasa hapa unaniambia eti majinn na waislam watu wote waislam, sasa kwann mwalim wako aseme majinn ni maadui kwa wanadam au kwa lugha nyingine hawana ushikirino ikiwa wote ni waislam?! Bro leo umepanic had umenitukana hahahahaah!! Kwel ukwel mchungu aisee
matabia Yasua;Niseme tu kwanza, hujatukanwa labda kwa vile kuelezwa ufahamu wako ni finyu, mdogo au au kuambiwa Foolish ni tusi!!??Hebu niambie au ni ukosefu wa kuelewa lugha tu!!? Narejea tena ufahamu mambo yalivyo; Malaika ni Waislamu wanaabudu Mungu na wanamtumikia Mungu hilo moja lakini pia Hamza huwezi kumuelewa kama ufahamu wako ni finyu utagusagusa tu. Majini wana utashi kama Wanaadamu wapo Waislamu na wapo wabaya lakini kutokana na asili ya yao kuwa ni Waovu(Waliosaliti au Waasi) basi ni sahihi kusema Majini ni Mashetani kumaanisha wengi ni waovu kuliko wema na ndipo anapomaanisha Hamza, sawa na mm nilivyokwambia moja kwa moja bila kupepesa kama Biblia si maneno ya Mungu, Jinn mwema hawezi kuwa na msaada kwako yeye ana msaada kwa majini wenzake nasi wanaadamu ndio tuko hivyohivyo. Nikushauri tu usipokuwa makini na mafunzo utaendelea kumuona Hamza leo ameshika moyo wako kesho anaupiga mkuki hapo ndipo ujijue huna imani thabiti ni mfuata mkumbo.
@@Izikiel55 huyu jamaa ussi namshangaa sana. Ni maarifa gani anataka mtu awe nayo ili kulifahamu hili. Namshauli akasome koran sura ya majini na asome maoni ya aliefasili koran kwa kiswahili ataona waislam wanadam na majini hao ni ndugu kabisa
Kivipi majini na uisalam ujitenge wakati SURATUL JINN 468 imejieleza kuwa yalikuwapo kundi la majini likasikia quruan inayoongoza kwa uongofu.......au unamaanisha nini.
Nawasihi waislamu hawa watu asio wa kuwatukana hawa watu wanahitaji hukumuallah na wanatukumbusha turejelee dini ya allah kama Leo hii hukumuallah ingekuwepo wasingekuwepo watu wa aina hii lakini kuwatukana kwanza tunajipa ugumu wa kazi tulionayo
Allah (Islamic god) ni yule anaitwa god of this world kwa biblia. I know this by the spirit of revelation. Kwa sababu hiyo, Mungu wa biblia ni tofauti na mungu wa quran ingawaje yule wa quran anadai kuwa yule wa biblia.
Elias eliya naona unaanza kupotea unawezaje kusema kuna nguvu nyingine itakayo mwokoa mwanadam na si jina la bwanawetu yesu christo. Hubiri lakini usitoke nje ya mada kumpotosha uweza wa bwana wetu yesu kristo yeye ni mwamba,chuma hakuna wa kumtisha.
Huyu Jamaa arudi chuoni akasome tena, kwa ufupi nitakueka sawa. Allah anesema kuwa hakuwaumba Binaadamu na Majini ila kumuabudu na wapo miongoni mwa Majini walioitikia wito huo na wapo Binaadamu walioitikia wito huo na hao ndio waja wa peponi wataishi humo milele na wapo Majini waliokataa na wapo Wanaadamu waliokataa hao ndio viumbe wa motoni Muislam ndugu yake ni muislam kama Jinni ni Muislam na Binaadamu Muislam basi hao ni ndugu. Na Jinni mwenye kumuasi Allah na Binaadamu mwenye kumuasi Allah hao ni wafuasi wa Iblis (Sheitani) Allah atawatia motoni wote pamoja na hayo yatakuwa makaazi yao milele. M-bora wenu mbele ya Allah ni yule anafata amri ya Allah kwa unyenyekevu ikiwa Jinni au Binaadamu.
Hebu dhihirsha aya.moja tu inayo thibitisha Kurani ni kitabu cha majini mana biblia ndo inafindisha asa uchawi alafu usijiite muislamu mana hujawahi kuwa.muislamu
ILAASY, E. kwa matumizi ya majini, nakubaliana nawe kuhusu uislamu na majini. (SHETANI), NAKUBALIANA NA WAKRISTO PIA KUWATUMIA KWA JINA LA YESU MADHABAHUNI. Lakini pia kuna watu wema wazuri wakristo kama wewe Eliya ambao pia wametekwa na hila za Ibilisi bila wao kung'amua kuwa wanamtumikia yuleyule, ibilisi. Hivyo majini, mapepo wote ni malaika wa ibilisi na wengine ni wale watu waliokufa wakiwa waovu, kiongozi, wao ni Lusifar. Wote hao ni Roho, hata baadhi ya wafu wachawi au watenda dhambi wakuu ni malaika wa ibilisi wanaishi katika ulimwengu wa roho. Hivyo huyu jamaa ni mwongo mkubwa. Ni kuwa hao wote ni wale malaika walioasi tu. Na siyo vinginevyo.
Perfectly, God knows everything he gives us opportunity of choice what we want or need in understandably language we are here to make choices and according to choices we make we'll be judged.
I love you soo much but kuna mahali unahepa hutaki kwambia waislam ukweli. Wacha tuumbe kiumbe kwa sura yetu ALIKUWA MUNGU PAMOJA NA YESU wala sio malaika
Wewe ni uzima tu na hiyo Afya ndio inakupa kiburi na kujiona mjanja Subiri muda si mrefu Mwenyezi Mungu atakuminya hadi utanyooka na kukubali ukweli ambao kwa sasa unajifanya huuoni
Hivi nyie watu mnaomtukana huyu mtumishi wa Mungu mbona hamna evidence zozote za kumtukana au mnaundugu gani na hayo majini ? ..acheni muambiwe ukweli mpone acheni ujinga muokoke na moto wapuuzi wakubwa nyie .hamtaki kusikia kweli mtaponaje .mnataka kukaa na majini nyie ni majini ? acheni upuuzi
Mkristo hawawezi kuwa nganga wa kienyeji .ila mtu anaweza kuwa na jina la kikristo lakini sio kristo.john upo sahihi.unatakiwa uelewe asili ya jina jini limetoka wapi walikuwa wapi wamefanya nini mpaka wakaitwa majini.majini ni malaika waasi walio fukuzwa kwenye UFALME WA MUNGU.ukitaka kujifunza uwe tayari kuvumilia .majini wote hawana nafasi mbinguni.
