WAISLAM HILI NDILO LENGO LA FUNGA YA RAMADAN, TUACHE KUSHINDA NJAA ETI TUMEFUNGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 167

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ilishaandikwa Siku Za Mwisho Wa Dunia Watu Wapuuzi Kama Uyu Watatokea Wengi, Nchi Za Kiarab Amabzo Ndio Dini Iliposushwa Wanafunga Ramadhan Ila Uyu Mwenye Shida Mwili Mzima Anajifanya Anaijua Dini Pita Wengine.. Mie Naona Anajitafutia Matatizo Kwa Mungu Tu Na Anachokitafuta Atakipata.. Yeye Kama Mrafi Awezi Kukaa Bila Kufunga angekaa Kimya Tu, Mungu Aziakiwi.

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 6 หลายเดือนก่อน +1

    UMESOMA QUR AN ILA UMEIELEWA VIBAYA KWASABAB UBONGO WAKO NI MATOPE MATUPU,,KAFIRI MKUBWA WEW ,,MUISLAMU GANI ANAONGEA UTUMBO KAMA HUU,,MUNGU AKULAANI KUANZIA DUNIANI MPAKA SIKU MALIPO ASIKUPE NURU YOYOTE

  • @habibumallanga
    @habibumallanga 6 หลายเดือนก่อน +6

    Katika uwislamu akuna Eliya wala nabii Eliya kwaiyo wewe mjinga 1tu

    • @SabanaSipemba
      @SabanaSipemba 6 หลายเดือนก่อน

      Mjinga we unayemwamini Muhammad ambeye ajuw anakoelekea Sana Sana anamsubili masii kwenye unyakuo wake

  • @victorkileo4184
    @victorkileo4184 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ukizaliwa na wazazi walio katika dini fulani automatically na wewe ni mfuasi wa dini hiyo, ukifikia miaka 18+, yafaa kuijua dini kiundani na kufanya maamuzi

  • @saidalhabsi6485
    @saidalhabsi6485 6 หลายเดือนก่อน +3

    Toka quran ilipoteremshwa hakuna aliweza kuibadirisha wala kusema hizi aya za zamani zimeshapitwa na wakati, quran ipo vilevile na sheria zaka zipo palepale,

  • @franksimonngole8481
    @franksimonngole8481 6 หลายเดือนก่อน +2

    NYIENYI NDIO MATAPELI UNAJIFANYA MUISLAMU NA HUKU UNAJIFANYA MKRISTO.

  • @ramamshana1665
    @ramamshana1665 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtume Muhammad (SWA)Ali sema umawake tumebakiwa na Vita kubwa ya kupambana na nafsi zetu.Tunafunga sasa hivi ili tupate uchamungu kupambana na nafsi zetu.

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah sw amesema wale hivi walioamini nimewafaradhishia kufunga kama walifaradhishiwa walikuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachamungu or takwa
    Kumbuka nabii musa alifunga saumu ,nabii issa alifunga,nabii daud alifunga
    Sasa mungu hajasema watu
    Mungu amesema waumini tena waumini wa dini ya kiislam
    Neno uislamu ni neno lenye asili ya lugha ya kiarabu
    Kimaana katka lungha ya kiswahili
    Neno uislamu ni unyenyekevu or nyenyekea sasa ukikuta katika kitabu chichote cha injil or taurat or zaburi kuna neno nyenyekea or unyenyekevu maana yake ni uslam
    Neno uslamu kisheria ni salam ,amani ,nyenyekea na unyenyekevu kwa kufuata maarisho ya mungu kwa yale yote waliyokuja nayo mitume kuanzia adam baba etu hadi issa mtoto wa maryam na mwisho ni mtu Muhammad saw

  • @gubogarro4151
    @gubogarro4151 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wollahi natamani saana kukuchinja

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio nyie ni alshababb mnaeleweka kwa hilo

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona waislamu mpo kwenyefunga. Matusi yanini. Imani yenu iko wapi.kumtukana mtu nidhambi. Kwanini kutukana?