Kama tafsir au historia ya majinn na shetan iliyoandikwa kwenye quran inatofautiana na ya kwenye biblia yaana torat,zabur na injiri, sasa mtasemaje vitabu hivi vyote vinatoka sehemu moja? Lazma quran au biblia kimoja wapo hakijatoka kwa Mungu
@@ussikhamisussi4882 hahahahaahahaa!!!! We kweli kizibo ndugu yangu!!! Eti quran inatoka kwa Mungu na biblia sio kitabu cha Mungu hahahahaah!! Sasa iweje mwalim wako atumie biblia na kusema ni neno la Mungu?! Yaana unapingana kabisa na mwalim wako hahahah!!! Afadhar ya hamza aisee kuliko wew kilaza
matabia Yasua; Umejibiwa ukweli, unazunguuka na majibu sasa!!!! Si ulijiweka njia panda kwamba kimoja kati ya Qur-an na Biblia si kitabu cha Mungu, si nimekupa majibu!!!! Au ulitakaje, na vp sasa unapinga!!!? Hv unafahamu mambo au mfuata mkumbo!!! Nilikushika mkono kwenye clips nyingi kwa kuandika porojo hivihivi na polepole utamfahamu Hamza na si unakuwa unampiga ww au siye!!!? Ni nilikwambia hakika utaelewa tu taratibu na itafika mahali utakuja kuandika comments hapahapa kama ninavyokueleza kama Biblia si maneno ya Mungu nina maana gani kukwambia hivyo!!!? Majibu; Kumaanisha kuna yale ya haki ambayo ni ya Mungu na kuna yale potofu yaani ya shetani kwa hiyo Mungu hiyo Mungu hawezi kuwa na tabia hiyo, na hiyo ni tabia ya shetani kwa hiyo ndio tunasema Biblia si kitabu cha Mungu, polepole utanielewa na Hamza utamuelewa anapomaanisha kusema Biblia ni neno la Mungu utamuelewa baadae baada ya ww kupevuka kimaarifa, na kwanini usitumie akili yako mengine ayakubali mule na mengine ayakatae na ayatolee usahihi kupitia Qur-an je Mungu huyo yupo kwenye Biblia!!!? Hujiulizi kuna mengine anayakataa mule na kuyaeleza na mkamuona shetani huwa hujiulizi!!!??? Ukikua utaelewa taratibu tu, na Hamza mwenyewe atakuja kusema hiyo kauli tupo na utakujathibitisha hilo, taratibu tu ndugu nipo nakusoma ufinyu wa fahamu ulonao.
matabia Yasua; Naelewa ninachokisema ndugu, taratibu tu utanielewa na utamuelewa Hamza pia. Ninaposema Biblia si maneno ya Mungu utakuja kunielewa hilo japo kwa baadae baada ya kufunguka fahamu yako na Hamza anaposema Biblia ni maneno ya Mungu utakuja kumuelewa pia, Hamza anajua anachosomesha na si yote anayakubali na hujiulizi kwanini mengine ayakatae na hapohapo anakwambia ni maneno ya Mungu!!!? Ukikua utaelewa!!!? Soma "Alliance" soma hekma za mwaanadamu ndugu. Najua kinachoendelea na Hamza anajua anachofundisha na atakuja kusema hapa Biblia si maneno ya Mungu na atatolea maelezo kwanini alikubali na baadae aje akatae au kwanini mengine ayakubali na mengine ayakatae!!! Mm nimesema moja kwa moja unielewe lakini kwa vile bado hujapevuka kimaarifa kwenye taaluma hii basi endelea na hiyo theology yako ila baadae huko mbeleni utaibadilisha yamkini na kukumbuka nini namaanisha.
@@ussikhamisussi4882 weweee hamza sio Yesu, hamza sio mtume, hamza ni mpinga Kristo kama ulivyo wewe, akubali biblia ni maneno ya Mungu au akatae hyo ni haki yake kama mwanadamu, kma anavyoamin yeye au wew kuwa quran ni maneno ya allah sivyo niaminivyo mim, naamin Mungu alileta vitabu vitatu tuu kwa manabii wa kweli navyo ni torati zabur na injili, kuran haipo kwenye hyo list
Kilichoko kwenye Biblia ndicho kilichoko kwenye Qur-ani, ila Qur- ani imefanyiwa marekebisho yote kutoka kwenye Old Testament na kusabiliwa kwa Mtume wa mwisho ambae ni Muhammad. One teacher different understanding. You may have some points on this I partly agree with you. Ila kwa swali lako kuwa Qur-ani ni kitabu cha uchawi? Uchawi upo lakini kuna aya nyingi zinakataza maovu. Qur-ani sio kitabu cha ubaya au uchawi bali ni kukanya na kukataza mabaya na kufanya mema.
Shetan yeye alikuwa ni kerubi, aisee yaoneka aliumbwa kwa mawe ya thamani Vito vya thamani mno ,yaani madini ya thamani.dhahabu, alimasi,nk na vyombo vya muziki ndani yake ,na hiyo ni kwa mujbu wa Ezekieli 28:14 . lakini Yesu akikaa ndani Yetu nasi ndani yake ,neno lake likikaa ndani Yetu tunashinda na hiyo ni hakika,ukisema hii Bible haiwezi kushindana na majini maana yake unadharau neno la Mungu. Na hiyo ndiyo roho ya mpinga kristo,tumuombe Mungu atujaze nguvu za roho mtakatifu maana pasipo roho mtakatifu hatuwezi kumpendeza Mungu.