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatakia rehema mtume ambae humtaki endelea naukafiri wako, nguzo zauislamu nitano kwawewe ninne

  • @nasoroabdallah6253
    @nasoroabdallah6253 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ikiwa wewe ni muislam kweli na unaamini katika yale aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (S.A.W) kutoka kwa Allah (S.W), ni mafundisho gani ya uislam yanayokuruhusu kujiita nabii wakati Qur'an imeshaeleza wazi ya kwamba hakuna unabii wala utume baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Sura ya Al-Ahzaab aya ya 40. Je huoni kwamba umekengeu (umekufuru) na kutoka katika Uislam? Acha kupotosha na muogope Allah (S.W) kwani ni mkali wa kuadhibu

    • @athumanbirya8419
      @athumanbirya8419 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa alisema hana elimu so mimi hani pasui mfupa wa kicha ila ningeomba wahusika wachukue hatua sababu huyu jamaa anazidi na upotoshaji japo hata kusoma kwenyewe hasomi inavyo takiwa yani anaboroga kwakweli

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 6 หลายเดือนก่อน

    Unaokota baadhi ya vipande wa kusikia wasio na ufahamu au ufahamu mdogo uwapoteze nguruwe wewe ACHA utajutia.hayo maneno Yako yote yanarekodiwa na malaika kiraman katibiyna Na Allah ni Shahid we nguruwe upo kwenye kundi gani mdudu mwitu wewe .huna Elimu muongo.

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kafiri haifai ata kumsikiliza

  • @miishhassn
    @miishhassn 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona mtume wal mwenyezimung hajasema zikifika nyakat za fitna za dajjal tusfunge wew ni na usrme tukielew kirahis hivyo unavyotak😂et tukikusikiliza wew wew ndio tutaenda pepon mbona hatukuachiwa aya wala hadith kukuhus wew😂 wew kama hutak kufunga wala kuswal acha baki na ujuaji wako usipotoshe wengine

  • @KassimuSheshunda-yn7hm
    @KassimuSheshunda-yn7hm 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kafiri ni kafiri tu ataukiongea kiarabu kwa wingi utabaki kua kafir

    • @abdulhalimomar5329
      @abdulhalimomar5329 6 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema kweli huyu ni kafiri tu

  • @hajiabdallah9000
    @hajiabdallah9000 6 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuwahukumu watu mtoaji wa hukmu nanii aende motoni na peponi ni Alla pekee . Sisi tumeambiwa tufanye tu . Wache watu wafunge , wasali nk . Uwo unabii kakupa nani ? Muogope Alla ewe unae mkufuru Alla na hali unajua . Unashulishwa na pumzi au ?

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 6 หลายเดือนก่อน

    We ni mshenzi TU mbumbu TU huijui Quran hata kuitamka mabaya yakufike mburula kwenda huko huo sio ujumbe wa mungu huo ni ujumbe we shetani na umshukuru Allah kw sababu ni mwenye kusubiri nguruwe Koko wewe .

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 6 หลายเดือนก่อน

    Kafiri mkubwa wewe Huna hero yeyote ukaona kama unakejeli uislam wameshindwa wenye elimu na Mali wakashindwa ijje kuwa wewe kafiri mdogo Huna jipya

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata hiyo Amali unayoifanya unapoteza miss wako bure tu sisi tutafunga nawewe baki na ukafiri wako

  • @abdulfatahumarsaideazamo2654
    @abdulfatahumarsaideazamo2654 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe unatakadje? Tuache kufanya ibada kwa sababu ya ufahamu wako mbovo? Wé kamba ume tumwa, wambie utuwezi

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 6 หลายเดือนก่อน

    Wey hujazisoma unataka ufundshe ila utawapotosha waislamu waliikuwa hawajasoma ila wey nmwehu tu

  • @ModestoMbanga
    @ModestoMbanga 5 หลายเดือนก่อน

    Hapa ndo naamin kila mtu kaumbwa kwa akili yake kwan huyu binadam anapingwa sana ingawa habagui din anasoma vitabu na Mwenyez Mungu hana dini yeyote anachotaka watu watende mambo mazuri full stop.