Thnx for your perishing, Ila nikuombacho, what you are talking about and your knowledge is fine but the truth is you are busy supporting rich people to keep yourself poor, sorry bro Uko mbali na ukweli kabisa
Quran ndio kitabu cha mwisho kwahyo kimeebeba vitabu vyote ndani yake na inaeelezea mambo yote yalotokea na yatakayotokea...Na kwahyo muna kila kitu ila watu wanadanganya watu wasikifuate kwasab anae ijua qurqn na maana yake Hapati shida yotote katika Dunia hii ya sasa
Tueleze shekh icho kitabu chako maana katika Bible akuna sehemu ilipoandikwa kuwa kuwauwa wasiyoamini imani ya wakristo au Jews sasa icho kitabu Cha Qur'an kilichobeba vitabu vyote kilikosea kukopi na kupest au ndo maana waislam wananyweshwa mkojo wa ngamia wanaambiwa nidawa ivi mnaakili timami nyie
Uliposema mvua haitanyesha mpaka kwa neno lako kesho yake ikashuka mvua ya kufa MTU,sjawahi kukuelewa kabisa.halafu bro ningekuwa wewe ningeanzisha shamba na kuachana na hiyo habari,maana ni aibu.
WEWE HAMZA NIMUONGO. KWANZA SIO NABII. PIA MANENO YAKO UNAYOWAELEZA NIMUONGO MTU. YATIZO LAKO KUBWA NIKUGEUZA MAANA YATAFSIRI YA QURAN'. TUNAKUONA KM NICHAWA WA MASIHI DAJAL. WEWE NIMTU HATARI SN UNAYETAKA KUPOTEZA WENGI.
Mungu akutangulie akusaidie akupe elimu ya kweli nimekuelewa huko mbali na ukweli
God bless you prophet Eliyaaas... me nashangaa watu wanaomtukana uyu mzee, uyu mzee kaongea facts mwanzo mpaka mwisho: Keep it Up father we love u
Hapa nakupigia saluti Mambo unayofundisha humu Yana hekima kubwa sana kiasi kwa asiefundishika atabaki anatukana tu
Mjinga huyu anajuwa nini mpumbavu tu .hajulikani dini yake mpaga buda mkristo muslam hajitambui
Nashukuru jinsi unavyo fundisha haswa kwa kutosingatia kidini ila neno aliloninena mwenyezi Mungu
Wewe HAMZA kwanza sio NABII. ACHA UONGO kuwadanganya watu. Pili hakuna wachawi wanaotumiwa QURAN', Kuroga. Kwanza LAZIMA ujue kuwa QURAN' niponyo pia TIBA. QURAN' ni TIBA, NIPONYO pia. Kwamaana hiyo wewe ELIMU zako unazotangazia watu ni kwakutumia. MAANDIKO nyumba mbele mbele nyuma. WEWE UTAWAPATA WAKIRISTO KUWADANGANYA. LKN WAISLAAM WANAKUONA NIMUONGO NIMCHUMIA TUMBO TU. TUNAKUTAADHARISHA USITUTUKANIE DINI YETU, UTAKUJA PATA MATOKEO MABAYA.
Wanakutukana lakini unaogey ukweli Mungu akubarik baba mimi niko muwaarabu ,wote awamujuwi Mungu awana Mungu
Mungu na akujalie ufunuo wa kubaini kuwa huwezi kuamini Dini hizo mbili wakati mmoja. Uchague itakayokuongoza kwa uzima wa milele.
Uko sawa Nabii Ilyas, Nimependa mafundisho yako. Mungu akutunze Mjomba.✅🙏👍
Kwelii kabisa 🙏🙏mungu akubariki amen 🙏
am proud to be a muslim ,coz nisingejua mengi,kwasabab kila kitu kaumba yy kwa mpango wake,elimu hii tusingeipata kwa mtu yeyote isipokuwa aliyeumbaa
Very true nimekubaluana nawe waislam wengi 95/ percent wanatumianga mapepo
You are absolutely right, you have done your homework and research. I agree with you in many things you have said 👍🇬🇧🇹🇿.
subuhanAllah majin yamezungumziwa sana kwenye quran kwan nawao waliumbwa kabla yetu so wapo wengi kwan walilaaniwa na wakatupwa maeneo tofaut tofaut ya uso wa dunia ikiwemo baharin baaada ya hapo ndio mwanadamu akaumbwa na akapewa mamlaka ya kuwa juu yao na huo iblisi ni uzao wa majin,so ukimuona muisilam anatumia majin kufanya uganga huyo anakufur bali sio uisilam yy katumia maandiko vibaya muung katufahamisha juu ya viumbe hao ni visa vyao natukaambiwa tusiwaogope wala tusiwape nafasi ,alimtoa nabii suleiman na akawaamrisha kufanya lolote kwa uwezo wa mungu ili kutuzihirishia yakwamba hao majini sio bora,so unatakiwa uwasome uwajueee kwa sababu nao waliumbwa kwan mungu huumba kila kitu,,,
Swadakta
Eliya nabii nakukubali kabisa wewe watakuchukia lakini ukweli umesema wote dini zote tumemkosea Mungu kabisa tunahitaji Toba kabisa. Unasema ukweli kabisa asijisifie mtu wa dini yoyote maana wote Ni wakosefu mbele za Mungu. Mungu akulinde sana
Yan mi nakukubali sana nabii mungu akulinde tutakutana mbinguni tukivalishwa taj
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kukutumia Nabii Hamza
binafsi nimejifunzakitu kutoka kwako uko vizurisana nabii usiogope kupingwa we we songambelee
Akisema yesu c mungu mnakasirika wakristo apo mnafuraia
sasa mtu anaongea points watu wanamtukana
Asante Kwa kutufungua kumbe maruhani ni.majin
Ungependezaaa sana ungekuaa mwana siasa swalaa lakiimanii limekaa kiimanii zaidi na mungu teyalii anakuaa kashakuandaaaa
Asanteee umenena vyema baba
QULHUALLAHU AHAD ALLAHU SAMADu LAMYALIDi WALAM YULAD WALAMYAKUN LAHU KUFUWAN AHAD. hiyo ndio ukweli wote
Kaka acha uwongo.hakika uwongo daima hautodumu.mche allah
Nimekuelewa sana ndg Barikiwa
Sisi waislam tunazingua wachawi sana majini sana atupendani tunalogana
😒😒 naswali nasoma dua lakin sielewi
Hakuna nabii baada Ya Nabii Muhammad ﷺ
Unamkufuru Mwenyezi Mungu kwa sababu Ya njaa
Kwani nani alikuambia kuwa Mudi ni mtume wa mwisho kitombi yule 😂😂😂😂😂
Nabiii ni mtu ambae anaongozwa na Mungu na kusema kile Mungu akichomwagiza bila kupindisha pindisha huyu anayo sifa hyo kwahyo mda wowote na wakat woteee Mungu anamwinua mtu awe nabiii ili aseme na watu wake kwahyo hakuna manabii wa mwisho,Mungu analeta bado manabii wake,sema kuna watu watajitokeza kuongea habr za Mungu kumbe ajaambiwa na Mungu,kwahyo usikariri kua nabiii ni huyohuyo unaemjua ww tu hapana watakuja mana Mungu huwatumia kutupa ujumbe,kwahyo jukumu lako kukubali au kukataaa.😅
Wewe Mtumishi umeshaijua kweli ya kwamba Yesu ni Mungu sasa kwanini usiokoke na kuwa Mkristo kamili ili uwe Mchungaji au Nabii.