  • @fredgonga
    @fredgonga 5 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri wengi huwa wanasomewa tu vitabu hawasomi wenyewe

  • @SteveMilinga
    @SteveMilinga 6 หลายเดือนก่อน

    kwenda uko ukwel amuutak Yan mbakamtu aongee kiarabu ndomuone raha msikilize hamnza axhen kukariri ujinga

  • @adinanhashim3630
    @adinanhashim3630 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu mtu nimnafiki rudi kwenye clep zake mara yeye ni muislam mara ni mkristo Yan haeleweki kuna siku ameomba radhi kwa waislam kama yeye ni muislam wakristo wamepotea

  • @adinanhashim3630
    @adinanhashim3630 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu mtu nimnafiki rudi kwenye clep zake mara yeye ni muislam mara ni mkristo Yan haeleweki kuna siku ameomba radhi kwa waislam kama yeye ni muislam wakristo wamepotea

  • @ShafiiMawe-u8m
    @ShafiiMawe-u8m 6 หลายเดือนก่อน

    Ivi wewe wakati unaanza hizo darasa lako ulikua unasema wewe na dhehebu lako hamfi Wala hamtakufa ulitoa kwenye kitabu gani

  • @Cabosport
    @Cabosport 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana mualimo, msema ukueli upingwa silo zote. Ata manabii waliuawa kwasababu walisema ukweli...🇲🇿

  • @ShafiiMawe-u8m
    @ShafiiMawe-u8m 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani we mpumbavu najuta kukujua unaongea ujinga mtupu hakuna muislam yeyete anaemchukia nabii issa au yesu kristo yaani we Ni mfuasi wa shetani bila kukujua

  • @AliaminiMussa
    @AliaminiMussa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe wangu umeteleza

    • @abdulhalimomar5329
      @abdulhalimomar5329 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sio shehe uyoo c muislam anadangany tu

  • @AliaminiMussa
    @AliaminiMussa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezimungu ndio mjuzi waache watu wafunge yy ndie atahukumu sio ww

  • @mohadsalum9764
    @mohadsalum9764 6 หลายเดือนก่อน

    WEWE UISILAMU HAUKUHUSU SISI TUKIFUNGA WEWE UNAUMIA NINI UNABII UMEKUSHINDA SAIV UMEKUWA MKOSOAJI WA QUR'AN QAFIRI WEW NAKUTAMANI KINOMA WE NIKUTIE NGUMI UACHE UJING SISI TUNAFUNGA WE UMIE WE SHOGA NINI

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 5 หลายเดือนก่อน

    yaani unavyoongea wallah hata mjinga akikusikiliza anajua hauji kitu

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 6 หลายเดือนก่อน

    Mara nyingi huwa nakuita fisadi kwani funga ni yako ww kwenye uislam upo na kwenye ukiristo upo una mashaka sana

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shehe itikadi yako hipo sawa na yangu ongera upo kwenye njia sahihi kabisa kabisa

    • @MauaAbubakari
      @MauaAbubakari 6 หลายเดือนก่อน +2

      Shekhe wa nani huyu?

  • @ShafiiMawe-u8m
    @ShafiiMawe-u8m 6 หลายเดือนก่อน

    Kama huna mapenzi yako binafsi chambua na funga kwa rezma we mpuuzi

  • @SumaAbduly
    @SumaAbduly 6 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi unakulupuka na haujui ulitendalo na unalipwa

  • @MelkulediMartini-yf1jq
    @MelkulediMartini-yf1jq 6 หลายเดือนก่อน

    Shida ni kwamba mtu anabisha mpaka kitu kilichoandikwa kwenye kitabu cha haki

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unapotosha watu kwasababu hakuna nafas ya kukuuliza swaali ila huna hoja

    • @SumaAbduly
      @SumaAbduly 6 หลายเดือนก่อน

      Hawa n maslai tu wapo wengi Allah atawalipa

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal4695 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimekuelewa..ni kweri wanajishindisha njaa

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 6 หลายเดือนก่อน

    We si mnjanja mara krsito mara usilamu. Uongo tuu

  • @shebymemzos5378
    @shebymemzos5378 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mpuuzi

  • @MauOGMbogolo
    @MauOGMbogolo 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nmekuelewa nabii elia

  • @SumaAbduly
    @SumaAbduly 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni nani lakini kihukum watu hiyo sio kazi yako hivi wewe uko upande gani

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
    Yohana 14:6

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 6 หลายเดือนก่อน

    YANI KATIKA MANABII WA UONGO WEWE UMO ,UTOBOI KWA MUNGU KWA ELIMU YAKO MBOVU

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 6 หลายเดือนก่อน

    WEWE MPUZIIIIIIIIIIIII,KAFIRI ULIESHINDIKANA

  • @abdulhalimomar5329
    @abdulhalimomar5329 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siku izi wanambinu ya kuvaa kanzu na kusoma dini ili wakuharibu muislam kuwa muangalifu sana ,huu ni mtegoo,asikudanganye yeye muislamu uyo anajiita NABII ILIYA ,ANAZANI ANAFANYA MAMBO YA KUMFURAHISHA MUNGU KUMBE ANAROPOKWA TU. Na kuna wanafunzi wake hap wataonesha kuunga mkono muislamu usingie mtegoni

  • @dodyomary224
    @dodyomary224 6 หลายเดือนก่อน

    uyu achinjwe tu kama condooh

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 6 หลายเดือนก่อน

    Lanna ya Allah ishuke juu yako kwa kupnga miongon mwa nguzo za kiislamu

  • @drnow1528
    @drnow1528 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mafundisho mazuri nimeacha kufunga

    • @MahmoudDouchi
      @MahmoudDouchi 6 หลายเดือนก่อน

      Umeanza kufunga lini Ata kua saivi umeacha kufunga??

  • @MkumboJaphet-yx3jp
    @MkumboJaphet-yx3jp 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nafatilia kwa makini darasa lako... Unaongea ukweli sana.MUNGU akubariki.

  • @saidalhabsi6485
    @saidalhabsi6485 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe kweli zimekuchanganya njaa kweli ni mbaya 😂😂

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 6 หลายเดือนก่อน +3

    Na kwa uongo wao wanakwambia mpaka Ibrahim alifunga ramadhani hili mladi tu wapotoshe watu😂😂😂😂

    • @MauaAbubakari
      @MauaAbubakari 6 หลายเดือนก่อน +1

      Apotoshwe nani labda mjinga mitume wote ni waislamu kataa kubuli huo ni ukweli... Kama huamini subiri ufe ndio utahakikisha.

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 6 หลายเดือนก่อน

      Allah sw watawalla
      Anasema hivi
      Makana Ibrahim yahudiya wala naswria walkini hanifa muslama
      Hakika Ibrahim hakuwa muyahudi wala mkiristo bali alikuwa kiongozi muislamu or kiongozi mnyenyekevu or mwenye kuknyenyekea
      Uislamu maana yake ni nyenyekea jisalimishe kwa Allah sw

    • @Nim68182
      @Nim68182 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@MauaAbubakariweee acha uongo bhana 😂😂😂😂😂 thibitisha bas unacho ongea sio kusem eti mpk mtu afe ndo ajue