Ooooh hatimaye umeonesha rangi yako halisi asee kwamb wew cyo muislam umetusumbulia mashekhe wetu bure tu mwenyezimung atakuonesha
Amuoneshe Nini acha vitisho
uislamu hauruhusu m2 kuvaa hizo mambo unazosema ndugu huo ni ushirikina na shirki ni dhambi kubwa sana mbele ya mungu
Kafili mkubwa wewe Allah akuongoze
Mimi napenda kukusikiliza mafundisho yako lakini natamani uwe unafundisha juu habari njema za injili ya Yesu Kristo na uachane na habari za wale wasiomwamini Kristo.
Huyuni mdafu kwa wakiristo sisi waislamu hatumsikilizi kwa sababu tushamjuwa . Wewe fikiria hayupo kanisani hayupo msikitini nilahaaiib anahitaji utajiri akipata utajiri atajiita munguu subiriitu utajioneea mwenyewee
KWA MAANA SURA YA 72 QURAN INASEMA MAJINI WALISIKA QURUN WAKASILIMU NI KWELI YA SWALI NA WAISLAMU?
Mbona hufunguliwa kwenda nyuma ama kiandiwa in reverse?
Majini kutajwa kwenye Qur'an sioni kama ni tatizo, Coz Kwenye bibilia mnakosa kuelewa kua Spirits ndio hao hao majini, Lugha imewachanganya na Spirits wapo wazuri na spirits wapo wabaya. Yesu alitoa Wale Evil spirits kwa yule mgonjwa aliyekua na wazimu kisha majini wale wakarushwa kwenye nguruwe. Ila mzungu akisema holy spirits na evil spirits waafrika wanashindwa kuelewa lugha.
Matusi ya nini yeye anafundisha kutokana na kilichoandikwa kwenye Biblia na Quran sasa ubaya wake hapo ni upi? Achen kumtukana mtumishi wa Mungu
NAOMABA TAFSIRI YA KIDANI, MAANA WANGANGA WA KIENYEJI VIDOLE VYAO VIMEJAA VITU KAMA ULICHOVAA WEWE?
Acha kuwa mfitinishaji ewe mwana wa adam hakika umekosea sasa jirekebishe na utubie kwa mwenyezi mungu na atakusamehea na uwache kuchochea na visingizio vya uwongo ....na enzi zetu hakuna manabii wewe tayari uko mwongo .......mwenyezi mungu akuongoze na akufanye uwe mwisilamu ndo ujue utamu wa uslamu
Hakuna uchochezi haya anayo ongea ni kweli tupu
NABII ELIYA naomba unipe namba yako ya sim
Good work
Alichokiongea nisahihi japo alieongea simuumin wa uislam...waislam mnaotukana jifunzeni kuangalia video hadi mwisho ndio mtoe maoni yenu..
jifunzeni suuna za mtume wetu za kua nakauli nzuri na kupenda kusikiliza kabla yakutoa hukumu..
Nyinyi mnaotukana ndio mnatuchafulia dini kuonekana dini ya kihuni na kishenzi..Allah anamlaani yule ambae viumbe wengine hawatakua salama katika ulimi na mikono yake. Uislam ni mwenendo nataratibu za maisha zilizostaarabika.
Inaumiza kuona tunaongea kauli chafu kwakigezo chakuulinda uslamu kitu ambacho mtume wetu hakuwahi hata kufikiria kufanya
Asante kaka
KWANI KAMA AMEONA KWELI KWENYE KRISTO AENDE KIMYAKIMYA BILA KUONGEA YASIYOWAPENDEZA WAISLAM
MNAFIQI ANATUMIKA KUUBOMOA UISLAM, MEANWHILE WAZUNGU AMBAO WAANZILISHI WA MWANZO WA UKIRISTO WAMEIONA KWELI NA WANAINGIA KATIKA UISLAM HUKU WAKIBUBUJIKWA MACHOZI SUBHANALLAH
POLE HAMZA, HUWEZI KUIHARIBU SURA YA UISLAM KAKA YANGU, POLE SANA.
AFU YA WAISLAMU HAYAKUHUSU
UNACHOTAKIWA KUONGEA WEWE BABA NI MAMBO YA ZUMARIDI NDO YANAYOKUHUSUUU, MADA ZAKO ZIHUSIANE NA HAO WAKINA MWAMPOSA, ZUMARIDI NA WENGINE
ACHANA NA UISLAM UTAKUUA KWA PRESHA MAANA UNAZIDIKUENEA KAMA ILOVYOAHIDIWA
TAKBIIIIIIIIR!!! ALLAHU AKBAR
@@masungaiwvata5835 kwahy nyie waslamu Yawakristo yanawahusu mbn mnapenda kuwasakama wakristo sana angali wakristo wk kimya hawawasemi waslamu vby ukatae ubali ukristo ulikuepo kabla ya uslamu
@@sundaymsuya2909 ww naww unaongea nn?