    • @Nim68182
      @Nim68182 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@sayidabdillah8505leta ayah naa sema eengin walio kua waislam, Ibrahim Alianz kabla ya YESU ujue naa Muhammad alikuj nyuma ya YESU na alie kuja na Quran ni muhamad sas huyo Ibrahim alikuwa je kuawaj muislam😂😂

    • @MauaAbubakari
      @MauaAbubakari 6 หลายเดือนก่อน

      @@Nim68182 Nuhu, Ibrahim, lutu, Is'haka, Yaakubu, Yusuph, Mussa, Haroon, Issa, na Muhammad woote n.k ambayo sijawataji ni waislam na hata Adam na hawa ni waislam..
      Wewe SI waona ni uongo... Narudia subiri ufe ndio utathibitisha... Kasome surat Al Imran ukiweza soma tafsir yake yoote..

  • @zahorsuleyman3429
    @zahorsuleyman3429 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu kafiri haswaa

  • @NandiaChuma
    @NandiaChuma 6 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah, subhanallah weee kama unataka kurutadi enda hakuna mwenye amekuzuwia enda na ufunge mdomo kabisa wacha kupoteza watu,iyo ni ukafiri

    • @miishhassn
      @miishhassn 6 หลายเดือนก่อน

      Katokea huku ndug sijui katumwa😂

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu anaongea na watu kupitia watu,Sasa je una roho wamungu akujarie uelewa?

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 6 หลายเดือนก่อน

    Huna akili wewe

  • @cleophacekalilo2729
    @cleophacekalilo2729 6 หลายเดือนก่อน +1

    @mwalimu nabii Eliya asanate assalam alykum naomba kuuliza swali ikiwa mtume na maswahaba walifunga kwa lengo la kuwa wachamungu ili wakapigane vije baada ya hapo hawakuwai kufunga ramadhani nyingine hao maswahaba na mtume au hata baada ya mtume kuwa maswahaba hawakufunga tena ramadhani ?
    Nisaidie ili tafadhari @

    • @MustaphaMahindas
      @MustaphaMahindas 6 หลายเดือนก่อน

      Nakusaidia mm waliendelea na funga Kama kawaida maana wakati huo tayali palikua shwari

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 6 หลายเดือนก่อน

      Ee mungu ujidhihirishe ili wanaopotosha ukweli wako wafunuliwe zaidi

  • @petermolle7659
    @petermolle7659 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki baba na akuekee ulinzi wa kutosha unaozungumzwa ukweli huu

  • @HamisiKijemkuu
    @HamisiKijemkuu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Umeoba dua upate elimu
    lakini hujaomba ufahamu kwahiyo hufai kutoa elimu muogope mungu tubia kwa molla wako.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน

    👍✌️👊.

  • @MkumboJaphet-yx3jp
    @MkumboJaphet-yx3jp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe mtume SAW anasema kuangalia Riba ni sawa na kumla mama yako..duuh aisee mtume SAW kweli alikua mtu wa MUNGU.

    • @SabanaSipemba
      @SabanaSipemba 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @hassan0256
      @hassan0256 6 หลายเดือนก่อน

      Mtume alikua analeta mzaha na Mama zetu

  • @OmarSwalehe-z9u
    @OmarSwalehe-z9u 6 หลายเดือนก่อน

    Wee kafiri na uislam wapi na wapi unadhani huo muqadim wako ndio ili uonekane unajua mboni Kuna waarab wakiristo wanaongea kiarab wewe hujasoma Ila wajinga Kama wewe Wataona umesoma kume hamna kitu

  • @fatumamsellem7622
    @fatumamsellem7622 6 หลายเดือนก่อน

    Wanichefua wala sina haja yakumalizia kusikiza upotofu
    Wachanganya ukweli na uwongo
    Ili uwaminike

  • @AbduriNgayonga
    @AbduriNgayonga 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu chiz jmn

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waislamu kama nawaona walivyojaa hasiraaaa na matusi .....huyu jamaaa cjamuelewa ni dini gani maana yupo kama sigala kali😂😂😂😂😂😂 ila nampenda anavyotoa darasa zake ukweli mchungu ila ndo dawa ❤❤❤❤❤

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 6 หลายเดือนก่อน

      niambie dini la Yesu Kristo Ni lipi??

    • @mansulisaidi2066
      @mansulisaidi2066 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hyo wakristo wanavyoambia mwez wa kufunga na wao hauna maan kwao or

    • @taiomono3885
      @taiomono3885 6 หลายเดือนก่อน

      Tumembeee Allah amtunze na nachuki zisizo.

  • @gubogarro4151
    @gubogarro4151 6 หลายเดือนก่อน

    Wollahi tuma Wollahi ungefaa kuchinjwa kama kuku
    Wewe unajaribu kudanganya watu,,kafiri mkubwa Tangaza ukiristo wako achana na Uislamu wetu,wazimu wewe
    Kama hakika wewe ni muislamu hunge Pinga Ramadhan Kwa sababu Ramadhan ni nguzo Kati ya nguzo tano ya Uislamu.
    Wollahi Allah Atakuhukumu hapa hapa duniani inshaa Allah, lakini Wacha kujinasibisha na Uislamu kafiri mkubwa wollai natamani saana kukuchinja Kwa sababu unajifanya muislamu na unachafua Uislamu lakini hutafanikiwa Wollahi

  • @chidiboy8000
    @chidiboy8000 6 หลายเดือนก่อน

    ETI MUISLAMU HUNA HAJA YA KUFUNGA KWA SASA,,YAANI ATAKAE KAA NA KUKUAMINI UPUUZI WAKO HATOPONA MBELE ZA MUNGU

  • @KokoFimbo
    @KokoFimbo 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu ameumba mwanadamu na kumfundisha kupitia vitabu vyake kujua lililo jema na baya.sasa ni yake kufata ya heri au shari.so huyu jamaa anapotosha sana waislamu.amkeni waislamu huyu jamaa anachafua dini yenu.sisi wakristo tunaheshimu hii swaumu mbona huyu anachafua 😭😭😭😭

  • @faithe4063
    @faithe4063 6 หลายเดือนก่อน

    YESU kristo ndiye Bwana wa majeshi ndiye mfalme wa yuda ndiye njia ya kweli na usima, ndiye simba wa yuda ,anakuja bunde si bunde,heri wale waliyo mwamini kuwa ni mwana wa Mungu aliye kuja dunia hii kumwaka damu yake ili tupate usima wa milele,na kusamewa dhambi,heri wewe unaye mwamini Yesu kuwa ni mwokozi,na alienda kutuandalia makao na atakuja tena kutujukua sisi tuliyo itwa wana wa Mungu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 6 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa waislam kwa nn hamtaki kufundishika shida mnalishwa na kukalilishwa kuwa dini yenu ni sahihi kuliko hata kupima mambo hivi mfano waislam wengi mnafunga mwezi huu ila kila mkifungulia mnaludia ujinga huo wa uzinzi ulevi kifupi nabii eliyasa yupo sahihi

  • @rahmadaniel5803
    @rahmadaniel5803 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akusamehe kwakuwa hujui unacho kiongea na hizi mada ni vema msingeweka kwenye mitandao kwakuwa vitu vinaishi na mtakuja kuwapoteza watoto na vizazi vijavyo... muhukuma wa kila jambo ni Allah pekeee wewe huna haki ya kuhukumu wala kubatilisha chochote kilichopangwa na Allah acha kupotosha watu

  • @omardamka9708
    @omardamka9708 6 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa ni kichaa alipojiita nabii aliwahi kuitwa ofisi ya sheikh mkoa Dar chini ya alhadi mussa akakiri na kuomba msamaha,muft umeiona hii clip mbona huchukui hatua kwa hiyo anayepotosha qur an au uu muft wako kwa ajili ya kutangaza mwezi tu