Alafu kiukweli Neno la Mungu lipo sawa ila sisi wanadamu ndio tunakosea na kutaka kuvuruga neno.
Niukueli mwalimu ,
Leo humu kumetulia, mashwetani yametulizwa ,matusi, kejeli, Hakuna. Yesu ni Mungu.
Haina ubishi, Yesu kristo ni mungu mkuu. Warabu wanasema Allah Akbar
Majini na malaika na bin naadamu vyote ni viumbe vya mwenyezimungu kuna binadamu wa baya na majini wa baya ila malaika ajamuasi mungu ila mwana damu na majini ndio waliondaliwa moto.kwa ivyo majina wanayo nafsi na binnadamu ivyo ivyo
@@issakawanya8511 hakuna majini wazuri. Majini ni wabaya tu, shetani hajawahi kuwa mzuri. Kama umepokea fundisho la mqjini wazuri. Ni fundisho potofu,
@Mwechizumba Baraka pole Yesu ni Mungu soma maandiko siyo Nabii kama shetani wako Mohamed
@Mwechizumba Baraka Mungu ulifikiri haniongozi?ananiongoza vema kabisa
Inna lillahi wa Inna ilahi raji'uun Allah akurejeshe katika haqi
Ukifa ivo utapata tabu Sana
Pole kijana
Isaac Nshimirimana wewe Mrundi shida utapata ww
Tabu anayo muhammad mtume wako soma quraan 46:9 hajui hata kitatokea nini akifa
Fungeni binya nyie makafiri pamoja na huyo kafiri mwezenu hamza
Hanamna hoja yeyote dhidi ya dini ya kislamu mntabaki mkikashfu tu basi wala hakuna nenololote namsiki wala la busara mnalo zungumza pumba tupu 😏😏😏 hovyo kabisa
Narudia tena makafiri jazayao ni moto mkifa hivyo motoni Allah ashasema
Makafiri nyie wote motono
@@bombo45 na Kafiri ni wewe uliyemkataa aliyekuja kukuokoa na jehanamu,Hivyo kama mwenziokafiri wewe ni mara5 zaidi
@@bombo45 soma Quran juuu ya Yesu kristo au issa ndio uje kuita watu wa kristo makafili,usipo mkiri Yesu ww ndugu jehanam inakuhusu😅
Nimeelimika sana hapa kwa Nabii
Upo vzr boss
Unamafundisho mazuli nimeyapenda sana ila kunavitu nataka kuvijua zaid
Quran inakubali ya kwamba kuna waislam wa aina mbili, waislam majinn na waislam binadam na katika ibada hushiriki katka ibada moja, sasa utasemaje waislam binadam na waislam majinn hawana ushirika wala urafiki na ikiwa mtume mwenyew alisema kila mtu akizaliwa bas anajinn ndan yake!?
matabia Yasua; Huna maarifa ya kueleze ndugu yangu, eti kuna Waislamu wa aina 2!!! Kweli unatumia akili kujua haya mambo!!!!? Kwa hiyo kuna Uislamu wa mwanaadamu na ule wa majini wakati Uislamu ni mmoja tu ila viumbe wanaoabudu Uislamu ni tofauti!!! Acha uboya nakwambia kajifunze, kwa hiyo nikikwambia hata Malaika pia Waislamu je utaniambia ni aina nyengine ya 3 ya Waislamu!!!? Foolish!!!!
@@ussikhamisussi4882 hahahhaaah!!! Malaika ni waislam hahahah..lol!! Waislam sijui nan kawaloga.. Yaan mnafikiria kama watoto wadogo aisee, sasa hapa unaniambia eti majinn na waislam watu wote waislam, sasa kwann mwalim wako aseme majinn ni maadui kwa wanadam au kwa lugha nyingine hawana ushikirino ikiwa wote ni waislam?! Bro leo umepanic had umenitukana hahahahaah!! Kwel ukwel mchungu aisee
matabia Yasua;Niseme tu kwanza, hujatukanwa labda kwa vile kuelezwa ufahamu wako ni finyu, mdogo au au kuambiwa Foolish ni tusi!!??Hebu niambie au ni ukosefu wa kuelewa lugha tu!!? Narejea tena ufahamu mambo yalivyo; Malaika ni Waislamu wanaabudu Mungu na wanamtumikia Mungu hilo moja lakini pia Hamza huwezi kumuelewa kama ufahamu wako ni finyu utagusagusa tu. Majini wana utashi kama Wanaadamu wapo Waislamu na wapo wabaya lakini kutokana na asili ya yao kuwa ni Waovu(Waliosaliti au Waasi) basi ni sahihi kusema Majini ni Mashetani kumaanisha wengi ni waovu kuliko wema na ndipo anapomaanisha Hamza, sawa na mm nilivyokwambia moja kwa moja bila kupepesa kama Biblia si maneno ya Mungu, Jinn mwema hawezi kuwa na msaada kwako yeye ana msaada kwa majini wenzake nasi wanaadamu ndio tuko hivyohivyo. Nikushauri tu usipokuwa makini na mafunzo utaendelea kumuona Hamza leo ameshika moyo wako kesho anaupiga mkuki hapo ndipo ujijue huna imani thabiti ni mfuata mkumbo.
@@Izikiel55 huyu jamaa ussi namshangaa sana. Ni maarifa gani anataka mtu awe nayo ili kulifahamu hili. Namshauli akasome koran sura ya majini na asome maoni ya aliefasili koran kwa kiswahili ataona waislam wanadam na majini hao ni ndugu kabisa
@@mwakajohn1819 hahahahhah!!!!
Bwana nabiii bado huna elimu yoyote juu ya vitabu vyote viwili Bible na Qur'an
Kivipi majini na uisalam ujitenge wakati SURATUL JINN 468 imejieleza kuwa yalikuwapo kundi la majini likasikia quruan inayoongoza kwa uongofu.......au unamaanisha nini.