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 6 หลายเดือนก่อน

    wewe huyo yesu aje leo hii wewe wamwanzo kukukana unamsingizia kwanza yesu alifunga mwezi ambao waislamu wanafunga mwezi wakenda (yaani wa tisa) vipiuwaone wanaomfata yesu kimaandiko wanashinda njaa wewe na walimfata yesu mmtengeneza mwezi wenu wakufunga(yaani wanne)tofauti kabisa na mafundisho ya yesu pili mumemsingizia kama yeye mungu na mkamwita mtoto wa mungu wewe una rahana niwafahamishe nyie msiokua waislamu mnazani kila anaeongea kiaraabu muislamu kiaraabu ni lugha kama lugha zingine unaweza kujifunza amshangai mbona mtu mweusi anaongea kiarabu kajifunza ilakila mwenye kuamini mungu mmoja na Muhammad mtume wamungu na akatenda matendo mema huyo ndie muumini wa kiislamu sio jina amkujua kusoma Quran ndio mumuamini mtakosea

  • @allymbasha8794
    @allymbasha8794 6 หลายเดือนก่อน

    Aya ya kufunga iliwalenga waumini sasa kama syo muumini bas jua kuwa wako waumini hata sasa wako jambo kama hilo la kutokea mbeleni ndo mtume asijue na kutufahamisha bali wewe ndiyo uje utufahamishe wewe jaman mmmmh acha...

  • @reyreshey9443
    @reyreshey9443 6 หลายเดือนก่อน

    Astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah

  • @ramadhanishabani2712
    @ramadhanishabani2712 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza wewe unatakiwa kujifikilia kbl unatoa huzo hutuba zako zingine

  • @LovelyDiamondRing-nr7lq
    @LovelyDiamondRing-nr7lq 6 หลายเดือนก่อน

    Unaweza ukawa umesoma lakini mwenyezi mungu akakufanya mpumbavu huyu sijui shekhe au nani ni mpumbavu fungal ya mtu unafikili anafunga Kwa Nini mtu anafunga Kwa akili ya mungu wake wewe unasema anajishindisha njaa angalia anayetoa hukumu ni mwenyezi mungu kujua huyu fungal yake siyo wewe unaingia mpaka kwenye manbo ya mungu si kufuru hiyo basi fungal wewe maana wewe unajijua kwamba ni moja kwa moja peponi maana mungu kwako unamuhukumia wewe

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 6 หลายเดือนก่อน

    Wacheni matusi chukueni faida hpa mjifunze huyu jama ako na elmu naww ukafanye utafiti zaidi,.....mashekhe wetu wengi wanatoa mawaidha yale yale kuipata pepo sio rahisi tusomeni tufahamu Elimu yaquran na hadithi,,tuache kujifanya tunajua kila kitu

    • @kazinaimwishehe-ec3xu
      @kazinaimwishehe-ec3xu 6 หลายเดือนก่อน

      wewe si wale wabendera za langi nyingi kiongozi kashasema utampata mwenza utapitishiwa ndoayako na d tutasheherekea sisi majiran

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 6 หลายเดือนก่อน +2

    Unasema ukwel kabisa Mwenyezi Mungu akulinde

  • @adinanhashim3630
    @adinanhashim3630 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu mtu nimnafiki rudi kwenye clep zake mara yeye ni muislam mara ni mkristo Yan haeleweki kuna siku ameomba radhi kwa waislam kama yeye ni muislam wakristo wamepotea

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 6 หลายเดือนก่อน

    Upondani yamwezi waramadhani upi? Wakati huifahamu

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mtu wa mungu, watu wanapaswa kuelewa kuwa funga hupaswa iandamane na sababu maalumu ya kufunga unafungia Nini na sababu ikoje.

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 6 หลายเดือนก่อน

    Nadhani Shekh umeielewa Quran tofauti.Kwanza elewa maana ya uislamu,Pili wewe sio Muislamu ingawa unasoma hiyo Quran

    • @taiomono3885
      @taiomono3885 6 หลายเดือนก่อน

      Tupe fatuwaa.. afu utauambie uislam ulisema nni juu ya Riba na wwe apo ulipo una fanya nni juu ya Ribaa😢😢😢

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ana kasoro kafiri. Ila Mungu amuwongoze kama sihivo basi asife bila kudhalilika

    • @MUBARAKMOHAMEDJAMAL
      @MUBARAKMOHAMEDJAMAL 6 หลายเดือนก่อน

      Asha,,kupoteza,,, muogope Allah,,,,ina maana umeiumbwa kula n'a kunywa

  • @suleymaniqram1510
    @suleymaniqram1510 6 หลายเดือนก่อน

    Na tuko na nani na tuko na jinga jinga

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu nabii wa uongo...kupotosha ...

  • @mansulisaidi2066
    @mansulisaidi2066 6 หลายเดือนก่อน +1

    Msemaj naomb nikuulize kutokan na manen yko lengo la kushuka amri ya kufunga ilikuw ni kuwajenga waislam wa enzi za mtume ili kupgan vita au ilikuw lengo la waislam wote kuwa wachamungu maan naon umeanza kuongelea inshu ya vita vya badr na mwshon unakuj kuongelea inshu za betting,wanawake kukaa uchi?

  • @ibrahimnaftar9037
    @ibrahimnaftar9037 6 หลายเดือนก่อน

    Nabii mbn hupatikani kwenye namba yako

  • @HalimaMohamed-m7x
    @HalimaMohamed-m7x 6 หลายเดือนก่อน

    Nyiye watowa komenti nimapepo

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 6 หลายเดือนก่อน

    MPOTOSHAJI 😂😂😂

  • @franksimonngole8481
    @franksimonngole8481 6 หลายเดือนก่อน

    KWANI WEWE NI MUISLAMU?

  • @charlesgwambegu9188
    @charlesgwambegu9188 6 หลายเดือนก่อน

    Wambie nabiii

  • @zakariaissa7574
    @zakariaissa7574 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe nikafiri mnafiq

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 6 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅duh njaa mbaya Sana

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 6 หลายเดือนก่อน

      Wee huna njaa Basi wewe maiti Kila kilicho hai huhisi njaa sasa wewe unamaanisha nni hapo! Maana waisllamu akiwa tofauti na wao povu linawatoka kids dawa imewaingia!

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 6 หลายเดือนก่อน

      @@IsayaSosolo-nx8zk hiyo Dawa umeingizwa wewe ndiyo maana umehama group kitambo

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera mtu wa mungu ubarikiwe baba waislamu lazima wamjue yesu mwana wa mungu hukumu inakuja na jehanamu ipo na yesu ndiye atakaye kuja kuhukumu wanadamu

    • @Shaha-d1i
      @Shaha-d1i 6 หลายเดือนก่อน

      (Jahanamu)ni Lugha gani hiyo?

    • @Shaha-d1i
      @Shaha-d1i 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu wenu anawaambia msujudu ulishawahi ata siku moja?

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama wasema tusifunge na nilazima jmn mbona watatiza ww

    • @sadikimsami
      @sadikimsami 6 หลายเดือนก่อน +1

      Njaa itakuuwa ila Allah hana noma anakusibili sikuchache tu utarudi kwake ukamueleze huo upuuzi wako

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid 6 หลายเดือนก่อน

      @@sadikimsami una lolote ww mmpotoshaji tu

  • @zuberympulo6564
    @zuberympulo6564 6 หลายเดือนก่อน

    Huo unapii umepewa na nani

    • @Nim68182
      @Nim68182 6 หลายเดือนก่อน

      Muhammad nae kaupew na nani😂😂😂