Kaka mimi unanichanganya kati ya dini 2 ww uko upande gani?
Kaka hii hotuba ilikuwa sio mchezo. Mafundisho in mazuri kwelikweli!
Tatizo lako kujiita Nabiiii 2!
Hapo ndipo unapotuvuruga!
umeonaee
Eliya yu aja kwanza je ndiye wewe mana Eliya yu aja kabla ya yesu sasa eliya kaja kaenda yesu kaja kaenda alafu bado unajiita nabii
Nawasihi waislamu hawa watu asio wa kuwatukana hawa watu wanahitaji hukumuallah na wanatukumbusha turejelee dini ya allah kama Leo hii hukumuallah ingekuwepo wasingekuwepo watu wa aina hii lakini kuwatukana kwanza tunajipa ugumu wa kazi tulionayo
Nabii naomba nisaidie, Muhammad aliletwa ili kuwahubiri majini watubu?
Allah (Islamic god) ni yule anaitwa god of this world kwa biblia. I know this by the spirit of revelation. Kwa sababu hiyo, Mungu wa biblia ni tofauti na mungu wa quran ingawaje yule wa quran anadai kuwa yule wa biblia.
Elias eliya naona unaanza kupotea unawezaje kusema kuna nguvu nyingine itakayo mwokoa mwanadam na si jina la bwanawetu yesu christo. Hubiri lakini usitoke nje ya mada kumpotosha uweza wa bwana wetu yesu kristo yeye ni mwamba,chuma hakuna wa kumtisha.
Wakristo na ndugu waislamu.kwa pamoja.sisi ambao hatuna elimu Kama ya huyu ndugu na tunamsikiliza amua tu upande unaoona unafaa.yetu macho na maskio.
Huo ni ukweli ulio dhahiri..na pia katika aya ya tatu ya sutatil al maida ,,Mungu amekataza kupiga ramli lakini bado vichwa vyetu ni vigumu.
😮😮 unanichanganya
Huyu Jamaa arudi chuoni akasome tena, kwa ufupi nitakueka sawa.
Allah anesema kuwa hakuwaumba Binaadamu na Majini ila kumuabudu na wapo miongoni mwa Majini walioitikia wito huo na wapo Binaadamu walioitikia wito huo na hao ndio waja wa peponi wataishi humo milele na wapo Majini waliokataa na wapo Wanaadamu waliokataa hao ndio viumbe wa motoni Muislam ndugu yake ni muislam kama Jinni ni Muislam na Binaadamu Muislam basi hao ni ndugu.
Na Jinni mwenye kumuasi Allah na Binaadamu mwenye kumuasi Allah hao ni wafuasi wa Iblis (Sheitani) Allah atawatia motoni wote pamoja na hayo yatakuwa makaazi yao milele.
M-bora wenu mbele ya Allah ni yule anafata amri ya Allah kwa unyenyekevu ikiwa Jinni au Binaadamu.
Hakuna jini atakayeenda mbinguni maana mbingu imeandaliwa kwa ajili ya mwanadamu na sio jini na hakuna shetani mzuri au mbaya jini ni jini tu
@@princemahamba242 Unaongea usiyoyajua
Kwaiy mtaenda peponi pamoja na majini wakati majini yamelaaniwa
Acha aongee ukweli bn
@@princemahamba242 tupe andiko la kuthibirish hayo unayoyasema
Tumeisikia quran nasi tumeslimu, majini yalisema mbele ya Muhammad wakati ametoka kupewa utume pangon
Muhammad. Hana utabiri wa utume ni amejiita
Ili kuondoa mkanganyiko hiyo kurani ifafanuliwe Kwa kiswahili kama ilivyo bibliai Ili Kila mmoja asome na aelewe, lugha iliyotumika wengine haijui
Hebu dhihirsha aya.moja tu inayo thibitisha Kurani ni kitabu cha majini mana biblia ndo inafindisha asa uchawi alafu usijiite muislamu mana hujawahi kuwa.muislamu
Uko sawa
ILAASY, E. kwa matumizi ya majini, nakubaliana nawe kuhusu uislamu na majini. (SHETANI), NAKUBALIANA NA WAKRISTO PIA KUWATUMIA KWA JINA LA YESU MADHABAHUNI.
Lakini pia kuna watu wema wazuri wakristo kama wewe Eliya ambao pia wametekwa na hila za Ibilisi bila wao kung'amua kuwa wanamtumikia yuleyule, ibilisi.
Hivyo majini, mapepo wote ni malaika wa ibilisi na wengine ni wale watu waliokufa wakiwa waovu, kiongozi, wao ni Lusifar. Wote hao ni Roho, hata baadhi ya wafu wachawi au watenda dhambi wakuu ni malaika wa ibilisi wanaishi katika ulimwengu wa roho.
Hivyo huyu jamaa ni mwongo mkubwa. Ni kuwa hao wote ni wale malaika walioasi tu. Na siyo vinginevyo.
Pole sana. Yesu ni muislam ndo maana aliwatuma majini wakauwe nguruwe. Nao wanamuami yesu SULEIMAN pia aliaminiwa na majini
Huna ujualo,nenda kwanza darasani,usitokwe na povu la mdomo
Wacha kuharibu majina ya sheikh
Kweli siku zakiama zimefika.waislam tufanye toba.manabii wauongo wameshatokezea
Isaiah 9:6 huonkea kuhusu baba ama mwana.
Why did God create them, did He know that they would later disobey Him?
Perfectly, God knows everything he gives us opportunity of choice what we want or need in understandably language we are here to make choices and according to choices we make we'll be judged.
God knows everything if u denied Him is for u,re own loss..because He gives us a free will that's He don't force us to obey Him it is our choice.
Hujui uislamu. Kasome ndg unachanganya watu
I love you soo much but kuna mahali unahepa hutaki kwambia waislam ukweli.
Wacha tuumbe kiumbe kwa sura yetu ALIKUWA MUNGU PAMOJA NA YESU wala sio malaika
Wewe ni uzima tu na hiyo Afya ndio inakupa kiburi na kujiona mjanja
Subiri muda si mrefu Mwenyezi Mungu atakuminya hadi utanyooka na kukubali ukweli ambao kwa sasa unajifanya huuoni
Yesu ndie njia ya kweli achana na udini
Mungu dunia inaangamia hawa waja wakoo wanazid kupotea
Hiyo fimbo anaitumia nani kuyapigia majini? Ni Mungu anaitumia Quran, au ni Ibilisi.
Hivi nyie watu mnaomtukana huyu mtumishi wa Mungu mbona hamna evidence zozote za kumtukana au mnaundugu gani na hayo majini ? ..acheni muambiwe ukweli mpone acheni ujinga muokoke na moto wapuuzi wakubwa nyie .hamtaki kusikia kweli mtaponaje .mnataka kukaa na majini nyie ni majini ? acheni upuuzi
Big up!!💪
Ukweli wauma
hawana akil
Ibilis ni neno lililotajwa mara ngapi katika biblia na maana yake ni nn?!!
Acha wakuponde ila Mimi nakuelewa vyema sana be blessed for that
Haya bwana. Nimeipenda hii. Kumbe huwa wanatudanganya.
Umelipwa kiasi gani ewe mwanadamu mwenzangu
Mkristo hawawezi kuwa nganga wa kienyeji .ila mtu anaweza kuwa na jina la kikristo lakini sio kristo.john upo sahihi.unatakiwa uelewe asili ya jina jini limetoka wapi walikuwa wapi wamefanya nini mpaka wakaitwa majini.majini ni malaika waasi walio fukuzwa kwenye UFALME WA MUNGU.ukitaka kujifunza uwe tayari kuvumilia .majini wote hawana nafasi mbinguni.
Kama tafsir au historia ya majinn na shetan iliyoandikwa kwenye quran inatofautiana na ya kwenye biblia yaana torat,zabur na injiri, sasa mtasemaje vitabu hivi vyote vinatoka sehemu moja? Lazma quran au biblia kimoja wapo hakijatoka kwa Mungu
matabia Yasua; Acha kujichanganya ndugu, Qur-an inatoka kwa Mungu na Biblia si kitabu cha Mungu, ni mambo ya wazi kabisa.
@@ussikhamisussi4882 hahahahaahahaa!!!! We kweli kizibo ndugu yangu!!! Eti quran inatoka kwa Mungu na biblia sio kitabu cha Mungu hahahahaah!! Sasa iweje mwalim wako atumie biblia na kusema ni neno la Mungu?! Yaana unapingana kabisa na mwalim wako hahahah!!! Afadhar ya hamza aisee kuliko wew kilaza
matabia Yasua; Umejibiwa ukweli, unazunguuka na majibu sasa!!!! Si ulijiweka njia panda kwamba kimoja kati ya Qur-an na Biblia si kitabu cha Mungu, si nimekupa majibu!!!! Au ulitakaje, na vp sasa unapinga!!!? Hv unafahamu mambo au mfuata mkumbo!!! Nilikushika mkono kwenye clips nyingi kwa kuandika porojo hivihivi na polepole utamfahamu Hamza na si unakuwa unampiga ww au siye!!!? Ni nilikwambia hakika utaelewa tu taratibu na itafika mahali utakuja kuandika comments hapahapa kama ninavyokueleza kama Biblia si maneno ya Mungu nina maana gani kukwambia hivyo!!!? Majibu; Kumaanisha kuna yale ya haki ambayo ni ya Mungu na kuna yale potofu yaani ya shetani kwa hiyo Mungu hiyo Mungu hawezi kuwa na tabia hiyo, na hiyo ni tabia ya shetani kwa hiyo ndio tunasema Biblia si kitabu cha Mungu, polepole utanielewa na Hamza utamuelewa anapomaanisha kusema Biblia ni neno la Mungu utamuelewa baadae baada ya ww kupevuka kimaarifa, na kwanini usitumie akili yako mengine ayakubali mule na mengine ayakatae na ayatolee usahihi kupitia Qur-an je Mungu huyo yupo kwenye Biblia!!!? Hujiulizi kuna mengine anayakataa mule na kuyaeleza na mkamuona shetani huwa hujiulizi!!!??? Ukikua utaelewa taratibu tu, na Hamza mwenyewe atakuja kusema hiyo kauli tupo na utakujathibitisha hilo, taratibu tu ndugu nipo nakusoma ufinyu wa fahamu ulonao.
matabia Yasua; Naelewa ninachokisema ndugu, taratibu tu utanielewa na utamuelewa Hamza pia.
Ninaposema Biblia si maneno ya Mungu utakuja kunielewa hilo japo kwa baadae baada ya kufunguka fahamu yako na Hamza anaposema Biblia ni maneno ya Mungu utakuja kumuelewa pia, Hamza anajua anachosomesha na si yote anayakubali na hujiulizi kwanini mengine ayakatae na hapohapo anakwambia ni maneno ya Mungu!!!? Ukikua utaelewa!!!? Soma "Alliance" soma hekma za mwaanadamu ndugu. Najua kinachoendelea na Hamza anajua anachofundisha na atakuja kusema hapa Biblia si maneno ya Mungu na atatolea maelezo kwanini alikubali na baadae aje akatae au kwanini mengine ayakubali na mengine ayakatae!!! Mm nimesema moja kwa moja unielewe lakini kwa vile bado hujapevuka kimaarifa kwenye taaluma hii basi endelea na hiyo theology yako ila baadae huko mbeleni utaibadilisha yamkini na kukumbuka nini namaanisha.
@@ussikhamisussi4882 weweee hamza sio Yesu, hamza sio mtume, hamza ni mpinga Kristo kama ulivyo wewe, akubali biblia ni maneno ya Mungu au akatae hyo ni haki yake kama mwanadamu, kma anavyoamin yeye au wew kuwa quran ni maneno ya allah sivyo niaminivyo mim, naamin Mungu alileta vitabu vitatu tuu kwa manabii wa kweli navyo ni torati zabur na injili, kuran haipo kwenye hyo list
Nabii umeishiaga wapi mda sasa huonekani
Wewe hujui maana sheikh
Kilichoko kwenye Biblia ndicho kilichoko kwenye Qur-ani, ila Qur- ani imefanyiwa marekebisho yote kutoka kwenye Old Testament na kusabiliwa kwa Mtume wa mwisho ambae ni Muhammad. One teacher different understanding. You may have some points on this I partly agree with you. Ila kwa swali lako kuwa Qur-ani ni kitabu cha uchawi? Uchawi upo lakini kuna aya nyingi zinakataza maovu. Qur-ani sio kitabu cha ubaya au uchawi bali ni kukanya na kukataza mabaya na kufanya mema.
Mtume wa mwisho kwa mungu yupi?
@@petromachanga29 muhammad (SW)
Wadanganye wachanga kiroho na wavivu wa kusoma biblia,biblia na Qur'an tofauti
@@princemahamba242 nzuri sana Mungu ndiye amina na Biblia ndiyo pekee.
Wew kafiri kuwa na aibu unamuiga ndugu yako,Ahmadi Mirza
Shetan yeye alikuwa ni kerubi, aisee yaoneka aliumbwa kwa mawe ya thamani Vito vya thamani mno ,yaani madini ya thamani.dhahabu, alimasi,nk na vyombo vya muziki ndani yake ,na hiyo ni kwa mujbu wa Ezekieli 28:14 . lakini Yesu akikaa ndani Yetu nasi ndani yake ,neno lake likikaa ndani Yetu tunashinda na hiyo ni hakika,ukisema hii Bible haiwezi kushindana na majini maana yake unadharau neno la Mungu. Na hiyo ndiyo roho ya mpinga kristo,tumuombe Mungu atujaze nguvu za roho mtakatifu maana pasipo roho mtakatifu hatuwezi kumpendeza Mungu.
Huyu hamza ni Mtu wa maslaha kipesa duniani,( Yeye hajalishi na dini ya ukweli)
Hili jamaa senge Sana Linaonekana ndondocha subiri msumali wa matako utapo kuingia kwenye kunyea ndipo utapo juta
Sianaongea ukweli
Nakuuliza nabii mbona mvua imenyesha na ulisema kama elya hakutakuwa na mvua
Muda sii mrefu utajuta kipigo cha Mungu huna elimu na Quran,ila ni uchafuzi tu,asifiae mvua.....
Mwachie Allah ata mnyosha huyu
Ukitaka tuwaelewe ajitokeze mwalimu mwingine afafanue Haya na so kutukana, ili wasiofaham wafaham
I believe what you are teaching but I’m not believe if you are the prophet only Muhammad S.W.W just not one else in this world right now and after.
Kwa hiyo mwaadamu aliumbwa na Mungu na malaika?
Msitukane huez jua Mungu anatuambia Nini tatizo letu tunatukn bila kufanya research kwenye vitabu tunapenda kusikiliza bila kusoma tuache matusi
BROTHER Mbilinyi Ucjari watu wa siku hizi Wana uelewa mfinyu kwanza hawapendi kusoma wenyewe hupendelea hadithi kuliko na hawana Subra kabisa
Thnx for your perishing, Ila nikuombacho, what you are talking about and your knowledge is fine but the truth is you are busy supporting rich people to keep yourself poor, sorry bro
Uko mbali na ukweli kabisa
Quran ndio kitabu cha mwisho kwahyo kimeebeba vitabu vyote ndani yake na inaeelezea mambo yote yalotokea na yatakayotokea...Na kwahyo muna kila kitu ila watu wanadanganya watu wasikifuate kwasab anae ijua qurqn na maana yake Hapati shida yotote katika Dunia hii ya sasa
Upo sahihi
Kitabu chenu waislam sisi hiyo takataka haituhusu kabisa endeleeeni kusoma kitabu chenu sisi tunakitambua Bible tu na neneo la Mungu aliye hai basi.
Vitabu gani hizo. Na usiseme Tourati ama vitabu vya manabii ama Injili kwasababu Quran iko kinyume na hizo vitabu. Vitabu gani hizo?
Tueleze shekh icho kitabu chako maana katika Bible akuna sehemu ilipoandikwa kuwa kuwauwa wasiyoamini imani ya wakristo au Jews sasa icho kitabu Cha Qur'an kilichobeba vitabu vyote kilikosea kukopi na kupest au ndo maana waislam wananyweshwa mkojo wa ngamia wanaambiwa nidawa ivi mnaakili timami nyie
@@zainabuabdallah5887
Acha kusa support mjinga mwenzio
Uliposema mvua haitanyesha mpaka kwa neno lako kesho yake ikashuka mvua ya kufa MTU,sjawahi kukuelewa kabisa.halafu bro ningekuwa wewe ningeanzisha shamba na kuachana na hiyo habari,maana ni aibu.
TUFUNDISHE BABA TUKO PAMOJA, MUNGU ANAKULINDA NA ATAKULINDA DAIMA....SEMA UKWELI WA MUNGU. AMEIN
Huyu nabii wauongo nimfuaci washetan...huyu nikafiri na Atakae mfuata Huyu amepotea huyu hana akili kabisa ..huyu amemfuta iblisi ili kuhrbu uislam..
Katika Ushetani duniani WAISLAMU ndio pekee wana Mlango wakutokea. Lkn asiekua muislam hatoboi maana maana. Shetani hawezi Sema yesu ni Mungu hakika.
Umeongea ukweli wanao chukia ina wahusu polen ilio wagusa maan kma nawaona mlivo vimba mmezoea kusema ya wenzenu
Yani ndugu yangu huyu nabii ellia nimemuelewa sana
WEWE HAMZA NIMUONGO. KWANZA SIO NABII. PIA MANENO YAKO UNAYOWAELEZA NIMUONGO MTU. YATIZO LAKO KUBWA NIKUGEUZA MAANA YATAFSIRI YA QURAN'. TUNAKUONA KM NICHAWA WA MASIHI DAJAL. WEWE NIMTU HATARI SN UNAYETAKA KUPOTEZA WENGI.
HUYU HAMZA' NISHETWANI HATARI SN.
mimi nina swali kama muhamadi nimutume wa munguu bona kweny biblia haimwo? kama vile Yesuu kristo iko kweny koroani munamwita issa